Hardman Ni wewe

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 15 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 359

  • @richardgeorge131
    @richardgeorge131 Місяць тому +11

    nani anaskiliza 2024 gonga like HII ngoma

  • @mussahancy6591
    @mussahancy6591 4 місяці тому +36

    Tunaoiangalia tena 2024 gonga like hapaa

  • @emmykingobi3711
    @emmykingobi3711 2 роки тому +9

    Dah nililazimishwa kuolewa angali ni mdogo sita sahau nilikuwa nasikiliza hii na kulia hadi mama akawa analia na baba pia naipenda mpaka sasa 2022 na nitaendelea kuipenda

  • @hassanparamana2215
    @hassanparamana2215 Рік тому +16

    2023 tunaendeleza kugonga ngoma kali tuu old is gold 💪🇹🇿🇦🇪

  • @hamzmyovera9448
    @hamzmyovera9448 6 років тому +53

    Hii ndo ngoma nayo ipenda kulko zote dunian

  • @nuruomar487
    @nuruomar487 5 років тому +54

    Nani anaskiliza hii hd 2019 gonga like twende sawa!!!!nakubali sana hii ngoma!!

  • @zulfaabdallah8369
    @zulfaabdallah8369 4 роки тому +42

    Nan anasikilza 2020 ? Gonga like!

  • @yusramwinjuma4721
    @yusramwinjuma4721 4 роки тому +10

    Graduation yangu primary2006🤪🔥🔥🔥

  • @mariammgomba3329
    @mariammgomba3329 3 роки тому +4

    Daah!nakumbuka mbali sana!tena hua nikiisikia hii nyimbo popote hua nalia peke angu,nilikua nadai talaka alafu mume akawa anaweka hii nyimbo muda wte,lkn ndio nishaamua tukaachana,

  • @franksembwana6031
    @franksembwana6031 Рік тому +3

    Mika Mwamba 2023 🔥🔥🔥🔥hyu jamaa si kujua kama beat nyng hv zilikua zake

  • @obadiamakamba9380
    @obadiamakamba9380 5 років тому +14

    Jaman hii ngoma nilikuwa nimeilekod kwenye spika inaimba huku nauza mitumba Morogoro hiyo da nimekumbuka nyumban wakagulu wose chikiende

  • @fettyharrison3068
    @fettyharrison3068 5 років тому +19

    Dah kama imetoka leo bro 😘😘 2019

  • @tycoonpiro8980
    @tycoonpiro8980 2 роки тому +17

    2022 and still is masterpiece

    • @yunistanley3354
      @yunistanley3354 Рік тому

      😮😮😢😮😮😮😢😢😮😮😢😢

  • @user-yt5wl6bi4i
    @user-yt5wl6bi4i Місяць тому +1

    Mimi na huu wimbo mwenzenu acheni tuu❤

  • @salmamwaipopo
    @salmamwaipopo Рік тому +12

    2023 still on fire 🔥

  • @kasimjuma5551
    @kasimjuma5551 5 років тому +5

    ngoma hii inanikumbusha 2008 nilikua kisiwani KABIGA MWANZA .Yaani nikifunga duka mida ya saa6 usku hii ndo ilimua kufuli langu daah😀😀kitambo mazee big up sana mzee @hardmad

  • @fatmamajuu5255
    @fatmamajuu5255 5 років тому +31

    Hii nyimbo inaistoria ya maisha yangu japo baadae nilimwagwa ila silaumu sana maana mungu ndie mpangaji wa maisha yangu 6/ 2/ 2019

  • @user-id8il6zs4g
    @user-id8il6zs4g 16 днів тому +1

    Nzuri sana jamn nimeipendraaaa

  • @SelemaniLingamka
    @SelemaniLingamka 2 місяці тому +2

    Kitambo San mzee bab

  • @VitucyKasanka
    @VitucyKasanka 6 місяців тому +8

    Nyimbo yangu Bora ya kila muda naipenda hii nyimbo kupita maelezo

  • @MeshackDivioshi
    @MeshackDivioshi 5 місяців тому +1

    Mpaka 2024 naigonga on repeat

  • @critique1755
    @critique1755 5 років тому +5

    Hizi ndo zile ngoma hazichuji miaka nenda miaka rudi..kila kitu kipo on point kuanzia lyrics hadi beat!

  • @romanusfikiri3194
    @romanusfikiri3194 8 місяців тому

    Namuheshimu sana p funk majani kama godfather wa bongofleva lakn mikka mwamba ilikuwa ni hatari nyingineee

  • @user-dn9kh3sf1y
    @user-dn9kh3sf1y 6 місяців тому +1

    Daaah noma sana 2024❤❤❤

  • @chaulachaulaya5259
    @chaulachaulaya5259 4 роки тому +17

    Ni mwisho wa mwaka 2019 sasa, ni nani mwingine anamsikiliza Hard Mad? Na ngona hii ya Niwewe..

  • @lucymwakalindile2322
    @lucymwakalindile2322 6 років тому +14

    mamaaaaa usiniache mwenzio niweweeee

  • @scollamwanisisi2739
    @scollamwanisisi2739 Місяць тому +1

    Here 2024 this song ❤❤❤❤❤❤

  • @emanuelchidobi7717
    @emanuelchidobi7717 4 роки тому +2

    Tuacheni utani hizi nyimbo ni nzuri sana wasani wa sasa wakasome ujumbe bomba nyimbo bomba BIG up hardmad

  • @kavassay8899
    @kavassay8899 4 роки тому +5

    Rudi bas nyumbaniiiii kumbuka maishaa ya zamaniiii,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,usiniache mwenzioooo ni wewe unaefanya nijiskie nipo juu kwenye hii dunia@@@@@@@@@2020

  • @graciousmeena3
    @graciousmeena3 4 роки тому +6

    Nan anaisikiliza 2020
    Old is gold

  • @mustaphakheba4644
    @mustaphakheba4644 3 місяці тому

    Enzi hiyo nilikuwa darasa la 6, lkn mpk Leo imebaki kwenye kumbukumbu za matukio yaliyopita kwenye maisha yangu

  • @Rugarabam
    @Rugarabam 5 років тому +18

    2019 we are still enjoying ur melody hardman

  • @moses_2555
    @moses_2555 5 років тому +20

    hatari kitambo, stil 2019 rocking

  • @user-yt5wl6bi4i
    @user-yt5wl6bi4i Місяць тому +1

    Mika mwamba alikuwa na maajabu asee bt znasomeka

  • @mustafakingwande9459
    @mustafakingwande9459 2 роки тому +4

    Hiki ndio kipind pekee ambacho kaka zetu walifanya muziki uheshimike na nakumbuka tulikua tunaweza kuciiliza na wazaz wetu tena tukawa na amani ila siku hiz hilo jambo ni aghalab sana.Inasikitisha walioweka misingi wamepotea na kusahaulika kabisa.Basata mna kaz gani ingine zaid ya kufungia nyimbo za wa sanii badala la kuwapa msaada

  • @theodosiachagama2443
    @theodosiachagama2443 Рік тому +5

    2023…still enjoying the music

  • @gerrardcharlesmonyo1331
    @gerrardcharlesmonyo1331 Рік тому +1

    wale wa zaman tupo... kama umeikumbuka hii hit

  • @user-ke8gw8ql7w
    @user-ke8gw8ql7w 9 місяців тому +1

    Miss u'a song ni wewe n tamalaa😢

  • @manuelhealth100channel7
    @manuelhealth100channel7 5 років тому +5

    iinyimbo kilanapo isikiliza naona kama imetoka jana, tam kinoma

  • @rajabumajogoro8802
    @rajabumajogoro8802 5 років тому +1

    Nakumbuka kitaaaambooo saanaaaaa..bonge la song..hardman aliutendea haki huu wimbo..

  • @ntimimalamula2104
    @ntimimalamula2104 5 років тому +3

    Wekeni basi na nyimbo ya hitaji la moyo ya bro hard mad

  • @chitwangandembo6302
    @chitwangandembo6302 Рік тому +2

    Tujuane hapa tunaopenda mziki mzuri 2023 ni wew✔️

    • @abelmwaipungu8287
      @abelmwaipungu8287 Рік тому

      Nakumbuka kipindi icho aise ngoma za zamani zilikua noma

  • @mkobaofficial8037
    @mkobaofficial8037 6 років тому +5

    Old is best, I love it.Mziki unaishi

  • @tofikimpera687
    @tofikimpera687 4 роки тому +5

    Twende sawa 2020 kama unasikiliza goma hilooooo💥💥

  • @emanuelchristian6928
    @emanuelchristian6928 4 роки тому +4

    Where are you brother mad mbona umetoweka kwenye music wewe sio wakawaida man level yako ni ya akina 20% kina afande Sele na wengine kama hao marasta man jiungeni pamoja muwafundishe vijana wanaokurupuka kuimba matusi big up Mzee ulitisha sana bro

  • @khadijaadam5299
    @khadijaadam5299 3 роки тому +6

    2021 bd nakusikilizaaaa🥰 naipenda sana hii nyimbo

  • @zondomartine
    @zondomartine 5 років тому +2

    Huyu ni hard man Sio soft hata kidogo. Ngoma qali inanikumbush mbali sana

    • @hatibuhatibu5436
      @hatibuhatibu5436 5 років тому

      Zondo Martine kishoju hiyo 2018 hakibu twaha Noma sana

  • @joxeesety9895
    @joxeesety9895 6 років тому +5

    Ngoma kaliiiiiiiiiiiiiiii balaaaaaaa hii aiseee

  • @angelkibbo4705
    @angelkibbo4705 Рік тому +1

    It is April 2023 am still enjoying the song!!! Gonga like kama tunaenda sawa

  • @fransiscaaloycematemu4470
    @fransiscaaloycematemu4470 6 років тому +20

    2018 to thi no end

  • @festoford1511
    @festoford1511 5 років тому +7

    Kama ni marehemu tunasema ameacha pengo kubwa san -good kaka hard man may 2019

  • @adamkasase6623
    @adamkasase6623 Рік тому +2

    Nakumbuka mbali sana nikiskia hii ngoma

  • @rachelmihambo8509
    @rachelmihambo8509 7 років тому +3

    can't stop listening to this song, who is listening 2016??

  • @jumasheshe7836
    @jumasheshe7836 5 років тому +3

    Who is waiting 2c him back like Me!!!@?????....Old is Gold....

  • @selemansteven1003
    @selemansteven1003 5 місяців тому

    Hv huyu jamaa yuko wapi kwa sasa, nmekumbuka mbali sana aisee🙌

  • @fasamifaudy6058
    @fasamifaudy6058 2 роки тому +6

    2022 still the best

  • @festoford1511
    @festoford1511 5 років тому +2

    Kama ni marehemu tunasema ameacha pengo kubwa san -good kaka hard man

  • @lameckluvanga1693
    @lameckluvanga1693 3 роки тому +5

    2021...still listening to this song.

  • @irenetobico8737
    @irenetobico8737 Рік тому +1

    Miaka yetu hiyo kipindi mziki ni mziki 💃sio sasa hv matusi tu 😏

  • @user-jn2vx8gx8g
    @user-jn2vx8gx8g 7 місяців тому

    Milele mungu akupe maisha marefu ❤️

  • @petromgimba1289
    @petromgimba1289 4 роки тому +7

    tujuane tanayo iangalia 2020

  • @elizabethemsuya6621
    @elizabethemsuya6621 Рік тому +2

    2023.. hit song

  • @lucymayelias3114
    @lucymayelias3114 5 років тому +9

    2019🙌🙌

  • @abdallahabutwalib4477
    @abdallahabutwalib4477 3 роки тому +2

    Daahh kitambo sanaa nimekumba mbali kweli old is gold........ 2021

  • @majijimohamed6518
    @majijimohamed6518 5 років тому +2

    Daaah niwewe zamanisana jaman kamajana vire huwasichoki kuitazamama😀😀😁😁😁

  • @hildpaul7823
    @hildpaul7823 Рік тому

    ,🔥🔥🔥🔥🔥🔥enzi zetu

  • @abdulnyawaba4515
    @abdulnyawaba4515 5 років тому +4

    asante sana Hardmad bonge la ujumbe , miaka nenda miaka rudi

  • @martinipetro9338
    @martinipetro9338 4 роки тому +2

    Aisee hii ngoma naikubali kinoma ambae bado anasikilizaga mpaka saizi 2020 agonge like apa

  • @denishassan3799
    @denishassan3799 3 роки тому +2

    2021 me bdo ipo maskioni 💙💙💙💙💙💙💙

  • @officialmatambi5550
    @officialmatambi5550 4 роки тому +4

    Ni wewe Unaye nifanya nijiskie Niko Juu. Get back Hardmad.

  • @jacquelinechalamila2256
    @jacquelinechalamila2256 5 років тому +2

    Old is Gold mziki unagusa mpaka moyo 4/2019 still listening

  • @fednandnews2240
    @fednandnews2240 5 місяців тому

    Maisha Ni kumbukumbu nzur🎉❤

  • @elizabethdaniel3578
    @elizabethdaniel3578 6 років тому +12

    Unaenifanya nijiskie niko juu kwenye hii duniaa 😭😭😭😭 R I P kakaangu huu wimbo umenifanya nikukumbuke my bro ulivokuwa unamuimbia wifi yangu 😢😢

  • @sophiahassan5495
    @sophiahassan5495 Рік тому

    Daah ilikua nyimb yang pendwa kipind hich nakumbuk mbl san 2023 bado nasikiliz

  • @yayamiddle9279
    @yayamiddle9279 Рік тому +1

    Ishi saana popote ulipo brh ✌📢

  • @daimavlog
    @daimavlog 4 роки тому +1

    I miss my friend 4141 ukipita hapa jua ni mimi, mekumiss Jaff enzi zile tukisikiliza hii kitu

  • @aggyparty2990
    @aggyparty2990 5 років тому +1

    Hili goma ni fire

  • @mkambamaulid447
    @mkambamaulid447 2 роки тому +1

    Jamani aliekuwa akicheza Ngoma hizi Enzi hizo anajua utamu wake
    Nyie wa kisasa tuacheni kwanza

  • @zayhimid
    @zayhimid 8 місяців тому

    Naipenda hii nyimbo hatari

  • @bulayaconfidential7212
    @bulayaconfidential7212 4 роки тому +4

    2🔥
    0🔥 💯💯💯
    1🔥
    9🔥

  • @jamesstanslaus9636
    @jamesstanslaus9636 5 років тому +1

    Daaaa imenigusa sana enzi izo

  • @IdrisaGusowa
    @IdrisaGusowa 5 місяців тому +1

    Still listening 2024

  • @mwigakatumpula2175
    @mwigakatumpula2175 5 років тому +1

    Yaani mziki huu unahadhi ya kurudisha mji ambao unataka kuvunjika yaani ukimsikiliza tu huu wimbo mke mbn anarudisha mabegi ndani.

  • @xhaniaomary8838
    @xhaniaomary8838 3 роки тому +2

    Mwixho wa mwaka 2020 lkn bado inahit bonge la song

  • @user-gj8hw6ro2r
    @user-gj8hw6ro2r 9 місяців тому

    Hatimae leo 2023 ndo nmelipata hili song🙏

  • @MedazbMashin
    @MedazbMashin Рік тому +1

    2023 in 10 days 🔥 tisha sana

  • @amourajafari2814
    @amourajafari2814 5 років тому +6

    kitu haichuji hii kweny kumbi za burudan ndo utaelewa hii ngoma ikipigwa

  • @OmanOman-bx5du
    @OmanOman-bx5du Рік тому +1

    Naogopa kwawengine marazhi🔥🔥

  • @deedee9935
    @deedee9935 4 роки тому +2

    April 2020 kama imetoka leo vile inanikumbusha enzi za utoto kuandikiana dedication kwenye card

  • @paterandrea2146
    @paterandrea2146 2 місяці тому

    Ah hatar Sana ii nyimbo apo Kota zetu line police mbeya sinde Kila nyumba ilikuwa inapigwa I nyimbo

  • @ireneumenikoshasanakakagad8421
    @ireneumenikoshasanakakagad8421 4 роки тому

    naipenda hii nyimbo hatali💝💝💝💝💝

  • @raphaelgadau2783
    @raphaelgadau2783 5 років тому +8

    2019❤

  • @mustaphahadija8860
    @mustaphahadija8860 Рік тому

    Hizi ngoma nitamu japo kua milikua mdogo sana

  • @hafidhmohd7002
    @hafidhmohd7002 4 роки тому +3

    ohh my maisha haya yana chenj 😂😢

  • @BilhudaBakari
    @BilhudaBakari 8 місяців тому

    Naisikiliza we ni mwamba

  • @Joseph-lu4yj
    @Joseph-lu4yj 4 роки тому +1

    jama anajua sijui tuu alikopotelea

  • @riyadhamasha2404
    @riyadhamasha2404 Рік тому +2

    Ngoma kali,ngoma ina hisia ndan yake, ngoma tamuu, much respect kwa wakongwe wa bongo fleva

  • @mohamedhongo5085
    @mohamedhongo5085 3 роки тому

    Nani anaisikiliza 2021 ? Hivi yuko wap huyu mwambaaa

  • @user-ke8gw8ql7w
    @user-ke8gw8ql7w 9 місяців тому

    Miss u'a song ni wewe n tamalaa

  • @jeremiahmussa2178
    @jeremiahmussa2178 Рік тому

    Song kali❤