MTANGA NA BAMBO,RAHA YA MKE WA ZANZIBAR HII NOMA SANA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 лют 2025

КОМЕНТАРІ • 140

  • @ابوذر-د8ك
    @ابوذر-د8ك 2 місяці тому +1

    Nimecheka kama mazur ati nyanyu kwato zako😂😂😂😂

  • @Rubanikarisagona
    @Rubanikarisagona 3 місяці тому +3

    Kazi nzuri sana mtanga Safi ni Rubani kutoka Kenya

  • @NaifinMohamed
    @NaifinMohamed 3 місяці тому +2

    Sasa na nyie hayo mapenzi mpska pawe na wageni😂😂😂😂😂 ningekuwa mm ningewatia ngumi😂😂😂😂

  • @SaidJangoli-hr7ww
    @SaidJangoli-hr7ww 3 місяці тому +4

    Namuomba Allah haitham akuongoe

  • @SulaimanAlAdwani
    @SulaimanAlAdwani 3 місяці тому +13

    Wewe mwanamke rudi kwa wazazi wako uombe msamaha vyenginevyo utapata tabu duniani na akhera itakua hasara kwako

  • @zabubamudy126
    @zabubamudy126 2 місяці тому +1

    Mhhh Mwenyezimungu akutuo hapo Haitham 😢😢😢.Mmhh umepotea kabisa

  • @maryamalhajri722
    @maryamalhajri722 3 місяці тому

    Hahaha anataka kuja kuowa muscati😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @hassanovajunior6972
    @hassanovajunior6972 3 місяці тому +3

    Haitham MashAllah unajuwa my sister👏👏👏

    • @YahyaMakame
      @YahyaMakame 3 місяці тому

      Anajuwa nn kazi kufanya dhambi tu

  • @Rikas_Riphin
    @Rikas_Riphin 3 місяці тому

    Mtanga 😅😅😅 big up

  • @MOHAMEDMBAROUK-tc4ch
    @MOHAMEDMBAROUK-tc4ch 3 місяці тому +5

    Dada yetu acha haya mambo hata wazazi wko hawafurahishwi na haya unajidhalilisha wallahi

    • @maulidi8479
      @maulidi8479 3 місяці тому

      We ujielewi hapo yupo kazini acha wivu mtoto wa kiume

    • @BongoZozo-p5m
      @BongoZozo-p5m 3 місяці тому

      @@maulidi8479we mshenz watun wanaongea na muislam mwenzazo na mtu wa mji wao huyo kapotoka kwaiyo wanamuusia kwakua ni muislam nyamaza kimya ikiwa si mila yenu

    • @kilelamniko9678
      @kilelamniko9678 3 місяці тому

      Wewe na mbuzi huna tofauti

    • @MOHAMEDMBAROUK-tc4ch
      @MOHAMEDMBAROUK-tc4ch 3 місяці тому

      @kilelamniko9678 wewe kama nani nguruwe au

  • @MkungwaNgwarumbwa
    @MkungwaNgwarumbwa 3 місяці тому +2

    Mtanga bingwa wa ucheshi bongo heko 💕 kazi nzuri ❤

  • @Dullayoo-M
    @Dullayoo-M 3 місяці тому +1

    Mapacha hamna baya🇰🇪💯🔥

  • @CharlessPhinias
    @CharlessPhinias 3 місяці тому

    Et bambo kaoa MUSOMA aaaah acha kimrambe 😂😂😂😂

  • @JRN2612
    @JRN2612 3 місяці тому +3

    Anaesema kuna sanaa na maisha halisi napenda kuwakumbusha kuwa kwa Allah hakuna tofauti baina ya sanaa na maisha halisi, ukifanya dhambi ni dhambi tu. Maana mnataka kutuaminisha kuwa hata wacheza filamu za ngono pia wapo kazini tu sio maisha yao yale. In short Huyu anadhalilisha wazanzibar, hayo siyo maadili yetu.

  • @ZuwenaSalim-dn3qb
    @ZuwenaSalim-dn3qb 3 місяці тому

    Mambo mengine sio fani yetu mpaka jagi lanashangaa linanaanza kumkataa tuseme hujaona ndugu yangu rudi kwa Allah kipenzi

  • @HafidhAli-b6e
    @HafidhAli-b6e 3 місяці тому +7

    Mzanzibari gani anaetutia aibu,kwa vijisenti

    • @ThomasKeya-z1p
      @ThomasKeya-z1p 3 місяці тому

      Anaigiza tu anatafta hela kwetu bara znzb amekosa fursa

  • @geeva99
    @geeva99 3 місяці тому

    😂😂😂 hii kiboko mapenzi hayo mi naungana na mkuria kila mtu afanye kwa mikono yake

  • @CholoharoubSaid
    @CholoharoubSaid 2 місяці тому

    Umesha laaniwa ww haitham.

  • @mtulivu-ir1nq
    @mtulivu-ir1nq 3 місяці тому

    😂😂😂😂 ila bamboo

  • @awadhsalum8769
    @awadhsalum8769 2 місяці тому

    Uyu Dada kapotea poteee

  • @SaidAbdala-f7p
    @SaidAbdala-f7p 3 місяці тому +10

    Mwanamke baleeg .haifai kumshika mwanaume. Hizii sanaa .kwa zanzibar ni marufuku. Ujuwe mwanaume anavichwa 2 kichwa cha chini kikisimama basi cha juu hakifanyi kazi

  • @RashidShidhani-h4q
    @RashidShidhani-h4q 3 місяці тому +1

    Mgunya huyo sio mzanzibari

  • @sumbulan
    @sumbulan 3 місяці тому

    😂hhhhhhhhhhhhhh eti tiktak

  • @Dullayoo-M
    @Dullayoo-M 3 місяці тому

    Bamboo wasema acha tubaki na mateso😂😅😅😂😅😂

    • @iFly-t9b
      @iFly-t9b 3 місяці тому

      Me unaniburuzo🤣

  • @Ujumbewadini
    @Ujumbewadini 3 місяці тому +5

    Huyu binti haithamu hana wazee au hana kaka au hana maami au hana wajomba au au au... mpaka akafanya upumbavu huu?!!!

    • @fahadfahmy
      @fahadfahmy 3 місяці тому +1

      umeongea point sana,namimi nimewaza hivohivo

    • @nassyzznassyzz7111
      @nassyzznassyzz7111 3 місяці тому +4

      Usizalau kazi zawatu

    • @Ujumbewadini
      @Ujumbewadini 3 місяці тому

      @@nassyzznassyzz7111 huku sio kudharau nikutoka katika heshima akiwa yeye ni binti wa kiislamu...Kuigiza sio tatizo wala sijadharau kazi ya kuigiza ila nilicho sema ni huo upambavu wa kuvaa uchi na kushikana na wanaume kama sio binti Muislamu.
      Hivi kama ni wewe binti yako unaridhika kufanya yale matendo mbele ya kamera...? Na kama utakuwa unaridhika basi jitambue una virusi vya udayuthi.

    • @maulidi8479
      @maulidi8479 3 місяці тому +1

      Ila mambo ya afande na zinde ndio mazuri hapo kosa la binti ni lipi? Hiyo dini mmeleta nyie ?

  • @CharlesWanyeche-er6rw
    @CharlesWanyeche-er6rw 3 місяці тому

    Bhn mnazingua sio kweli wakurya wote ni wakatili wengine tumeelimika bhn

  • @nusfiarashidi8870
    @nusfiarashidi8870 3 місяці тому

    Cna comment ngoja nipite zangu shwaaaaaaa ila binadamu cc 😅😅😅mtanga atamfanya nn sasa hytham c kama mjukuu wake tuu😅😅😅

  • @SirajRash
    @SirajRash 3 місяці тому

    Pwani love VS baralove

  • @RamadhaniKibabila
    @RamadhaniKibabila 2 місяці тому

    😂😂😂😂❤

  • @AzhadSaid-j1t
    @AzhadSaid-j1t 3 місяці тому

    Dem watanga hawa jamaa zao sio mzanzibar mzawa huyu

  • @AzhadSaid-j1t
    @AzhadSaid-j1t 3 місяці тому

    Choko tu huyu dada anatafta umarufu atazinduliwa

  • @musicstudioofficial006
    @musicstudioofficial006 3 місяці тому +4

    Acheni wivu kuna sanaa na kufanya uhuni hiyo ni sanaa angekuwa ngozi nyeusi mnge sifia komedi komedi ina maudhui mazuri sana

    • @HijaRashid-g4q
      @HijaRashid-g4q 3 місяці тому +1

      wazanzibar wanajikuta keki sana😂😂😂

    • @mohdsalim7866
      @mohdsalim7866 2 місяці тому

      Huyu hawezi kurudi Zanzibar hadi atakapo pata pigo lamaisha ndio atamtambuwa Mungu na Atarudi kwawazazi,Mtoto kama mwanakharam anadhalilisha Wazanzibar na Waislam wote kwa Ujumla Wallah anakera kabisa

  • @mahramarswad6041
    @mahramarswad6041 3 місяці тому +1

    Msimuhukum HAYTHAM jamani haifai hakuna baya lolote tunampenda from uk 🇬🇧 tumuschie Allah hakuna anaejuwa kesho yake

  • @HafsaShekigenda
    @HafsaShekigenda 2 місяці тому

    Wee dada huo ulimbukeni simuda wakumkata mume kucha

  • @MOHAMEDMBAROUK-tc4ch
    @MOHAMEDMBAROUK-tc4ch 3 місяці тому +1

    Jiheshimu bx walau ungecheja film kwenu zenye maaadili zipo nyingi tu

    • @nanalinda-nx2xm
      @nanalinda-nx2xm 3 місяці тому

      Kwenda zako wahuni wakubwa nyie

    • @MOHAMEDMBAROUK-tc4ch
      @MOHAMEDMBAROUK-tc4ch 3 місяці тому +1

      @@nanalinda-nx2xm Weee fala usitafute maneno yalotulia kenge ww

  • @safarimallya4536
    @safarimallya4536 3 місяці тому

    Bambo unaona wivuuuuu

  • @FootballHM-r5t
    @FootballHM-r5t 3 місяці тому

    Kamutango😂

  • @labunaabouna6122
    @labunaabouna6122 3 місяці тому +1

    Wazanxibar nao hawana hixo tabia hixo zipo Tng...

    • @nahlahassan-fd6le
      @nahlahassan-fd6le 3 місяці тому +1

      Mapenzi yamezaliwa zanzibar uupo!! mahabba yanatokea zanzibar huko tanga waliiga tu

    • @IsmailJuma-zb5ni
      @IsmailJuma-zb5ni 3 місяці тому

      @@nahlahassan-fd6le nigaiye namba yako

  • @AzhadSaid-j1t
    @AzhadSaid-j1t 3 місяці тому

    Mzanbar mwanmke haongei kama ivo wazanbar wakuja hao kutoka mikoan tanga uko ndojama zaaao

  • @josephjohn2114
    @josephjohn2114 3 місяці тому +1

    Mbona watu mnamletea nongwa dada wa kizanzibar.? Kwani Kuigiza ni dhambi? kama ni dhambi imeandikwa wapi? Na kwa nini mnaangalia ? Acheni ujinga.

  • @DishaniDisha-zm2gm
    @DishaniDisha-zm2gm 3 місяці тому

    Good job

  • @KhalfanSeleman
    @KhalfanSeleman 3 місяці тому

    Unajua kunawati wanakometi ujinga huu mchezo wa maigizo nyinyi mnaleta makasiliko

  • @ZiyandaMhlana
    @ZiyandaMhlana 3 місяці тому +1

    Hiyiiii kwel africa kumbe kuna hizii stly

  • @CholoharoubSaid
    @CholoharoubSaid 2 місяці тому

    Wewe sio mzanzibar wewe ni mshenzi kama washenzi wengine.

  • @Makalatravels
    @Makalatravels 3 місяці тому

    😅😅😅

  • @abdallahkambangwa7215
    @abdallahkambangwa7215 3 місяці тому

    🤣🤣🤣🤣

  • @rajabuabdallah2673
    @rajabuabdallah2673 3 місяці тому

    Mbn mmekomaa na mzanzibar uyo wa musoma amsemi???

  • @safarichui8551
    @safarichui8551 3 місяці тому

    Jagi la maji linamshinda, huyo si mtambo wa fangasi

  • @omarmohammed5157
    @omarmohammed5157 3 місяці тому

    Tabia mbaya kushikaana mikono na wanaume aibuu hii

  • @AbuuMuawiyya
    @AbuuMuawiyya 3 місяці тому +5

    Wee haytham umekosa kazi ya kufanya au unajitangaza

    • @iFly-t9b
      @iFly-t9b 3 місяці тому

      Unamfahamu?

  • @SamNyale-t4t
    @SamNyale-t4t 3 місяці тому

    Mbona sauti ni ndogo?

  • @SalumMzee-cw8do
    @SalumMzee-cw8do 3 місяці тому

    Nipeni huyo mtoto Jotara ni msitiri asizuzuke na mitandaon hakuna anachopata kitu nipe namba yk ya simu

  • @saidabdillahi8107
    @saidabdillahi8107 3 місяці тому +15

    Mzanzibari gani huyo hajui hata kukaribisha wageni, inawezekana Mzanzibari lakini hana sifa za kizanzibari mgeni haulizwi tukuletee kinywaji gani unaleta akatae kukitumia

    • @surusuru1994
      @surusuru1994 3 місяці тому +1

      😂😂kwni mnajuwa kukaribisa

    • @saburibwalu1654
      @saburibwalu1654 3 місяці тому +3

      Duu 😅 had comedy watu mpo serious

    • @KhadijaMbarouk-z8o
      @KhadijaMbarouk-z8o 3 місяці тому

      ​@@saburibwalu1654😂😂😂😂😂😂😂

    • @jayjay4313
      @jayjay4313 3 місяці тому

      😂😂😂😂​@@saburibwalu1654

    • @iFly-t9b
      @iFly-t9b 3 місяці тому +2

      Ni kweli, Zanzibar mgeni haulizwi tukuletee, hua analetewa tu, ni yeye tu kutumia au kuacha

  • @JohnsonBagambi
    @JohnsonBagambi 3 місяці тому

    😂😂😂

  • @nakalikyumile3234
    @nakalikyumile3234 3 місяці тому

    Mtanga ana raha

  • @rajabuabdallah2673
    @rajabuabdallah2673 3 місяці тому

    Ayo nimafundisho kwa manufaa ya wanawake wa kibabe

  • @safarichui8551
    @safarichui8551 3 місяці тому

    Afu wewe Bomba acha tamaa, shukuru mtambo ulonao, ya nini kutamani vya wenzio? Usiache vya mbachao kwa msara upitaow

  • @fatmamuhammed9713
    @fatmamuhammed9713 3 місяці тому +1

    Huo ni usungo

  • @MossaMohaammad
    @MossaMohaammad 3 місяці тому

    Acheni ubinafsi naona hpa wanao comment n wazanzibar tu muacheni mtoto atafute rizki yake ttzo kubwa n kua anafanya hizi move na watu weus angekua anafanya na waarabu msingesema tulizeni matako

  • @nakalikyumile3234
    @nakalikyumile3234 3 місяці тому

    Naahidi nitaoa zenji

  • @PrincessHellen-pg1oy
    @PrincessHellen-pg1oy 2 місяці тому

    COMMENTS ZA WATU KHAA si kila mtu aseme na roho yake na tabia zake mnamwandama huyu dada na bado vijana wengi wa kizanzibar wapo wanaovaa vizuri na kujisitiri lakini tabia chafu kupitiliza 😢😢😢

  • @sahimnei7235
    @sahimnei7235 3 місяці тому

    Nilichogunduwa wazanzibar wana roho mbaya sijapata kuona loh

    • @JumaOmar-ku6cr
      @JumaOmar-ku6cr 3 місяці тому

      Punda wewe wazanzibar wana roho mbaya kila kitu mnapata bure znz bila ya kusimbuliwa hamna shukurani nyinyi watwana

    • @BongoMedia-t8e
      @BongoMedia-t8e 3 місяці тому

      Saaana wana roho ya choyo wabinafsi kupitiliza ,yaani sijapata kuona

  • @MwanaidiASimon
    @MwanaidiASimon 3 місяці тому

    Wanao coment ushenzi na wao waseme kazi zao kama hatujakimbiana humu

  • @tamimakhalfanikhani8403
    @tamimakhalfanikhani8403 3 місяці тому

    SIJAONA UBAYA WA HUYO DADA MNAEMWAMBIA HANA MAADILI KAJISTIRI MWANZO MWISHO LBD KWA NN CHOYO KINAWASUMBUA ILA USANII KAZI NA ZNZ WASANII WAPO KINA BI NJIWA NA WENGINEO SASA KWA NN MNAKEREKWA NA HUYO BINT AU MNAONA KAJA KUWAFUNIKA

    • @BongoMedia-t8e
      @BongoMedia-t8e 3 місяці тому

      NI KWELI MWANZO WALIKUWA WANADEMA HAJISTIRI SAIVI WANASEMA HANA MAADILI YAANI WANACHUKI WAZANZIBAR SIJAWAI KUONA

  • @ovicsmnene4811
    @ovicsmnene4811 2 місяці тому

    Poor quality sound

  • @muktarkassim6647
    @muktarkassim6647 3 місяці тому +3

    Rudi kwa Wazazi upate Radhi zao....

    • @zuheorsalim7759
      @zuheorsalim7759 3 місяці тому

      Mpeni nasaha huyo bint atakuja kuishi maisha ya dhiki sna ktk dunia hii 😢

    • @z34-kp9qq
      @z34-kp9qq 3 місяці тому

      Mwanakulitafuta ......

    • @zuheorsalim7759
      @zuheorsalim7759 3 місяці тому

      @@z34-kp9qq mwanakulipata

    • @hassanovajunior6972
      @hassanovajunior6972 3 місяці тому

      Acheni kuchukulia vitu serious sana jmn daah😂😂

    • @BongoMedia-t8e
      @BongoMedia-t8e 3 місяці тому

      ​@@hassanovajunior6972kabisaaaa yaani wanaboa hawa wazanzibar

  • @safarichui8551
    @safarichui8551 3 місяці тому +2

    Ni upumbavu wa hali ya juu sana wanakuja wageni unaanza kumkata kucha na kumvua vyatu ndo nini? Ni zalau sana. Wahudumie wageni kwanza acha ujinga

  • @Irfaan-k1j
    @Irfaan-k1j 3 місяці тому +4

    Wallahi huyu hatoboi ata adhikiri uchi kinachomfata huyu sasa ni laana ya Allah huyu ataka awe kahaba wa kimataifa ila atajuta tena atajuta ata huna haya nyoooo

    • @godfreygoyayi6576
      @godfreygoyayi6576 3 місяці тому

      Acha wivu weweee...

    • @Irfaan-k1j
      @Irfaan-k1j 3 місяці тому

      @@godfreygoyayi6576 ndio najua mnamtaka mumfunue tu.

    • @hassanovajunior6972
      @hassanovajunior6972 3 місяці тому

      Acheni ujinga bana

    • @OmaryHussein-e2f
      @OmaryHussein-e2f 3 місяці тому

      Dhikri ni utajo wa mungu ,na uchi umeingia vipi apo kama akili zako sio pungufu

    • @aliabdallahali6995
      @aliabdallahali6995 3 місяці тому

      Mnh mbona mnamlaani sana hvyo ? Muachieni M/mungu na hukumu zake pia km amekosea tumuombeeni allah arudishe pahali stahiki in sha allah

  • @seifsaud
    @seifsaud 3 місяці тому

    Sio mmeanza hivi tunawafatilia na kuwapa support halafu mnapotea mnatuangusha

  • @mwanaibrahim2444
    @mwanaibrahim2444 3 місяці тому +1

    Mchezo au keleletu

  • @CholoharoubSaid
    @CholoharoubSaid 2 місяці тому

    Huna radhi za wazee wako wewe.

  • @minduchudi9121
    @minduchudi9121 3 місяці тому +2

    Huy mtt kashindaa asaaa hana maadili n Wala hajafunzwaaa

  • @labunaabouna6122
    @labunaabouna6122 3 місяці тому

    Nice

  • @WazirrashadYussuf-um5uq
    @WazirrashadYussuf-um5uq 3 місяці тому +3

    Yaan Haitham ndugu yngu huelekei haswaa na mambo haya unapotea huko ...sio sehemu salama 😢

    • @mtangacomedy
      @mtangacomedy 3 місяці тому

      Ni kweli kabisa

    • @z34-kp9qq
      @z34-kp9qq 3 місяці тому +2

      Allaah atuhifadhi na aturuzuku mwisho mwema

  • @salimsaleh9354
    @salimsaleh9354 3 місяці тому

    Huyu malaya haitham mpaka apo alipofikia kashaziniwa sana

    • @ummusalamameena8714
      @ummusalamameena8714 3 місяці тому

      Km ww ulivyoziniwa ,muislam mzima Una mjudge mwenzako usikute huyu ataenda peponi ww utakuwa unazagaa ,mshaambiwa msihukumu mwenye Hilo jukumu ni Allah(s.w) pekee

    • @YakeenRamadhan
      @YakeenRamadhan 4 дні тому

      Isifikie hatua hiyo

    • @YakeenRamadhan
      @YakeenRamadhan 4 дні тому

      Wewe unao ushahidi gani kusema kauli hiyo

  • @fatmamuhammed9713
    @fatmamuhammed9713 3 місяці тому

    Mzanzibar hafanyi mahaba had hajanitumia huo ni using wake

  • @AzhadSaid-j1t
    @AzhadSaid-j1t 3 місяці тому

    Huyu so mzanbar mzawa wakuja kwaio hawa ninmalaya wa tanganyika

    • @halimagomez
      @halimagomez 3 місяці тому +1

      Kwani Tanganyika ndio Kuna màlaya zuchuu mtanganyika kunakina mauu zinder nao watanganyik

    • @ummusalamameena8714
      @ummusalamameena8714 3 місяці тому

      Akili finyu

    • @Hussein-gx4qu
      @Hussein-gx4qu 3 місяці тому

      Huyo zuchu na hadija kopa je

  • @HeriMagwaza-cd4wg
    @HeriMagwaza-cd4wg 3 місяці тому

    Jamani Mimi naoa Zanzibar

  • @tayga2031
    @tayga2031 3 місяці тому

    😂😂😂😂

  • @kafitiwilliam8358
    @kafitiwilliam8358 3 місяці тому

    😂😂😂

  • @DelightfulMacawBird-tl5hf
    @DelightfulMacawBird-tl5hf 3 місяці тому

    😂😂