KIMENUKA; PROPHET IPM ALIPUKA LEO NA WACHUNGAJI MATAPELI WA PESA KWA WAKRISTO ATAJA NJIA ZOTE

Поділитися
Вставка

КОМЕНТАРІ • 73

  • @AndrewShola-ts5lp
    @AndrewShola-ts5lp 25 днів тому +4

    Juu yako Mimi naamini kuwa mungu yupo kwa ukweli wako. Amen, amen..

  • @faustakomba8186
    @faustakomba8186 11 днів тому

    Mungu mwema atusaidie. Sana onekama mungu baba Tunaangamia Rehemia sana moyo Tuliza sana roho yangu inakutumainia

  • @user-fu3cg3gv9g
    @user-fu3cg3gv9g 25 днів тому +4

    Daah ok sawa acha maisha yaendelee

  • @ecammunga9932
    @ecammunga9932 25 днів тому +1

    Mungu akubariki.
    Jina lako ni hilo tu?.kwa umono wangu ni kifupi .Ningekuomba ulifunguwe kwa kirefu.

  • @Martadi-no2lb
    @Martadi-no2lb 7 днів тому

    Eneza injili Baba 🙏

  • @RamadhaniRobart
    @RamadhaniRobart 5 днів тому

    Noma sana

  • @jacquelinemwakasala9563
    @jacquelinemwakasala9563 25 днів тому +1

    Dah nimejifunza sana

  • @shadyaomary
    @shadyaomary 23 дні тому

    Excellent

  • @estermarijan4713
    @estermarijan4713 25 днів тому

    Tuwe makini na hawa wakuja.Sio watu wote wanaipenda nchi ya Tz na amani yake. Hii tunu tuliopewa na mwenyezi mungu. Tumtumikie mungu njia ipasavo. Inchi yetu itakuwa na amani milele.♥️

  • @GraceKazi-z8d
    @GraceKazi-z8d 24 дні тому +1

    Mungu ni wetu sote

  • @davinaheven4794
    @davinaheven4794 24 дні тому

    Asante

  • @fredrickgitonga1972
    @fredrickgitonga1972 25 днів тому +1

    Yeye mwenyewe tapeli

  • @FlorensiaMkombozi-et1ts
    @FlorensiaMkombozi-et1ts 25 днів тому

    Simamia kweli ya Mungu lpm maana Mungu alisema shika sana ulichonacho asije mtu akakupokonya

  • @TzMose
    @TzMose 25 днів тому

    Kweli

  • @judithtitomalyeta4000
    @judithtitomalyeta4000 18 днів тому

    Jamani wachungaji kwann msifanye kazi mliotumwa na mungu mnakashifu watumishi wenzenu

  • @mauwachale
    @mauwachale 25 днів тому

    Mmm

  • @jacquelinemwakasala9563
    @jacquelinemwakasala9563 25 днів тому +1

    Jamani msimkandie prophet ipm anatufunza hapa ss wahanga tuliokumbwa na hiz mambo

    • @shubebunyesi542
      @shubebunyesi542 25 днів тому

      yeye mwenyewe tapeli mm nimefika mapaka kanisani kwake kipindi icho kanisa la mabati pembeni ndio alikuwa anajenga jipyaa lipo kwenye msingi nakwambia huyu muhuni sema uwezi elewa lkn tapeli kweli ukiingia kwenye kopi umeumia,cku hizi kila leo makanisa ynaongezeka lengo sio wokovu bali wizi,utapeli,kwakifupi wanadili na upande wa dunia tu

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 25 днів тому +1

    WaNigeria wasialikwe kwetu wanakuja kutuibia kwa vile sisi wajinga .Tufumbue macho,Sisi siyo sham b a la bibi😢

  • @CizaDangote
    @CizaDangote 25 днів тому +2

    Halafu hili lijamaa linajuwa Ayaa za Allah kabisa. Ila tuu tamaa imempeleka hovyo. Kwenye dini kaka

    • @woah.africa99
      @woah.africa99 23 дні тому +1

      Abu jahli pia l alikua anajua ila ni kafiri mmungu kamlani

  • @JAFARIKAHERA
    @JAFARIKAHERA 25 днів тому +1

    Jpm nakuomba urudi ktk uislamu kwani muonekano wako na moyo wako haufanani naa maneno yako ya kila siku lazima utaje maeno ya kiisilamu hasa unapokua apo kwenye ofisi yako yakujitaftia kipato yaani kanisani

  • @LeahAmani-yz9wh
    @LeahAmani-yz9wh 25 днів тому

    Eeeh! Jamani!

  • @judithtitomalyeta4000
    @judithtitomalyeta4000 25 днів тому +2

    Huna lolote na ww ni wale wale hivi msiposema wenzenu hamna Raha acha hizo fanya yako

    • @Kalunirashidi
      @Kalunirashidi 14 днів тому

      uyu mkeli unauma utapeli utawamaliza lana mchunguji m kweli sana wewe ndio unaziwiya mchungaji asisemi u kweli mungu atamsimamia ep

  • @user-hi8le2vb7z
    @user-hi8le2vb7z 25 днів тому +2

    Ye mwenyewe tapeli..aliombwa bato na sule kakimbia😊...na skuizi hasomi somi tena aya za quran

    • @user-nb6yh2bn9y
      @user-nb6yh2bn9y 25 днів тому

      tena Sula lake tuu linaonekana jangiri😮

    • @daudimichael7338
      @daudimichael7338 21 день тому

      Afadhali kama hasomi tena aya za Quran maana ni aya za shetani tu, hakuna la maana.😂😂😂

  • @jumasango9793
    @jumasango9793 25 днів тому

    Sema jina lake ili tusihingiye kwenye mtego kama ulihitwa na Mungu

  • @user-qo2xd3hb8l
    @user-qo2xd3hb8l 25 днів тому +1

    Yeshuwa ndie nabii wa mungu aliepewa kitabu cha injili, yesu alipewa kitabu gani?

  • @seifserenge3340
    @seifserenge3340 25 днів тому +1

    Wewe wajiita mtume, utume huo kakupa nani, na icho kitabu chako kinaitwaje. Kazi yenu utapeli tu. Enyi wakristo acheni kudanganywa, msichezewe akili zenu na wachungaji

  • @anzurunindume
    @anzurunindume 25 днів тому

    Malawi Ina Amani na utulivu ....

  • @SmilingCityMap-xb9md
    @SmilingCityMap-xb9md 23 дні тому

    Hii ndio dunia samaki mkubwa kummeza mdogo huo ndio mchezo wa watumwa wa shetani wanaopola mali kwa udanganyifu watumishi hao wapo kila kona ni kosa kuwaita wachungaji ni matapeli mchungaji wa yesu haibi hapoli mali

  • @hashimchaoga9566
    @hashimchaoga9566 17 днів тому

    Prophet wa 24 ni Issa wa 25 na wa mwisho ni Muhammad. Wengineo ilishasemwa ukikaribia mwisho wa dunia watatokea wengi wa uongo sasa tunaona lugha yao ni pesa tu. Yesu alihubiri hata nje na alipanda Punda au alitembea kwa miguu hebu wasikilize wanazungumzia mamilioni

  • @jumajaffary9698
    @jumajaffary9698 22 дні тому

    Watu wangu wanapotea wachungaji wao wamewapoteza

  • @veronicankhwazi7954
    @veronicankhwazi7954 23 дні тому

    Alikuona nyota yako mmefanana ndio mana alikufata. 😅😅

  • @judithtitomalyeta4000
    @judithtitomalyeta4000 25 днів тому +1

    Unatafuta umaarufu TU

  • @user-qo2xd3hb8l
    @user-qo2xd3hb8l 25 днів тому

    Umesema humtaji lakini ni mwanyumba, Sasa tumemjua!

  • @jumajaffary9698
    @jumajaffary9698 22 дні тому

    Sio kuhubiri Biblia waende kuihubiri Injili

  • @ramadhaninyangasa7275
    @ramadhaninyangasa7275 19 днів тому

    Bado neema ya uislamu inakutafuta

  • @zeharaz4116
    @zeharaz4116 25 днів тому

    Mnafiki kuacha dini yake kwa tamaa ya pesa Allah akupe Hidaya kabla kifo hakija kufikia

  • @EvaristoMwasenga
    @EvaristoMwasenga 19 днів тому

    Leo mwamba nimekuelewa

  • @Mamshika
    @Mamshika 21 день тому

    Du!!

  • @user-dz8ol9nk4u
    @user-dz8ol9nk4u 21 день тому

    Akiwemo kiboko Tapeli mkubwa

  • @user-ub8ig1rl7h
    @user-ub8ig1rl7h 25 днів тому +1

    Ingekua wayne wote walk ivo kwa wake zao, mmmmingekua raha

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 25 днів тому

    Ni mabishop wa shetani,wana nguvu za kishetani..WanaNigeria ni matapeli wakubwa duni a ni.Nchi za Uarabuni hawataki kuwaona kabisa.
    Madawa ya kulevya ni kama c h ai tu

  • @EvaristoMwasenga
    @EvaristoMwasenga 19 днів тому

    Leo kama umenena yamana kwel

  • @faizanassor9400
    @faizanassor9400 21 день тому

    Ovyoo

  • @bensonmongi996
    @bensonmongi996 25 днів тому

    Interview yenyewe mnaunganisha vipande bila umakini, hapo uliposema wanaigeria wasomi, vipande vimeungwa Tena vinautofauti

  • @lwezaurawilliam4498
    @lwezaurawilliam4498 25 днів тому +1

    Ipm ulisema una degree Saba unatafuta ya nane hivi wizara ya mambo ya ndani ikihitaji your academic background hautaonekana na wewe Tapeli??? Kwa sababu Nina uhakika huna !!

  • @samuelmhando4914
    @samuelmhando4914 23 дні тому

    100 x 10,000=1,000,000 ni million 100 siyo BILLION 1 stori inautata.

    • @mrfashion1687
      @mrfashion1687 22 дні тому

      Bro rudi shule, hiyo hesabu umeifanya vibaya

    • @bilid4128
      @bilid4128 22 дні тому

      ​@@mrfashion1687😂😂

    • @dhinatsimbano8854
      @dhinatsimbano8854 21 день тому

      Ee! Ee! Eeeee! Hiyo uliyoandika ni milioni kumi au elf kumi 😂😂😂 uko kwenye kukosoa zaidi.

    • @Blessing_uk
      @Blessing_uk 20 днів тому

      Samuelmhando.sikilza vzr story alafu upge maesab vzr..wwndo maesabu yako hayako sawa..

  • @jumasango9793
    @jumasango9793 25 днів тому

    Tukutane mbinguni

  • @user-od2mc4mj4e
    @user-od2mc4mj4e 25 днів тому

    Kudadadake mtasema yoote mnachezea MUNGU 😂

  • @jeanmiruho4770
    @jeanmiruho4770 23 дні тому

    Mze nauliza kanini watumishi wa Mungu munapendeza kuchafua wenzenu watumishi? Kupitia wapagani faida?kilamutu afanye kazi kivyake bila husda gisi mulivyoitwa!!munaleta haya saaana

  • @woah.africa99
    @woah.africa99 23 дні тому +3

    Huyo ipm nae tapaeli