Ushauri wangu, tafteni jina fupi na la kieleweka lakin mnapoandika kijana masikini anaeuza maji kapendwa na Binti tajiri apo mnafunya ata mtazamaji aelewe kabla ya kuona, kwahyo ata akisema aangalie fikra inamtuma kwamba one day kijana huyo masikini atapendwa na tajiri!!! Ni ushauri tu🎉
kweli , tunaomba hilo walifanyie kazi, kama mtaalamu pia wa multimedia nasupport, tunasema hiyo ni kukuza branding . ili mtu akiona title anavutiwa,.. mfano ''kijana muuza makopo''
mko vizur sana sema hayo matangazo mnayoingiza kwenye movie ndo mmeharibu sana si kila mtu anaamini hayo mambo bora mtafute namna yakutangaza ila sio katika ya movie noo
kelvin badili story basi ndugu yangu tunapenda kukuona kwenye upande mwingine wewe film zako zote KIJANA TAJIRI BINTI TAJIRI zipo kama zote kka wakati tunaweza toa vitu vikali bila hizo title hiyo moja tu mkuuuu 😢
Me ctk ata kusema wa ngap pia ctk like bt napenda kusema hii movie km utaitazama kwa makin bc utagundua km ime beba uhalisia wa maisha ye2 kwa sasa😭😭😭😭
Filamu hii ni nzuri sana lakini kitu kimoja tu rekebisheni Wengine ndokwanza tunaifuatilia hatujui episode 01 ni ipi na mwendelezo wake ni upi fanyieni kazi hilo 🎉🎉❤
Wakenya mko makin sana kwa kufatilia bongo movies hongeren sana😂😂😂😂😂
😂😂😂lazima tuwe macho bana
@@ChristineMaloba-hk9jeNa hatubanduki hata tukichelewa ni lazima tufike❤❤❤
@@SosiSaeed-y6i yes
Moi
32:10
Ushauri wangu, tafteni jina fupi na la kieleweka lakin mnapoandika kijana masikini anaeuza maji kapendwa na Binti tajiri apo mnafunya ata mtazamaji aelewe kabla ya kuona, kwahyo ata akisema aangalie fikra inamtuma kwamba one day kijana huyo masikini atapendwa na tajiri!!!
Ni ushauri tu🎉
Uko sahihi yani umeongea kama watu 100❤❤❤🎉
Kweli,uzuri huwa wanafanyia kazi ushauri
kweli , tunaomba hilo walifanyie kazi, kama mtaalamu pia wa multimedia nasupport, tunasema hiyo ni kukuza branding . ili mtu akiona title anavutiwa,.. mfano ''kijana muuza makopo''
Hapo nakuunga mkono
For sure mfano "mapenzi hayana mipaka"
Kaka braun pamja xana na kelvin mwendo uwouwo
❤❤ le gars bien fait vautré série on beaucoup de conseille pour le jeune garçon et de jeune fille ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
mko vizur sana sema hayo matangazo mnayoingiza kwenye movie ndo mmeharibu sana si kila mtu anaamini hayo mambo bora mtafute namna yakutangaza ila sio katika ya movie noo
Ama kweli unapenda usipopendwa Aya mapenzi shikamoo 😂😂acha nipendwe pesa kwanza love from🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Kaka Kelvin polee saaaan,napia ninapend movies zako saan ❤❤❤❤❤
Daaaah usaliti umezid jmn huku😂😂😂😂unayempenda anapenda mwengine waaah
Wow...nawakubal Sanaa 🎉 kelvin
Mimi si ni wa kwanza Leo!!🤔 haya msaada wa like hata 5 tu 😂team D ❤❤ sanaas
Asante sana
@@Dontatv255Mbona nyie mnatutesa hivi...?
@@Dontatv255yan mwatukawiza san hadi tukasahau tulipokuw tumefka
@@Dontatv255 unapenda sana kelv wangu kuchota maji
@@Dontatv255 nakupenda sana kelvin natamani ningekuwa karibu unioe Bure tu
Jamani hii move.😂 Kama wameniangalia kwa maa daa Ila mapenzi ❤ noma sana
Hongereni kwa ubora wa move pili tunashukuru kwakuzingatia mda
Asante
Congratulations 👏 kelvin na team yako, nawapenda sana 🇰🇪
Pamoja wa Kenya tupowengi jaman❤❤❤❤
❤❤nipee Langu Dadangu Mkenya😂😂
Love this move❤❤ from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪Kenya congrats🎉🎉🎉 Kelvin Victoria and lovenes
Mapenzi shikamoo 😂😂 xx ivi mm sitaki kupendwa wala kupenda xx ivi nataka kupendwa n pesa basi 🙌🙌
Nawapenda sanaa kazi nzuri mnayoifanya🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Asante sana 🙌🙌
Wana Donta asanteni kwa mafunzo mazuri nawapenda sana Kelvin na kundi lako nikwa 🇸🇦🇸🇦
Umupendaye anawake anayempenda mapenzi shikamoo 😢😢
Kabisa 😢
Marahaba 😅
😂😂😂😂😂😂marahabah
Et sikio la kufa halisikii dawa😄😄 ila Tinna bhana safi sana👍👍👍
Am from Kenya... Kelvin nakukubali sana bro kwenye movie zako ❤❤ big up bro
Kiukweli kupenda sio kazi kazi kumpata akupendaye
Jaman series zenu zina mafunzo sana ❤❤❤❤from 🇰🇪
Mamb
@@Joel-si3ic poa
Kweli kupenda sio kazi Ila kupenda ndo kazi na mapenzi yanauma
Naomba likes zawa Burundi wenzangu🎉🎉🎉 nawapend saan wa tz kaz nzuli saan❤❤❤❤
Ok what you we nem
❤❤❤❤❤❤ usije ukachezea mapenzi ya takupeleka pabaya mwinzio nalia😂 kwa sababu ya mapenzi
Hello 🇧🇮
Ndi napenda sn mv za kelvin
Ongera sana team kelven nawapenda sana ❤ uku Moçambique
Daaah inauzunisha na kuskitisha alie andika hi story Apewe mauwa yake 💯
kelvin badili story basi ndugu yangu tunapenda kukuona kwenye upande mwingine
wewe film zako zote KIJANA TAJIRI
BINTI TAJIRI zipo kama zote kka wakati tunaweza toa vitu vikali bila hizo title hiyo moja tu mkuuuu 😢
Nice ❤ movie kelvin watching from🇰🇪
Nakupenda sana kelve Victoria.love nawote mubarikiwe sana ❤❤❤❤🎉🎉
Emmy
Dada vicky mwenda tezi na omo marejeo ni ngamani😂😂😂😂😂😂😂 likes zangu basi kama wampenda vicky from 🇰🇪 to
Hii move wanaume ni kuongwa tu na wao wanaenda kuhong upumbav
Kelvin anaupendo wa dhati❤❤
Kabisa ❤️🙌
Unaigiza kwa hisia kali yaani duuuuh❤ love u more
Hongereni sana kwa hii movie mme reflect yaliyomo
Nakuku kubal sa kelvin unajua kuigiza mm shabiki wako nakukubal
Wadau si mnajua kuigiza keep on going
Iko vizuri Tuna ikubali bana ya kongo 😊 🇨🇩🇨🇩ila Kulialia mbele ya mtu unae udumia ni uchuro ,utakuwa mchaga wewe kama sikosei
Nimeamini kuwa manawake awafai braza kefi umetufundi sha😢
Team Kelvin Nawapenda Sana Kbx ❤❤❤❤❤❤❤. Manshalla Ongera Sana ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🇧🇮🇧🇮🇸🇦🇸🇦
Mapenzi ayafanani axhapata mtaalam❤
Aaaaaaah haka kawimbo big up San kelvn kanapatikana wap
Congrate team kelvin much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪💜💜💜💜💜💜
More love team Kevin ❤❤❤
16:03 ya mtia saip😅😮😮ni ya kiungo na mkataba😮😮
Viki yamekukuta,,,machozi ya Kelvin hayo ndio unalipa
I love u candy the way u mix ur language ❤
Mariam after kukula pesa ya Kelvin ndio unamwacha,urambwe kisogo Na shetani
Dah maisha ni mapito kweli siku zote unaempenda Sana ye hanaga mda na wewe tuwe waaminifu katika mahusiano jamani me nimejifunza kitu.
😢😢😢mm pia napitia tu yenye kelvin anapitia saivi ata sijui nfanye nn jaman
Kweli akupendaye haumpendi,na umpendaye hakupendi, love is pain, mapenzi shikamoo🖐🖐
Hatari sana 😢
Movie iko safi Tena nzuri ina fusa❤❤❤❤❤ sisi
Me ctk ata kusema wa ngap pia ctk like bt napenda kusema hii movie km utaitazama kwa makin bc utagundua km ime beba uhalisia wa maisha ye2 kwa sasa😭😭😭😭
Muko vizuri sana kaka Kevin muna juwa mpaka muna juwa tena
Nakubal muvi zenu aice ni nzur xana
Kelvin Khan unanitisha bro upewe maua Yako broooo, dada Loveness penda chanaa ww❤❤❤❤❤
Inauma sana pale unapo mhudumia mtu alaf anakuona izeeeee.dah....
Sure
Kupanda si kazi kupendwa ndoo kazi.❤
Maryam Sasa umejionea mwenyewe. Ndio mana ukaambiwa akuabiacho mwenzako kaa utafakari Sasa umeona😊❤😮 nawapenda nyote washiriki..., oll the best 👌 👍
Mapenzi shekamoo 8 month i don't have any one can love me like from Kenya mapenzi byeee🫡🫡🫡
nilipoona mganga nilitaka kukanseli, kumbe ndo nimefika nusu😀penda sana cevin
🎉umupendaye anawake anayemupenda haha mapenzi aky ❤❤❤❤❤
Kaka kelvin yatapita tu najuwa yauma sana
Funzo nzuli tunawafatilia 5/5 kutoka 🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Asante sana
Nice job ❤️❤️❤️
si move ingeitwa the game of love tu😂😂
Good work team kelvin ,,,,,
Naomba like za wa kenya wenzangu 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Mwanaume unapendwa alaf unaleta maringo njoo nikupende mm loveness npo single mm huu mwaka wa kumi naona tunaendana na ww mrembo❤❤❤❤❤❤❤❤❤ I Love Youuu
Kaka braun pamja xana na kelvin mwendo uwouwo 26:02
Hongera kwa kazi nzuri🙌🌹💕💞
Love 💕 it kelvin.good work
Moçambique ipo
Mapenzi shikamo🎉🎉🎉🎉
Unaye mupenda ana penda mwingine nayeye penye amekwenda hapendwi nishida❤🔥🇧🇮🇸🇦
Filamu hii ni nzuri sana lakini kitu kimoja tu rekebisheni Wengine ndokwanza tunaifuatilia hatujui episode 01 ni ipi na mwendelezo wake ni upi fanyieni kazi hilo 🎉🎉❤
big up Tina🎉🎉 maana angekuwa mwingine angekubali hangetaka kujua kwamba Mariam ni rafiki yake
Kelvin uko vizur kabisa💋
Na sisi wanyarwanda tupo makini kwa kufwatiria bongo movies
Congratulations Kelvin na team yako ❤❤❤
WA SABA LEO LIKE 7 ZIKAM😂😂😂
🔥🔥🙌
Nawapenda sana,mariam usisahau pia Nelly anataka Tinah,😂😂😂😂😂😂😂
Kelvin na team yako ya Donta tv mko sawa twajifunza mengi kupitia kwenyu
Wa kwanza jmni naombeni likes leo😢😢
🙌🙌❤️
Mi ni mgeni humu hiki kipindi kimenijenga sana , jameni naomba likes kutoka Kenya 😊
Sweet story
Hongereni sana jamani 💯💯💯🎉🎉🎉
❤❤❤❤
Uzuri nikwamba .mwanaume akishapenda hakumbuki mangapi mabaya unamfanyia..Wala Hana wakati wa kubishana nawew kwa mengi unayomfanyia bhasi
Asanten nyote nawatakiya kazinjema💘💌🙏🇯🇲
Pole sana kelvin kubali matokeo yakuachwa na mariam
Iko game of love ashatoa
Hayo matangazo yanatutolea mood kelvin
Muko vizuri xn lakin Kuna xehem ya matangazo mumefri
Kendo mchenzi Kweli blauni duuuh unanyota y kupendwah actuar hongera mariamo. Nakuchukiyaa
Pole sana kelvin nakuonea uruma😱😱😱😱😱🤦🤦🤦
Shabiki mgeni hapa manzee mnipe likes manzee❤❤❤alaf kelvin kazi poa bro
Nzuri❤❤❤ Big up team Kelvin🎉🎉🎉
Much love kelvin nipe jina ya nyimbo
Much love team voke😂
Kelvin una upendo wa dhati kweli❤
Kijana amechapwa character development akaweka simu Bond😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂
Ninachoshangaa kwenyehii muvi binti mwenyewe hampendi kijana masikini wara hawajakutana kazi kuwaisha kumalizatu muvi 🎉🎉 munazi ngua
Umetishaaa Sana Kelvin