WAZEE SIMBA WAMKATAA CHAMA |WANINI SISI TUMECHOKA MIZENGWE YAKE HATUMBEMBELEZI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 чер 2024
  • KWA HABARI NA MATANGAZO
    TUPIGIE SASA
    0753393036 CALL
    0625466848 WHATSAPP

КОМЕНТАРІ • 12

  • @HalimaMaulidi-sv7le
    @HalimaMaulidi-sv7le 2 дні тому +6

    Cmba ina wachezaji wazee mbona mnawachukua hamjambo yanga

  • @kilianmtotowamungu3885
    @kilianmtotowamungu3885 2 дні тому +6

    Kikosi (B)alicho cheza nacho Mgunda tumekiona na namna walivyo jitoa hadi wengine wakifunga wanalia .HIKI KIKOSI (A) KATA WOTEEEEEEEEEEEEEEEEEE

  • @kilianmtotowamungu3885
    @kilianmtotowamungu3885 2 дні тому +1

    Safi sana ameondoka ,walete kijana eneo lake ❤

  • @adrophinamwanguse1510
    @adrophinamwanguse1510 2 дні тому +2

    Na kweli chama analitaka kushujudiwa alikuwa anauza meche anacheza kama hataki kwa heli wasalimie

  • @CikeTanzania
    @CikeTanzania 2 дні тому

    Simba inawachezaji wazee kumbe wanawataka.

  • @mustaphawelder7022
    @mustaphawelder7022 День тому

    Duka nalo limehamia kwao

  • @edwardmizambwa237
    @edwardmizambwa237 День тому

    Simba kweli wametua mzigo kwani Chama kaisumbua Uongozi wa Simba kwa muda wa miaka 3 mfululizo.
    Halafu Chama ni wa kawaida tu. Uwanjani akikabwa tu na mtu, hatembei.

  • @Luganoamos-jv5in
    @Luganoamos-jv5in 2 дні тому +1

    Chama alikuwa anauza mechi ,achana naye aende

    • @Luganoamos-jv5in
      @Luganoamos-jv5in День тому

      Kwaanza wamemchelewesha,ilikuwa ufukuzwe kabiisa hyo

  • @JoseHaule-tx7lu
    @JoseHaule-tx7lu 2 дні тому +2

    Aende tu kwani yeye ni nani?

    • @mussammanga7791
      @mussammanga7791 2 дні тому

      Mwacheni akatafute malisho mengine, kama vile alivyokwenda tafuta malisho Fei.

  • @user-wk2bg8zf3l
    @user-wk2bg8zf3l 2 дні тому

    acha aende tu yeye na inonga ndo waliyouza mechi ile ya tano moja ,nandiyomana moo akasema hamtaki kwasababu umri ,nakingine yanga wanasajiri kwamihemko