December 2024 let's gather here 🎉🎉🎉🎉I really enjoyed this song i was young now a mum....it's a big blessings to me and many ......sikizeni kizazi changu Mungu anaishi....... ...kwa neema yake tutatoka tukiwa washindi Mungu tulinde tuvuke salama 2025 uwe mwaka wa baraka, amani na upendo.....wale wamekuwa na kipindi kigumu huu mwaka wapanguze machozi wabariki na baraka ambazo hazina huzuni....
💖💖Sure Lord.Kutoka Kenya na Mungu atuondolee majivuno tumtumikie kwa kweli .Maana Mungu hupendezwa na kweli ya moyo.Haya ndiyo maombi yangu maana moyo uliopondeka Mungu hatadharau
I LOVE THE MELODY BUT DOESN'T UNDERSTAND THE LANGUAGE. THOUGH OLD GOSPEL MUSIC BUT ITS MELODY STILL STANDS THE TEST TIME IF IT'S TRANSLATED. MY DEAR SISTER IN CHRIST YOUR VOICE IS HIGHLY ANOINTED.
2022 November am still listening to this powerful worship song, who else is on the same page with me.................. El Gibor Shalom; Mungu anayeitika....................... Take pride away from me O Lord, and create in me a fleshly heart, a broken/contrite/humble spirit you will not despise...........
2025,anyone here for this amazing song?I love this song so much cz my dad always just closes his eyes,lifts his hands n just listens in silence and I just want to know what this beautiful song means....that just silences my dad so heavily ❤
Eeh Mungu wangu mi nitakushukuru 😭😭😭😭😭😭 Tangu huu wimbo utoke mpaka leo... Tumepoteza wapendwa wetu wengi sana, hakika tuna kila sababu ya kumshukuru Mungu🙏🙏🙏🙏🙏🙏 Asante Yesu wangu kwa zawadi ya uhai 2024
Nipo kwenye maombi ya shukran, naungana na Rose muhando kumshukuru Mungu kunifikisha mwisho wa wa mwaka 😭😭😭haikua Rahisi asingekua Mungu ningekua nimishakufa Asante Yesu😭😭😭😭haikua raisi.
We're in 2020, how many are still watching? Uniondolee majivuno, komesha kiburi, unipe moyo wa nyama.... How I wish this becomes our daily prayer. Hallelujah!
Whenever I listen to this song while praying I find myself sobing 😭😭bitterly mostly, that part 'uniondolee majivuno komesha kiburi' I'm really blessed by this song Keep going Muhando we love you💞💞💞🇰🇪🇰🇪
Nani tuko pamoja 2021 na bado tunaisikiliza nyimbo nzuri ya 🌹 Muhando, Barikiwa na mm Mungu akatuondolee majivuno, kiburi chetu na atupe moyo wa nyama uliopondeka🇹🇿🇹🇿🇹🇿💪🏼💪🏼💪🏼🙇🙇🙇
Wonderful 🤩, she is such a blessing to God for bringing her at this time, Hallelujah all glory to God 🙏🙌, may God bless her for being such a blessing, Hallelujah 🙌
Always I listening this song the massage is so touching en u is my favorite mama nakupenda sana Mungu aendelee kukutunza wish nikuonee tu hata uimbe pamoja na mm kidogo😭 na kunihubiria coz ww n mwinjirist mzuri Sana kila unapotoa shuhuda zako na venye unahubirigi naguswaga Sana na kujifunza vitu vingi zaidii na kutiwa moyo thanks Mom💓🥰
My mother loved this song..when she sang along you could see how much she meant it..Rip mamaa...I am here in your memory i am now singing this in the land of the living.i finally gave my life to Christ mama just like you prayed😭
Uniondolee majivuno, komesha kiburi. Utawale akili zangu Bwana niongoze. Uifundishe roho yangu habari Za Mbingu! ..... Take this message to your everyday prayer if you can't take the whole song! God bless you Rose
Aki Rose Muhando! ... GOD has used you mightily to speak to millions. I'm listening to this at 5.30 am Kenyan time on Saturday morning. What a way to start my day! God Bless!
Ee Mungu wangu mimi ninatukushukuru Mbele ya mataifa mimi nitaimba Dunia nzima nayo itambue hilo Kwamba jina la Yesu pekee ndilo Ulimwengu mzima uokolewe kwalo Asubuhi na mapema, mimi nitaimba Kabla ya kinywa kunena, kwako nitaimba Tufani ijapozidi wo, kwako nitaimba Nijapoteswa kabisa, kwako nitaimba Nijapozarauliwa, kwako nitaimba Swiyi, swiyi, swiyi, swiyi sikia e kinanda Swiyi, swiyi, swiyi, swiyi amka e kinubi Swiyi, swiyi, swiyi, swiyi sikia e kinanda Swiyi, swiyi, swiyi swiyi sikia e kinubi Inuka e zumari, imba kwa sauti Inuka e zumari, imba kwa sauti Wo wo wo wo na utukuzwe Mungu Wo wo wo wo na utukuzwe Mungu Ye ye ye ye Jehova Adonai Ye ye ye ye Jehova Adonai El Gibo Shalom Mungu unaitika El Gibo Shalom Mungu unaitika Uniondolee majivuno, komesha kiburi Utawale akili zangu, Bwana niongoze Uifundishe roho yangu habari za mbingu Sikizeni eh kizazi changu, Mungu anaishi Uniondolee majivuno, komesha kiburi Utawale akili zangu, Bwana niongoze Uifundishe roho yangu habari za mbingu Sikizeni eh kizazi changu, Mungu anaishi Nipe moyo ya nyama, ulopondeka Moyo uliotulia, na unyeyekevu Mimi si kitu kwako, ni mzuri tu Mimi ni kama nani, uniinue Unifinyange Bwana, kama upendavyo Unifundishe Bwana kama upendavyo Swiyi, swiyi, swiyi, swiyi sikia e kinanda Swiyi, swiyi, swiyi, swiyi amka e kinubi Swiyi, swiyi, swiyi, swiyi sikia e kinanda Swiyi, swiyi, swiyi swiyi sikia e kinubi Inuka e zumari, imba kwa sauti Inuka e zumari, imba kwa sauti Wo wo wo wo na utukuzwe Mungu Wo wo wo wo na utukuzwe Mungu Ye ye ye ye Jehova Adonai Ye ye ye ye Jehova Adonai El Gibo Shalom, Mungu unaitika El Gibo Shalom, Mungu unaitika El Gibo Shalom, Mungu unaitika Nikikuita Mungu, unaitika Rohi eloie heika meka noishikimu Jira El Shadai, Jehova Oseenu El Elyo Shammah, Mungu unaitika Jehova Shabbah, Mungu utanijibu El Gibo Shalom, Mungu unaitika El Gibo Shalom, Mungu unaitika El Gibo Shalom, Mungu unaitika Swiyi, swiyi, swiyi, swiyi sikia e kinanda Swiyi, swiyi, swiyi, swiyi amka e kinubi Swiyi, swiyi, swiyi, swiyi sikia e kinanda Swiyi, swiyi, swiyi swiyi sikia e kinubi Inuka e zumari, imba kwa sauti Inuka e zumari, imba kwa sauti Wo wo wo wo na utukuzwe Mungu Wo wo wo wo na utukuzwe Mungu Ye ye ye ye Jehova Adonai Ye ye ye ye Jehova Adonai El Gibo Shalom, Mungu unaitika El Gibo Shalom, Mungu unaitika El Gibo Shalom, Mungu unaitika El Gibo Shalom Itika Baba yangu, Baba yangu Shalom Itika Mungu wangu, Mungu wangu Baba Itika Baba yangu, Baba yangu, Baba Itika kwa wagonjwa, kwa wagonjwa Shalom Itika kwa wajane, kwa wajane Itika kwa yatima, kwa yatima Itika kwa waimbaji, kwa waimbaji Haleluya Shalom Itika kwa kanisa, kwa kanisa Itika kwa Tanzania, kwa Tanzania Itika kwa walemavu, kwa walemavu El Gibo Shalom Tuimbe Haleluya, Haleluya Tuimbe Haleluya, Haleluya Itika Baba yangu, Baba yangu, Shalom
Mungu niondolee majivuno, utulize moyo wangu na utawale akili zangu ~~2024
That part ''Uniondolee majivuno komesha kiburi" humbles me alot 🙏🙏🙏🙏
Me too aswear
Niondolee majivuno komesha kiburi
Same here but I don't even know what it means
😊
@@emmiechisanga6746 ....remove pride and arrogance from me
22/3/2024 I'm here worshipping my God
Am here 10th July 2024 God bless this amazing woman of God
I'm here 27/11/2024
December 2024 let's gather here 🎉🎉🎉🎉I really enjoyed this song i was young now a mum....it's a big blessings to me and many ......sikizeni kizazi changu Mungu anaishi....... ...kwa neema yake tutatoka tukiwa washindi
Mungu tulinde tuvuke salama 2025 uwe mwaka wa baraka, amani na upendo.....wale wamekuwa na kipindi kigumu huu mwaka wapanguze machozi wabariki na baraka ambazo hazina huzuni....
Amen 🙏🙏🙏
Amina❤
2024 wangapi bado tunahusikiliza wimbo huu?? Gonga likes za kutosha. From DRC🇨🇩
Kwani drc mnaongea kiswahili
tupo apaa we blessings 😊😊✌️🔥
From Kenya 🇰🇪🇰🇪
One of the best Gospel Reggae song
AM HERE 2024, TO GOD BE THE GLORY
Here after many years to feel what I felt when I was a little kid.
😢and it surely feels nice😊
Mee too i can clearly see my childhood just for listening to
2024 🙌🙌
This one ministers to me differently 😭..
Thank you for this sound mamaa 🫂
Rose Rose Rose again you are Queen of Gospel in Africa
For real she is a Queen
uniondolee majivuno baba niongoze...always my prayer, who is here 2024❤
Always my prayer, too 🙏
My prayer too.... AMEN 🙏🙏
Here
2024 still listening to ths hit song,,,gonga like ukifika
Sikuliza antoka marekani
8 yrs nyimbo ya ki legendary ❤❤❤ 0:12 i love that "ah ah!"
Tujuane hapa ambao Bado tunaukumbuka wimbo huu daaah unatufundisha kumjua mungu hebu like nying kwake rose wetu💕💕💕💕💕💕💕
Remains 2010,my uncle kunitesa kwake na Bibi yake kunifungia nyumba but God is great
Sorry for that
Kama uko hapa 2024 , nipe like mpendwa
Niko hapa
🎉🎉❤
Pamoja
Tuko
Mwisho wa mwezi wa kwanza31/01/2025 saa nne na dakika hamsini za usiku.
Ndipo niko nabalikiwa na huu wimbo kama umependa,like here👍
Was listening to her 17years ago..this song still drives me near to Almighty God ..🇰🇪 if it does the same drop a like..
Kweliii kabisaaaaa
Good
From way back then tuko 2024 n still a powerful song .If your seeing this in 2066 she was our legendary gospel artist
2024 Eeh Mungu niondolee majivuno komesha kiburi powerful message 🙏🙏🙏😢
2024 but still the song is hot💥🔥,Rose uliimba(ga) asee 🙌🙌🙌
This remains a powerful worship. Kama tunakubaliana gonga like
0😊😊
@@hildakimari5650 v I lkkk lol klkl ok pllokkp
Mkkppl.llpl
Rose muhando wa kitambo siezi musahau🎉🎉🎉
@@Christled21 yes wa kitabo sio wa leo,,,
P
If you still have test for MUSIC that never gets old 2024 gonga like
Ni taste mkuu
The best worship I've ever heard ❤❤
Niondolee majivuno ❤❤gonga likes from Kenya
Kama bado roho mtakatifu inakuja ukiskiza hii nyimbo 2024 nipee likes
I just love this song she is the best listening all the way from Zambia
I am always blessed with Muhando
💖💖Sure Lord.Kutoka Kenya na Mungu atuondolee majivuno tumtumikie kwa kweli .Maana Mungu hupendezwa na kweli ya moyo.Haya ndiyo maombi yangu maana moyo uliopondeka Mungu hatadharau
I LOVE THE MELODY BUT DOESN'T UNDERSTAND THE LANGUAGE. THOUGH OLD GOSPEL MUSIC BUT ITS MELODY STILL STANDS THE TEST TIME IF IT'S TRANSLATED. MY DEAR SISTER IN CHRIST YOUR VOICE IS HIGHLY ANOINTED.
2022 November am still listening to this powerful worship song, who else is on the same page with me.................. El Gibor Shalom; Mungu anayeitika....................... Take pride away from me O Lord, and create in me a fleshly heart, a broken/contrite/humble spirit you will not despise...........
I copied from another person
2024 tujuane hapa kwa like 🔥
Those who will be reading this comment 2080,Rose M was our legend just exceptional.
Aki for sure God uses her in a special way
2025,anyone here for this amazing song?I love this song so much cz my dad always just closes his eyes,lifts his hands n just listens in silence and I just want to know what this beautiful song means....that just silences my dad so heavily ❤
Eeh Mungu wangu mi nitakushukuru 😭😭😭😭😭😭
Tangu huu wimbo utoke mpaka leo... Tumepoteza wapendwa wetu wengi sana, hakika tuna kila sababu ya kumshukuru Mungu🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Asante Yesu wangu kwa zawadi ya uhai 2024
Amen
Ameen,hakika ubarikiwe.
Mbele ya mataifa mimi nitaimba, kwamba jina la Yesu pekee ndilo jina kuu🤲🙏
my number 1 song every morning......Live long rose muhando.....what a blessing
Today being 29/01/2024 it's a blessing to listen to it again 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Today being 28/7/2024,it's still a blessing,so I listen to it again 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@@jameschege8025 24\8 2024🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Crossing over to 2024 while listening to this song
Everyone watching this song be blessed abundantly,wapi like nijue 2024 tuko pamoja
2024 the song is just a vibe....
When were you born?
Amen rose 🙏🏽 may God continue blessing you abundantly 2024 am still listening the song
Vijana wa jana gonga like tuieneze injili kwa vizazi vyetu😊😊 2021 and still rocking. Rose, umebarikiwa ma'am.
Her songs forever will never lose taste! Live long mama we love you sana,,,,,,, @NIPISHENIPITE🥰🥰🥰🥰
Kama uko hapa 2025 piga like❤I just feel the presence of God😭😭🙏🙏
am Muslim but i like much nyimbo za rose if na u wazipenda like hapa 👍✔
We are grateful too dear siz...we enjoy together uuuuu...2019
Am hopeful that it may transform u dear
hell
@@muduyseley7975 what do u mean
Naa Smah .ata.mimi.napenda.xana
My daily prayer ..'uniondolee majivuno, ukomeshe kiburi, utawale akili zangu bwana niongoze, uifundishe roho yangu habari za Mungu'.
Barikiwa sana ndugu
CVCC iiì
Powerful message
amem
@@johnpaschl8392
Unipe moyo wa nyama uniondolee majivuno so teaching spiritual humbleness
Nipo kwenye maombi ya shukran, naungana na Rose muhando kumshukuru Mungu kunifikisha mwisho wa wa mwaka 😭😭😭haikua Rahisi asingekua Mungu ningekua nimishakufa Asante Yesu😭😭😭😭haikua raisi.
Sijui nikwa nni naskia hii nyimbo but mungu wangu kama unaskia kilio changu niitikie mungu wangu huu mwaka 2024😢😢
My favorite song...kama unamkubali muhando like twende sawa,hii song bado ina hit🎤🎺2018 bt still🔥🔥🔥🎵🎶🎶
5Dec2018
ceccy Lee uniondolee majivuno komesha kiburi, utawale akili zanguu.
ceccy Lee aki
Wambea nao jamani acha tu
Unifundishe bwana kama upendavyo.nabarikiwa.
May God continue blessing rose umetulea kwa injili sana for more than 20 yrs
Kwa kweli Mungu amzidishie
The song hits differently❤❤ 2024
Wanaompenda rozi muhando naomba wabonyeze hapo chini hongera Dada kwa Nazi nzuri
Cheer w wine
God bless you Mama,live long I love your songs a day can't end without listening to your songs
We're in 2020, how many are still watching?
Uniondolee majivuno, komesha kiburi, unipe moyo wa nyama.... How I wish this becomes our daily prayer.
Hallelujah!
Nice song
Amen
Righteous
Love sana sis
Nice songs
Huu wimbo hutawai zeeka 2024 am here
Kwa kweli hata uimbwe na style Gani mtunzi ambaye ni Rose muhando atazidi kuwa baraka kwetu
The most Popular and trending song in Africa ❤much love rozzy.
Whenever I listen to this song while praying I find myself sobing 😭😭bitterly mostly, that part 'uniondolee majivuno komesha kiburi' I'm really blessed by this song
Keep going Muhando we love you💞💞💞🇰🇪🇰🇪
Sikizeni eeh kizazi changu Mungu anaishi.Touching!!!uniondolee majivuno. Ooh yes Jesus.
You're a wonderful God.
Hear this song.
Soit bénie ma sœur Rose Muhando pour contribuer à rapprocher des millions d'âmes à l'évangile que je prêche et que je precherai toute ma vie 🙏❤️
2023 wueeh the song is still a Blessing wapi likes🙏
True
Ewe sisi ❤️
What
❤
True still blessings song
2020 still my blessing song ..wapi like zaa Dada muhando jameni
Hahaha
Nimetafuta hii wimbo
Mungu ampe miaka mingi
Amen
NKO hapa 2022,,,, nasikiliza inanipa Amani tele
Que mon Dieu te bénisse ma chère Rose pour avoir contribué à rapprocher des millions de gens à Jésus Christ. De la RDC
Mmy Rose nyimbo zako zinaishi ndani ya mioyo ya wengi unakubalika Tz nzima hakuna simba kama ww 💃
Can't stop listening to this song since my childhood Hadi nimekua mtu mzima😢God bless you rose
Uniondolee majivuno, komesha kiburi ee MUNGU.. Ameen
April 2024 still a powerful song
October 2024, it is still powerful
Niko hapa July 2024 nikibarikiwa sana na huu wimbo..nitarejea Tena mika 50 sijazo nione nani amenipa ❤ .... Shweye shweye shweyeee !!!
taday was this song to me... niondolee majivuno komesha kiburi... had to search it.... am blessed 2024 february still strong❤
December 2022, still listening. Uniondolee majivuno, komesha kiburi Baba.
Am back in 2025. God I trust in you Father.
Ndivyo ulivyo baba maana mawazo yako sio kama yetu 2025 kama bado unabarikiwa na huu wimbo weka likes zako
Thank God 2025 still listening, don't pass without like👍. May God bless you abundantly.
We're here in 2024 listen this sweet song
Nani tuko pamoja 2021 na bado tunaisikiliza nyimbo nzuri ya 🌹 Muhando, Barikiwa na mm Mungu akatuondolee majivuno, kiburi chetu na atupe moyo wa nyama uliopondeka🇹🇿🇹🇿🇹🇿💪🏼💪🏼💪🏼🙇🙇🙇
2022 and still listening to this prayer song especially hapo kwa uniondolee majivuno na komesha kibur
2022
2023
I love this song tangu enzi zile. It blesses me Cha ukweli.
It's 2024 but still listen to this song it humbles me alot 😊🙏🙏🙏🙏 mungu itikia kw maisha yetu 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Hizi ndizo nyimbo za injili zilizo tuongoza katika ya utakaso tokea tuko na umri mdogo... Nipeni likes leo 07/01/2025 🇧🇮🇨🇩🇹🇿🇷🇼🇰🇪❤
Love this song, singing from spirit
She is best gospel musician that Tanzania 🇹🇿 ever produced.
Much love to you Rose muhando all the way from Malawi 🇲🇼
PP790zz
9am
00.
..
.m
Rose you are always top
Wonderful 🤩, she is such a blessing to God for bringing her at this time, Hallelujah all glory to God 🙏🙌, may God bless her for being such a blessing, Hallelujah 🙌
Rose atabaki kua Rose kama unakubaliana namm weka like hapa had sasa 2019 bado nafarijika na hii nyimbo
Kabisaaaaa
Haswaaaaa
🔥❤🙏
Good blues
Hakika
Yaani Mungu aitwe Mungu. Rose Muhando, the legend.
I listening song in 2024 on that part of uniondolee majivuno...utawale akili zangu, ufundishe roho yangu...
Always I listening this song the massage is so touching en u is my favorite mama nakupenda sana Mungu aendelee kukutunza wish nikuonee tu hata uimbe pamoja na mm kidogo😭 na kunihubiria coz ww n mwinjirist mzuri Sana kila unapotoa shuhuda zako na venye unahubirigi naguswaga Sana na kujifunza vitu vingi zaidii na kutiwa moyo thanks Mom💓🥰
Mungu nitakushukuru...it's 2025 and he's faithful 🙌
God bless you Sis Rose 2nakuombea upate uponyaji naamini utapona kwa Jina la baba na la mwana na yesu kristu Amin
Amina dada. Tunamuombea pamoja, Mungu si mwanadamu hivyo anampenda sana bado, na neema ya Mungu itamwinua tena kwa nguvu mtumishi wa Mungu
Amina kubwa
Kwa jina la yesu kristo apokee uponyaj
Miminamkubarisana nafarijika.sana
Asanikiwanamawazo
Halleluya@ huu wimbo hautachuja kamwe ni mpya kila ninapousikiliza.wapi like za Mama yetu wa imani jamani
NYIMBO. ZA. Malawi
2025 but the song still inspires me❤ gonga like wapendwa
My mother loved this song..when she sang along you could see how much she meant it..Rip mamaa...I am here in your memory i am now singing this in the land of the living.i finally gave my life to Christ mama just like you prayed😭
🫂🫂
🫂🫂🫂🫂
😢sorry
Amen be blessed
Uniondolee majivuno, komesha kiburi. Utawale akili zangu Bwana niongoze. Uifundishe roho yangu habari Za Mbingu! ..... Take this message to your everyday prayer if you can't take the whole song!
God bless you Rose
moses hekima
amen bro
moses hekima jgdga
Elifuraha Mbwambo ,,,,,,,,,,,,,,,,,o
Elifuraha Mbwambo nnnnnnnnn
Utungaji mzuri unaemtuza Mungu na unampa muimbaji Uhuru wa kuweka maneno vizuri .itika kwa wachungaji pia amen.
After everything that's happening in our lives we're getting strengthened by this song ,Rose be blessed this year 2024
This was a self talk with her God .. Prime Rose was a blessing.
Be blessed
Never gets old. Uniondolee majivuno komesha kiburi utawale akili zangu . What a powerful message. May you live long and keep blessing us sister Rose.
Aki Rose Muhando! ... GOD has used you mightily to speak to millions. I'm listening to this at 5.30 am Kenyan time on Saturday morning. What a way to start my day! God Bless!
nobody will sing like rose in this world
True,,,
I also think the same
Absolutely 💯
We're here sister
True
Ee Mungu wangu mimi ninatukushukuru
Mbele ya mataifa mimi nitaimba
Dunia nzima nayo itambue hilo
Kwamba jina la Yesu pekee ndilo
Ulimwengu mzima uokolewe kwalo
Asubuhi na mapema, mimi nitaimba
Kabla ya kinywa kunena, kwako nitaimba
Tufani ijapozidi wo, kwako nitaimba
Nijapoteswa kabisa, kwako nitaimba
Nijapozarauliwa, kwako nitaimba
Swiyi, swiyi, swiyi, swiyi sikia e kinanda
Swiyi, swiyi, swiyi, swiyi amka e kinubi
Swiyi, swiyi, swiyi, swiyi sikia e kinanda
Swiyi, swiyi, swiyi swiyi sikia e kinubi
Inuka e zumari, imba kwa sauti
Inuka e zumari, imba kwa sauti
Wo wo wo wo na utukuzwe Mungu
Wo wo wo wo na utukuzwe Mungu
Ye ye ye ye Jehova Adonai
Ye ye ye ye Jehova Adonai
El Gibo Shalom Mungu unaitika
El Gibo Shalom Mungu unaitika
Uniondolee majivuno, komesha kiburi
Utawale akili zangu, Bwana niongoze
Uifundishe roho yangu habari za mbingu
Sikizeni eh kizazi changu, Mungu anaishi
Uniondolee majivuno, komesha kiburi
Utawale akili zangu, Bwana niongoze
Uifundishe roho yangu habari za mbingu
Sikizeni eh kizazi changu, Mungu anaishi
Nipe moyo ya nyama, ulopondeka
Moyo uliotulia, na unyeyekevu
Mimi si kitu kwako, ni mzuri tu
Mimi ni kama nani, uniinue
Unifinyange Bwana, kama upendavyo
Unifundishe Bwana kama upendavyo
Swiyi, swiyi, swiyi, swiyi sikia e kinanda
Swiyi, swiyi, swiyi, swiyi amka e kinubi
Swiyi, swiyi, swiyi, swiyi sikia e kinanda
Swiyi, swiyi, swiyi swiyi sikia e kinubi
Inuka e zumari, imba kwa sauti
Inuka e zumari, imba kwa sauti
Wo wo wo wo na utukuzwe Mungu
Wo wo wo wo na utukuzwe Mungu
Ye ye ye ye Jehova Adonai
Ye ye ye ye Jehova Adonai
El Gibo Shalom, Mungu unaitika
El Gibo Shalom, Mungu unaitika
El Gibo Shalom, Mungu unaitika
Nikikuita Mungu, unaitika
Rohi eloie heika meka noishikimu
Jira El Shadai, Jehova Oseenu
El Elyo Shammah, Mungu unaitika
Jehova Shabbah, Mungu utanijibu
El Gibo Shalom, Mungu unaitika
El Gibo Shalom, Mungu unaitika
El Gibo Shalom, Mungu unaitika
Swiyi, swiyi, swiyi, swiyi sikia e kinanda
Swiyi, swiyi, swiyi, swiyi amka e kinubi
Swiyi, swiyi, swiyi, swiyi sikia e kinanda
Swiyi, swiyi, swiyi swiyi sikia e kinubi
Inuka e zumari, imba kwa sauti
Inuka e zumari, imba kwa sauti
Wo wo wo wo na utukuzwe Mungu
Wo wo wo wo na utukuzwe Mungu
Ye ye ye ye Jehova Adonai
Ye ye ye ye Jehova Adonai
El Gibo Shalom, Mungu unaitika
El Gibo Shalom, Mungu unaitika
El Gibo Shalom, Mungu unaitika
El Gibo Shalom
Itika Baba yangu, Baba yangu Shalom
Itika Mungu wangu, Mungu wangu Baba
Itika Baba yangu, Baba yangu, Baba
Itika kwa wagonjwa, kwa wagonjwa Shalom
Itika kwa wajane, kwa wajane
Itika kwa yatima, kwa yatima
Itika kwa waimbaji, kwa waimbaji
Haleluya Shalom
Itika kwa kanisa, kwa kanisa
Itika kwa Tanzania, kwa Tanzania
Itika kwa walemavu, kwa walemavu
El Gibo Shalom
Tuimbe Haleluya, Haleluya
Tuimbe Haleluya, Haleluya
Itika Baba yangu, Baba yangu, Shalom
Those days when worshiping God mtu angefanya na moyo wote c kama sai watu wanaimba just for fame and money 😢really touching song🙏
Someone here 2024🙌🙌🙌🙏🏻
Its a song that touches the heart of God, how i wish she could have continue with such songs
Tho can't get the language,,,
Really love this album🥰💕.....
From Zambia.
It would have been better if they was a lyrics in English for this song
i listen to this song every night before i sleep,,,it blesses me in a million different ways
Great worship song that blesses my soul daily. Bravo Rose
One of the most powerful musical vessels that the lord has used greatly in our days...I'm one big fun of this lady
We are together in this i love her so much