Allah atusameh madhambi yetu na atujaalie tuwe wenye kufanya ibada ,movie nzuri sana kweli msanii ni udongo mbichi waweza kuufinyanga utakavyo Leo ukatengeza chungu kesho ukatengeza mkungu.
يخادعون الله والذين آمنوا وما يخدعون إلا أنفسهم وما يشعرون.... أولائك الذين اشتروا الضلالة بالهدى فما ربحت تجارتهم ..صدق الله العلي العظيم... sheikh dongo altk leta khadaa ktk dini 😂😂 uislaam mzry nyie❤❤❤❤
Usiombe Bora uwaone tu,Mana Kuna wapemba wengine wanadharau,na kibri hatari usiombe Tena usiombe niulize mm,mm ni mpemba lkn Kuna wapemba wengine ni wapole Sana na ni wakarim Sana,Ila usiombe ukutane na hao wapemba sungu sungu weeeeeee🖕😭😭😭😭😭utaomba urudi kwenu siku hiyohiyo
@@ashakhamis9093umeongea ukwl ndugu ila ukwl n kwmb, kabisa, kanda taifa nakadhalika hayana uhusiano kabisaaaaa na tabia za watu yani watu ppte pale wapo wa aina zote yan wenye tabia zote🎉
@@abdulmohd6880 km ulokuwepo,Kuna wapemba wengine jadi yao ni kuongeaaa tuuuuu hawapumui,na mfano aje mpemba mwengine ambae aliekuwa sio msemaji bas ataonekana Hana nidham ,na ataambiwa Ana kibri,unajuwa yote ni mazowea na mtu alivyo lkn wao hawalijui Hilo🙏🖕
Wa kwanza leo km unakubali mau mpemba gonga like kwa wingi ❤❤❤
Nyie Naomba anajua mashara zuyaacheni na akiwemo yeye mambo yanazidi kunoga
Mm wa mwisho acha niache coment tu team felus tusiangushane from Oman 🇴🇲🇴🇲🇴🇲
Na me jeee leo nimechelewa
@@ArafaOmar-md8hc😂😂😂 mm wif ilizimika
MashaAllaah tabaraAllaah ujumbe umefika na Allaah awazidishie khery mzidi kuelimisha jaami
Good job mashekhe ao tunao wengi, panga mtu
Jamaniii mimi wakwanzaaaa
Kwakweli ujumbe mzuri na hayo mambo yapo na baadhi ya watu wanajittwisha pia
Mnaweza wapemba kumbe mashallah lakin dakik kidogooo
❤ujumbe umefika taama ya dongo mbaya 😂mau upo sawa
Nmewah jmn darii upo mwenzak 22
Kwl nawapenda Sn asnt kwaujumbe muzuri❤❤❤❤❤❤
Big mesej, saaafiii
vitu kama hivi ndo tunavotaka mw maulid MUBARIKIWE
Allah atusameh madhambi yetu na atujaalie tuwe wenye kufanya ibada ,movie nzuri sana kweli msanii ni udongo mbichi waweza kuufinyanga utakavyo Leo ukatengeza chungu kesho ukatengeza mkungu.
Filamu nzuri sana
Shee dongo naona shehe mwanzako ana kiduku kichwani😂😂😂
Mm sebuuuuuuuu like zenu taaaa moja
Maashaallah kazi nzuri❤❤
Mm nakubali sana kazi zenu
Nzuri kazi❤️❤️
Mashallh kazi nzur ❤
يخادعون الله والذين آمنوا وما يخدعون إلا أنفسهم وما يشعرون....
أولائك الذين اشتروا الضلالة بالهدى فما ربحت تجارتهم ..صدق الله العلي العظيم...
sheikh dongo altk leta khadaa ktk dini 😂😂 uislaam mzry nyie❤❤❤❤
Mashallah mnaupiga mwingi
Hongereni team mau
Duh wa8 leo jamani mm niko kenya ilaa nawapenda sana wapemba mpka mita yao natamani niishi ukoo
Karibu
Usiombe Bora uwaone tu,Mana Kuna wapemba wengine wanadharau,na kibri hatari usiombe Tena usiombe niulize mm,mm ni mpemba lkn Kuna wapemba wengine ni wapole Sana na ni wakarim Sana,Ila usiombe ukutane na hao wapemba sungu sungu weeeeeee🖕😭😭😭😭😭utaomba urudi kwenu siku hiyohiyo
@@ashakhamis9093umeongea ukwl ndugu ila ukwl n kwmb, kabisa, kanda taifa nakadhalika hayana uhusiano kabisaaaaa na tabia za watu yani watu ppte pale wapo wa aina zote yan wenye tabia zote🎉
@@abdulmohd6880 km ulokuwepo,Kuna wapemba wengine jadi yao ni kuongeaaa tuuuuu hawapumui,na mfano aje mpemba mwengine ambae aliekuwa sio msemaji bas ataonekana Hana nidham ,na ataambiwa Ana kibri,unajuwa yote ni mazowea na mtu alivyo lkn wao hawalijui Hilo🙏🖕
Ipo days nitacat uko nawapenda sana na mazingira yenu mazuri yaana utulivu sana ilove you pemba
Dongoo shehe ubwabwa 😂😂
Hatupoi
Shehe Dongo ushekhe na maslahi.
Mzigo tyr😂❤
Leo dongo kamkuwa sheikh 😮😮
Twende kazi
Likes kwa warda hapa.
Ulamaa sheikh dongo ❤❤
Milioni moja watoka na nini sasa😂
Fundi wazidi chafukwa lete vituu
good movie
INNALILLAH WAINNA ILLAHIRAJIUUN
MAU UMEFANYA VIZUR KUWAPIGA
Tutambuane
Apo kwenye milioni 1 😂😂
Warda pua usiipanuwe unaka vibaya
Hakika mumetuletea ujumbe mkubwa Tena wenye manufaa Allah awalipe kheri
Ameen
Shekh hakuna aya yaungo sema Astaghafiru Allah
Asante naomba maneno kuntu
Dongo shekhe pesa uyo
Maxhaallah,,,Amiiin.
shukran
Dongo eti subhanallah hhh
Good message ❤❤
Hih kuna mtu kawahi kuliko mie au
Kweli umempita dada wa Oman
@@rahmamctHahaha mie kaka Wa Oman
Mashalla ❤❤❤❤❤❤
shekhe pesa😂😂😂😂😂😂
❤❤❤😊😊😊😊
Hahahah 😂😂
😢
Naam
❤❤❤
Kumbe dongo ni shekhe.
❤❤❤❤love you all
Bdo mwinyi mpeku ss
❤❤
Nakuomba mau usiwadhalilishe wanazuoni,kama huyo mmoja kakata panki halafu eti ni mwanachuoni!! Usifanye hvyo!!
Alichofanya Mau nikuonyesha uhalisia wa baadhi ya watu wanaojivika joho la Dini ili kudumaza Uislamu uliopangilika taratibu zake
@@engineerkhamis9275 kabisa
Dongo amekuwa ulamaa leo duuuh na mm nitakuwa mufti sasa hivi😂😂
Mm nakubali sana kazi zenu