Ufunuo wa Yohana (Rev) 5:12 wakisema kwa sauti kuu, Astahili Mwana-Kondoo aliyechinjwa, kuupokea uweza na utajiri na hekima na nguvu na heshima na utukufu na baraka. Saying with a loud voice, Worthy is the Lamb that was slain to receive power, and riches, and wisdom, and strength, and honour, and glory, and blessing. ACHA ACHA ACHA KUSEMA DAMU YA YESU HAINA UWEZO WA KUTAJIRISHA SOMA UFUNUO 5:12 Nilichokuja kuamini Huyu nabii bado ana mashaka na Uweza uliopo katika Damu ya Yesu Kanuni ya Kufanikiwa Kiroho lazima uanzie Rohoni.
Uokovu sio kuhusu mafanikio,injili ya kweli ni Imani inayo kupatia kushida thambi.wakolosai 2:23 Mafundisho ya kishetani hayo. Tembea Kenya uone matajiri wasio kuwa na haja na mungu,utawahubiria nini? kupata utajiri.
Sadaka, ni mpaka mungu akuelekeze, wapi pa kupeleka na utoe nini.kwa sababu hata shetani anapokea kafara. Sadaka ili ipokelewe inatakiwa iendane na ucha kitabia.Mungu kwa kanuni ya Kimungu. Ila kwa shetani sadaka inajibu ata kama wewe ni jambazi au mchawi mwovu.hivyo tunapofundisha tufafanue vizuri kuondoa mkanganyiko.
KAMA DAMU YA NG'OMBE AU KUKU INA NGUVU KULIKO YA YESU BASI YESU ALIFELI. ILA NAJUA YESU HAKUFELI NA DAMU YAKE INA NGUVU NA NDIYO PEKEE KILA MWANADAMU ANAHITAJI
Aaah! Mtumishi hizo fafanuzi zako za sadaka ya mnyama na maelezo ya agano jipya ni tofauti sana. Unachanganya mtumishi na unapotea taratibu sana. Jaribu kumwomba Mungu akusaidie ili usipotoshe tafsiri za agano jipya.
@@MinzaKazungu fala sana wew kumbe soma ebrania 7:27 na 1korintho 5:7 yesu alijitoa msalabani kuwa kafara mara moja "TU" juu ya ukomboz wa mambo yote . Sasa ukihitaj kuaminishwa Jenga hoja Kwa msingi wa maandiko ninyi ndo wale wakristo fuata upepo
@andrewmulwa9664 fungu la kumi lilianza kwa imani au kwa sheria? Sifa za kuhani mkuu wa Mungu aliye juu sana melkizedeck na kristo kuhani mkuu wa Mungu zikoje? Kabla ya sheria fungu la kumi lilitolewa. Sisi ni watoto wa Ibrahim ktk imani na matendo yake. Yesu alisema kama ninyi Ibrahim ni baba yenu basi mtatenda matendo ya Ibrahim.
Sadaka ya mnyama, shetani amepofusha ufahamu ktk eneo hili. Sadaka ya mnyama haijawahi futwa, na Yesu hakuja kutangua torati. Mimi binafsi, nimeona nguvu ya sadaka hii kuliko sadaka ya fedha ya karatasi. Ipo tofauti ya sadaka Tshs. 100,000 na sadaka ya mnyama wa thamani ya Tshs. 100,000. IPM yuko sahihi ktk sadaka ya mnyama.
Mithali (Pro) 1:29 Kwa kuwa walichukia maarifa, Wala hawakuchagua kumcha BWANA. For that they hated knowledge, and did not choose the fear of the LORD: Mithali (Pro) 1:32 Maana kurudi nyuma kwao wajinga kutawaua, Na kufanikiwa kwao wapumbavu kutawaangamiza. For the turning away of the simple shall slay them, and the prosperity of fools shall destroy them. Mafanikio si tu ku possess bali kujiungamanisha na Mungu kumjua Mungu Kufanikiwa Kila mtu anaweza fanikiwa mwenye akili na Mpumbavu Acha kusema Damu ya Yesu haiwezi kufanikisha WATU huo ni Uongo
Baba nifundiishe kwa mana Mimi nimoja wapo natafuta sifanikiwi nafanya kazi Mika mingi na nimependa ukunakule kansa na kanisa lakini bado nipo hapahapa baba niombe naminiwe wakuelewa
@@MohamedNgaula-zn7rp Yaani wewe ndio mjinga sababu maandiko matakatifu huyaelewi kisha wajiona mwelevu Biblia takatifu huijui Ndiyo maana anacho ongea huyo unakiona kweli. Kumbe ni uongo mtupu
Ufunuo wa Yohana (Rev) 5:12 wakisema kwa sauti kuu, Astahili Mwana-Kondoo aliyechinjwa, kuupokea uweza na utajiri na hekima na nguvu na heshima na utukufu na baraka. Saying with a loud voice, Worthy is the Lamb that was slain to receive power, and riches, and wisdom, and strength, and honour, and glory, and blessing.
ACHA ACHA ACHA KUSEMA DAMU YA YESU HAINA UWEZO WA KUTAJIRISHA SOMA UFUNUO 5:12
Nilichokuja kuamini Huyu nabii bado ana mashaka na Uweza uliopo katika Damu ya Yesu
Kanuni ya Kufanikiwa Kiroho lazima uanzie Rohoni.
Damu ya Yesu, ndio kafara safi mbele za Mungu kwa sasa.
@@michaelluziga2709 bada ya apo ikawaje waumini munafundishwa utopolo kule kanisani ndomana umesema ivyo
Nime kuelewa Sanaa 😂😂 ila kuku elewa wewe mpaka mtu awe na akili timamu❤ mungu akutunze❤
Uokovu sio kuhusu mafanikio,injili ya kweli ni Imani inayo kupatia kushida thambi.wakolosai 2:23
Mafundisho ya kishetani hayo.
Tembea Kenya uone matajiri wasio kuwa na haja na mungu,utawahubiria nini? kupata utajiri.
Huyu Prophet ni Mtapeli kabisa. Gharama ya juu, na matokeo hakuna.
Huyu Muislam anahamishia Imani ya kiislam kwa wakristo hapa hamna mtu
@@isaacmligo9187 tumevamiwa Mungu ingilia kati,,amesema damu ya Yesu aitoshi!!kweli shetani hajifichi
@@isaacmligo9187 kwa kweli yani namshangaa
Stand ya Kibaha ,wachina walichinja Kondoo,IPM unaongea ukweli
Sadaka, ni mpaka mungu akuelekeze, wapi pa kupeleka na utoe nini.kwa sababu hata shetani anapokea kafara. Sadaka ili ipokelewe inatakiwa iendane na ucha kitabia.Mungu kwa kanuni ya Kimungu. Ila kwa shetani sadaka inajibu ata kama wewe ni jambazi au mchawi mwovu.hivyo tunapofundisha tufafanue vizuri kuondoa mkanganyiko.
Baki huko kwa wachinjaji wenzio, Sisi YESU wetu anatutosha,sisi ni uzao wa Ibrahim kwa njia ya kumwamini Bwana YESU KRISTO,
Usiwajibu mtumishi nimekuelewa!
KAMA DAMU YA NG'OMBE AU KUKU INA NGUVU KULIKO YA YESU BASI YESU ALIFELI. ILA NAJUA YESU HAKUFELI NA DAMU YAKE INA NGUVU NA NDIYO PEKEE KILA MWANADAMU ANAHITAJI
Aaah! Mtumishi hizo fafanuzi zako za sadaka ya mnyama na maelezo ya agano jipya ni tofauti sana. Unachanganya mtumishi na unapotea taratibu sana. Jaribu kumwomba Mungu akusaidie ili usipotoshe tafsiri za agano jipya.
@@ramseyngwejela499 mpaka uwe na akili nyuma ya kichogo ndo uweze be kumwelewa ipm
Jamaa anaongea fact zaidi huwezi kumwelewa usipokuwa na D2 kwenye ubongo mm namwelewa sana
@@MinzaKazungu fala sana wew kumbe soma ebrania 7:27 na 1korintho 5:7 yesu alijitoa msalabani kuwa kafara mara moja "TU" juu ya ukomboz wa mambo yote . Sasa ukihitaj kuaminishwa Jenga hoja Kwa msingi wa maandiko ninyi ndo wale wakristo fuata upepo
@@ramseyngwejela499 alafu mwisho wa mwezi unapelekea pastor wako fungu la kumi na liko agano la kale kwanini?
@andrewmulwa9664 fungu la kumi lilianza kwa imani au kwa sheria? Sifa za kuhani mkuu wa Mungu aliye juu sana melkizedeck na kristo kuhani mkuu wa Mungu zikoje? Kabla ya sheria fungu la kumi lilitolewa. Sisi ni watoto wa Ibrahim ktk imani na matendo yake. Yesu alisema kama ninyi Ibrahim ni baba yenu basi mtatenda matendo ya Ibrahim.
Na ayubu alikuwa Tajili uyu ni mganga wa kienyeji
Mimi naogopa kitu kimoja tu. Siku ikionekana sadaka za wanyama hazitoshi au hazifai, wasianze kutoa watu kafara 🏃🏃🏃🙀
You have to be very wise to understand this man
Sadaka ya mnyama, shetani amepofusha ufahamu ktk eneo hili. Sadaka ya mnyama haijawahi futwa, na Yesu hakuja kutangua torati. Mimi binafsi, nimeona nguvu ya sadaka hii kuliko sadaka ya fedha ya karatasi. Ipo tofauti ya sadaka Tshs. 100,000 na sadaka ya mnyama wa thamani ya Tshs. 100,000.
IPM yuko sahihi ktk sadaka ya mnyama.
Mithali (Pro) 1:29 Kwa kuwa walichukia maarifa, Wala hawakuchagua kumcha BWANA. For that they hated knowledge, and did not choose the fear of the LORD:
Mithali (Pro) 1:32 Maana kurudi nyuma kwao wajinga kutawaua, Na kufanikiwa kwao wapumbavu kutawaangamiza.
For the turning away of the simple shall slay them, and the prosperity of fools shall destroy them.
Mafanikio si tu ku possess bali kujiungamanisha na Mungu kumjua Mungu
Kufanikiwa Kila mtu anaweza fanikiwa mwenye akili na Mpumbavu
Acha kusema Damu ya Yesu haiwezi kufanikisha WATU huo ni Uongo
We umetumwa kuharibu Ukristo lakini UMESHINDWA utapotea na hao wànaokusapot
Baba nifundiishe kwa mana Mimi nimoja wapo natafuta sifanikiwi nafanya kazi Mika mingi na nimependa ukunakule kansa na kanisa lakini bado nipo hapahapa baba niombe naminiwe wakuelewa
Hizi nyama watu wanaenda kuchukua serikali ya mtaa wakati wa sikukuu za Idd ni makafara ya watu😢watu tuamke acheni vya bure😊
Watanzania tusome maandiko matakatifu tuyaelewe
Huu uongo huu bila kuwa na ujuzi wa kweli wa Neno la Kristo unakwenda na maji
Nikweli ata mim nili pata ufunuo
Kaza buti mzee wataelewa tu
Sisi watu wenye tupombali tuchije wanyama nan atatusomea Dua saidia hapo
Sasa tutoe sh ngapi ili tuwe Tahiri maana tunaraka mafanikio
Wewe nitapeli waimani ila mwisho wako utakuwa sawasawa na kazi yako.
sio taperi anaongea ukweli
@@abbyn.mwambawewe! Muongo huyo
Kwani lusekero yuko wapi sasa
unaongea ukweli
Dusaidiy number zake
Kuna maskini unamsaidia alaf unamkuta crabu anakunywa kinywaji kinazid Cha kwako
Muchungaji nauliza hivi wakati mtu amechinja dam avaa apeleke wapi??
Ipm achana na jambo hilo ni ujinga uliopitwa na wakati achana na Habari hiyo unapotea sana
wa kwanza leo kutoka simiyu naombeni hizo mnazo ombaga
Ni kweli baba hata Mimi napitia changamoto
Mwamposa tapeli tu?
Ipm uko sahihi kabisa hapa mwenye hakili iliyokomaa ndo atakueleewa
Damu ya Yesu aitoshi???
KAMA DAMU YA YESU INATOSHA USIENDE SHULE WALA USIFANYE KAZI HALAFU HIYO DAMU IKUPE MAENDELEO, MJINGA NA ENDELEA KUKAA UJINGA WAKO, AMKA
@@MohamedNgaula-zn7rp
Yaani wewe ndio mjinga sababu maandiko matakatifu huyaelewi kisha wajiona mwelevu
Biblia takatifu huijui
Ndiyo maana anacho ongea huyo unakiona kweli.
Kumbe ni uongo mtupu
@@zebedayokatamaduni9676 ebrania 7:27 na 1korintho 5:7 usipo elewa ndio bas Tena wew tu uende utapeliwe vizur tu , isaya 8:20