Hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah Amina Aminaaaaaa Amina kubwa mbinguni Kwa mwokozi. Uganda is quiet and listening. Ni Mungu hapa. Touched
Amina sana mungu ni mkuuu tulitukuze jina lake pekee katika maisha haya eeeh mungu tubariki sana kirumba karibuni season 3 tushirikiane kulitukuza jina la mungu Ili twende mbinguni pamoja amen 🙏🙏🙏
Natamani sana huyu Roho as liyewashukia KAC afike kwa makanisa yote ili wote tuimbe hivi. Barikiweni sana SEASON 3 tukakodi uwanja wa Taifa aisee ili ujumbe ufike mbali zaidi
Nyimbo za Kristo zinaujumbe woote, yaani ht pasingekuwepo nyimbo mpya ni sawa tu. Kirumba sda choir barikiweni sana, watu wa vyombo mbarikiwe sana. Kumbe ht drums zikipigwa vizuri zinamtukuza Mungu wa mbinguni.
Don't forget Kenya too. Being blessed. Just love this choir. God bless you for this message in songs and the mode of presentation. I feel angels descending.
Mfungue akaunti tuchangie tulichonacho. Nimekominika kirumba. Nilikuwa mwana region, mama yangu alikuwa mfagiaji wa kanisa.daah namiss sana😢. Leo huyu Mungu kanibariki Niko nchi za watu. Naomba nichangie kutoa shukrani❤❤
Barikiwa sana Sophia.. Akaunti ya Kanisa ni CRDB Account No. 0150516187800 au Tigo Pesa 0677063333. Zote zinaenda kwa majina 'KIRUMBA SDA CHURCH'. Week hii Sabato ya 29.07.2023 tutakua na Changizo kubwa 'Kirumba Majengo Big Day' Changi kumalizia Ujenzi wa Kanisa lako Sophia. Barikiwa.
Amen amen namwona Yesu katika nyimbo hizi
May God bless you KAC
Hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah Amina Aminaaaaaa
Amina kubwa mbinguni Kwa mwokozi. Uganda is quiet and listening. Ni Mungu hapa. Touched
Amina sana mungu ni mkuuu tulitukuze jina lake pekee katika maisha haya eeeh mungu tubariki sana kirumba karibuni season 3 tushirikiane kulitukuza jina la mungu Ili twende mbinguni pamoja amen 🙏🙏🙏
Ni viletu ni mbali ila hakika ningekuja
Inaleta raha na utukufu kwa Mungu balikiwa sana kwaya ya kirumba.
Ii😊 0:08
Nawapenda sana maana mnanibariki mno❤🇷🇼
Nyimbo Kama hizi Jpm ndo alikuwa anazielewa kirumbaaaaaaaa❤❤❤❤
Alikuwa anakuja kusali Kirumba?
Mungu awabariki kwan nabarikiwa nyimbo zao
Amina
Nawafatilia sana KAC, Kila ninapowasikiliza nakosa uvumilivu nalazimika kushare
Asante sana Muyabi na Mungu Akubariki,
Barikiwa sana kirumba
Natamani sana huyu Roho as liyewashukia KAC afike kwa makanisa yote ili wote tuimbe hivi. Barikiweni sana SEASON 3 tukakodi uwanja wa Taifa aisee ili ujumbe ufike mbali zaidi
Labda season 5.. Season 3 tayar, na season 4 iko njian.. Ila wazo zuri sana
Toka Zambia.
Mnanibariki sana.
Najisikia nyumbani mara zote
Nabalikiwa sana Kwa ala tamm sana zenye utukufu amen
kweli,yuko hai,hata,ukiwa,na.matatizo,yesu,youhai,mbarikiwe,kwa,mwimbo,mzuri
Utamu wa kumuimbia Bwana,mbarikiwe
Amina
Ni moja ya kwaya nazofatilia Mara kwa Mara Sana, hasa hizi nyimbo za kristo mnaziimba kwa ustad mkubwa San, Mungu awabarik
Barikiwa zaidi
Lindo demais esse hino! I am Brasil
Mungu awabarik natamani siku ile si sote tukutan uko mbinguni
Amina mtumishi
Wonderful voices. Indeed, our Lord lives, He lives, He lives within my heart.
Aise hivi kuna watu Mungu Anawapush mbali ili kusudi litimie eeeee Bwawa awabariki I wish I'll get the chance to meet with God soon
Praise singers wanatamani kusalia hapo hata siku moja wanajipanga?
Amen
Karibuni sana.
Ameen waimbaji wa kirumba mnatubariki sana mbali na uwimbaji wenu mzuri lkn mnatupa na neno akika tunabarikiwa sana
Amina
Mfike mbali kwa kwelii mnamtukuza Bwana vema
Ipo siku nitasali hapo kirumba.
Hata mbinguni nikuimba mu barikiwe Sanaa❤
I love this . God bless you and continue using you for His glory
MUNGU awabariki sana kazi nzuri inamuinua KRISTO
Ni shauku yangu MUNGU akiabudiwa katika namna njema sana mbarikiwe maradufu maradufu amina
Amina
Nyimbo za Kristo zinaujumbe woote, yaani ht pasingekuwepo nyimbo mpya ni sawa tu. Kirumba sda choir barikiweni sana, watu wa vyombo mbarikiwe sana. Kumbe ht drums zikipigwa vizuri zinamtukuza Mungu wa mbinguni.
Barikiwa mtumishi. Karibu sana
awa wapiga vyombo wajengewe sanamu hapo nje ya kanisaa
Halleluiah
Sanamu gani
Haleluya
Kazi nzuri sana
Amen
Kwa ya bora sana! Amina amina amina amina
Amina Prof.
Amen ❤ Very peaceful
Nabarikiwa sana na upigaji wa vyombo wa kiwango cha juu sana.
Naendelea kubarikiwa nanyi Kirumba. Salamu zangu nazituma kwa Miso sasa naona kakomaa kwa Bwana mwambieni asikate tamaa mpaka ile asubuhi njema.
Bwana awabarik sana!!!
Hizi ndio nyimbo za sayuni,,,,hallelujah
Amen wimbo wangu pendwa
Barikiwa
Amen Amen Amen
Kweli nyimbo hizi zina bariki
Mbarikiwe saaana watu wa Mungu
Amina Sam
Tunabarikiwa na nyimbo zenu
Amina
Mbarikiwe sana @KAC 🙏
Amina Mgonja
Beautiful song lyrics we'll elaborated .... What a wonderful song to the soil
Jaman nawaona wengine kaka zangu mbarikiwe ni moja kati ya nyimbo zinazonibariki sana
Nyimbo tamu mbarikiwe
Nabarikiwa sana so touchable ❤
Barikiweni Sana KAC
Amina Scho
Bwana awabariki sana kwa kazi nzuri
Oooooooh lovely lovely kabisa!
Amen Mwl. Karibu
Aminaa🙏🙏🙏 following from Kenya
Aminaa
Barikiwen Sana watu wa Mungu.
huwa sichoki kusikiliza au kuimba mashairi ya huu wimbo. I am blessed.. you guys Mungu awaweke
Amina Upendo
Mbarikiwe sana wapendwa
Nmebarikiwa sana na huu wimbo , kuanzia intro ilivopigwa had Mwisho wake... Mbarikiwe sana kwaya ya Kirumba... Mnainua mioyo kumuelekea Mungu
More love from Zambia ❤..may Gid continue blessing your ministry
so great worship.
God give power to worship you this way and attend, do live worship with Kirumba
Don't forget Kenya too. Being blessed. Just love this choir. God bless you for this message in songs and the mode of presentation. I feel angels descending.
Barikiweni sana Wanakwaya. Upendo wa kimbingu uwafunike daima❤
Haleluya yu hai Mwokozi wetu, barikiweni sana
Amina
Kazi njema
Amen
Mungu awabariki
Amina
Nabarikiwa sana
Najuta kwa nini nimelewa humu, nyimbo zinabariki mno, zinaimbwa kwa umakini na ustadi wa hali ya juu. Mbarikiwe wajoli wa Bwana. Muende mbaliiii...
Barikiwa sana
Mbona sasa unajuta @brian
Mbarikiwe...Ntafika hapo nkiwa karibu
Lewa tu Ndugu,tuko wengi hapa yaan mi music sijui ni geshakufa kitaaambo kama sio MUNGU na music in me help me God
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Wimbo mzuri mbarikiwe kirumba jina la Mungu litukuzwe
Amina
Amina
Amen
Bwana awabariki sana!!!
Ameen
Amina
Abana b'Imana ku isi yose ni bamwe! Amen
Amina mbarikiwe sana KAC mko vizuri mnoooooo
Bwana Atukuzwe
Mfungue akaunti tuchangie tulichonacho.
Nimekominika kirumba. Nilikuwa mwana region, mama yangu alikuwa mfagiaji wa kanisa.daah namiss sana😢.
Leo huyu Mungu kanibariki Niko nchi za watu. Naomba nichangie kutoa shukrani❤❤
Barikiwa sana Sophia.. Akaunti ya Kanisa ni CRDB Account No. 0150516187800 au Tigo Pesa 0677063333. Zote zinaenda kwa majina 'KIRUMBA SDA CHURCH'.
Week hii Sabato ya 29.07.2023 tutakua na Changizo kubwa 'Kirumba Majengo Big Day' Changi kumalizia Ujenzi wa Kanisa lako Sophia. Barikiwa.
Miguu ichokapo sikati tamaa I like it
Kirumbaa bwana awabarikii
Nyimbo nzuri kbs Tunawapenda sana ❤🎉Bwana wetu you hai kbs Anatupenda sana
Amina, Mbarikiwe sana.
Mungu awe nanyi hadi mwisho wa dahari ❤❤🇹🇿🇹🇿🇹🇿🙌
Amen, barikiwa sana
Mungu awabariki sanaaaa
Amina Phyniace
Nimebarikiwa sana
Amen, Endelea kufuatilia na usisahau kuSubscribe
Louvado seja o Senhor dos Senhores
Wapiga vyombo n a teacher who conduct ther wow...am so touched 😊
Amen
Be blessed
Mubarak tele
Amena
Amina,, Mungu awabariki
Amina, barikiwa sana pia.
Lindo Lindo Lindo mesmo, demais, parece me transportar um lugar celestial. Amém e amém e amém...
Amina 😍👌🏽🇹🇿
Alleluiah
He lives He lives within my heart
Amina
Mzidi kubarikiwa watu wa Mungu
Amen
Kwa kweli Yu hai
Hakika Yu hai!!! Mbarikiwe sanaa!!
Amen hallelujah ❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Mwende mbalii.....🙏🙏
Amen
Hakika Yu hai ndani yangu
Amina
Amina San mbarikiwe san
Amina
Friends from Kenya here too
Amen.
This has been a blessing to my soul!
Mungu ni mwema awabariki sana
Amen
Haleluya . Thank you God. Yu hai
Amen❤
Ongera
Nice song
Amen.
" I am He who lives, and was dead, and behold, I am alive forevermore. Amen. And I have the keys of Hades and of Death."
Revelation 1:18
Amen