Wapemba wenzangu me nawapenda sana MaashaAllah Kazi mzur hongereni wote mnaelimisha sana Pia Mnatufurahisha Na (Mnatufumbua macho) Lakn naomba Kuuliza Swali Kwan Huyu Dongo kaambiwa hizo kanzu Ndio zenye bahati/nyota kwake ?😅😅😅😅😂😂😂 pia Huyo Mau Mpemba Kaambiwa Hala hala na Hako kaseruni Kwan ni mganga??😅😅😅😅😂😅😅😂😅😂😂😅😅😂 Ila nawapenda sana wote ❤❤❤❤
mi wa mwisho jaman nipeni ayo maua yng mana w2 wote kl mmoja yeye wa kwanza
Mau leo yamemkutaa jamani 😂😂😂😂
Hila hongera sana kwa mafuzo mazuri Mola awabarik nyote
Hongereni. Kutoka. Abudhabi
Haaaaaaaa mau ushajipoza haviku visha kua mwenyezi mungu awabariki nyote
❤mafunzo yenu mzr yanatufurahisha cc Fulani,nafuatilieni sana from ymn sanaa
Hongereni kwa kazi mzur Allah atawalipa kheri kw kutuelimisha.
Hilo nalo neno! Mawaiza yame mponza sasa shekh dongo rudi tena kwa mau ndoa yataka kuekwa sawa 🤔..
Pia tuelewe kuwa mke nimke ndio kila kitu tusimfananishe mke na vitu vyengine mke ndio mwenzako ndio maisha yako
Wapemba wenzangu me nawapenda sana MaashaAllah Kazi mzur hongereni wote mnaelimisha sana Pia Mnatufurahisha Na (Mnatufumbua macho) Lakn naomba Kuuliza Swali Kwan Huyu Dongo kaambiwa hizo kanzu Ndio zenye bahati/nyota kwake ?😅😅😅😅😂😂😂 pia Huyo Mau Mpemba Kaambiwa Hala hala na Hako kaseruni Kwan ni mganga??😅😅😅😅😂😅😅😂😅😂😂😅😅😂 Ila nawapenda sana wote ❤❤❤❤
Yaani dongo na kazu zake kila siku 😂😂😂😂😂
@@zulfahussein6784
Cjui ata azinunua wapi, au ana order maalum 😁😁
Waachiwe tu.....😂
ndoinavotakiwa tuambiane kwa hekma sio maneno ya shombo kwenye jamii haipendezi
Hahaaa dongo unafrahisha et akil za wanawake ni dk mbil tu wasahau😅😅😅 kwl kabsa kaz nzr mashaaAllah ❤
Havyekuwaaa🙌🙌🙌🙌😂😂😂😂😂 fundi mau kwiiisha
shukran kwa burdan naleta posa ya naomba
Mbna Naomba umeanza kulia kabla Mau hajaisifia ndizi
Sasa ww hujaona tukio kabla au??😅😂
Mtu aramba madole yote hayo iwe bure 2
😂😂hahaha wee mau havyekua vipi ww siwajifanya kamange haya kama havyekua vitengeneze ss, ukaidi tu😂😂😂😂
Good job may Allah bless all of you.,.....🤲🤲🤲
Hee wal mepambiwa kweny jiko la mkaa lkn sfuria Lina macnzi mapyaa.. yaan ndo nmetambua wal umepikwa mbal apo umeinjikwa tuu.mau unanchekesha ww😂😂
Fundi huwezeki tena weye yakhe hivi vitu cyo mchezo
Mzee mwinyi hatumuoni vipi
Mau yahe macho makubwa usiyafumbe yafumbue 😅
Wallah nimecheka😂😂😂😂.ndiz kwa jiran😅😅😅😅😅
Dongo maalim wape shule . Hujawahi kuniboaaaaa.
Pole mau ila tumejifunza
Duh!Halekuwa kweli kaka😢, nia nzuri lkn malengo yamebuna. Sipati picha ukionana na Dongo maskani. Lkn nafkiri sio mbaya fanya tena tuu ataelewa.😊
Another banger🎉
Kobold naomba unaeeza sanaaaa
Kanzu halikoshwi hiloo aloo
Ngo'mbe wa maskin hazai
Makunde na mwinyi mbn hatuwaon
Nimejifunza kitu, kwamba tuwe na tabia ya mara kwa mara kuwasifu wake zetu ili ikifika siku kama tumewakosea waone kwamba nitabia zetu kuwasifia.
Ndokwanza Leo najua kama mau anamacho makubwa kiasi icho
nkongwe mau wadokowa aloo😂😂
Ndugu zangu chati inapanda hengereni sana
Tumemmis Bi Suria
Tunasbria Fumbua macho nyengine, leo ni ya nne tena, au bado hamja'act??
Duuuuh hii ni hatar
Kazi nzuri sana
Dango wape darsa hao
Saf sana
Ila kitatange nashauri apewe nafasi aingie nae
Mashaallah safi san
Naomba Kibendera❤❤❤❤
Naam
Nitumie account yako ili nije niwasalimu ZANZIBAR
Yasije ya kakukuta ya dongo, mke wa ngomani
Wakwanza
Wa pili wewe
@@irfanabdi8877 sekunde. 15. Mm. Wewe. 13
Wapemba nawauliza maana ya kichinchiri ni nn
mtoto msuri yani mrembo 😅😅
Mtt mzuri
@@aminaothuman6784 Okee maana humsikia kiswabi Sana akisema kumbe ni mtoto zumzum 😁
Ok
Nice job congratulations
Yuko wapi suria jamani mbona munamtenga sasa
Naomba hhhh ety kutu la ngombe hhhhhhhhhhhh
Shkmooo mau havyekuwa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
watatu jamn like kwa kazi nzur
Dah mfano wa haya yashanikuta
Hevikuwa😂😂😂
🕙 tumemis uongo wa kale
Ujumbe maridhawa
Wikipedia safari nbado 👀
sema nini mau hapo hapo umeyatimba unasifia ndizi ya jirani😂
Alhaj dongo mashallah 👏👊
OK safi san
Wajuaa kilichonifurahishaa kuaa mau atakaa fanya jamboo zurii lakini ajutee hahaaaaaaa ilaa hakukosea mau ushauri wa dongo unkuja siku mbayaa
SAALEQUE wallah 😂
😂😂😂😂😂mau leo😂😂😂😂😂 kunyakanyaga
Nipo hapa nasubiri ya ep 21
Kasifu chakula cha jirani😂😂
Ati Havyekuwa😂😂😂😂😂😂😂😂
Ma Shaa allaha
Ila dongo nakukubal sana
Mau jmn anachekesha
Mafunzo mazuri
😂😂😂😂 mau kimemramba
Helekuwa😂😂😂😂😂😅
MASHAALLAH
Havyekuwa😂😂
heheheheheheh dah
Amakwelii😀😀😀😀
Pole mau
Kalikoroga mau 😀😀😀
Havyeku 😂😂😂😂
😂😂😂❤❤❤❤❤😊😊😊😊
Weee. Mau. Weee. Ubuku. Huo
Sawa
😁😁😁😁😁
🤙🤙🤙🤙🤙
Nice ❤
Mau mijicho
😅😅😅😅😅😅
😂😂😂❤❤❤❤❤
🤣🤣🤣🤣🤣
😅😅
OK safi san
😂😂😂😂😂