Eddah Mwampagama & ROSE MUHANDO (Official Video) SMS "SKIZA 7634496" TO 811

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 670

  • @William_Clinton_Muguai
    @William_Clinton_Muguai 4 роки тому +1

    Ni mimi wa kwanza kugundua huu wimbo hauna title? Lakini nadhani ni "Mimi ni wa juu."❤️❤️❤️

  • @chefbriankenya8328
    @chefbriankenya8328 5 років тому +305

    Kenyans wapi likes zetu .....Mimi Niko kiwango kingine .... another level....rose is gold

  • @kiprotichbismark8309
    @kiprotichbismark8309 3 роки тому +1

    Nko level ya juu......praise be to God🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪,,,,wapi likes

  • @chapelimohkin
    @chapelimohkin 5 років тому +176

    Who is happy about Rose??I love her for real,,,,like zenu

    • @chapelimohkin
      @chapelimohkin 5 років тому +4

      Eddah the song is so sweet God bless u wanadada,,,,,,I prayed for rose even God knows when the devil thought she was going down God is mercyful He never allowed Rose heart to be touched just as the story of Job in the Bible,,,,its time for Rose now to receive everything doubledouble,,,,am in kenya

    • @virginiakuria9430
      @virginiakuria9430 5 років тому +1

      Napenda rose

    • @jacquelinejacque5341
      @jacquelinejacque5341 5 років тому +1

      Am happy to see her back on her feet.Glory

    • @damariskamunya843
      @damariskamunya843 5 років тому +1

      I love rose too

    • @chapelimohkin
      @chapelimohkin 5 років тому

      @Eddah Mwampagama karibu madam,,,,

  • @loverlucy4937
    @loverlucy4937 5 років тому +31

    Wale wanampenda Dada Rose weka like na tuingie September tusahau October

  • @simionkimani7669
    @simionkimani7669 4 роки тому +1

    Mimi niwa juu Amen!!!

  • @joborina6008
    @joborina6008 5 років тому +4

    Jamani sijahwai pata like moja c leo nipewe to hata kamoja leo

  • @martinmukasa3457
    @martinmukasa3457 5 років тому +41

    Rose Muhando is on fire again. Viwango vya juu. Wapi likes za Rozy

    • @kaundimesensenta1573
      @kaundimesensenta1573 5 років тому

      Beautiful lyrics and powerful massage.... juu....may God bless your ministry

  • @firstpost.01
    @firstpost.01 5 років тому +64

    we no fan namba one wa rose muhando na unataka aende mbali wekelea like yako hapa

  • @maureenmamagift
    @maureenmamagift 5 років тому +3

    Wapi likes za wana Qatar....mimi wa juu......Rose wewe ni dhahabu jamani ...mungu akulinde

  • @naomijohn8157
    @naomijohn8157 4 роки тому

    Congratulations Eda kazi nzuri go go goooooooooo blesss dear

  • @sophiemuthoni9841
    @sophiemuthoni9841 5 років тому +113

    Rose ...is back...the devil do you get it....the blood that saved us is priceless...cannot be defeated... Thank you Jesus for this gift

    • @josphinejelangat7406
      @josphinejelangat7406 5 років тому

      ....yote yanawezekana ukijiamini....juuuu level ya juu.Ongera dada Rose shetani ameshindwaa.Much love from Kenya

    • @josephinenganga1996
      @josephinenganga1996 5 років тому +1

      Sophie Muthoni..love that attitude!!! The blood of Jesus is Priceless. It's saves the irredeemable the totally hopeless persons. Yaani mtu hohe hahe. #Imfikie shetani.

    • @fabyscarl
      @fabyscarl 5 років тому

      Amen

    • @faithkavila7364
      @faithkavila7364 5 років тому

      Indeed we are bought with a price

    • @kisarawetv4348
      @kisarawetv4348 5 років тому +1

      yesu ni mwamnifu all the tym shetan atapata tabu sn

  • @rhinakiza
    @rhinakiza 5 років тому +1

    Mimi niwa juu sana nafikiria juu sana napanda juu sana🙉🙉🙉👏👏

  • @martinmwaisakenyi4888
    @martinmwaisakenyi4888 5 років тому +1

    Mama rose ameinuka,,,,Mungu haachi waja wake

  • @josuesindihebura3625
    @josuesindihebura3625 5 років тому

    Napokea kuinuliwa viwango vya juuu

  • @gracemwachiro5807
    @gracemwachiro5807 5 років тому +1

    Barikiwa sana dada naomba audio ya hii nyimbo nsikize nyumbani mwangu

  • @prophet_mwema
    @prophet_mwema 5 років тому +2

    Kwa wachungaji kiwango cha mawazo ni level ya juu. Wapi like

  • @agnesdede1451
    @agnesdede1451 5 років тому +5

    Waliyokuwa wamemmiss dada rozi kumuona tena jamn wekeni like

  • @joyfullycharles1908
    @joyfullycharles1908 5 років тому +41

    Sauti ya Rose 👌Acha kabisa kufananisha na mwimbaji mwingine Your blessing love Rose Muhando wangu😘😘😘

  • @michaelmwedimage8092
    @michaelmwedimage8092 5 років тому +1

    2020mimi ni wa juuuu kwa jina la Yesu.

  • @happypius5226
    @happypius5226 5 років тому +252

    TULIOWAJUU NAOMBA LIKE ZENU HAPA🙏🏽🙏🏽🙏🏽

  • @elizabetheliya1592
    @elizabetheliya1592 5 років тому +198

    mimi niviwango vya juu wewe je ? weka like yako hapo hahaha nice song

    • @ettadamas9781
      @ettadamas9781 5 років тому +1

      Wimbo wa viwango vya juu huu

    • @MMUNGAHOSEA
      @MMUNGAHOSEA 5 років тому

      Elizabeth Eliya hata kwli km ni wa juu kwa vimini hivyo Duuu Mungu tusamehe sn kwli 😰😰😰😰😨

    • @elizabetheliya1592
      @elizabetheliya1592 5 років тому

      @@MMUNGAHOSEA ameshaonywa bila shaka atajirekebisha,, harudii tena ni muelewa sana huyu dada wala hana shida tupokee sasa ujumbe

    • @MMUNGAHOSEA
      @MMUNGAHOSEA 5 років тому

      Elizabeth Eliya sister hiyo video deleted sis ni barua inayo somwa na watu wote jameni maan watu uja kwa Yesu Kristo ikiwa sisi tunaho mwimbia Yesu Wetu tupo saiiii kwli sijapendezwa na vimini hivyo nashidwa kutofaitisha kati ya bongo flava na hizi nyimbo za injili zaki sasa

    • @marioemmanuel3212
      @marioemmanuel3212 5 років тому +1

      Hata me pia niwa juu

  • @mishiemishie3086
    @mishiemishie3086 5 років тому

    Mimi ni wa juu.... congratulations mummy

  • @madirishasimon9692
    @madirishasimon9692 5 років тому +1

    Mimi ni nomaaaaaaaaaaa wa juuuuuuuuuuuuuuuu

  • @maureenmamagift
    @maureenmamagift 5 років тому +1

    Mimi ni wa viwango vya juu ....kama unapenda Rose Muhando wacha hapa like yake

  • @nahasonmoriasi6634
    @nahasonmoriasi6634 5 років тому +17

    Wapi nduru ya Rose big up 4rom +254

  • @mungholomakalanga8958
    @mungholomakalanga8958 5 років тому +3

    Mimi wa juu my love Jesus

  • @cheronokorir8357
    @cheronokorir8357 5 років тому +12

    Imagine it tooks me long to know that Rose sio Mkenya,Rose Unapendwa Kenya sana,thanks to God Amekupona,Mungu Atukuzwe 🙏.
    The song is full of blessings
    Am in another level Due to God's Grace Amen.,good song.

  • @TUMAINIMBEMBELA7
    @TUMAINIMBEMBELA7 5 років тому +76

    Waooooo nimekuwa wa pili kuwa wa viwango vya juuuu.nice song hongera mtumishi dear wangu

  • @evanmaniac2549
    @evanmaniac2549 5 років тому +3

    Ai na feel nko juu tu..Nko mawazo ya juu mambo ni juu this time round thinking about Heaven about Holy One His right hand is powerful enough to take you above..Nko level ya juu.

  • @criskam9902
    @criskam9902 5 років тому +3

    Mimi ni wa juu .God bless you mamas for the great song.

  • @danielmakhanu1943
    @danielmakhanu1943 5 років тому

    Nimepandishwa nifike kiwango vya juu

  • @doreennelly8443
    @doreennelly8443 5 років тому +15

    Mimi ni wa juu uuuuh
    Nafikiri juu sana...miimi wow if you love this gonga like

  • @emanuelidanieli9536
    @emanuelidanieli9536 5 років тому

    Wimbo mzur ujumbe mzuri ila tatizo lipo kwa waimbaj mavaz hayo ayafai wengne ni watoto wao bana unaweza ukafanya kitu kikubwa kizuri ila ukakosea kidogo jilengebishen by mchaMUNGU KAGONGWA FROM KAHAMA SHAY TANZANIA

  • @consolatamedard2777
    @consolatamedard2777 5 років тому

    Mm niwajuuu nafikiria juu asanteni watumish wabwana

  • @Bck333
    @Bck333 5 років тому +17

    I love how, many artists are coming to help Rose Muhando shine again,
    Bless!

  • @muokajane6201
    @muokajane6201 5 років тому +33

    Seeing Rose Muhando back in the music its a big Amen to me , God thank you most for this I lift you higher

  • @evanmaniac2549
    @evanmaniac2549 4 роки тому

    Tukisonga kiunayo nayo 2020 who is listening to this beautiful beautiful song!!! Wee ni wa juu kama upo na hauna Corona just know wee ni wa juu ile level za juu protection ya Christ🥰🥰🥰🥰🥰🥰💞💞💞💞 👋👋

  • @nampaphifilhoamado9668
    @nampaphifilhoamado9668 5 років тому +1

    Hongera sana Rose Muhando. We are praying always hera in Mozambique to you. Welcome back to the Glory of the Son of God JESUS CRISTO.

  • @musabalinaki5847
    @musabalinaki5847 5 років тому +3

    Tulio wa viwango vya juu kwa IMANI like zenu hapa amina

  • @kedmonmbota3159
    @kedmonmbota3159 5 років тому +3

    Kwa vinguo mlivyovaa havileti utukufufu mbele za Mungu!! Hebu jifunzeni kwa akina Mercy Shinwo!!

  • @mibeychepkemoi1663
    @mibeychepkemoi1663 5 років тому

    The only advise i can give to dada Rose ni kwamba, humble yourself
    before the lord ,and surely he will lift you up. Acha mapishano na walio kudharau,
    kusengenya na kuongea hata mambo ya uwongo kwako. Kwa maana
    unapopigana nao kwa maneno ,unawapa nguvu zaidi. Vita si vyako Rose bali
    ni vya muumba wako. Kwenye huduma, nyenyekea , wafuasi wako bado wako
    na wewe kwa maombi.

  • @lydiabrown2664
    @lydiabrown2664 4 роки тому

    Glory to Jesus Forever for the come back of Rose Muhando 🔥🔥🔥🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @daisykyungu3109
    @daisykyungu3109 3 роки тому

    Namuombea Rose Muhando kubarkiwa tu, ameinua watoto wengi kiroho,Dada Eddah enda Hadi kileleni 😘🥳🔥💥

  • @MinisterBettyMoses
    @MinisterBettyMoses 5 років тому +10

    Rose is back...the devil s defeated mimi n wa kiwango cha juu...

  • @mercywasike8054
    @mercywasike8054 5 років тому +20

    Wow rose am glad to see you back may God continue to increase you until you see Jesus in heaven.. Amen

  • @MegafestMinistries.
    @MegafestMinistries. 4 роки тому +1

    Jamani hii ni njema.. Zaidi ya viwango vya kufikiriwa..... Thank God for you saints.. I love it

  • @liamobieromorema8384
    @liamobieromorema8384 5 років тому

    Nilikua nasubiri kusikia sauti ya mama wetu Rose..kweli sasa nimekumbali tuko kwa viwango vya juu .nice song likes.

  • @HappyChemistryExperiment-hp9mq
    @HappyChemistryExperiment-hp9mq 8 місяців тому

    Mubarikiwe sana kweli hata nyimbo hii ni ya juu lazima maisha yetu yakuwe juu

  • @fezormjeda5936
    @fezormjeda5936 5 років тому +1

    mi ni wa juuu sana kwa uwezo wa mungu nitaxhinda ndoto zangu zitimie Glory to God

  • @princesskay1573
    @princesskay1573 5 років тому +23

    Am happy rose is back 🙏🙏🙏🙏the devil is a liar he has been ashamed
    Viwango vya ju tuko wengi😍

  • @priscillanderitu101
    @priscillanderitu101 5 років тому +10

    The only gospel musician I know from Tanzania. Rose Muhando you must rise again

  • @mizilemusic3946
    @mizilemusic3946 5 років тому +5

    Being a Gospel artist is a calling, the way the voice, message en the beat marry is sooo perfect..

  • @junemuchiri609
    @junemuchiri609 5 років тому +1

    Kama mtoto alielewa nikiskiza nyimbo za mhando Huku Kenya,only God knows how happy I am kuona amerudi kwenye ramani!!!Christina shisho,Neena mwaiponda,upendo nkoone, mhando,Esther bukuku tunawapenda Sana, barikiweni Sana mashemeji zetu🙏🙏🙏

  • @dianahvenance9607
    @dianahvenance9607 5 років тому

    Huyu ndiye rose ninayemjua.asanteni wadada kwa kazi nzuri.

  • @ledyaledya8061
    @ledyaledya8061 5 років тому

    Waaaooow rose muhado cgr my dear gods is good all the time.jipe nguvu utaenda mbali haki naukufi in jesuss name mpaka miaka 150 kunderea watu wamekupeya masiku na dakika..wacha mgu aitwe mungu fanya kazi ya mgu kabisa upaka shetani afunge mdomo devil is a lier.

    • @ledyaledya8061
      @ledyaledya8061 5 років тому

      Yes devil's is a lier mimi naitwa lydia kutoka kenya niko irag nanimefurahiya sanaaaa kuona kuna mgu katika kiti chake za inze..nilikuwa nalia sana nikiona watu vile wanafanya wanaongeya but wakuzuiya mgu amalize kazi yake keep it my dear rose, love u u so much you're strong women maombi mbele mbalikiwa sana shinda vema.

  • @daisykyungu3109
    @daisykyungu3109 3 роки тому

    Mum Rose &Dada Eddah viwango vya juu!juu zaidi☝️☝️🔥🔥

  • @kalistusmhando3846
    @kalistusmhando3846 5 років тому +2

    Huuu wimbo umenibariki saana... Assante saana my sister rose...

  • @singtorres6049
    @singtorres6049 5 років тому +67

    Nani ako hapa baada ya collabo ya Rose na Ringtone?

    • @celinecindy7018
      @celinecindy7018 5 років тому +1

      Love the pase ..powerful message! Hongera be blessed more

  • @erickmeshac3135
    @erickmeshac3135 5 років тому +27

    Kwenye hi video Rose Muhando amependeza Sana

    • @murasamoses5535
      @murasamoses5535 5 років тому +2

      May God bless you all the time Rose

    • @saramudasia4156
      @saramudasia4156 5 років тому +3

      Admi TRM umeona eee . ROSE na EDDAH. wako juu love you sizs

    • @elizasule4944
      @elizasule4944 5 років тому

      Kabisa mi nampenda mno sana

  • @MegafestMinistries.
    @MegafestMinistries. 4 роки тому +1

    My music ministry will soar in jesus name.. Am of a higher level.. At the pinacle.. Thanks for the eye opening song

  • @milkambugua8779
    @milkambugua8779 5 років тому +9

    Sheding tears of joy seeing Rose mhando😢you're blessed rose,,,I love you and your all songs

  • @marklmatano4263
    @marklmatano4263 5 років тому +17

    wooow lovely Rose.. no one will bring you down in the Mighty Name of Jesus.

  • @nsobiobadia6290
    @nsobiobadia6290 5 років тому +3

    nataka kuonja like zenu 😜😘😘nikiwa juu maana huwa nalike kwenu tu... rose u just like yn ya miaka 290000 iliyopita... badala ya kuchakaa unakua mpya

  • @mwalimu_sam
    @mwalimu_sam 5 років тому

    This is how god works in ways we can not see. sasa mwone tena dada Rose venye anametameta dhahabu kando. ona hii come back. God is really Great . Rose wewe ni mpakwa mafuta mteule wa MUngu Mtumikie Mungu dada

  • @yohanaerasto7486
    @yohanaerasto7486 5 років тому +1

    Asante sana kwa kutuletea viwango vya juu

    • @yohanaerasto7486
      @yohanaerasto7486 5 років тому

      Nimeketi kileleeeeni juusanaa nimekaaa kileleni juusana nipo viwango vya juu levo za juu asante sana Rose muhando

  • @asnathmichael9113
    @asnathmichael9113 5 років тому +14

    Wimbo mzur ......Ila dada hyo nguo haimpi Mungu utukufu

    • @mariachuhila9518
      @mariachuhila9518 5 років тому +1

      Kweli hats Mimi niliwaza kwa Sauti monekano was mavazi sio mzuri

    • @glorytheodory3446
      @glorytheodory3446 5 років тому +2

      Kabisa nguo ya muimbaji haina utukufu kbs ila roz kwenye nyimbo hi kajitaidi hadi mavazi safi

    • @ibragichukiofficial2035
      @ibragichukiofficial2035 5 років тому

      Nguo iko sawa,nyinyi watanzania mna ushamba mwingi,tembeeni kenya

    • @asnathmichael9113
      @asnathmichael9113 5 років тому

      @@ibragichukiofficial2035 ndio maana huko n Kenya na huku Tanzania kwahyo Comment za Tz hazikuhusu na tunae mshaur n MTZ mwenzetu hatujamshaur Mkenya sababu nyie n kawaida kwetu c kawaida

    • @tomasimalac3759
      @tomasimalac3759 5 років тому

      Ni kweli rose yupo fresh atamie nimeshangaaa hiyo nguo ya dada

  • @shillamzumbwe6968
    @shillamzumbwe6968 5 років тому +13

    Kitendo cha kufanya collabo na rose tayal ww n wa juu i appreciate sana #miminiwajuu

  • @faithkamene8610
    @faithkamene8610 4 роки тому

    Hallelujah,,am from above and am above all!!!!chapa like ukipita

  • @Seth4449
    @Seth4449 5 років тому +4

    A rose that can never drie, indeed Sisi ni wa juu

  • @hadijahblessed2630
    @hadijahblessed2630 5 років тому +6

    Amen praise be to Almighty Lord 🙏🙏love from uganda 🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬be blessed Rose Muhando 😘😘

  • @melchizedeknyarora2490
    @melchizedeknyarora2490 4 роки тому

    Always apleasure to hear this Powerful Song..God bless You..Mungu akubariki na akufungulie Milango katika Huduma..Nawapenda Sana na waombea Neema katika kazi ya Bwana..Nifahamishe zaidi Juu ya Uimbaji Wako ..Hata Rose Nacheza Nyimbo zake kwa mikutano ya Injili..Mungu akubariki Sana..Amen

  • @lovedmilcah9468
    @lovedmilcah9468 5 років тому +14

    Glory. Rose you are God's best. You are his peculiar people, a Holy nation, more grace

  • @belito1270
    @belito1270 5 років тому

    The golden voice of Rose muhando..... kumbe she can swing along a slow jam ,,,, woooow incredible....watanzania wasioelewa kingereza nasema Mungu ahimidiwe milele

  • @fridahmbeguyamungu
    @fridahmbeguyamungu 5 років тому +3

    The grace that muhando carries is great. Whenever she steps she leaves a mark

  • @salomemukani1627
    @salomemukani1627 5 років тому

    AMEEN AMEEN AMEEN AMEEN ATA MIMI WACHA NIANZE KUFIKIRIA MAMBO MAKUBWA KUBWA MUNGU APEWE SIFA NA UTUKUFU. KWA WATUMISHI HAWA WAKE.

  • @daisygloria
    @daisygloria 5 років тому

    Mimi ni viwango vya Juu maishani, kwa utukufu wa Mungu

  • @leticiarafiki8009
    @leticiarafiki8009 3 роки тому

    My only best friend.. Edda umepandishwa viwango vya juu

  • @kyshamarrisha1659
    @kyshamarrisha1659 5 років тому +6

    Those voices 😘😘God bless you 😘love from + 254🇰🇪🇰🇪

  • @franciskenyeru6837
    @franciskenyeru6837 5 років тому +2

    Wow! Great voice, may God protect Rose, a lady with a natural talent. Yeye kweli ni wa juu

  • @janeeesailon7325
    @janeeesailon7325 5 років тому +12

    Eda keep it up dada all the way from Germany, mbeya mojaaaa

  • @kennyk882
    @kennyk882 3 роки тому

    Eddah ur a blessing,niko viwango vya juu.

  • @SethH004
    @SethH004 5 років тому +3

    Tulio juu huu mwezi wapi like zenu

  • @francismangula2715
    @francismangula2715 5 років тому +1

    nyimbo nzuri inanibariki...pia napapenda hapo dada eddah unapoanza nmeketi kileleen..

  • @beatricewachia9555
    @beatricewachia9555 4 роки тому

    Nimependa hiyo wimbo.Mimi ni wajuu na iko na lyrics za English.you can help your friend nyimbo zake nyingi watu wanaomba kutafisiriwa English lakini hatuwezi.
    Be blessed my sisters from another mother.

  • @millyken9827
    @millyken9827 5 років тому +3

    MImi ni WA juu kwa viwango vya juu.. What a great song.. Am blessed here

  • @obedyjoseph1560
    @obedyjoseph1560 5 років тому +1

    nice song mim ni wajuu

  • @mungholomakalanga8958
    @mungholomakalanga8958 5 років тому

    Hakika ukimtegemea Mungu mwema utakua wa juu tu na utathink big!

  • @yumi_vipodozi
    @yumi_vipodozi 5 років тому

    Rose you rose again...God is so good!!.. .

  • @jeniphajames8092
    @jeniphajames8092 4 роки тому

    Nakupenda Sana mumy mungu wangu bw'yesu akutunze akuagiziemikaeri

  • @leahnjuguna2185
    @leahnjuguna2185 5 років тому +1

    Glory to our might lord he never abandon those who believe in him,am proud for rose and those who help her to stand again on her feet's God will never abandon you peoples this is my prayer to God.

  • @ayubumgella5578
    @ayubumgella5578 4 роки тому

    Ubarikiwe Dada kwa ujmbe,mnzur,,kwa vile unavyofili ndo inavyokuwa

  • @amoloautomotors1420
    @amoloautomotors1420 5 років тому

    Viwango vya juu kweli big up Rose...back in action for the glory of God

  • @juliuskamau7649
    @juliuskamau7649 5 років тому +3

    I love u rozie grew up with your songs and Lord knows how many av sang and even danced ur dancers moves in church...they remind me of me and they helped me believe but this autotune mess issa noo!!! I love ur natural voice and how you belt them notes please dont do autotunes ur voice is God given. Peace.

  • @amosodaka1650
    @amosodaka1650 3 роки тому

    Indeed God is able rose muhando is back glory to God I'm of a higher level

  • @kimothojefftvofficial2666
    @kimothojefftvofficial2666 5 років тому +1

    I am great, born to overcome and remain at top, ukinitaka nipate kwa level yangu ya juu, naitwa sishuki. Oh nice song.

  • @annastaciahmuchina218
    @annastaciahmuchina218 5 років тому

    Rose you have a new chance our God forgives you are back again mama am that girl who never listen to other peoples music addicted to your music forever love ypu soo much nyiii ni wa juuuu

  • @abedbukulu5300
    @abedbukulu5300 5 років тому

    rose bado ni wa moto Mungu atukuzwe kwa kipaj alicho mpatia huyu dada

  • @maryannenjeri8077
    @maryannenjeri8077 5 років тому +2

    The song so good, kweli Mimi ni was juu

  • @Ima_Ali
    @Ima_Ali 2 роки тому

    Dada rose uko kwa miguu yako tena shukrani kwa Mungu