KUMBE CHIMBUKO LA KANISA LA EAGT NI HILI, MKE WA MUASISI WA KANISA AELEZA SIRI NZITO, TULILALA NJAA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 15

  • @patchomwamba9529
    @patchomwamba9529 8 місяців тому

    Kazi ya Mungu si rahisi tunashukuru Mungu kwaajili yenu mama maana kazi mmeinya

  • @NestoryKamole-w8s
    @NestoryKamole-w8s 20 днів тому

    Kazi ya Mungu ni njema sana amen

  • @NorbethJosphath-hm1zb
    @NorbethJosphath-hm1zb 5 місяців тому

    Wadada igeni huyu mama wala hasuki hajapaka rangi amefaa nguo zakusitiri asante bibi Mungu akubariki

  • @DenicePalapala
    @DenicePalapala 4 місяці тому

    Mungu amtangulie sana huyu mama

  • @rhoidambajuka5747
    @rhoidambajuka5747 10 місяців тому

    Mungu ni mwema tutafika mbali Kwa uweza wa Mungu Eagt yetu ,kanisa langu ,habari njema Kwa wote

  • @AsikofuZakaria-up3xr
    @AsikofuZakaria-up3xr 4 місяці тому

    Amina

  • @ashamhina7319
    @ashamhina7319 Рік тому

    ❤🙌🏼🙌🏼Mungu azidi kuwabariki

  • @ErnestinaKisinga
    @ErnestinaKisinga 8 місяців тому

    Amen mama mwambieni kuhusu mapambo bila ivo mbingu sio zake

    • @stevenstationary
      @stevenstationary 4 місяці тому

      Unamaanisha Nini weye

    • @GeraldMyuku
      @GeraldMyuku 4 місяці тому

      Usikaririshwe neno lijue neno na maneno Yako watu watakielewa

  • @ainekishagodwin1877
    @ainekishagodwin1877 10 місяців тому

    Amen mama

  • @marionoti5760
    @marionoti5760 Рік тому +2

    Tunaelewa sana kuwa, kanisa la EAGT ni zao la ugovi wa mapato kati ya Razaro na Moses(wote wakiwa ni wale wanaojiita walokole, Wamembinafsisha Mungu wakiaminisha kuwa Roho mtakatifu anawasikiliza na kuwashukia wao zaidi ya wengine.

    • @adkajisi4536
      @adkajisi4536 Рік тому

      Vipi hawana tofauti kiimani?

    • @SMEDIA298
      @SMEDIA298 Рік тому

      Pole Sana Jitahidi kumtafuta MUNGU utaelewa Tu

    • @patchomwamba9529
      @patchomwamba9529 8 місяців тому

      Sijui unaongea nini omba ufahamu waki Mungu