Kiongozi tapeli huzulum wananchi wa chini tena kwa ushaidi Tosha tena naomba mama samia atuhurumie ss wanyonge mm sio msanii najitegemea ila hata mtu yoyote akiwa tapeli tumuweke wazi
@@goodluckmichael3492 mm hatakama maskni napambana kwa Jasho langu tena naomba kama huyu mtu mm anirejeshee pesa zangu tu inshaallah kwa uwezo wa mungu haki yangu nitaipata nna ushaidi tosha mm
Imagine post inahusu wanawake ila anaongea mboso kuliko wanawake wenyewe, yes alifanya kazi kubwa but stage ni yao so angeacha waeleze wao mambo yao then wamtaje tu kuwa aliwasaidia/ simamia/ that's more than enough.
Humu wanaokomenti wengi hawataki kuona kinachoonekana; hapo ni wapi, producer ni nani, mwandishi ni nani, project kakabidhiwa nani, stage na post hii sterling nani!? Ukiyajua hayo utaona na kuelewa. Wale wanaobisha ombeni project hyohyo ikafanyikie clouds mtaanza kunielewa.
Zuchu kiboko apewe mauwa yake ngoma ni kali anajuwa kuandika mtoto wa kizenji
Mbosa ni moto kwa kweli mtunzi mzuri sana blaza huyu respect kwako, tunapenda kaz zako na wasafi kwa ujumla kuupushi mziki mzuri wa Tz🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Nyimbo imeandikwa na zuchu, mbosso amekuja tu kujazia na kurekebisha vipande vidogo
@@Sunflower001-xt3ounyimbo ametunga mbosso kama hujui sas
Zuchu wrote this song in January
Zuchu kaandika nyimbo Mbosso amekuja tu kushindikiza
@Sunflower001-xt3ou kwa hyo unapingana na watoa taarifa yao,ww ndio unajua zaid🤣🤣🤣🤣
that song is very strong, I really like the music of tz, I really like it
Kumbe mbosso ana uwezo mkubwa hivi daah sikuwai kulifikilia hili
Sauti ya nyimbo hi inaekezana na nyimbo ya.Dimpoz.diamond.jux na melody.
Queen darling nae yuko poa sana ushirikiano between zuu na nandy 😊
Kumbe alie andika alicho Imba Nandy ni Zuu ( Alafu Mnamlinganisha Zuu na Nandy kweli? Mnamkosea Heshima ) 👑😎🌹
Ameandika mbosso wimbo
Zuuuuuu moto wakuotea mbali
@@SamairaSameer Zuchu wrote this song in January
Nandy kasema haaaa inamkataa ila ukweli nandy na zuchu Wana ushirikiano mzuri
Mbosso Kiboko, Apewe mauwa yake. 😎
😂
Ogh but Queen darlin verse ,,she really went in the song with her different style guys just repeat the song .much love from Namibia..
Nandi anasauti nzuri inajirosti bila nyanya❤😂😂
Kweli
zuchu mwalim wao WCB wapo juu
Zuchu anaweza
Kabisa
Zuchu the best ❤ 👑
Kweli moto🙌🙌🙌
Mbosso bravo respect
Bravo à vous tous les filles 👍👍👍👋👋👋👋👋👋💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐♥️♥️♥️♥️🐎
looooh!! zuhura nomaaaa sana❤❤❤❤
Wangapi waliona gisi zuchu alivyo msimamisha anjela tuonane kwenye likes
Gisi ndo nn
@@najmasalim-rg6ow alitaka kuandika Jinsi ndo amekosea ameandika gisi
Mbosso ww ni fundi sana❤❤❤
Zuchu is beautiful ❤
Nandy the best verse and vocal
Alichokifanya Harmonize kwa Diamond State House Harmonize alikua anatimiza maagizo ya Wachawi wake... Maskini Diamond 🙏😭🇹🇿🦇🦇🦇🦇
Nandy umeuaa❤
Niatar kbs kazi njema wasanni mpendane 🎉🎉🎉🎉😮😮
mbosso mimi nakubali sana uwandinzi Mungu akupe maisha marefu
Kumbe hii nyimbo iliandikwa kitambo kuna kipnd hii clip ilivuja watu wakasema kuna ngoma ya zuchu inakuja kumbe ilikua ni collabo ya samia queen
We love them so much
Kazi Kubwa ☝️🇨🇩
Napenda san nyimbo hii
Congratulations mbosso kwa kazi nzuri
Nishaona nyimbo ya Zuchu na nandy itavyo kua 🙌🏼❤️🔥
Billinass
Mbosso ktk uandishi 🎉❤
Zuchu alivyosema tu wajukuu yammy shwaaa kanyanyuka kana heshima sana 😊
Rosa Yuko wapiiiiiiiiii
Nyimbo nzima aroimba vizur saana Ni The African Princess Nandy
Unalako jambo ww😂😂
Zuchu na nandy wanapendana sana
😂
Uuuum! Uwongo!
@@Zuu673 Labda🤷🏿♂️🤷🏿♂️🤷🏿♂️
Sana
Jaman ruby hayupooo dah😢😢
Lovely,well done Queens,Samia hoyee,UWT safii❤
Mama eti sifa zetu zinajulikana kweli
I admire the love tanzanianshs have
Nandy anaandika mwenyewe
All did well, but Appy and Abby for me, nailed it.
Nampenda angela❤❤
HATUKATAI DUNIA BILA NYIE HAIPENDEZI LKN KUBALINI BILA WANAUME HAKUNA NYINYI MANA HADI NYIMBO YENU TU MMEANDIKIWA NA MWANAUME😂
😂😂😂😂😂😂😂nan kakwambia uwaze kote uko😂😂😂😂😂
Una miakili mingi😁
Ko unalilia kuwepo? Washtue wakuimbe na wewe!
Hawajiwezi😀
Umeupiga mwingiaisee😂😂😂😂😂😅😅😅
Mbosso khan mushedede respect bro
Kumbe wametuzidi kipato tu ila wanavyo pata tabu kwenyeuimbaji kama sisi tu😂😂😂
Sasa wale wanasema Nandy na zuu awapatani weko wapi jamani? Eeeee mungu awalinde msigombana
I crealy see that battle btwn nandy vs zuchu
Mmmmh moto
Lizer very humble person
Mbosso ubarikiwe kwakwel
Mboso Ni kichwa cha muziki but nandy na zuchu wameshow san love
Sema wanaume hapa,tumepigwa na kitu kizito hii ngoma katika ngoma zote hii ni kali,kwaiyo wasanii wa kiume mjiandae kutubeba nyimbo ijayo.
Siku ya wanaume inakuwaga tarehe ngapi
Umeambiwa mpaka mama amalize sasa unataka nini tena.
Dada mwasiti yuko good bado hajachoka 😊
Wait for ruto men hapa Kenya almost ready
Iyo verse yamama samia mama,mama ni mama mwanzo aliingizia zuchu ilinoga
Sure
Ndani kibokooo
@Dvoice anatafuta madem pale namuonaa tuuu 😃😃😃
Nice
Ka zuchu eti kana taka sasa kamu bebe shingoni nandy
Anataka yote😂😂😂😂😂
apewe pekeake
Mashallah
Sawa Malkia wa Samia msiishie hapo..
Zuchu pumzi bado sana
Y'all don't see Rosa ree verse ❤🔥
Au siyo hayaaa😅 zuu na nady
Yami ajapendeza
Wenzie wote wamevaa vitovu ndani yeye sasa kitovu nje 😂😂😂
@@happychilambo1883 keshajua ana kitovu kizuri bac ndo anakiuza kuliko ata mziki wake
daaah punguenii,,,,angeeeela
Nice❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Good song
Mbosso khan❤
Kiongozi tapeli huzulum wananchi wa chini tena kwa ushaidi Tosha tena naomba mama samia atuhurumie ss wanyonge mm sio msanii najitegemea ila hata mtu yoyote akiwa tapeli tumuweke wazi
😂😂😂😂
@@goodluckmichael3492 mm hatakama maskni napambana kwa Jasho langu tena naomba kama huyu mtu mm anirejeshee pesa zangu tu inshaallah kwa uwezo wa mungu haki yangu nitaipata nna ushaidi tosha mm
Nandy kila siku anawakalisha wote😂😂😂😂😂😂😂
Hajaandika yeye ni zuchu
@@SOPHIASIMBA-db4tdhujaambiwa kuandika kuimba
@@SOPHIASIMBA-db4td zuchu pia kaandikiwa n mbosso kwaio wote wameandikiwa sawa
Hata zuchu Kawa kalisha wote
Samia Queen vipi wakati Harmonize ana abuse Diamond Platnum... Viongozi Kimya 😭😭😭🇹🇿
😂😂😂😂😂😂
Mwasiti 😂😂😂😂😂🙌🙌
Mbosso nayeye ni biti 😂😂
😅😅jinga sana
Mbosso ana aibu 😂😂
Wakwanzaa nikiwa live kutoka shambani..😂 wapi like zangu
Jamani 🤭😂😂
Wa kwanza Kuview, Kulike & commenting
Gigy money hayupo
Beautiful
Sasa zuu na naaa mnateta nini??? 😂😂 alsfu nandy anatoa sauti umeona eeee😅
Zuchu noma
Wanawake kwa chips yai😂😂😂😂😂😂
Mwasiti kanenepa!
Yami pekee yake kavaa kitofaut hii kuonyesh ajiheshmu🤣🤣
Unataka yote mwasiti
🔥🔥🔥🔥🔥
Imagine post inahusu wanawake ila anaongea mboso kuliko wanawake wenyewe, yes alifanya kazi kubwa but stage ni yao so angeacha waeleze wao mambo yao then wamtaje tu kuwa aliwasaidia/ simamia/ that's more than enough.
Kwahiy ww ulikuw km mom mbos ndo kiongoz mkuu acha umom ww
❤❤❤❤❤
Nandy ww nifundi unajuasana sista miakabuku zuchu akuna kitu nandy nakupa%1000
Mtu mwenyew unaitwa shukuru😂
Zuuu eti wajukuuu 😂😂😂
Humu wanaokomenti wengi hawataki kuona kinachoonekana; hapo ni wapi, producer ni nani, mwandishi ni nani, project kakabidhiwa nani, stage na post hii sterling nani!? Ukiyajua hayo utaona na kuelewa. Wale wanaobisha ombeni project hyohyo ikafanyikie clouds mtaanza kunielewa.
Watu wapungue au sio
Part two lini
Zuchu etii asubuhiii😅
My question is Why Mbosso doing all that talk when it’s Zuchu who originally started writing the song since January?
He had to for you to fall for the story.
Mbosso akaamua kuongea kizanzibar
Like zang wa 3