Azam media team kuna mambo sio ya lazima yanawekwa kwenye highlights...9 minutes zote za nini🤷🏾♂️matukio yote exciting yawe summarized in 3 minutes, sio replay dakika mbili nzima.
Niwaambie tu ukwel wana simba timu yenu nzur sana na imekamilika ila kwa yanga bado nindogo sana kwa hilo mnaombwa mjikubali ili mengine mjue kujifunza kutokana na ubora wa wenzenu ❤❤❤
Alibebwa nyuma mwiko mbele ya Simba na Ramadhani Kayoko na hukuongea unakuja kuongea leo !!! au macho yako siku ile hayakuona ? tatizo lenu mmeweka ushabiki wa nyuma mwiko mbele na kisha mnashindwa kuisema ilokuwa kweli .
Mimi nasimba dam dam imani yangu team yangu kimataifa tutafanya vizuri sanaa kuliko 🙏💪🔥💥
Tena Saana tu hiyo iman tunayo 🎉
@@AnnaJayden-k4m haswa tuko vizuri sanaa
Kimataifa tunatusua ndugu yangu ila hapa bongo labda next season mana utaratibu WA udhamin WA clubs labda utabadlikaa
Shangilia ya kapombe na ngoma ya kuonyesha kuwa kuna watu wanabebwa kama watoto nimeelewa sana from kenya 🇰🇪
Kabisa yani 😅😅😅
Kumbe jaman 😂😂😂😂 akili nyingi sana
@@aginsagins-jf4vz ndio inamaanisha hivo ameamua kutuma ujumbe kwa njia hiyo
😅@aginsagins-jf4vz😅
Analeaa anamaanish
Simba inanipanraha sana naipenda sana❤️❤️❤️❤️❤️
Benchi linasaidia, Steve leo kacheza fresh sana
Alhamdulilah
Waaaaaaaaaaa❤
Duuuu ila mavambooo ni habar nyingine 🎉🎉🎉
Mukwala ni Kma bhat haipo upande wake
Aaaah mukwala wee ❤ nakuona kaka❤❤
leo mpira umemkubali mukwala
❤❤❤❤❤❤❤ simbaaaaaa mpk kufa kwanguuuu
Simba ni balaaaaaaaaa❤
Na mm nikaamia kuwaimbia simba na wimbo jinsi gani naipenda simba
Simba nguvu moja 🔥🔥🔥
Mnyama❤❤❤
🎉🎉 simb siach ng,oo
ALHMDHULILLAH
Simba nguvu moja
Simba ❤❤❤❤
❤❤❤❤❤❤
Wa kwanza
Mkwala tusimpuuze ni mtuuu
I ❤ ximba
❤❤❤❤🦁🦁🦁
Leo ateba kapasia itakua wamemsema😅😅
Ndio hatakiwi kuwa mchoyi
Simba hii kutufunga mtu uongo labda tujifunge wenyewe
Uko sahihi wale timu ya njano tuliamua kuwapa goli ili round ya pili tuwanyoe vzr
😂😂😂😂😂😂kaka nasave hii comment nitakukumbusha @@yesudustan791
ila mpenja unanikosha eti ahou ahou unavyoilegezea hatar
Hivi jman mmemuona Mutale au
🔥🔥🔥
Mkiona jezi imeandikwa jina fulani fungeni magoli mengi
Toplooooo wanaumia 😂😂😂 wanateseka 😂
Kakusanya mwenyekiti Mtendaji nan kaskia?
Raha jipe mwenyewe❤❤
Ubayaa Ubwelaaa😂😂
Kama kawaida acha waxeme IPO xku tuta Cheka hata xx❤smbaa
,leo buludan t imi syou 💕💕💕💕💕💕💕💕
🎉🎉🎉🎉
🦁🦁🦁
Why kocha hamchezeshi Awesu mechi kubwa, kijana anajua Mpira!
Show me the way Shomari Kapombe baba Ester
Wakwanza jamani
So what
Nice 👍
hiii ndio simba sasa 😂😂
Hiii ndio simbaaaa
Azam media team kuna mambo sio ya lazima yanawekwa kwenye highlights...9 minutes zote za nini🤷🏾♂️matukio yote exciting yawe summarized in 3 minutes, sio replay dakika mbili nzima.
Nan mwengne kamuona assistance referee number 1 kaingia uwanjani😂😂😂
Simba baadhi ya wachezaji wana uchoyo inapokuja kwenye finishing
Mgunda kaanza na kipigo 🤣🤣 kizito
❤❤
Disconnect Katia chuma ya mwsho ya kbabe sanaaa
Ubaya ubwel tu simb nguv moj❤
Mbona mnakataga tamaa,ikifunga ndo inakuwa yakwenu,ikifungwa munalamu
Huo n ushabiki mandaz wanao salit timu
Mazeruzeru fc tunawaambiwa na bado
Mpenja we unafaa utangazage yanga😢😢
Nimefurahi saan leo
Wale freemanson kiasi wabebwee
mavamboooooooooo ubay ubwela
❤❤❤❤❤😂
👋👋
Hamedali gumha audio salaganga
Iyo pass ya okejepha kwa ateba n bajlaa
😂 8:14
Jamani mbona hawaonyeshi vizuri??! Au simu yangu!!!!!
Bonyeza alama ya setting uweke quality ya akuanzia 360 n.k itaonyesha vizuri Ila itakula bundle sana
Dese mkwala
saw
Mtangazaj huwa unanipa raha sana
Kama hujui maana usisumbuke na watu wahovyo
Iyo uwa umemanisha mkeo anamtoto mdogo wakunyonya
Ss ndo cmbaaa yanga dawa yenu inschemkaa
Ukolo mtupu
Jamn hii ndy simb😊
Niwaambie tu ukwel wana simba timu yenu nzur sana na imekamilika ila kwa yanga bado nindogo sana kwa hilo mnaombwa mjikubali ili mengine mjue kujifunza kutokana na ubora wa wenzenu ❤❤❤
Labda akina Kayoko wapokubebeni, UTOPOLO hawana ukubwa wowote mbele ya Simba ila wewe unaongea kiushabiki .
Kwan yanga alitufunga au tulijifunga😂😂😂
Simba yetu haieleweki
Wewe siyo shabiki wa Simba haieleweki kivipi
Timu inafanya rotation na inashinda ila Kuna mashabiki mandazi Bado wanalalamika
Huyu kisaikolojia anaonekana kuwa ni kibaraka wa nyuma mwiko
Deborah anavyoshingilia ni kama anamkubali Mohamed Salah
Vibonde vs Vibonde😢😢
Unateseka kweli utopolo 😂😂😂
Ndio Simba wenyewe wanabebwa bebwa waamuz wamchongo
Yanga wanapakatwa sio
@@UmmyKhussein Bingwa atajulika
Alibebwa nyuma mwiko mbele ya Simba na Ramadhani Kayoko na hukuongea unakuja kuongea leo !!! au macho yako siku ile hayakuona ? tatizo lenu mmeweka ushabiki wa nyuma mwiko mbele na kisha mnashindwa kuisema ilokuwa kweli .
Asha na ashura wamekutana mgunda hawezi kuamulia ngumi hizo bali atashangilia kimoyokimoyo tu
Hujatumwa kukera furaha zawatu mbwa wewe. Kashangilie timu inayokupa furaha. Hii furaha ni yawanaSimba pekee.
Ashura ni yule alobebwa na Kayoko tarehe 19/ 10 /2024 au ushabiki wa nyuma mwiko umekuelemea macho yako hayakuona siku ile ?
MNawaonea wadogo njooni kwa baba zenu yanga
Mkubwa huwa habebwi!!
The problem with Simba players; they don't pass the ball to others.
Ulaanweee www
Eti baba zenu , baba asiejiweza hadi abebwe ana faida gani !!! ?
Simba bado sana
❤❤
Ilitakiwa mfunge magori Saba hii mechi Bado kiwango Kiko chini
Simba❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️