Martha amejichubua ngozi amekua mweupeeee!!! sana sana!!,martha nani kakudanganya umejichubua umejiharibu sana, nini kinawakumba waimbaji wakubwa wakike tanzania nimeumia sana kuona martha umejichumbua ivo ulikua na uzur wa asili kwann amtaki kujiamin wakati mnamtumikia mungu!!kundi ulilokua nalo silo kabisa.dah yesu tusaidie!!!
Yesu ni tabibu wa kweli ooooh halleluyah aki vile napenda ww na nyimbo zako zimeja kwa simu yangu mama martha ubarikiwe zaidi zanibariki sana nyimbo zako
Ameen ,,,, Mtumishi wa Mungu,,,, nabarikiwa mno na huduma yako,,, nakuomba uzidi kusimama ktk Nafc yako cku zote Ili wengi wainuliwe kupitia huduma yako,,,, usije ukawafwata wengi ambao wanapofika mahali wanakua na majigambo na kusahau kama Mungu mwenye Enzi yote ndie amewafikisha walipo...... Barikiwa Sana Dada yangu ..
My mum visited recently. She used to love Angela Chibalonza's version. I played this version. She sat there in cold silence. Cold blood silence. I could feel her soul melt. Thank you Martha
My sister ,, you are more than gospel Singer you mix three types of music feelings ,, reggae Bluz pop and gospel ,, I always appreciate what you do and no one to compare with you in Tanzania maybe Ada ehi from Nigeria ,, duuhhh yaani Wewe Ni nouma sana
Kazi mzuri Dada yetu, you always on the Top through ur Good songs congratulations 🎉👏 for the good work you do 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 We love ur worship songs alot, more like to our sister martha guys
🙏Ni tabibu wa karibu.ASANTE YESU KRISTO. JINA LAKO BABA WA MBINGUNI LIMETUKUKA.Hallelujah MWENYEZI MUNGU azidi kukubariki dadangu Martha Mwaipaja.Wewe ni wa Baraka Maishani Mwangu. Amen. U.s.a twakupenda💞
Umejua kuni furahsha, Tunaomba utuimbie nyimbo nyingi zaidi za kitabu cha "TUMWABUDU MUNGU" KKKT, Namuomba Mungu azidi kuku bariki na kukuinua' Aaamen👏👏👏
Wooow Martha am from Kenya and am juz feeling blessed with this worship song thanks to our almighty God for using u #twende kwa amani. God bless u dia Martha
🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 kenya nipeni likes za martha
Martha anabariki Sanaa
I love her songs this is for you @martha😘
@@karekamideva4209 iksl9sbz 0mllllm
.... one for her and another one for you...#nasikia Roho wa Mungu
Australia nipe like zangu kama unampenda Martha
Hata mie namkubali sana huyu mdada kwa huduma yake ya uimbaji!!
@@stephanomathias8349 n
Mungu akutunze Matha
Kiukweli ana nibarik sana
Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 nipe like ni mara ya kwanza kucomment song zake martha but uwa nasikiza naipenda nyimbo zake sana....amina 🙏🏻
Martha Mwaipaja twakupenda,kama unapenda huyu dada leta likes za 2021
Thank you sister, the harvest is for these who work hard! I like this song!🤙🤙🤙🤙
Mungu akubariki
Mungu akubariki sana
@@rosekesina7871 karibu
Gospel music sasa imeshikwa na Martha Mwaipaja &Christina Shusho kama unakubaliana nami naomba lyk yako!!
Huu wimbo naupenda sana na unapo imba lazima nilie wa ajili ya mapito nayo pitia ahsante sana Martha kwa wimbo mzuri unanitia moyo
I love this wapi likes za mum mwaipaja
From pandemic of COVID-19 worldwide na uko mzima.Nipeni likes za dadetu martha tukikubaliana kuwa MUNGU NI TABIBU wa kweli 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🙏🙏🙏
Kweli Mwenyezi Mungu ndiye tabibu wa kweli...wapi likes za dada yetu
Nipewe likes jameni......... Very good and a blessing
Kwasababu ni nyimbo za kimungu like na comments ni ndogo sana ila angekuwa diamond au Mbona and.......... I think like na comments zinge kuwa nyingi
Nakupenda Sana Martha,nyimbo zako huwa zinanibarik sanaa,,,,naomben like za Martha jmn Kama mnampenda
Wowww wapi like za martha,,,,she never fails,,, this is sweet oh
Martha acha kabisa hapo ulinimaliza utamu kabisa nisaa sita usiku nausikiliza huu wimbo jamn TABIBU MARTHA SHUKRANI SANA MPENDWANGU
Martha amejichubua ngozi amekua mweupeeee!!! sana sana!!,martha nani kakudanganya umejichubua umejiharibu sana, nini kinawakumba waimbaji wakubwa wakike tanzania nimeumia sana kuona martha umejichumbua ivo ulikua na uzur wa asili kwann amtaki kujiamin wakati mnamtumikia mungu!!kundi ulilokua nalo silo kabisa.dah yesu tusaidie!!!
Yesu ni tabibu wa kweli ooooh halleluyah aki vile napenda ww na nyimbo zako zimeja kwa simu yangu mama martha ubarikiwe zaidi zanibariki sana nyimbo zako
Nami pia Marha Faraja Nyimbo sana kwenye Pito
Watu wakenya wapi likes za Martha
Napenda huyu dada
nampenda sna
naangalia kutoka Zanzibar hakika nyimbo zako zinagusa hisia za moyo wangu dada Martha ubarikiwe sana
Yesu Akuinuee Zaid na Zaid Roho Mtakatifu akuongoze 🇹🇿,,,
Mungu akubariki Martha endelea na hicho kibali Kwa wimbo huu mzuri unaofanya Mimi kuondo mawazo ndani ya roho yangu barikiwa sana
Wewe Maritha omba Mungu. kweri unapendeza na mimi niko pamoja naweye mimi napenda sana myimbo zako kweri arakini niko mbaari kweri . siku mwema Dada m'y kabuji Emile fom Burundi .
Ameen ,,,, Mtumishi wa Mungu,,,, nabarikiwa mno na huduma yako,,, nakuomba uzidi kusimama ktk Nafc yako cku zote Ili wengi wainuliwe kupitia huduma yako,,,, usije ukawafwata wengi ambao wanapofika mahali wanakua na majigambo na kusahau kama Mungu mwenye Enzi yote ndie amewafikisha walipo...... Barikiwa Sana Dada yangu ..
Huyu martha twampenda huku kenya, hii version ameitoa vilivyo,
Ubarikiwe saaana mtumishi wa mungu jamani ninapata faraja saaana kwa nyimbo zako hakika mungu ni tabibu wa haki
Hakika ,ni tabibu wa Kweli hakuna kama yeye Yehovah Jaire , Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
My mum visited recently. She used to love Angela Chibalonza's version. I played this version. She sat there in cold silence. Cold blood silence. I could feel her soul melt.
Thank you Martha
Mungu wangu niseme nini😢kweli upendo wako kwetu nimwingi mno 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Iiimbeni malaika
Siiifa za yesu bwana
Pweke limetuguka
Jina lake yeesu.
Ahujawahi kuhimba vibaya wangu martha. ubarikiwe sanaaa mtu wangu.
Jina moja tu YESU 🙏🏾! Asante saana .... 😉🇨🇩
Nadhani nasikia zaidi katika nyimbo kuliko mahubiri😭😭😭😭watumishi endeleeeni kunihudumia.
Its the best song I love from the holy book "nyimbo za injili" from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪,Mwaipaja you are lovely. Mungu akunehemeshe🙏
Waoo dada kazi nzuri hakika YESU ni tabibu wetu hakuna mwingine
Nalia sijui ni kwa nini 😭😭😭🇰🇪🇰🇪
Martha asante kwa hii version.
Mungu ni Tabibu wa kweli 🙌
Martha sante kwa hii,kweli mungu tabibu wa ajabu
Your recipe in songs and music is amazing. Keep going for the good of God's people.Blessings
My sister ,, you are more than gospel Singer you mix three types of music feelings ,, reggae Bluz pop and gospel ,, I always appreciate what you do and no one to compare with you in Tanzania maybe Ada ehi from Nigeria ,, duuhhh yaani Wewe Ni nouma sana
Umeimba vizuri sana martha mwaipaja nakupenda sana dada yangu Mungu akuongoze pema
Kazi mzuri Dada yetu, you always on the Top through ur Good songs congratulations 🎉👏 for the good work you do
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 We love ur worship songs alot, more like to our sister martha guys
BWANA YESU ASIFIWE NAOMBA Kufanya Corable Na Wewe GOD BLESS YOU IN JESUS CHRIST NAME AMEN
Nyimbo zako huaga zinanibariki sana...Mungu azidi kukutumia jinsi apendavyo Mtumishi wa Mungu. Nabarikiwa nikiwa Mombasa 🇰🇪
Jamani huyu mwanadada abarikiwe sana anatuokokesha said mnoo
Wimbo mtamu sana , wimbo wenye huponya roho yangu kila niusikiapo , ahsante sana dada Martha. Mungu akubariki.
dada kwakweli nyimbo zako zaguza moyo mungu akutumie sana ili uendelee kuudumia nafsi za watu wake HUU WIBO KWELI NAUPENDA SANA
Uhishi milele dada. Nyimbo zako uwa zinanibariki moyo. Kweli Yesu ni Tabibu wa karibu 🙏🙏⭐️
Nice song Martha mungu akubariki sana na azidi kukutumia kama chombo cha kueneza neno lake much love from Kenya wangapi tumebarikiwa na huu wimbo
Niko hapa
Amen Amen 🙏
Nipeni likes jameni Tabibu wa karibu Yuko nasi milele.Shalom🙏🙏
Tusha kupea likes already
Ndio hizo
Nyimbo nzuri yabariki yangu roho nipeni like
Martha Nyimbo Zako zimekuwa Faraja kubwa kwangu ni kunipa Ushindi kwenye Mapito Yangu,Nakupenda Sana,Shetan Asipate Nafasi ya Kuaribu Huduma hii
Amen
Amen kubwa Dada Martha Mungu akubariki sana unaimba vzr unabariki moyo wangu
Napenda Sana sauti yako naomba uzidi kutoa nyimbo za tenzi zaidi
Imbeni malaika...barikiwa Dada Martha mungu azid kukuinui
Mungu azidi kukupa uhai ili uokoe roho za watu.nakupenda sanaaaa
❤ 🇺🇸 🇰🇪 TWAKUPENDA DADANGU MARTHA MWAIPAJA 🙏 Baraka Tele ❤️
Sifa za yesu bwana😭😭😭😭Ameeeen🇰🇪🇰🇪
Napeda vile unapeda kukaa natural beauty God bless you 🙏
Iyimwimbo unanikumbush kaka yangu martha unanikumbush mengi reo
Amen amen barikiwa sn kila nickiapo nyimbo zako hua nabarikiwa sn
Glory! glory!what a blessed song.dada Martha uwa nabarikiwa Sana na nyimbo zako.natamani siku moja ukija Kenya nikuone
Ubarikiwe sana mchungaji kwa kazi mzuri wacha Mungu aendelee kukutia nguvu
Martha nyimba zako zinabariki sana, Baraka ziwafuate kila mtu ambaye anaona video hii 🙏🙏
Am jambo dada na shukuru sana kwa hii wimbo mzuri Mungu akubariki na kusikiliza kuto Canada 🇨🇦.Amen 🙏🥰
🙏Ni tabibu wa karibu.ASANTE YESU KRISTO. JINA LAKO BABA WA MBINGUNI LIMETUKUKA.Hallelujah
MWENYEZI MUNGU azidi kukubariki dadangu Martha Mwaipaja.Wewe ni wa Baraka Maishani Mwangu.
Amen.
U.s.a twakupenda💞
We wanna download. Very very nice song
waaaaaaauuuh kama umeguzwa kama mimi gonga like
Asant Mungu kwa ajili ya dada Martha ,,, Umzidishie kwa ulichokiweka ndani yake ,
Nashukuru sana kwakusikiya nyimbo hii ya tenzi ya roho, Mungu akubariki Dada Martha na akuzidishiye huduma, nakupenda sana, ubarikiwe❤️🙏.
Much love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Wow nyimbo nzuri Dada yetu, ubarikiwe mpendwa
Umejua kuni furahsha, Tunaomba utuimbie nyimbo nyingi zaidi za kitabu cha "TUMWABUDU MUNGU" KKKT, Namuomba Mungu azidi kuku bariki na kukuinua' Aaamen👏👏👏
Hakika Yesu umetukuka ..wewe ni tabibu .Wa moyo wangu 🙏🙏🙏🙏🙏
Keep resting in Peace Angela Chibalonza, beautiful song❤❤❤,we praise Abba always
God heal everyone who's sick. Whether mentally or physically, may they experience divine healing in Jesus name.
Dada mathar mwaipaja mungu akubariki sana kwa uimbaji nzuri wa viwango, nakuombea
Ni tabibu wetu.Nairobi tuko tukimsifu
Mwaipaja is among the best gospel singers in central and east Africa!
Wooow Martha am from Kenya and am juz feeling blessed with this worship song thanks to our almighty God for using u #twende kwa amani. God bless u dia Martha
Will one day hope you meet my mum. Your message hua zinabariki sana.
Martha nakupenda unanifariji Sana mungu akufanyie wepesi
Martha mwaipaja may our good lord continue blessing and uplifting you. You are always my role model and your work is amazing.
Najua unatayarisha album mpya Martha ☺️☺️
Much love from pearl of africa
🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬
Watanzania wenzangu tunaomba like za kutosha za dada yetu🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿♥️
Napenda wimbo huu sana una uponyaji ndan yake
Privileged to be among the first🇰🇪🇹🇿
You songs blesses me alot......barikiwa sana n Mungu akutue nguvu ueneze injili
Ameen 🙏🙏Martha huwa unanbrki na nyimbo zko
Wooow 🙏🙌🙌🔥🔥🔥This song reminds me Angela chimbalozi,may her soul continue resting in peace🙏
Amen 🙏🙏 kweli nyimbo zako mtumishi wa Mungu zinanibariki sana💃💞💞❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Asante sana Mungu ni tabibu .napedasana wewe 🇧🇮
Wimbo mzuri wa kumpa mtu tumaini maishani
Ma role model..am behind mama am coming
Sauti ya kumkimbiza shetani, nimebarikiwa sana Martha
Hakika dada nyimbo zako zinanifariji,mungu akubariki
What a beautiful song for sure....jina lake Yesu limetukuka
Yesu ni tabibu wa kweli ❤️
Hallelujah Jesus
@@monikamajchrzyckauczenjezu7562 Amen
Martha nawesa kubata aje nifanye gollabo nawe god time dream yangu itatimia will meet you
Thank you Martha continue praise God through music Amen.
My love for you and your songs is just unconditional love mum and my roll model
Hakika Mungu ni Tabibu wa kweli.Am trusting Him for complete healing in my body
Ni kweli YESU ni tabibu TOSHA.
Nyimbo nzuri sana barikiwa🇹🇿🇰🇪🔥🔥
Naona wakenya wanataka kutupita haya wa Tanzania mko wapi tupia like hapa 😅🙈🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Ni tabibu wetu. Atuponye kwa kila hali tunapougua.