Kaka hakika unanondo,tunaomba ikifika mechi 10 tupe tena nondo hizo kwa chama letu maana tutazidi usually ubora wa wacheji na benchi la ufundi hususa na kocha wetu❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Fadlu ni bonge la mwalimu! Ajabu ukimsikia yeye anasema bado anaijenga team😂 mpaka sasa kwa mtazamo wangu Fadlu Davis amemaliza mipango yake kenye eneo la ulinzi na eneo la kiungo,bado eneo la ushambuliaji watu wataita UJI poleji😂😂😂😂
Nakukubali sana mwanangu mbwaduke,wanangu wa msimbazi eeee,like zenu basi jamaniiii
Utopolo mtalia msimu huuuuu ubaya ubwela ❤ simba
Mungu ibariki Simba 💪💪
Nakupat kiongoz❤❤❤
Nice father nakubali kazi
Duuh mwakaaaa huuu mpk wasemeeee❤❤❤❤❤❤
Nakubali
Safi sana mchambuzi 🎉🎉
Mzee wa data wewe kwangu Ni TANZANIA ONE Kwa upande wa uchambuzi bro hauna baya kwenye data's we Ni noma,sana
🎉🎉🎉🎉🎉🎉mbwadukeee
Timu 4 walizocheza nazo simba zote zipo top 10 na timu 3 walizocheza nazo yanga zote zipo nje ya top 10
Wanaishia kusema tunabebwaaaa
Safi brother
Fadlu ni fimbo ya kila mlalamikaji, na huyo ndio bingwa wa Ubaya Ubwela
Ww ni kiboko yao umenyooka sana
Bravo ndugu yangu Mbwaduke Ulikuwa Wapi miaka yote hiyo?
simba bingwaaaa
Kaka hakika unanondo,tunaomba ikifika mechi 10 tupe tena nondo hizo kwa chama letu maana tutazidi usually ubora wa wacheji na benchi la ufundi hususa na kocha wetu❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Salute
Uchambuzi bora sana huu unatupatia takwimu murua
Daaah ila mbwanduke unajua
Nakulewa Sana mchambuz
We mbwaduke ndo mchambuzi wa maana sana unaweka data za maaana
Mimi dagaa from nahawara mbwaduke Wewe ni mwalimu wa wachambuzi wote tupe vitu
Nakbal sana mzee wa data 😂🎉😅
Fadlu ni bonge la mwalimu! Ajabu ukimsikia yeye anasema bado anaijenga team😂 mpaka sasa kwa mtazamo wangu Fadlu Davis amemaliza mipango yake kenye eneo la ulinzi na eneo la kiungo,bado eneo la ushambuliaji watu wataita UJI poleji😂😂😂😂
😂😂😂
Mzee wa data we ni mtu nanusu
Hii simba kwa msimu huu tutaon mengi
Nakupa nick name Mr mbwaduke wewe ni "think big"
Ww ni kiboko yao unatisha sana
Uh nanichanganya ulivyokuw na kumbukumbu za atr
Lazima ajiandae kutuletea vitu kama hivi (professional) sio mtu anaamka tu na kushika mic
Utaambiwa na wewe umelipwa