Shukran sana mwalimu mwijonge kwa maneno Yako ya busara yanatukuza sana kihekima, ni Maxwell kwa niaba ya Kenya mungu akuzidishie ili uzidi kukuza vizazi, ni matumaini yangu kuwa ipo siku nitakutana nawe nikusalmie uso kwa iso....
Aaaaah jamani jamani hili sio somo jamani hii ni DAWA. Mm baada ya kusikiliza kwa umaakini nimejikuta nimepata uhuru kabisa coz nimesalitiwa na mtu niliekua namuamini na kumpenda..Asante Mwalimu...
Hakika Sana yani Kuna mwalim alaf Kuna mwalim Amos mwijionge lov from Zanzibar
Dunia haijaumbiwa watu wanyonge asante mwalimu wangu st johns product👏🏻
Mema yakufuate kila uchao,mafunzo yako nayaenzi sana mwamba. ❤❤❤
Mwalimu ni mmoja tu Mwl. Amos Mwijonge unatuinua sana na mafundisho haya toka fasihi yako
Nakubaliana na wewe aise kazi njema na
Bado nasidi kukuombea Dua mwalimu uwe saidi ya bingwa sababu aushi za watu zimebadilika sababu yako...
Amen
Kama umerudia zaidi ya mara 10 kama mm gonga like yako hapa
Nikajuwa pekeyangu
Asante mwalimu maisha ni bora sanaa tukaze buti twende mbeleee
Duh hii ya leo imenchanganya sana maneno yanajirudia mpaka na me narudia rudia 😅
Teacher, madini mazuri kichwani
Ujumbe Mzuri SANA Mungu Asimame Nawe Unamchango Mkubwa SANA
Amen
Nakuelewa sana mwalimu
Maneno yako yananipa ujasiri mkubwa sana
Ubarikiwe mwalimu wangu🙏
WELL DONE
Amen
Asante sana
Good watu wanao fundisha vitu vya mana Hawa pati propomotion watu wanao fundisha vitu vya hovyo Cha ajabu ndio wanapewa propomotion 😢😢 good teacher
Hii dunia haikuumbiwa watu wadhaifu.
Mapenzi yakikushinda penda hata pesa.😁😂
Nayakubali sana haya mambo ya mwalimu
Huyu jamaaaa nomaaa sana Ana kitu ATAFIKA mbali
Ya leo ni umenilenga mimi kabisa
Mungu akubariki Amos pamoja na UPT kwa jumla,
Mafundisho yako yanajenga kwa hakika✊
Amina
Kweli Mungu akupe faraj
Inshallah yarabi nita jifunza kwa nguvu zote za Allah
Mungu akupe maisha malefu❤❤❤❤
Nakupata vilivyo Mwalimu nikiwa Songea
Ok unajua nimekufuatilia miaka sasa trust me unajua
Amazing🔥🔥#mwalimu ✊ tunakupata vizurii huku burundi🇧🇮
Niceee. Ujumbe mzurii sana
Shukran sana mwalimu mwijonge kwa maneno Yako ya busara yanatukuza sana kihekima, ni Maxwell kwa niaba ya Kenya mungu akuzidishie ili uzidi kukuza vizazi, ni matumaini yangu kuwa ipo siku nitakutana nawe nikusalmie uso kwa iso....
kabisa mwalimu Amoso
Nakubar San kk unajuaa
yaaah ushi sana unatujenga sanaaa
Munguakupemaisha marefu
Dah! Nimekuelewa mwalimu
Aaaaah jamani jamani hili sio somo jamani hii ni DAWA. Mm baada ya kusikiliza kwa umaakini nimejikuta nimepata uhuru kabisa coz nimesalitiwa na mtu niliekua namuamini na kumpenda..Asante Mwalimu...
Alhamdullilah ❤
Kaka ubarikiwe kbs
Nakubaliii kakaa ,tichaa
Kitabu kaka
Utakapogundua kuwa we ni Nani utakuwa huru San, unlimited trainer MUNGU akuzidishie maalifa kaka
Kazi bora
Asant my mentor..📌
Nimeiskiza mara mbili wallahi...nakukubali zaidi ya sana
Asante sana
Your more than a teacher.
Ahsante kwa ujumbe mzuri
Hakika sijutii kuangalia Video zako na kusikiliza Madini yako.
Mwalimu amenifunza mengi 🙏🙏
😢bro unanjua kwani mbona kama unanichana 😢asante
Hujawahi kukosea kiongozi 🙏🙏
Asante sana sana Amos kutupatia nguvu safali bado inaendelea nakushukulu sana 🤝
Bunifu
Good job
Mwalimu hiii umenigusa sana😢
Mapenzi yangu kwako❤ talking from kenya ✊
Love from TZ
Fantastic
Brother respect so much you,,,
I appreciate that
best of the best
Mwalimu mwenye busara
Fire
I feel alive ❤️
Nomaaaaa
Kutumia akili lakini akili na pesa tusizitumie kwenye mapenzi
Ni kaujinga tu
Kula chuma icho 😂😂😂
Bro napenda advice yako naeza ongea na ww
Thanks sana, professor
God bless you
Amen
I agree with you bro
Teacher unavitu vya ziada
❤❤❤
🙏🙏🙏🙏
Thank you toucher
👨🏻⚕️
✅☑️
Chilihamonga muwaha*
Mwalimu naomba namba yako ya Whatsapp
Congratulations to you our teacher please may you help your phone number