Chelea mani msela

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 17 вер 2024
  • Nipende

КОМЕНТАРІ • 207

  • @iddysilumba2807
    @iddysilumba2807 2 місяці тому +9

    WaAnangu Wa 2024 gonga like hap

  • @rechorechojumamaroda5045
    @rechorechojumamaroda5045 2 роки тому +6

    Hii nyimbo aisee inanikumbusha mbali mpka Sasa naipenda sana nimeikuta inapigwa baa leo nimefika hom ikabidi niitafute humu nakusikiliza mda huu saa 7 usiku tarehe 21 mwezi wa 11 mwaka 2021

  • @kalokoziyusuph4135
    @kalokoziyusuph4135 Рік тому +7

    2023 still i love this anthem❤

  • @minjacsd1874
    @minjacsd1874 4 роки тому +10

    Hii ngoma ilikuwa dedication kwa dem mmoja kwao wanafuga ng'ombe walikuwa wanauza maziwa du na nikamegeza kisera sasa leo hii mfanyie demu dedication nyimbo ya nyegezi kama atakuelewa sijui aiweke iweke ipitishe kwa chini utatoka kapa nakuambia

  • @davidrwenyagira6083
    @davidrwenyagira6083 5 років тому +9

    Naupenda sana wimbo huu niliupiga sana wakati huo nikiwa mtangazaji wa VOT Tabora

    • @joelinko6632
      @joelinko6632 3 роки тому

      Dah nimefurahi kuona coment yako kumbe na nyie mnakuaga na mapenz na nyimbo flan nakumbuka ea radio ukiwa na kina dj makei

    • @aidanabugare2255
      @aidanabugare2255 2 роки тому

      Duh v.o.t jamani nikiwa tabora girls,tulikuwa tunawatumia waboyzia na milambo hii master piece

    • @mohamedissalim8798
      @mohamedissalim8798 2 місяці тому

      ulikuwa dj vot kipindigani kaka

    • @mohamedissalim8798
      @mohamedissalim8798 2 місяці тому

      ​@@aidanabugare2255kweli labisa wimbo huu ulikuwa ukipigwa sana vot kumbe wewe ulikuwa girls mitaa ya kazehil au nation

  • @munirabdallahsaleh9201
    @munirabdallahsaleh9201 4 роки тому +13

    Kama kuna mtu anaisikiliza hii ngoma 2020 gonga like ya nguvu upo wapi ndugu yangu huu ndo ulikua mziki wa uhakika

  • @emmanuelbuyamba853
    @emmanuelbuyamba853 4 роки тому +10

    Enzi hizo niko likizo ya O level Shy mwaka 2007.
    Chelea Man hatari sana!!

  • @saadeased7160
    @saadeased7160 5 років тому +48

    2019 nana anaangaliya hizi nyimbo zinazoendelea kuzikonga nyoyo za wengine like hapo chini

  • @bakarikendwa4013
    @bakarikendwa4013 2 роки тому +2

    Kiss FM REDIO pendwa ilikuwa igonga nyimbo za kweli,hiyo bezi yake sasa ilikuwa noma,hii nyimbo ni noma sana,2021

  • @manjaruu679
    @manjaruu679 3 роки тому +2

    Daaah chelea man mbona unafanya nalia nakumbuka 2007 nlkuwa primary 2008nikaja kukuona live fiesta dom town

  • @samirajonh6537
    @samirajonh6537 5 років тому +34

    Kama unasikiza hii nyimbo 2019 gonga like here

    • @zafananablack2476
      @zafananablack2476 4 роки тому +1

      Hizi ni nyimbo ambazo zitaendelea kuishi mpaka wajukuu zetu, ikipigwa ngoma yoyote ya zamani hakuna ngoma bongo flavour ya sasa itakayosimama kwa chochote, mfano ile ngoma ya Nyota Ndogo feat Nonini - Nibebe # Ni balaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

    • @mgangakingaja3316
      @mgangakingaja3316 3 роки тому

      @@zafananablack2476 dah ninoma sana

  • @issahabunu197
    @issahabunu197 3 роки тому +4

    Dah nakumbuka sana enzi izo dom natoka zangu Area A naenda Chang'ombe kwa bibi...sasa ndo nipo mashine ya mabati cda pale ndo nausikia huu wimbo😔😞😭😭

  • @rosepiere1857
    @rosepiere1857 4 роки тому +7

    2020 Niko hapa za zamani zilikuwa tamu buana natamani kumpenda msela jamani

    • @POPkateshian
      @POPkateshian 2 роки тому

      Msela Niko hapaa plz love mee🙏🙏

  • @justafredrickmunyoro1097
    @justafredrickmunyoro1097 6 років тому +18

    My best song ever.. Dah nakumbuka nikiwa form four bukoba sec 2007

    • @dicksonkajuna5750
      @dicksonkajuna5750 4 роки тому +1

      Kipindi hicho tunatoka Kashozi Sec. kuwatembelea Bukoba Sec. Ni kitambo

    • @justafredrickmunyoro1097
      @justafredrickmunyoro1097 4 роки тому +2

      @@dicksonkajuna5750 mlikujaga kudebate eeh??

    • @dicksonkajuna5750
      @dicksonkajuna5750 4 роки тому +1

      Ndio debate na michezo pia

    • @ackshuba8679
      @ackshuba8679 3 роки тому

      Hii nyimbo sio 2007
      Ni 2002 wew ukiwa darasa la sita ndugu kumbuka vyema.

    • @abuumansoural-amrik6317
      @abuumansoural-amrik6317 3 роки тому +1

      @@ackshuba8679 sio 2002 ni 2007 nipo darasa la 5,nakumbuka moments nyingi sana kupitia hii ngoma japo nlikuwa mdogo

  • @boscomakingi1978
    @boscomakingi1978 4 роки тому +5

    Mchizi nimekukumbuka sana ndomana nimeicheza nyimbo yako wapo chelea mani

  • @amanimwidowe4632
    @amanimwidowe4632 4 роки тому +8

    Weweeeeee!!!!! 2020 hiyo nani katoboa na hili Songoro😁😁😁😁🇹🇿

  • @praygodkweka2884
    @praygodkweka2884 5 років тому +7

    Nyimbo kali sanaaa, jamaa aliandika bhna. Kama unamkubali Chelea man. Gonga like

    • @felicianbulu1819
      @felicianbulu1819 3 роки тому

      Hivi jamaaa yuko wapi kwasasa je bado anaimba?

  • @mwinamilapaul352
    @mwinamilapaul352 6 років тому +19

    DAh nakumbuka mbali sana kipindi kile niko primary kulikua na demu mmja nilikua namueewa sana alikua anaiwa malisela sasa ndo nilikua nikimuimba baada ya sela mimi natupia jina lake malisela aiseeeh nouma SANA ngoja miaka isonge maisha yaendelee but hizi nyimbo zitaendelea kuishi

    • @mrmartinipaul2464
      @mrmartinipaul2464  6 років тому

      🙄🙄🙄🙄

    • @zafananablack2476
      @zafananablack2476 4 роки тому

      Hizi ni nyimbo ambazo zitaendelea kuishi mpaka wajukuu zetu, ikipigwa ngoma yoyote ya zamani hakuna ngoma bongo flavour ya sasa itakayosimama kwa chochote, mfano ile ngoma ya Nyota Ndogo feat Nonini - Nibebe # Ni balaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

  • @alexkyando3622
    @alexkyando3622 4 роки тому +4

    2020 wapi chelea man msera naipenda hii ngoma kipindi hicho unampenda demu afu una kitu

  • @gracerichard1326
    @gracerichard1326 4 роки тому +5

    Yaan natamani dunia irudi ilikotoka jaman mpaka najawa huzuni nikikumbuka mbali

  • @apansiakyando5753
    @apansiakyando5753 5 років тому +19

    2019 still hitting, come back man

  • @isaaclema9519
    @isaaclema9519 3 роки тому +2

    Kali sana hii nyimbo ...nilikuwaga natoroka nyumbani naenda salun kuisikiliza

  • @zanmedia5225
    @zanmedia5225 2 роки тому +4

    2022 still naenjoy mziki mzuri

  • @hamzaselemani6148
    @hamzaselemani6148 4 роки тому +5

    Mii msela 2020

  • @johnsonfrodianus6237
    @johnsonfrodianus6237 5 років тому +5

    Nikikumbuka hz nyimbo natamani kulia

  • @gerkombo6512
    @gerkombo6512 4 роки тому +2

    Baada ya kukosa ladha kwenye mziki wa sasa wa kizazi kipya nimeamua nianze kuperuzi bongo flava ili nipate ile ladha kamili ya mziki. Am here 19 July 2020

  • @damasbenedict4246
    @damasbenedict4246 4 роки тому +7

    kama unasikiliza 2020 gonga like

  • @menalikechildren8836
    @menalikechildren8836 8 місяців тому

    When the songs truly sung by the truly talented singers unlike today we only support the singers who are supported by autotune

  • @catherineburure7642
    @catherineburure7642 6 років тому +9

    When bongo flavour didn’t need kiki to rock!! Am happy u uploaded! Wow!

  • @husseinhassan3421
    @husseinhassan3421 4 роки тому +6

    2020 naomba like zangu jamani

  • @hanzurunikazunarichilyenga9150
    @hanzurunikazunarichilyenga9150 4 роки тому +4

    Tallent sana,,,,wapi huyu mtu wa kazi @Cheleaman

  • @samwelamosmusambwa9302
    @samwelamosmusambwa9302 5 років тому +13

    kama bado unaiskiliza 2019 like nkuone

  • @majiduroki7998
    @majiduroki7998 4 роки тому +4

    Good music haichoshi kusikiliza...

  • @asteriahaule6380
    @asteriahaule6380 4 роки тому +4

    2020 stl here

  • @salymaba238
    @salymaba238 4 роки тому +3

    2020 tumeludi kuckiliza nyimbo tam

  • @amoschacha2885
    @amoschacha2885 9 днів тому

    Namkumbuka uncle wangu saloto kwasasa hayupo Tena dunian daah Mungu ampunguzie uzito wa kaburi lake

  • @joelinko6632
    @joelinko6632 3 роки тому +3

    Nimekuja hapa baada ya madee kuojiwa na kusema alikula elfu 80 ya kurecod ikabidi amwambie abdi bonge kua chelea man hajui ila mb dog anajua bas ndomana mb dog akatoboa jamaa yeye akapotea

  • @isaiahdanieltz7405
    @isaiahdanieltz7405 5 років тому +3

    October 2019,imenirudisha 2007!sitosahau yale maisha!

  • @louser9473
    @louser9473 11 місяців тому +1

    2007 Std7 Mikere primary school Mkuranga, leo 2023 sept28 bado naickiliza

  • @h.mtanzania3329
    @h.mtanzania3329 3 роки тому +3

    Mtanzania

  • @gracemsanjila327
    @gracemsanjila327 6 років тому +49

    Dah bonge la nyimbo wako wapi wasani hawa jamani gonga like kama unawish warudi

    • @iddydawood2020
      @iddydawood2020 6 років тому

      GRACE MSANjila hao ndio walikua wasanii,mashairi yasiyo chuja vina vya maana .best song.nakumbuka mbali sana baada ya kutoswa.life iz goz on

    • @yusuphsalim6469
      @yusuphsalim6469 6 років тому

      GRACE nakubaliana na ww

    • @ayoubkipipa14
      @ayoubkipipa14 6 років тому

      Mshkaj chele man Yuko mabibo anakula banga tariii uyu jmaaa

    • @yplatinumhassan2315
      @yplatinumhassan2315 5 років тому

      I like this old song

    • @yplatinumhassan2315
      @yplatinumhassan2315 5 років тому

      I like this old song

  • @SelemaniLingamka
    @SelemaniLingamka Місяць тому

    Daaa!! Kitambo San nakumbka mwa 2007 wakati huo naanza mausiano na mam watot wng Siku ya kwanz yakukata utepe alafu dj ndo anagonga nyimbo hii eeh!alinikosha San dj kitambo icho

  • @mangarashid4736
    @mangarashid4736 5 років тому +4

    Chelea man i remember my brother 2019

  • @nelsonmbuta3801
    @nelsonmbuta3801 4 роки тому +1

    2006 nakumbuka Show time RFA radio free Africa

  • @manyamamohamed9937
    @manyamamohamed9937 3 роки тому +2

    pale mwanaume unapopenda na hauna hela na dunia hii pesa ilivotawala mapenzi basi haka kawimbo kanafaa dedication kwa mchumba

  • @unduelohamisi7641
    @unduelohamisi7641 3 роки тому +3

    Tukiwa Nduta Camp mwaka wa 2007 .

  • @frankjohn4880
    @frankjohn4880 4 роки тому +2

    2020 Mwezi wa 7 bado utamu wa big G haujaisha

  • @kamilusmgaya4806
    @kamilusmgaya4806 3 роки тому +4

    My best song 2021

  • @emmanuelzwallo3933
    @emmanuelzwallo3933 4 роки тому +3

    Inanikumbusha mbali sana hii ngoma jamn enzi zetu zileeeee.ndo umemaliz Shule unanusurika kutoswa ndo unatuma kadedcation usiachwe.hahahahhahahahahaha

  • @emmanuelchacha6126
    @emmanuelchacha6126 3 роки тому +2

    2021 hiyo Baba

  • @nashmc5668
    @nashmc5668 11 днів тому

    Aisee naposikiliza wimbo huu nakosa maneno ya ziada kuhusu Vipaji vilivyozimika kama mshumaa.

  • @bilikhamis8963
    @bilikhamis8963 3 роки тому +2

    Kama unasikilza 2021 gong like

  • @dioncmusic1660
    @dioncmusic1660 5 місяців тому

    Huu wimbo unanikumbusha mbali sanaa

  • @geraldjohn9538
    @geraldjohn9538 4 роки тому +1

    2020..mapenz yanateka duniaa.aisee

  • @geffects1141
    @geffects1141 3 місяці тому

    It's 2024 . Days are flying 🎉🎉😢😢

  • @thelivingwelltv6399
    @thelivingwelltv6399 6 років тому +3

    kitambo sanaaaaa but still my best love song

  • @ebbychrismatovu5612
    @ebbychrismatovu5612 3 роки тому +2

    12.12.2020

  • @abdulswamaduathumani2791
    @abdulswamaduathumani2791 4 роки тому +3

    2020 Ila Pini kali kama limetoka jana

  • @ebbyramadhani
    @ebbyramadhani 4 роки тому +3

    Nimekuja apa Baada ya kuona interview ya Madee
    Anasema jamaa alikula 80 ya ku Record
    Hakumgea madee hata dalla

    • @mrmartinipaul2464
      @mrmartinipaul2464  4 роки тому

      😂😂😂😂duu kumbe umafi ulianza kitambo sana

    • @joelinko6632
      @joelinko6632 3 роки тому

      Namimi pia angekua mbali sana kama madee asinge mbania

  • @emilysaimon3261
    @emilysaimon3261 Рік тому +1

    Kitambo sana chelea man msela
    Kama bado unasikiliza kufungia mwaka tia like

  • @kiningabinking1285
    @kiningabinking1285 5 років тому +4

    Ngoma nzuri sana
    Utafikiri bado mpya
    Kumbe henzi hizoooo.....

  • @tareqhilal6750
    @tareqhilal6750 4 роки тому +3

    2020 let's go

  • @jamillahmnyaghatatt2368
    @jamillahmnyaghatatt2368 4 роки тому +2

    2020/9/23 bado tunaangalia 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @yusuphsalim6469
    @yusuphsalim6469 6 років тому +1

    Nwkubali!! Chelea man!! A boy from bongoflevan!! Dah so long time!! Namielewaga sana uyu jamaa

  • @emmanuelchacha6126
    @emmanuelchacha6126 3 роки тому +2

    Nilikuwa form 4. Nakumbuka mbali kweli. Dahh

  • @sadickmussa6609
    @sadickmussa6609 3 роки тому +2

    *2021*

  • @drtamimrs2501
    @drtamimrs2501 6 років тому +5

    2007 memories

  • @mchenjehusein5018
    @mchenjehusein5018 5 років тому +4

    2007 nipo form 3 kitambo kidogo daah

  • @karimwilsonnyigo7222
    @karimwilsonnyigo7222 5 років тому +3

    nyimbo yangu ya miaka yote hadi mwisho wa huwahi wangu

  • @francismillinga4591
    @francismillinga4591 2 роки тому

    Ngoma inanikumbusha mbali sana 2007

  • @thelivingwelltv6399
    @thelivingwelltv6399 3 роки тому +1

    Nipo hapa 24/10/2020 hakika old is gold

  • @mkambamaulid447
    @mkambamaulid447 2 роки тому

    Wonderful song 😅💞🙏🏼 How can sing like this Tanzania They sound of Africa Tanzania I love this ever 🎧🎶🎙️

  • @ayoubkipipa14
    @ayoubkipipa14 6 років тому +1

    Chele man Mzee wa mabibo pamoja Sana nwanangu

    • @ackshuba8679
      @ackshuba8679 3 роки тому

      Aisee juzi tu tulikuwa wote hapa uwanja wa Makuburi.. ila ndio hivyo tena

  • @hassanmatekenya
    @hassanmatekenya 2 роки тому +1

    Ebwana heee asee nakumbuka kitambo Sanaa je ww enzi izo ebu tukumbushe na yeyote unayo ijua

  • @omardaudi2928
    @omardaudi2928 4 роки тому +3

    2020 bado tupo

  • @manjarujr9797
    @manjarujr9797 5 років тому +2

    #USINIACHE#CHELEA MAN#2019

  • @herryzidadu7658
    @herryzidadu7658 6 років тому +3

    Masela thumbs up

  • @GeraldGspack
    @GeraldGspack 7 місяців тому

    My favourite jam

  • @mickyselemani8926
    @mickyselemani8926 5 років тому +1

    Long Sana manyara sec Nilikua form two mto WA mbu ase noma nw ni2018

  • @robertkizito8656
    @robertkizito8656 3 роки тому +2

    2021 March

  • @paschalcleophace5677
    @paschalcleophace5677 2 роки тому

    Enzi izo radio free Africa ndo radio kubwa na pendwa Tanzania nzima

  • @lawrencebundala5769
    @lawrencebundala5769 5 років тому +2

    Jamaa wa kipindi cha nyuma walikua wanaimba bana

  • @daudisalum9574
    @daudisalum9574 11 місяців тому

    Ngoma kali sana

  • @fetlisheshenry2510
    @fetlisheshenry2510 4 роки тому +2

    Like 2020

  • @fatmahathman8120
    @fatmahathman8120 2 роки тому

    2022 twende pamoja

  • @Amaniantoni
    @Amaniantoni 11 місяців тому

    2023 usiniache bonge la song 1:12

  • @eddiemohamed9003
    @eddiemohamed9003 3 місяці тому

    MUZIKI MZURI HUNA HISHI🔥🔥🔥🔥🔥💣🏌️🏌️

  • @YukoMchawi
    @YukoMchawi 2 місяці тому

    Sio poa'' leo ninacho/ kesho sina

  • @anethmbwile5555
    @anethmbwile5555 Рік тому

    2023 still enjoying the banga😍😍

  • @ramakondo9892
    @ramakondo9892 6 років тому +1

    daaaah hii ngoma hainitoki mpk Leo in short jamaa aliimba

  • @husseinkaoneka5834
    @husseinkaoneka5834 3 роки тому +1

    2021 BADO NALIGONGA HILI GOMA DAH

  • @williammwajeka3347
    @williammwajeka3347 4 роки тому +3

    Duuh, huu ndio ulikua Music wa kuish mda mref,

  • @egnokinunda4539
    @egnokinunda4539 Рік тому

    2004 Mbinga long time

  • @hadijaomary9688
    @hadijaomary9688 4 роки тому +2

    2020

  • @kolnelkipapi6910
    @kolnelkipapi6910 Рік тому +1

    Naomba like zenu kama unaiskiliza 2023

  • @reallifeeventsoncctvcamera4956

    ANYONE HERE IN 2023 ?

  • @geraldfelician1951
    @geraldfelician1951 5 років тому +1

    La kitambo bt chelea man alijitahidi sana ndo maana mpka sasa goma liko poa

  • @mussamkali9926
    @mussamkali9926 17 днів тому

    Jamaa walikuwa wakali sn

  • @lucygodfrey5071
    @lucygodfrey5071 2 роки тому

    I love xo much the song ❤

  • @tonybrighter3878
    @tonybrighter3878 2 місяці тому

    Dah 2024 July God Blesd