Nafurahi sana, ujumbe mzuri sana, ujumbe with reference, Matumizi na thamani ya muda, mwaka 2016 nilisoma kitabu cha TIME MANAGEMENT, nikiwa field huko kijijini.
Uliniharibu sana Amos kisaikolojia kuhusu kugraduate na kutaka kuajiliwa since such day mpaka leo i hate kuajiliwa,,,nipo UDSM hapa namaliza mwaka huu nishatibuana na watu niliokuwa nafanya nao kazi pindi nikiwa field halafu confidently yaaani siwazi kurudi kwao hata kidogo,,,fikra nilizo nazo saiz ni kwamba baada ya kutoka UDSM narudi shamba one year natoboa maisha Amos,,,,ikiwa possible tuwe tunawasiliana 0744014124 takwambia nipo wapi kimaisha halafu bila bila kuajiliwa na boya yeyete...... miongoni mwa waliosiliwa na speech zako Amos ni mimi aseeeee👏👏👏
Mr mwijonge hakika wewe ni mtu mhimu hasa hasa Kwa waerewa ,maneno yako ni adimu na MTU akiyafanyia Kaz hakika hayatamtupa hivi hivi. Time the time before time times you
Kaka ni kweli mudu ndiyo muhim ktk maisha yetu..Ila tambua tunapishana sana kimaisha kuna mtu ambae analala huku akiwa ajui wapi pakuanzia kesho..Hana kazi ya uhakika hajui wp atapata ridhiki.Sasa sina hakika kama huyu anaweza kupanga ratiba yake ya kesho nk.Kuna wakati huwa nyie mlio fanikiwa hata kielim huwa mnafanya vitu kutokana na madhingira yenu pasipo jua wengine wanaishi vp.Nikukumbushe kuwa kuna watu walikuwa wakwanza kuwahi number shuleni ila walikuwa wa mwisho ktk mtihani.Sipingani na ww ila kumbuka maisha unayo ishi ww kuna wengine 100 hawapo kama ww..Yaani hawana kazi na pengine huwa wakwanza kutoka majumbani mwao ili wapate chochote ila bado hurudi mikono tupo..MUNGU NDIYO AJUAE MAISHA YA KILA ALIE MLETA DUNIANI.
Kama unamsikiliza kaka huyu mbaka mwisho...na unatoka ukiwa umejiinua kiakili ngonga like
Daaaah.....hakika unatuelimisha bro
The best speech ever...be Blessed brother
Time management, Time the time before time times you # Time is most valuable resource, Thank you unlimited mentor Amos mwijonge
Asante uncle inanifundisha sana Mungu akubariki ndugu
You are always the best brother, I can't be tired of listening your speechless
I'm proud of you brother, Time is precious
Nakukubali sana @amosi mwijonge
Nakukubali Sana mwijage kwa kweli nakuelewa
Gud, hujawah kufeli.
Kaka amos ww n balaaaa cjui unamachine kwny ubongo
Nakukubali bwana Amos. ..congrats
Ahsante sana kaka Amos Mwijonge .nimejifunza mengi.
Asante mwalimu kwa mafunzo yako
Nafurahi sana, ujumbe mzuri sana, ujumbe with reference, Matumizi na thamani ya muda, mwaka 2016 nilisoma kitabu cha TIME MANAGEMENT, nikiwa field huko kijijini.
Gd broo
True talk mzee......muda ni kila kitu...
Mwalimu huwa nakuelew sana siwezi kukupinga
Nakukubali sana broo
Bro huko vzuri big up
Hongera sana kaka uko vizuri
you're a good spoken brother keep it up
Hakika asante sana # nimekweelewah...vizur Mwl. ...
Utekelezaj kwa vitendo unaanza
Nakupenda sana
Safi sana brother ,tufanye tufikirie kwa upana na siyo hapo tulipo Mungu akujalie
Nakubari ujumbe wako kijana ujumbe wako unafaida katik Maisba ya watu
I like it bro 🌹
safi Sana mkuu tupo Pamoja
Sahihi vyema sanaaaa
Nzur brother
Kaka mungu akulinde
Uliniharibu sana Amos kisaikolojia kuhusu kugraduate na kutaka kuajiliwa since such day mpaka leo i hate kuajiliwa,,,nipo UDSM hapa namaliza mwaka huu nishatibuana na watu niliokuwa nafanya nao kazi pindi nikiwa field halafu confidently yaaani siwazi kurudi kwao hata kidogo,,,fikra nilizo nazo saiz ni kwamba baada ya kutoka UDSM narudi shamba one year natoboa maisha Amos,,,,ikiwa possible tuwe tunawasiliana 0744014124 takwambia nipo wapi kimaisha halafu bila bila kuajiliwa na boya yeyete...... miongoni mwa waliosiliwa na speech zako Amos ni mimi aseeeee👏👏👏
Amos kaka unaongea ukweli brother na hakika unawagusa watu kutokana na ukweli wako asante kaka elimu yako nzuri
Daah bro respect
hili ndilo lilikosekana Tanzania sasa lipo wacha tufaidi ahsante kk
Aisee uko vzr bro
Dah! Nimeelewa kinoma
Kweli tatizo muda
somo nzuri mwalimu..... Nashukuru Kwa kusaidia kujenga fikira yangu.Shukran
nakuelewa Sana kaka
Wa!! Mda nikila kitu
Daah nakuelewa vyema
Kaka Amos, umesema ukweli kabisa
asanteee aseee
aiseee umetishaa
😂😂😂😂😂😂😂😂mwanaume anafut nne na nusuu
kwel bro unaweza
Muda. Asante sana kwa ukumbusho.
nakubali kaka
Mr mwijonge hakika wewe ni mtu mhimu hasa hasa Kwa waerewa ,maneno yako ni adimu na MTU akiyafanyia Kaz hakika hayatamtupa hivi hivi.
Time the time before time times you
Kaka ni kweli mudu ndiyo muhim ktk maisha yetu..Ila tambua tunapishana sana kimaisha kuna mtu ambae analala huku akiwa ajui wapi pakuanzia kesho..Hana kazi ya uhakika hajui wp atapata ridhiki.Sasa sina hakika kama huyu anaweza kupanga ratiba yake ya kesho nk.Kuna wakati huwa nyie mlio fanikiwa hata kielim huwa mnafanya vitu kutokana na madhingira yenu pasipo jua wengine wanaishi vp.Nikukumbushe kuwa kuna watu walikuwa wakwanza kuwahi number shuleni ila walikuwa wa mwisho ktk mtihani.Sipingani na ww ila kumbuka maisha unayo ishi ww kuna wengine 100 hawapo kama ww..Yaani hawana kazi na pengine huwa wakwanza kutoka majumbani mwao ili wapate chochote ila bado hurudi mikono tupo..MUNGU NDIYO AJUAE MAISHA YA KILA ALIE MLETA DUNIANI.
safi sana kaka you taught
Atari sanaa
safi sana
ukopoasana brother
Nimepona
Shukran Sana nimejifunza kitu
Ubarikiwe
asante kaka tunajifunza mengi kutoka kwako
Ukosawa kaka
Yani hujawahi kuniangusha, kwakweli sijappteza muda kusikiliza haya madini
Nimeipenda sana
Like twende sawa
Nzuri sana
👊👊👊👏
Ninamkubali
Hlw safi mwaijonge
Respect sn bro
ujumbe mzuri kaka
Bro ungekuwepo enzi zile ungekua miongon mwa philosophers
respect sanaa
nimeipenda sana kiongozi
WEWE NIMOJA WA COACH AMBAYE NATAMANI KUONANA NA WEWE SEMA MAWASILIANO HAJATOA KAKA
asant kaka muda
Umetsha kk
Kaka naomba nipate nafasi ya kuongea na wewe Nina Jambo nataka tuzungumze
Nijifunza kupitia hiyo historia ya mchungaji na mbunge
Asante sana mwalimu
Nikwel usjutie kupotez mda kwan n kupoteza MD nimekuelewa
Asantee
Tusiupoteze muda Kwa mambo yasiyo na manufaa
kaka unapatikana wapi nataman kua mwanafunzi wako unanikosha sana
its true dady✔
kaza buti nasi tuelimike tafadhali.
The message
Umenikumbusha kitu
Nice
Brother. Nimejifunza matatu hapo
#HAKIKA_MAFUNZO_YAKO_NIMAZURI
Ok
👏👏👏
nakuelewa sana kaka Amos mwijonge
sawa
🙇🙇🙇
umenfanya ntumie mtandao kwa maslahi yaan kutumia frusa
Asante kaka
Safi
Salute you bro Amos...
iko poa
Nakubari kaka
safi sana
Safi