WAIT FOR ME - PART 02 - SIMULIZI YA MAPENZI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 138

  • @violethezekiel251
    @violethezekiel251 Місяць тому +2

    Hongera Anko Jay, kwa simulizi tamu na nzuri.

  • @wilkisteradhiambo3072
    @wilkisteradhiambo3072 Рік тому +7

    Kwaa kulia huku kote nimelia kumbe Sadrat ni mzima ooh, Mwendo unajuwa kuniliza kweli , Anko Jey Asante maana sauti Yako inafanya hadithi iwe tamu na ya kuvutia❤❤

    • @shariffamariam
      @shariffamariam 10 місяців тому

      😂😂😂 kumbe na wew nimuhanga

    • @SuzzyDaudy
      @SuzzyDaudy 2 місяці тому

      Tumelia weng kumbe😅

  • @sumeiyamaddy95
    @sumeiyamaddy95 Рік тому +6

    Story nzur sana hongera my wajina

  • @zenaathumani8144
    @zenaathumani8144 Рік тому +5

    Asante sanaa ankojay kwa mwendezo Wa simulizi hii bomba kweli kweli ❤❤❤❤❤😂😂😂

  • @fatimafoaani2263
    @fatimafoaani2263 Рік тому +1

    Sawa ankooooo tunakusubiri kama unavyo sema simulizi tunaweza ita nisuburi, yeah my love tume enjoy sana mungu akubariki sana twashukuru sana anko wetu kipenzi kwa kazi nzuri zidi kubarikiwa sana

  • @ZinaTanzani
    @ZinaTanzani Рік тому +4

    Jamani shukran anko Jay Allah akujalie riziki na maisha marefu

  • @dianandabirorere6365
    @dianandabirorere6365 Рік тому +7

    Wow,wakwanza jamani❤❤🎉asante sana Anko kwa muendelezo

  • @ashamenza2212
    @ashamenza2212 Рік тому +2

    Nimefika twendeni wait no more haaya Ankojay Asante saaana kwa kutumalizia hii simulizi taamu

  • @peninahmmbone4648
    @peninahmmbone4648 Рік тому +4

    From 🇰🇪🇰🇪 nimekamata position kuskiza part 2 😜😜😜 WAIT FOR ME, sante Ankojay ❤❤❤❤ much love🥰🥰🥰

  • @salmasasha
    @salmasasha Рік тому +4

    Waooh wa kwanza leo ❤❤❤ asante anko jay

  • @ziadamtebwa3712
    @ziadamtebwa3712 Рік тому

    Pole shadraka mipango ya mungu Asante Anko j Kwa simulzi nzuri Sana na mtunzi

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 Рік тому +2

    😂😂😂😂😂 nimecheka yangu yote mzee amelazwaa motchary kumbe ilikuwa ni mpango ndoawache pombe sasa😂😂😂amekomeshwaa

  • @sophiahassan-kn7ov
    @sophiahassan-kn7ov Рік тому +4

    😊😊😊love you soo much Anko 😊😊😊

  • @ColethaMwenda-qd1ck
    @ColethaMwenda-qd1ck Рік тому +13

    Nimewahi na mm naomben like zangu

  • @aumuelly2909
    @aumuelly2909 Рік тому +2

    Sijachelewa love❤❤❤anko Jay simulizi na jopu yako yote mnatupa mazuri kwakweli ❤❤❤😂

  • @violetmulya
    @violetmulya Рік тому +3

    Waaah kama kuna simulizi zimeniliza ni hii hapa na Ile ya siku za mateso😭😭😭😭😭😭😭💔💔💔💔💔💔 hiyo ndoto I say SUMAIYA MWENDO umejua kuniliza😢

  • @zainabjordan5659
    @zainabjordan5659 Рік тому +3

    Although I lost a lot of tears but at least it was just a dream, thanks 👍❤️

  • @PamelaLemmy
    @PamelaLemmy 10 місяців тому +1

    Nimechelewa jamn anco we kibokoo Yan baada ya mambow yote kumbe shedrack alikuwa anaota mi mpaka nililia et any way nakupenda sana❤️

  • @shadyasalum192
    @shadyasalum192 Рік тому +1

    Yaani hapa burudani ANKOJAY yaani tunainjoi maua yake 🌹🌹SUMAIYA MICH U❤

  • @olyoly9992
    @olyoly9992 Рік тому +1

    Asante ankojay nineinjoy hii simliz ya mapenzi ya kweli duu

  • @baireshehe1414
    @baireshehe1414 Рік тому +1

    jamani anko jay asante sana kwa kitisimilia simulizi nzuri 😊

  • @shantellekwamboka7444
    @shantellekwamboka7444 Рік тому +1

    Simulizi tamu Anko nimelia hapo ....,,, kumbe pia nilikuwa ndotoni, anyway am happy being in a happy family with our "Anko Jay"" long life ❤ 🎉

  • @beatricesemiti5997
    @beatricesemiti5997 Рік тому +3

    😂😂unaiba pesa ya mtoto ukalewe alafu unajikuta mochwari kali baba Sidilat pole

  • @LyidiaSilayo
    @LyidiaSilayo Рік тому +1

    Waoooh I like it anko jay penda sana wewe ❤❤❤❤❤

  • @umi-je4qm
    @umi-je4qm 2 місяці тому

    Asante pia kwakuniliza 😂😂😂 ujuwa ina fanana ma8sha halisi ❤❤❤❤

  • @emilyadhiambo4540
    @emilyadhiambo4540 Рік тому +3

    Anko jay umejua tuliza wenzio kumbe ndoto umetuweza 😂😂

  • @Winniequinepretty-wm7rr
    @Winniequinepretty-wm7rr Рік тому

    Shukran kwa simulizi nzuri Anko jay ❤❤❤

  • @NawMi121-lj8cf
    @NawMi121-lj8cf Рік тому +6

    Wakwanza Leo 😂😂😂😂😂

  • @rachypsalms2869
    @rachypsalms2869 Рік тому

    Tamu 😍😍😍😍thank you Anko

  • @AgnesBaya-f7r
    @AgnesBaya-f7r Рік тому

    Asante Akoy j Kwa simulizi tamu❤❤❤❤❤🎉

  • @samsungoman5626
    @samsungoman5626 Рік тому

    Kweli tume enjoy anko asante kwa simulizi nzuri

  • @nancybendera9011
    @nancybendera9011 Рік тому

    Aaaaaa😂😂😂nilikua nikikumbuka sidrat amekufa nasema maskini kumbe mzima umenitatiza sana we jay mapesa

  • @elizabethlucky8200
    @elizabethlucky8200 Рік тому +2

    Hey leo nimekuwa wa tatu thanks Ankojay ❤

  • @nelly-r6v
    @nelly-r6v Місяць тому

    Asante ankojay kwa story tamu ❤❤❤🎉🎉🎉

  • @rehemahassan486
    @rehemahassan486 Рік тому +2

    Asante Ankoj kwa muendeleza ❤

  • @CellespenceMuhavi-lf5rv
    @CellespenceMuhavi-lf5rv Рік тому +1

    Walai nimecheka Sana babake sidrat 😂😂😂eti alilala mortuary mm ningekua wao singeficha kicheko 😅😅😅

  • @hdhjdh775
    @hdhjdh775 9 місяців тому

    Asante San Anko Jay❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @Jacsonimassawe8
    @Jacsonimassawe8 Рік тому +1

    Nipe we like zangu

  • @leah5307
    @leah5307 10 місяців тому

    Asante sana.Anko jay kwa story taamu sana

  • @jacklinebundi8213
    @jacklinebundi8213 Рік тому +1

    Thanks AnkoJ kwa simulizi tamu

  • @saumukambi8562
    @saumukambi8562 Рік тому

    Wakwanzaa mieeeee💃🏻💃🏻💃🏻

  • @sarahhagai8191
    @sarahhagai8191 Рік тому +1

    ❤❤❤❤❤❤ number one❤❤❤❤

  • @MariaMa-n5b
    @MariaMa-n5b Рік тому +2

    Sijachelewa sana❤❤❤

  • @sabinamasangwa293
    @sabinamasangwa293 Рік тому +1

    Anko your talented for sure thanks

  • @saraasatenisanasimlizimixc9232

    😂😂😂😂😂😂Yani nimecheka kweli baba sindiati kwa kulala mochwali

    • @saumunyadzua
      @saumunyadzua Рік тому

      😂😂😂😂😂😂pia mimi sina mbavu kabisa

    • @jinaanhkareem3650
      @jinaanhkareem3650 2 місяці тому +1

      Yani acha tu nishapata mbinu yakumfanya mtu aache pombe

  • @doricedeus7587
    @doricedeus7587 Рік тому +1

    Nimewai tena❤️❤️❤️❤️

  • @zuenahz5514
    @zuenahz5514 Рік тому +1

    Yaani anko Jay jinsi ulivyo tofauti kabisa na sauti yako 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @yusrambodze3804
    @yusrambodze3804 Рік тому +3

    Nimejaribu leo vipenzi like zenu bac😊😊

  • @tabiasalum3381
    @tabiasalum3381 Рік тому +1

    Hongera kwa kuwai

  • @polinlizzlizz
    @polinlizzlizz Рік тому +2

    Namba four

  • @FatumaHamisi-sr6yj
    @FatumaHamisi-sr6yj 9 місяців тому

    Hongera sana anko 🥰🥰

  • @sadikituji-rd5od
    @sadikituji-rd5od Рік тому +1

    Sawa Asante kaka

  • @binthassan9191
    @binthassan9191 Рік тому

    😂😂😂😂😂 hapo pa huo ugonjwa Anko jay umenipiga tatu bila . .hebu rudia sijakuelewa 😅😅 Anko ❤

    • @ankojay_
      @ankojay_  Рік тому +1

      😂😂😂😂😂

    • @rizmwMwriz-mf2cu
      @rizmwMwriz-mf2cu Рік тому

      @@ankojay_ imekuwaje c nlisikia sidraka amekufa mbona leo ii wanafunga ndoa,,mbona c kuelewa ppamekuwaje

  • @Syviahalex
    @Syviahalex Рік тому +9

    Kunanadeki wolololo nimekua wa kwanza leo😂😂😂naombeni like yenu please

  • @selfamitche3530
    @selfamitche3530 Рік тому

    Fantastic ❤❤❤

  • @polinlizzlizz
    @polinlizzlizz Рік тому +2

    😢😢😢😢 ukweli wa maneno mimi leo story hii Niko na maswali mengi sana moyoni mwangu anko jay kama huyu msichana alikufa how comes tena ndio huyu anafanya harusi

  • @binthassan9191
    @binthassan9191 Рік тому +1

    Hey guys why you didn't wait for me 😢NO WAHALA😂wacha nisikilize kwanza..Ahsante Anko jay kwa muendelezo wa simulizi yetu nzuri bila kumsahau mwandishi wetu Sumaiya mwendo ..mubarikiwe sana ❤❤❤❤

    • @Syviahalex
      @Syviahalex Рік тому

      Sorry dia next time we will wait for you😂😂

    • @binthassan9191
      @binthassan9191 Рік тому

      @@Syviahalex 🤣Achante ❤️

  • @AgnesBaya-f7r
    @AgnesBaya-f7r Рік тому

    Pole nilikua busy kikazi it depends ni kiwa free naeza angalia Kwa siku moja.

  • @beatriceonsongo9915
    @beatriceonsongo9915 Рік тому +5

    ❤❤❤ 🇰🇪

  • @ziadamtebwa3712
    @ziadamtebwa3712 Рік тому

    Asante sumaiya mwendo

  • @groveyagroya1280
    @groveyagroya1280 Рік тому +1

    😂 Mini penda tu kingreza

  • @binthassan9191
    @binthassan9191 Рік тому

    I'M WAIT FOR MY BOBO ❤😊PLEASE DON'T KEEP ME WAIT FOR LONG 😊😂

  • @DeboraMwasweba-ij4qf
    @DeboraMwasweba-ij4qf Рік тому +1

    Sjachekelewa kivilee❤❤❤

    • @wardatjr9650
      @wardatjr9650 Рік тому

      Hi simulizi imenitoa machozi wallah ,,😭😍

  • @RayaSaid-ro7iz
    @RayaSaid-ro7iz Рік тому +1

    Ya motoooo

  • @ndayisabaneema9514
    @ndayisabaneema9514 Рік тому +1

    Anko nimelia sana nikidhani amekufa kweli

  • @emilyadhiambo4540
    @emilyadhiambo4540 Рік тому +1

    Nimecheka sana baba kaamkia mortuary 😢

  • @violetmulya
    @violetmulya Рік тому

    Top twenty ❤❤❤

  • @aminah9557
    @aminah9557 Рік тому

    Wooow am number 15 today ❤❤❤❤

  • @paskaziabulimba8179
    @paskaziabulimba8179 Місяць тому

    Nimecheka sana ety mochwary😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ ank

  • @حمدانالحويطي-م8ك

    Hakika mapenzi ni uchizi na kwa wakati mwingine ni ujinga ila pale tuu mtu ameopewa na kuonyeshwa mapenzi kama yote na mapenzi yalio yakweli

  • @SumayyaahMuzzammil
    @SumayyaahMuzzammil Рік тому +1

    Jmn ankojay hiyo fistula ulivoitaja😂😂😂😂

  • @fahmimohd261
    @fahmimohd261 Рік тому

    ❤❤❤❤ asante ankoj

  • @Salhah-v9h
    @Salhah-v9h Рік тому +1

    Uyuu. Mkasa. Hakika. Nimtam

  • @tinershayo6191
    @tinershayo6191 11 місяців тому

    Sijaielewa mara kafa mara kaolewa 😊

  • @GraceBakari-wo8ly
    @GraceBakari-wo8ly Рік тому

    Asante nmekua watatu leo

  • @BerthaJustin-k3u
    @BerthaJustin-k3u Рік тому

    ❤❤❤❤
    🔥🔥🔥🔥🔥

  • @annahnyansiaboka451
    @annahnyansiaboka451 Рік тому +1

    Asante ila Leo umetuchanganya aki anko j

  • @laweluagustino6703
    @laweluagustino6703 Рік тому +1

    Waooo

  • @زينزوادي
    @زينزوادي 8 місяців тому

    Jamani pombe sichai hakika nimejikuta nimecheka yani mutu unakunya hadi unazima iyikali

  • @حمدانالحويطي-م8ك

    Ahsaanko jay na team yako kwa binding mnavyo jitoa kwa akili yetu kuhakiki kuwa tunapata vitu vyilivyo bora na vitupavyo raha

  • @gladyssamba8370
    @gladyssamba8370 Рік тому

    Anko jay hapo mwisho sijaeliwa kidogo si huyu mwanamke amefariki ama vip...ama alikuwa anaota

  • @PhoebeWafula-d6c
    @PhoebeWafula-d6c Рік тому

    ankojoy nitumiye Nataliya plzzzzzz part2

    • @ankojay_
      @ankojay_  Рік тому

      Mbona ipo, andika NATALIA PART 2 utaiona

  • @THEDONSIMULIZI
    @THEDONSIMULIZI Рік тому +1

    🔥🔥🔥🔥🔥

  • @jacklinekwamboka6245
    @jacklinekwamboka6245 Рік тому

    Asant ❤❤❤❤

  • @dashuushu6883
    @dashuushu6883 Рік тому

    Nice

  • @AbelinJoselini
    @AbelinJoselini 9 місяців тому

    Ankoj ankoj ankoj nakuomba niseme pumbavu wewe mi nalia nikijua amekufa kumbe ndoto yaaaani hiii ni dharau kubwa machozi yangu jaman

    • @avelinabaluhya2804
      @avelinabaluhya2804 8 місяців тому

      😂😂😂😂kwani hata angekufa anakufa kweli😂😂😂😂😂na wewe 😂😂😂

  • @MwanatumuJumaa-rj4fg
    @MwanatumuJumaa-rj4fg Рік тому

    Ahsante sana .wacha tuone kuna nni huku.naenjoy nkiwa ksa

  • @LizaLiza-v2m
    @LizaLiza-v2m Рік тому +2

    Namie wa 17

  • @Babyfaty-m3y
    @Babyfaty-m3y 9 місяців тому

    Nilijuw sdrat amekufa kwl yaan mpk hurma kumbe yte ni ndoto tu 😅😅😅😅

  • @Salma-zi6hn
    @Salma-zi6hn Рік тому

    Asante uncle

  • @EmmaOnalloh
    @EmmaOnalloh Рік тому +1

    ❤️❤️❤️

  • @jinaanhkareem3650
    @jinaanhkareem3650 2 місяці тому

    Na baki na Imani moja kwamba alieumbwa kuishi aliumbwa kuaidi na sio kila anae toa ahadi lazima aitimize na kumbukumbu ulizonazo kuhusu juu yangu sio lazima uzifute Bali unaweza kuuanza mwanzo na kutengeneza kumbukumbu nzur kuliko ulizokuwa nazo kwangu sikuumbwa kuishi ktkt safari yetu ya ahadi huu ujumbe aisee kumbe ndoto khaaa 😂😂😂😂

  • @jinaanhkareem3650
    @jinaanhkareem3650 2 місяці тому

    Aisee hii simulizi Imenigusa kinoma yani 😢😢😢😢

  • @Kellyperry947
    @Kellyperry947 Рік тому

    ᴬᵏⁱ ⁿᵃᵛʸᵉ ⁿⁱᵐᵉˡⁱᵃ ʷᵃʰᵃˡᵃ ᴬⁿᵏᵒʲᵃʸ ʷᵉʷᵉ😮😮

  • @yusrambodze3804
    @yusrambodze3804 Рік тому +1

    😂😂😂😂Anko jay uthera what....

    • @ankojay_
      @ankojay_  Рік тому

      😂😂😂 hivyo hivyo

  • @Loy-g2m
    @Loy-g2m 9 місяців тому

    Jamani mbona mnatuchanganya jamani mpaka tunalia watu

  • @baireshehe1414
    @baireshehe1414 Рік тому

    Shedi lakini umejia kunihuzunisha🥺 mpaka choz😢

  • @رحيمةتنزانيا
    @رحيمةتنزانيا Рік тому

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🙏🙏🙏🙏

  • @doricedeus7587
    @doricedeus7587 Рік тому

    🤣🤣yani nilianza kulia kumbe alikuwa anaota

  • @RahoubMohammedy
    @RahoubMohammedy Рік тому