MOHAMED HUSSEIN AWEKA MIPANGO YA KUONDOKA SIMBA/ DAU LIPO MEZANI ASILIMIA 80%

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 лют 2025
  • Hii ni CROWN MEDIA, 92.1 CROWN FM & CROWN TV
    Follow us on Social Media Platforms
    Instagram:
    Crown FM - / crownfmtz
    Crown TV - / crowntvtz
    Twitter (X):
    CROWN MEDIA SWAHILI: / crownmediatz
    CROWN MEDIA ENGLISH: / crownmediaen
    Facebook:
    CROWN MEDIA: www.facebook.c...
    TIKTOK:
    www.tiktok.com...
    SUBSCRIBE & WATCH OUR SHOWS: / @crownmediatz

КОМЕНТАРІ • 17

  • @JumaLitto
    @JumaLitto 7 днів тому

    Naelewa wakuu crown 👑 fm

  • @ambrosemtena2876
    @ambrosemtena2876 7 днів тому +1

    Kuna tofauti kati ya expatriate na local. Si katika mpira tu hata kwenye makampuni. Hilo ni jambo la kawaida sana. Hata wa kwetu wakitoka watalipwa zaidi ya wenyeji.

  • @sebastiannwaka5847
    @sebastiannwaka5847 7 днів тому

    🔥🔥🔥 crown

  • @Fatherjaybadmaan
    @Fatherjaybadmaan 6 днів тому

    Mmh jamani Duchu, Chasambi, Kijili wote wana magari sasa sjui mnazungumzia timu gani,, naona hance unaropoka sana hebu nikuulize wew hapo crown umepangiwa Masaki

  • @TKwelis
    @TKwelis 6 днів тому

    Mnaitafutaa sana Simba sc..akitaka ajikatee tu..

  • @mohamedathuman2216
    @mohamedathuman2216 6 днів тому

    Jee hapo mnalipwa sawa wotee

  • @franccoz94
    @franccoz94 6 днів тому

    HIYOO BAADA YA HOVYOO KWELI,HAWAA WACHAMBUZ WAMESOMAA KWELI.

  • @bukenyagodfrey4556
    @bukenyagodfrey4556 7 днів тому +1

    Wachezaji wa timu gani mnaozungumzia akt ata chasambi saiv gari analo.....au ni umbeya tyu

  • @franccoz94
    @franccoz94 6 днів тому

    Hataa England fernandes na kobbie manooo not treated as the samee

  • @AllyMrisho-t8i
    @AllyMrisho-t8i 7 днів тому

    Brow shida ni kujielewa samata aliwaonyesha njia wazawa ila walishindwa kufata

  • @moshendinda3141
    @moshendinda3141 7 днів тому

    Jaman wachumbuzi mnaremisha nn kila kitu ni mkataba bro

  • @goddamwakimi5889
    @goddamwakimi5889 5 днів тому

    Mmmh

  • @TKwelis
    @TKwelis 6 днів тому

    Mzuzu kawatumaa..aendee tuu

  • @AlhajiRashid-y6x
    @AlhajiRashid-y6x 6 днів тому

    Kama ivo basi ateba namukwala watimuliwe maan wanaujumu uchumi t

  • @Sampovoice8088
    @Sampovoice8088 7 днів тому

    Zimbwe Jr

  • @davidwatson6821
    @davidwatson6821 7 днів тому

    Wajenge nyumba zao, sibmishahara wanapata???

  • @geofreylugutu7923
    @geofreylugutu7923 7 днів тому

    Bongo nyoso