NIVA ,AICHAMBUA NYUMBA YA MWIJAKU,AKATAA SIO YAKE "NAMJUA MWENYENYUMBA .

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 вер 2024
  • #bongo24 #mwijaku #niva

КОМЕНТАРІ • 23

  • @nataemsuya
    @nataemsuya 2 місяці тому +1

    Jamen ni ameni INSPIRE na Sio EXPIRE😮Ungesema tu amekushawishi tungekuelewa zaid

  • @sinomiles
    @sinomiles 8 місяців тому

    MWIJAKU big up to you , 2024 uta trend sana , acha waongee ni baraka kwako, Niva mpongeze kakaako bro

  • @JosefuSwai
    @JosefuSwai 2 місяці тому

    Sio wivu yeyemwenyewe kulileta kwenye media lazima ajadiliwe kataka mwenyewe mwijaku

  • @sinomiles
    @sinomiles 8 місяців тому

    BONGO 24 BIG UP TO YOU , MNAJUA

  • @JosefuSwai
    @JosefuSwai 2 місяці тому

    Mwenye akili lazima.akatae siyo kweli Iko wazo kaka

  • @lamekkauka9056
    @lamekkauka9056 6 місяців тому

    Ukweli unauma kaongea aukwel acheni uongo wasani wengi niwaongo

  • @omarimziya390
    @omarimziya390 8 місяців тому +1

    Huyo aumizwa na kisokorokwinyo, tafuta pesa wacha chuki mwisho utakuwa mchawi

  • @hashimchaoga9566
    @hashimchaoga9566 8 місяців тому

    Wajuaji wa gharama za vifaa vya ujenzi wanajua kwamba hapo hakuna vifaa vya kufika. Bilioni moja vilivyotumika. Gorofa moja halafu si pana ndani iko ya kawaida sana tena vyumba vidogo vidogo

  • @saimongilala8938
    @saimongilala8938 7 місяців тому

    Huo ni unafiki2 mpongeze mtu kafanya vizuli2

  • @user-po8hz7xw9j
    @user-po8hz7xw9j 8 місяців тому

    Ali kina nyumba yake tangu unanza kujenga naiyona na mama yake ndio alikuwa msimamizi tunashindwa nae na alikuwa anakaa saloon kwetu mafundi wanjenga mingi mpka linaisha mama yule ndio msimamizi

  • @kamalbashir5127
    @kamalbashir5127 8 місяців тому

    Mario Wacha wivu,utaendelea kuishi vichochoroni

  • @ashaali7154
    @ashaali7154 8 місяців тому

    Mchawi maskini huyo atabaki hivyohivyo na wivu wake atabaki kuishi vichochoroni mwenzie yuko mbali awaonyeshe hati ili iweje. Kila mtu ana matumizi yake mwacheni wivu utawauwa.

  • @nellymtambo8432
    @nellymtambo8432 8 місяців тому

    Niva c kwa sugu hizo 😂😂😂

  • @josefojustinsabini7625
    @josefojustinsabini7625 7 місяців тому

    Eti vigizo basi umeamia uchawa

  • @funnuelmwalukasa4506
    @funnuelmwalukasa4506 8 місяців тому

    Niva pooz zako unafikili unakula cha Arusha

  • @hizamawa6046
    @hizamawa6046 8 місяців тому

    Kama ka left hivi

  • @Kibasumba02
    @Kibasumba02 8 місяців тому

    Kiba ananyumba bili

  • @aliisaid854
    @aliisaid854 8 місяців тому

    Kutoka Mombasa,wewe niva huna hata kibanda

  • @Kuminamoja1995
    @Kuminamoja1995 8 місяців тому

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @hashimchaoga9566
    @hashimchaoga9566 8 місяців тому

    Ghara ya gorofa inatokana na wingi wa ghorofa kwani nondo nyingi kokoto zege na milunda hutumika. Hiyo ghorofa moja halafu si pana hizo gharama kufika bilioni kwa vifaa gani vya ujenzi ,? Hapo kwa waliojenga na kujua gharama za vifaa vya ujenzi hata milioni mia tatu au mia NNE haifiki. Adanganye tu wasiojua na ndani haina thamani za masinki ya dhahabiu na vinginevyo. Hiyo nyumba ni ndogo tu

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw 8 місяців тому

    Vijana tafuteni pesa sio blabla tu vijana wengi wamepanga

  • @williammwalusamba7551
    @williammwalusamba7551 8 місяців тому

    Wivu unakusumbumbua kijana nivà wewe shoga