MITAA IMESHAFUNGWA ARUSHA-BIA BEI ya KIWANDA-NYAMA BEI ya BUCHANI-WAZUNGU WAPAGAWA MEYA AWAITA WATU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 75

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  3 дні тому +1

    JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...

  • @MonicaTimotheo
    @MonicaTimotheo День тому +1

    Daaaaah uchawa mbaya sana kabla ya kumshukuru binadamu hata kama ana cheo gani unapaswa kumshukuru MUNGU kwanza

  • @FaabinOmar-d6e
    @FaabinOmar-d6e 2 дні тому +7

    Makonda nimefurahi sana mungu amlinde🇹🇿🇹🇿🙏🙏🙏😊

  • @saidiabdallah3699
    @saidiabdallah3699 22 години тому +1

    Namimi nakuja kuishi arusha

  • @Lundege_Hips
    @Lundege_Hips 2 дні тому +3

    Wewe Meya mshukuru Mungu wako kwanza hadi sasa ndio anakupa hiyo pumzi ya kufka hapo

  • @leonardalphonce8924
    @leonardalphonce8924 2 дні тому +3

    Ha we yani unamshukuru mwanadam badala yakumshukuru mungu

    • @AdamChogo
      @AdamChogo 2 дні тому

      Aaah wew kumshukuru alykutndeaa wema

    • @CharlesSomeke-p8m
      @CharlesSomeke-p8m 2 дні тому

      @@leonardalphonce8924 kila mmoja anapaswa kushukuriwa

  • @WilsonSanare-m6k
    @WilsonSanare-m6k 2 дні тому +6

    Arusha.juuuu.makonda.juuuuuu😅

  • @AlexKinunda-j9l
    @AlexKinunda-j9l 2 дні тому

    Nami nampa pongezi sana Mheshimiwa mama yetu Mama Samia kwa upeo wako kwa uchaguzi ulio fanya juu ya Makonda kweli jembe
    Mmenitamanisha nyama choma yaani nakumbuka huko nyumbani tanzania. Nawatakia mwaka mpya 2025 moto ,moto .

  • @vintz338
    @vintz338 2 дні тому +6

    Sio kwa nia mbaya ila mkuu wa mkoa wa Dodoma ni kama hayupo

  • @TheBastarrrd
    @TheBastarrrd День тому

    Paul Malinda 🔥🔥🔥

  • @elioimer8423
    @elioimer8423 2 дні тому +1

    Vitu vya bure havifai. Mazuzu Mantegwa Kama hamjui.

    • @rajabuhamisi9675
      @rajabuhamisi9675 2 дні тому

      Ndenda kachukue kama unaona Kuna Cha bule watu wanatumia pesa zao Wacha makasiriko jombaa

    • @mutabebwa1713
      @mutabebwa1713 День тому

      Ni kweli havifai.
      Mim ningempongeza Makonda kama angebadirisha hali ya Arusha.
      Mji ni mchafu maji taka yanatiririka hovyo barabarani.Harufu mbaya kila mahari ukienda sokoni hakufai,stendi ya mabasi kuko hovyo mate na mikojo alafu tunasifia matamasha na nyama choma.

  • @patrickndizeye2190
    @patrickndizeye2190 3 дні тому +2

    Wow❤❤❤🎉🎉🎉❤❤❤

  • @Niika870
    @Niika870 2 дні тому

    Duuu naenda Arusha mie namfata DJ Makonda😂

  • @godmbise-gj9ug
    @godmbise-gj9ug 2 дні тому +1

    Huyu Maxmilian Iranxe vipi yupo sahihi huyu mstahiki meya wa jiji la Arusha.....

  • @htx1873
    @htx1873 2 дні тому +2

    DONT LET THEM DRINK AND DRIVE PLEASE.

  • @ruhindacostantine2092
    @ruhindacostantine2092 2 дні тому

    Mzee wangu watu wa arusha nimewakubali

  • @JOSEPHKAJORO
    @JOSEPHKAJORO 2 дні тому

    Mkoa wa Arusha ndio wa kwenda kuisha.

  • @desderylasway9810
    @desderylasway9810 2 дні тому

    Arusha raha tu

  • @tomsijohni
    @tomsijohni 2 дні тому

    wanauza tena mimi nafikiki anapeana bure kwa watu watakao kuja kwenye sherehe apo wamealibu kuzia watu chakula na watu wana kuja kwa ajili yenu

  • @methewbuzuruga-eg8oz
    @methewbuzuruga-eg8oz 2 дні тому

    Kuanzia leo jana na kesho

  • @saitotigeorge654
    @saitotigeorge654 2 дні тому +1

    Mpite usiku ndio muonekano upo tumieni akili nanyie sio kila k2 tuwafundishe kwenye comment 🤌

  • @Christiannyangi-u8v
    @Christiannyangi-u8v 2 дні тому

    Namuomba mungu aamishiwe dar tuenjoy jaman na sis😢

    • @tumainmkonyi8459
      @tumainmkonyi8459 2 дні тому

      Alisha wapaga pata kama hii Dar hamkumdamini chuga tumemkubali

  • @SALUMCHEMA-t2e
    @SALUMCHEMA-t2e 2 дні тому +2

    Mnazidikupumbazwa.fanyenikazi.mpatepesa.sio.mnapewa.bia.mnafurahia.hatahamjui

  • @Martin-lv1xw
    @Martin-lv1xw 2 дні тому

    Hivi hao wanaohusika na vyakula sanasana nyama watakufa wakivaa gloves? Binafsi inakatisha stim mtu anashikashika nyama na mikono..Wabadilike😷😷

  • @hanifamziray277
    @hanifamziray277 3 дні тому +4

    Mpk raha tule nyama mpk basi arusha yetu oyeeeerr

  • @rahabnkya8276
    @rahabnkya8276 2 дні тому

    Tunashukuru kuombewa, kupèwa barabara nzuri maji salama afya nzuri mahospitali, elimu mahakama Safi polisi safii vivutio vingine ubunifu ajira, MH Rais atukuzwe kutuletea Mh makonda kubadilisha Arusha yetu vitongoji hadi MIJI JIJINI. 2025 IWE YA AMANI NA PESA MFUKONI PIA.MUNGU BARIKI.😂

  • @rithaurassa
    @rithaurassa 2 дні тому

    Bara bara za mtaani ni mashimo tupu na maji yamezid barabarani boda boda magar yanapita kwa kwa shida mim nikakae starehe akaaa tusameheane kwa hilo. Usafir mgum san kwetu.

  • @LangiMwampamba
    @LangiMwampamba 2 дні тому

    Wanasubiri siasa zipungue mtalipa zote Hela hizo

    • @majaliwabwitonde6900
      @majaliwabwitonde6900 2 дні тому

      Acheni vijiba vya roho, acheni watu wale maisha. Unakuwa mtabiri wa mabaya wewe

  • @WilsonSanare-m6k
    @WilsonSanare-m6k 2 дні тому

    Makonda.tunaomba.jiji.letu.mtuekee.mataa.kilakona.ya.mji.wetu.ilI.ulinzi.uwe.wa.kutosha.

  • @mcback4384
    @mcback4384 2 дні тому

    Address itakua central

  • @ContentSmartphone-rq6po
    @ContentSmartphone-rq6po 2 дні тому

    😂😂😂😂

  • @IsmailKidongo
    @IsmailKidongo 2 дні тому +2

    Mnawakandamiza mnaiba uchaguzi Kisha mnawasaulisha

  • @NasibuAlban
    @NasibuAlban 2 дні тому

    Watanzania wengi ni wa hovyo kuna siku za kula raha wengi wenu mlivyowajinga mnacoment maendeleo wengi mmeshindwa kufanya maendeleo makwenu mnalaumu mpaka sherehehe acheni roho mbaya na ushamba mwingi makonda piga kazi bata ziliwe siku za kazi zipo na siku za bata zipo badilikeni nyie walalamishi wa hovyo

  • @yasiniSwedi-qg5oc
    @yasiniSwedi-qg5oc 2 дні тому

    Huko ndo Yalikoja mafsad

  • @SamwelikazimbayaKitahenga
    @SamwelikazimbayaKitahenga 2 дні тому

    Mafanikio gani Arusha usalama ni mdogo sana!Makonda ameshindwa kuimarisha usalama badala yake yeye kila siku kufanya sherehe tuu!

    • @barrynzeyimana6270
      @barrynzeyimana6270 2 дні тому

      Watu huleta usalama mdogo kwakua hawana chakufanya

    • @NasibuAlban
      @NasibuAlban 2 дні тому +1

      Yani nyie kila kukicha malalamiko acha watu walinde raha huwezi kaa kimya kula ugali wako

    • @amosiabdulallh7965
      @amosiabdulallh7965 2 дні тому

      We tafuta ugar watt asife nanjaa, chadema italeta chakula hapo ullpo mjinga

  • @mataypanga5262
    @mataypanga5262 2 дні тому +2

    Ninyi wekeni ulinzi,hiyo sherehe yenu haina maana.
    Ukila na kunywa siku mmoja hata bure inabadilisha nini?😂.
    Makonda lete maji,umeme, barabara na mengine

    • @samwelilazaroTZ2835
      @samwelilazaroTZ2835 2 дні тому +5

      Kila jambo na wakati wake, kuna wakati wa kulia na kuna wakati wa kufurahi, kuna kufa na kuishi kulala na kuamka

    • @Behd145
      @Behd145 2 дні тому +3

      Mwambie,tatizo watu wanamini serikali inatoa kila kitu wacha watu wale bata

    • @section8ight174
      @section8ight174 2 дні тому +3

      Life is all about BALANCE!!

    • @mataypanga5262
      @mataypanga5262 2 дні тому

      Sawa​@@samwelilazaroTZ2835

    • @mataypanga5262
      @mataypanga5262 2 дні тому

      ​@Be😂hd145

  • @GoodluckTarimo-u3j
    @GoodluckTarimo-u3j 2 дні тому

    Upuzi tuu kulishana matope tuu Kuna vya maana vyakufanya kuliko hivi

  • @Fatma-up9qs
    @Fatma-up9qs 2 дні тому +1

    Upuuzi mtupu

    • @NasibuAlban
      @NasibuAlban 2 дні тому

      Kama kitu hakikuhusu kaa kimya