Wakati mwingine huwa nafikiria unafikiri vitu vingine ambavyo hata wengine hatujawahi kuvifikiria..na moja kati ya video zako zilitumika kama fimbo ya mzazi kuniondosha nyumbani mpaka leo nashukuru nina maisha yangu..unachokifanya chaweza kuwa kidogo ila kwetu ni kikubwa.. Hakika mungu akuweke maana unastahili uhai mrefu. Inshaallah na mungu akupatie
Live long mwl.. Mwijonge Unafikiri kwakina na kuwaza kwamapana mnooo🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾 #Bora_Furaha, wengi tunaishi kwaajili ya wengne (Familia&watu tunaowapenda)
Ningebarikiwa kua na akil kama zako bro ningefurahi saana, but nakuenz kwa kukufatilia kila ufanyacho.mana huwaga sina tabia ya kukoment pahala ila kwako tu nafanya hivi. Ahsante
Washikaji mnawai kweli nyie lazima mfute ubao. Haya wote sambamba na mwalimu wa busara Mwijonge wapi like zake?
Hongera kwa kazi nzuri mkuu. Mchango wako ni mkubwa sana katika jamii, keep it up boss.
Maisha mzigo mzito, ukitoka kichwani begani, begani kichwani tena sio chini mpaka mwisho wa safari...
Ahsante kaka, Mungu aibariki kazi yako
Nakuelewa sana mkuu 🔥
Ebanae ww ndio mwalimu wangu nakukubali Amos uko shwari
Asante sana ndugu
Ausio aina noma
Iko very wise huyo mutu.
Let's live the highest ...
Who love this too ?
God bless you
🗣 daa kipaji aisee
Leo umetusema aya maneno sijua ata niseme nini ila nitafanya kitu kimoja nafuta kibao❤❤❤❤❤❤❤❤
Wakati mwingine huwa nafikiria unafikiri vitu vingine ambavyo hata wengine hatujawahi kuvifikiria..na moja kati ya video zako zilitumika kama fimbo ya mzazi kuniondosha nyumbani mpaka leo nashukuru nina maisha yangu..unachokifanya chaweza kuwa kidogo ila kwetu ni kikubwa.. Hakika mungu akuweke maana unastahili uhai mrefu. Inshaallah na mungu akupatie
Nimekuprnda buree... Barikiwa kwa wazo njema mno imenitia moyo
Ukiona kimeiva jua kinaozaa,, sawa its gud broo Amos mwijonge
Live long mwl.. Mwijonge
Unafikiri kwakina na kuwaza kwamapana mnooo🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
#Bora_Furaha, wengi tunaishi kwaajili ya wengne (Familia&watu tunaowapenda)
Big up brother. Hii ndo nimeirespect hundred percent.
kazi nzuri kaka Nairobi twasema pongezi
Hongera Sana broo
powerful Inspiration there bro keep the ball rolling 254 we love you 🇰🇪🇰🇪👏
Nakukubali Amos
Amosi bro unaweza nakubali saaaaana tangu yakwanza mpka hiii...
Brother! You have got a brain brother. #Kweli maisha ni mazuri, Ukiwa Save Others.
Congrats Sana ...Mrs your words really have an impact in my life,may Lord help you in everything you do 🙏🙏🙏
ongera sna kaka for this inspiration
Thanx
Mwl Amos nakukubali sana
Nakukubali sana mkuu,,,,nafanyia kazi maneno yako.
Nakubali kazi bro #mwambie mwanao
Jamaa anajua mpaka anaboa
When you have not you like you must like what you have ,I got you well my bro
Hapo umesema ukwel mtupu. .. kamanda. ....
Ww. N mwl bora
Nakumpenda sana my ndugu
Nakukubali sana.una maneno ya busara sana
Unajua sana boss
perfect keynote🖋
Mlungu atutaze..👏
unacho kipawa ndugu yangu
Broo nakubali sana kazi zako
Asante sana
Nmeipenda sana hiii
Happy to be hear. Mshairi mahiri
Maisha nimzigo mzinto sana ukichoka kuubeba kichwani unashusha begani kisha unaupandisha kichwani mpaka ufike🙏
Dah unatutoa mbali sana kwa kweli
Mungu akulipe kaka
Amen
Kama umerudisha rudisha nyuma tujuane
Kk kweli
Kubali sana kak Amos natamani ungekua mzee wng.
Chakula cha Ubongo. 👏🏻👏🏻👏🏻
Ipo siku ntakuwa kama wewe...nakukubali saana
Akili nyingi sana Mkuu 👏👏👏
Haya bwana kaka chitamile chielewe,
Always inspired by all your videos may you live long to keep on spreading reality to the world how many agree with me can I see 👍 on my comment below?
Thanx
@@AmosMwijonge always welcomed public mentor
Nakukubali sana amos mwijonge
Endelea kutufunza
Salute Amos tutaelewa tu na naamini tutafuta kibao
Asante
nakuelewa sana Bro Amos
Kak amos nakubal san speech zako
Daah this is incredible... salute broh
Kiukweli unastahili baraka nyingi sana
Amen
Hujawahi kosea kwenye hii sector ndg... God bless you
Nondooo za ubongoo
🔥🔥 respect
You are the best 👍👍👍👍👍
Daaaaah nimekupata brother
najifunza sana kaka
Safi
Mi nakuelewa sana kaka mungu atakulipa
xawa kk nakubal mwanang
Thanx
Wew ni my thecher
Kaka mm nakuamin sana
Unatisha San amoc mwijonge nakila cku ndazd kukufatilia kwa misemo yako inaelimisha..
maisha ndo haya hya tu😎
Futa kibao blessed
Wangapi wanamkubali
Big appreciation to you Bro
so nice
Kweli kabisa
Powa sana
Hakika maneno yako yana maono ya mbali sana
good job
Asante sana sana ubarikiwe
Vzuri san
Message nzuri sana
Wakwanza kuiona hiii makofi kwangu FUTAKIBAO
unatuweka sana saizi
Napata elimu kubwa , na ujuz kwako broo
Asante sana.Mungu akubariki
Asante kaka we ni jiniaz
asante sana
Nakuelewa xana kiongoz
Mb zangu hapa huwa hazipotei bure always natoka na kitu
Chakula cha ubongo
BIG UP BROTHER
Fact brother
Napenda Sana makala zako
Understandable
Ningebarikiwa kua na akil kama zako bro ningefurahi saana, but nakuenz kwa kukufatilia kila ufanyacho.mana huwaga sina tabia ya kukoment pahala ila kwako tu nafanya hivi.
Ahsante
Keep it
Hakika
Thanks again my teacher I love you to much
Nakubali
Unanikuna mahala husika kk
Safi Sana # positive mind
🕝🤔... 👏👏👏👍
Ntamjibu nn Israel
Amina kaka
Nakuelewa sana mkuu unatukumbusha tulio wengi
Asante
Amos!..nakwambia hata kama wengine wakikutaa,Mimi hii simulizi ya kwako imenijenga sana na ilibadilisha mfumo wangu mzima wa kuwaza..Hongera
Asante sana
Pamoja Bro
Hakika Amos wewe ulizaliwa utufunze na hakika mafunzo yako yanatufunza sana endelea kaka tupo nyuma yako tukijifunza
Tunajifunza na kuyatendea kazi ...kaka