Hayo matatizo ya maji Pemba ni ya makurdi,maana maji Pemba yako kwa wingi,mpaka baharini maji safi yako.Tatizo kubwa ni uwajibikaji.Mpaka hii Leo hapo Wete wananchi wanapata taabu ya maji.
Kakosea sana Waziri kusema wenye akili zao. Hapo sisi tunafahamu kua Waziri kamaanisha kua wengine hawana akili akiwemo Muheshimiwa Suleimani!! Daaah...majibu mengine hayaa
Kauli ya mheshimiwa kusema watu wennye akili zao wanajuwa hajakusudia uwenda wazimu Kwa nilivyo mfahamu kakusudia watu wenye uelewa wasomi,wataalam Wa kijiji cha michungwani .sio kma kijiji kizima ndio wana elimu na uelewa huo
Huyo waziri mm binapsi niliomba umeme nilikaa miezi 6 tangu kuomba nikamfuwata yeye aka nambia nyie wapemba munshida kwli mukijenga kichumba kimoja mwataka umeme kwli nilisikitika sna
Kijana hongera sana sana. Ahadi hewa hawa. Hawamsaidii Raisi kwa nguvu moja.
Safi sanaaaaaa
Kajibu vizur lakin tatizo ni kuwa hawatekelezi ndio chanzo cha huu mvutano
Miaka 60 bado watu wanajadili maji tu
Maji na bara bara tu alo usiseme maendeleo hamna
Hayo matatizo ya maji Pemba ni ya makurdi,maana maji Pemba yako kwa wingi,mpaka baharini maji safi yako.Tatizo kubwa ni uwajibikaji.Mpaka hii Leo hapo Wete wananchi wanapata taabu ya maji.
Hawa ndio mawaziri wa Serikali ya CCM na majibu ya kihuni kyltk Chombo muhimu ktk nchi
Huyo waziri nimjeuri sana hawezj kusema wwnyeakili zao inamaanatupo wengune hawana akili hatutaki malumbano peleka majj safi nasalama ww unaweza ishi bila yamaji umeyavulianguo yakogetu
Kakosea sana Waziri kusema wenye akili zao.
Hapo sisi tunafahamu kua Waziri kamaanisha kua wengine hawana akili akiwemo Muheshimiwa Suleimani!!
Daaah...majibu mengine hayaa
Ndio han kashambiwa wataalam wapo
Hawana maji hao kama huu mwaka wa 5 kila siku keshokesho
Waziri kimeo hata majibu hana
Ee slelemani we sele sele. Baba sele tunakukubali sanaaaaa
Watu wengine sijui uwaziri wameupata vipi
abdul mbarouk acha kusema usioyajua
Suala la maji limekua kero ila mm najiuliza. Kwan hatuwezi kuyatransorform hard water to soft water. Ukizingatia tumezngukwa na bahar.
Juma,hilo wazo ni zuri lakini kwa Zanzibar,mpaka sasa,sio lazima.Maji safi yapo kwa wingi ila hakuna nia dhati ya kuondoa kero hilo
Hasara ya kuchagua waeskilishi walio na elimu finyu. Waziri uwe na elimu ya problem solving otherwise utadhalilika.
We una firwa kweli kwan si wajbu kufikishiwa uo umeme nynyi wanguja ni wa binafsi sna
Yani badala muongee apo munachimba hamuchimbi munasema wakakae nyinyi vp acheni mambo ya kizamani watu wanapa tabu
Wao kw wao wavutana
Shida maneno bila vitendo
kwani lazima wachimbe apo,ciwayatoe sehemu nyengne wayapeleke,mbona rahsi tu,yandika mabomba ata wete muyapeleke kichungwani,mnakosea wapi serikali
Dah mtihani
Kauli ya mheshimiwa kusema watu wennye akili zao wanajuwa hajakusudia uwenda wazimu Kwa nilivyo mfahamu kakusudia watu wenye uelewa wasomi,wataalam Wa kijiji cha michungwani .sio kma kijiji kizima ndio wana elimu na uelewa huo
Maigizo plus ,tembo na nyani na simba .
Huyu jamaa kiboko
Hatabado