USAJILI MPYA WA SIMBA HUU HAPA JOSHUA MUTALE RASMI ATUA SIMBA KWA KISHINDO WAJIPANGE TAREHE 8

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 жов 2024
  • KWA HABARI NA MATANGAZO
    TUPIGIE SASA
    0753393036 CALL
    0625466848 WHATSAPP

КОМЕНТАРІ • 10

  • @josephmgode154
    @josephmgode154 3 місяці тому

    aende zake huko walipita wazuri wengiii wakaenda timu itabaki wachezaji wanapita mashabiki tutaendelea na timu kama kawaida

  • @cosmasthomas9164
    @cosmasthomas9164 3 місяці тому

    Huyu ntombanzokiza huyu😅😅😅😅😂😂😂jamaniii😅😅😅

  • @hassanabdala7383
    @hassanabdala7383 3 місяці тому +1

    Maduka yote safishaa mwanzoo mpyaa Simba nguvu mojaa

  • @ifmknowledgepower7333
    @ifmknowledgepower7333 3 місяці тому +1

    Okwi alishawai kuwa ndoto kuchezea yanga, likini alipoenda yanga walipokutana na simba hkuna alichokifanya, ila aliporudi simba tena aliwakanda yanga goli.😂😂
    Chama nyota yake ipo Simba.
    Chama nje ya simba ni galasha tu si mulimuona berkane na timu ya taifa ya zambia.
    Shika maneno haya mtakuja kusema 🎉

    • @mwanangusana
      @mwanangusana 3 місяці тому +1

      😂😂😂 Amis Joseline Tambwe ..... Alifanya watu wang'oe viti uwanjaniii 😂😂😂 unakumbuka

  • @AmiryHamza-gs8pp
    @AmiryHamza-gs8pp 3 місяці тому

    Aende zake wala atukuwa nashidae chama ndomaana atukumuongozea mkataba

  • @SaumuSaidi-z2v
    @SaumuSaidi-z2v 3 місяці тому

    Mbona mlikuwa mnamsema leo mnamkumbuka

  • @BarakaJohn-mn1eg
    @BarakaJohn-mn1eg 3 місяці тому

    Joshua mutale is better 💯 kulko cl❌

    • @davismuzahula907
      @davismuzahula907 3 місяці тому

      Kabisa umri unaruhusu

    • @mwanangusana
      @mwanangusana 3 місяці тому +1

      😂😂😂😂 hata jobe mlisema ni far batter than jean Otto's Baleke