TUMEACHIWA VIWILI NA {S.A.W.}.QASWIDA VIDEO| UST: NASIBU KIKWASA {Ihyaul umma}
Вставка
- Опубліковано 7 вер 2024
- MADRASA SHOP QASWIDA.
HII ni moja ya Qaswida zilizotamba kwa hapa Tanzania na nchi jirani na bado iko na ubora
+255773 950 250
+255717 513 191
MADRASA SHOP TV ONLINE
BURUDIKA HUKU UKIELIMIKA
Hii madrasa inajitahid sana kutoa Qaswaida za mafundisho toka wazaz tujitahid,Duniani tunapita chuma kingine hiki
Tbadilike waislam tushikamane waislam tupendane waislam tusaidiane waislam
Mashall
wallah amenikumbusha ustadh Mohammed wallah nimempeza masha allah
Maa shaa allah km kaz nzur saaan
Allahu Akbar kulikua na ustadh wangu mda uo nikimpigia sm naskia iyo kaswida mpaka nkimwambia usipokee sm mpaka nipige Mara 3 subhanallah naipenda sana maashallah
Mashaallah tabaraka llah baraka llahu fiki insha allah
Jazaaka llah khayra wabaada l-khayra jannat naiim
kwa kweli ni ujumbe mzur mnooo mpk leo 2022 nasikiliza 2 allh akubarikini saan
Mashaallah. Yaan inanikumbusha mwaka 2010 niliimba mwenyewe kwenye madrasa islamia kwa mwalimu khamadi hamis na ustadhi yushau ikondo. Mashaallah kondoa kwetu.
Maashaallah
Qaswida zur mashaallah yani kumbusha kipindi nasom
maa shaa allah
Mashaallah namkumbuka sanaa baba angu alikuwa akipenda kuskiliza sana
Mashaallah Mashaallah ghalayhi.... kaswid nzr cn and voice is verey nice
Mashaa llaah Qaswida nzuri inaelimisha
Mashaallah Mashaallah Qaswida nzur
Mashallh mashallh
Daah hii qaswida nimeipenda sana wala haichoshi kuuisikiliza.
Mashaalah kaswida nzuri sn
Uyu jamaa ni jembe 'ra ukweri kw izo mmbo za nasheed mashaa Allah! Ila Allah awape hidaya wasitengeze izo nasheed kimusic music kama bongo flava!
Mashallaaaah Mashallaaaaah. Hii Qasida, Allah Awabariki mnoo.
iko vizuri hii qaswida eandelee kuporomosha nyingine
Masha Allah
Maa shaAllah tabarakallah
Qaswid nzr saaaaaaaana
Qasba mwajua kuzipa wallah
Swadaqtaa yoote ni yakweli kabisa ALLA IBARIK
Jaman tukae chin tuwez kuyajadili mambo yetu ya wasee wasijue makafiri
Kwelii
Ili tuweze kusonga uwislam uwende mbele MASHALLAH
Maashallah kaka angu nasibu
MashaAllah Allah akupe nguvu insaAllah
Mashallaa
Kadilia
Mashaaalah hainiishi ham kabisa gonga like APA 2023
😢😢😢Raha mpaka natoa machozi
Mash Allah mungu awajalie
Mashallah mungu akuzidishieni in sha Allah
Mashaallah wakat tukipigana turud kwa subuana
Ma sha Allah nimeitafuta kwa muda mrefu,asanteni sana kwa qaswida tam😍
Kaswida za harusi
Kaqwida za haruso
Hii Qaswida hua inanikubusha mbali saana enzihizo 2007 niko Pemba.
Maa shaa Allah tamu saana
Masha Allah Baraqa LLAH'U
Maaaashaaaa allah
Daaaah jaman niachen tu maana ukisikiliza kwa makini unaweza kukata tamaa na hii dunia hii na ile ya dunia tunapita
Mashallah
جزاك اللهُ جزاك اللهُ
Ma.shaa Allah albam yako naipenda sn jamani mwenye nayo tujuane apa unitumie
Mashallwah habibi
swadaktaa....mashaallah😍😍
Mashaallah
Mashaallah ,asanten kwa kuiweka hii maan nimeitafuta sanaa
احسنتم بارك الله فيكم وجزاكم خيرا
Kipunga Thedon Tz mashlh
Masha Allah💯🕋🕌🌙
nimefurahi sana inshaallah
Ok
Kasida
mashaallah
Sheikh nasibu umenikumbusha al madrasat Noor, mabibo kwa ustadh dilunga
Mzee Wa makwenzi....safe zetu suruali nyeusi nus kanzu nyeupe....safi sana
Mashaallah mashaallah mung nijalie na mm nipat kipaj kama hicho sisi site niwamoja hataka tushikamane
Wisilam uende mbele
Maasha Allah Mungu mzidishie umri na siha Natamani nipate namba yako ili nikupe nitakacho jaaliwa na Allah
Kila la kheri
mashallah 😙😙😚
Tumeachiwa viwili na (swa)kaswida Al hayaul imma,
waimba kaswida igeni wanavocheza hawa sio mnavokata viuno mpaka hamna tofauti na kwaya
daaa kaswida haiishiham hii jamani
جزاك الله خيرا،ماشاءالله.
maashaa Allaah
maashaallah ❤❤❤❤❤❤💖💖💖💖💖💖💖💖💖💖
Asia Alihamdulilah kam unayo nitumiye naomba
Asante
Twaaib
❤❤❤❤
mashaalah kaka wajua katika hii namba moja zingine zinafuatia
Asnalkilalamonthago
mashaalahkawajuakatikuiinambamoja
Zinginezinafuatia
Mashaallah
Qaswida nzuri ila hizo ala za music achana nazo ustadhi wangu
.
Mashaalla
Daaah maneno adim hya
ALBAM YA KASWIDA HII YA VIDEO NIMESHA ITAFUTA SANA KWA MUDA MREFU LAKINI SIJAFANIKIWA KUIPATA. HIVYO NINA IHITAJI SANA.
Mie simo leo
Kilichoharibu hapa ni muziki na huko kuserebuka hayo sio ktk mafundisho ya uislamu kucheza muziki ni haramu lakini maneno na ujumbe ni sahihi kabisa yaani haya ni maneno yanatakiwa yaandikwe kwa dhahabu kwa kweli ujumbe ni mzuri na mzito tatizo huo muziki na kuserebuka
safi sana iko vizur
Ujumbe ukovizur ila...
Mash all a
Vp
Tumeachiwa viwili na (swa)kaswida Al ihyaul umma
qASWIDA HII NIMEIPENDA SANA MIAKA MINGI SANA SIKUJUA INATOKA TANZANIA SHUKRAN KWA KUTUWEKEA
Mashaalah
ALBAM YAKASWIDA HII NINAWEZA KUIPATAJE? NIKO MWANZA ILEMELA KATA YA MEKO JIRANI YA BUZURUGA
kaswida
mashaallah
Awa wajamaa niwakari kweri wa izo mambo za nasheed mashaa Allah! Ujumbe mzuri mashaa Allah! Tatzo wanarecord kimzic music! So mnachanganya mmbo! Badilisheni mfumo! Allah awaongoze!
Ni wakati tukipigana ama kypingana
Kupingana
Nilushieni wsp
nipe no yako
+zuhura raban sawa haya lakin sbir kidogo nipo kweny treni
+Destiny 4life inshaallah
Munira Alrashdi mashalh
Maashaallah
Mashaalwa hii kaswida nzuri
Fasita nikwel khaswaa
maa shaa allah
Mashall
Masha Allah
Mashallah
Mashaallah
Maashaallah
Masha ALLAH
Masha Allah
mashaaaAlaaaa