KUMBE NANDY ALIANGUKA NA MIMBA YAKE KWENYE HARUSI, BILLNAS HAKUTAKA HATA KUONA, AFUNGUKA A - Z
Вставка
- Опубліковано 5 вер 2024
- KUMBE NANDY ALIANGUKA NA MIMBA YAKE KWENYE HARUSI, BILLNAS HAKUTAKA HATA KUONA, AFUNGUKA A - Z
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#nandy #BandaLaVideo #MtuImara
Mume anae jali tuuu ndiye anaweza kuongelea kuwa hatamani mke wake aende leba mara nyingi##what a caring husband""congrats BILLNANDY
Bill you are a real gentleman
nenga forever ✌️✌️ napenda vile ulivyo mngwana...say hi to Africa queen 👑.
I lyk the way anajua kujieleza❤
huyu dada alovaa nyeupe nilijua divathebouws😂😂pia pole yake Nandy Mungu ampe afya njema🙏
😂😂😂 divaa wa mchongo
Mapuwa kaka Diva🤣🤣🤣🤣
@@mwajumakulugai6416 🤣🤣🤣
Sababu ya hilo wigiii 😂😂😂😂😂
Nyie uyo mwenye Shangazi kaja zake ni nani 😂,, haya na uyo na kope zake kama fagio la chuma la mbinguni 😂😂😂🙌🏻
Yani so pow shogaa
😂😂😂🙌
Nenga kama nenga huna baya bro wagwan my brother ## @Moshi,Kilimanjaro Tz.
The real gentleman indeed may God bless there married
Pole sana mrs bill na ongela kwako
Nawapenda mr &mrs bill
Dada mwenye mawani meupe anajikuta nani cjui alivyomnyali dada wakope mmmmmh
Yeye mwenyew alivyo sasa😂😂nimecheka
😂😂😂🙌
Hahahahahaaa
I love you nenga good blues you and nandi
Iyo mikope Sasa🤦🤦
Kope jamani????🤣🤣🤣blazaa hongela sana
🤣🤣🤣🤣
Naomba nawewe uache kunywa nakuombea ili maisha yenu yaendeleee kubarikiwa
Uyo ndio nenga mwamba himara saruti pia mwamba imaraaaaaaaaaaaaaa
Dada mweny kope🤔
Sasa huyo aliyevaa shangazi kaja hahaaaa mjini sihami
Billnass ongera ila uyo dada mwenye kope dah kama ngedele😆😆😆
MWENYEZI MUNGU awabariki
Bilnas anaakili lakinii.....Nandy kapata mume
Nenga sasa nimekuelewa kumbe ndio maana ulikua bize na simu vile kumbe ulikua unashoot duuuh wachaga oyeeeee, hakuna kupoteza muda yan
Ukimfuatiria Huyu mkaka kwa ukaribu utajua Kwann nandy aliolewa nae licha ya kwamba nandy ni msanii mkubwa na anamzid bill money na umaaruf kaka Ana caring sana Woiii
Sio kwa kope izo jmn🤔😂😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣😉
OfficialWatson anajua
Ilike more
Unaelezea sanaaaaaa
Mko wambea kweli😂😂😂
Bosi Kimaro anaaga nguoo 😂🤣🤣🤣
WASAFI wabunifu sana
Boss kimaro nakuona kwa mbali na suti yako ya kila siku
Blother..dada mweny kope
Am tz🥰🇹🇿 una mtazamo kama yang hata mm macho gafla nilimuona DIVA wa LAvi Davi true ❤LIKE
Nenga👌🔥🔥
Dada wa miwan anajilamba
Nandy ame pata mume
Huo ni bibi harusi mbona sielewi jamani 😃😃😃
Ata Mie sielewi 🤔😂😂
sinywi lakini grooveback, mawasiloano, 255 sikosi
Nilikua sijamuon makope 😂😂😂
😆😆
Mbn hatuoni Kama kweli kadondoka
Boss kimaro ndio mwenye Uyo Dada wa shades za white
Mtu imara mbona unamwangalia sana huyo dada alie vaa shati jeupe
Is wasafi tv a gossip station? Asking for 50 others
Kope dada kopeeeee 😂
Duuuh nilikuw xjui pole yak jmn
😂😂😂
Jaman izi kope
Kwaiyo ww mkandala au😁😁😁
Kumbe😂😂
Mafioso inc mtu poa
Nakipenda sana hichi kipind sana
Hiyo kope jamani
Nkajua miwani😂😂
Kwani huyu dada namakope yake vp
🥰🥰🥰
😍🔥🔥🔥
🔥🔥🔥🔥
Wasabasi musha komeswa wacheni umbea
Ebu jifunze kwanza kuandika bibie ndiyo umesemaje eti🤷♀️
Uyo dada kauliza swali la kipuuzi sana
Kolo huyo
Uyo dada wa nyeupe kolo swali ganiiiiiii hilo
💪💪💪 uliskia hii
ua-cam.com/video/VzZFSs4qqi4/v-deo.html
Yani bilnass ni mtuh ambae anapenda story zaidi kuliko kula halafu anastory za uongo sijaona nishakaa nae huyo mwamba
kwahy kaongea uongo😂
Lakini ana hela kuzidi wewe
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Toka apa
mhhhhh
Unataka likes