ASKOFU ATOA ONYO KALI KWA WACHUNGAJI KUSEMA YESU KAFA.....KAYOLE.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 15 вер 2024
  • KAYOLE 24/4/2019

КОМЕНТАРІ • 242

  • @mohamedAli-vf8hp
    @mohamedAli-vf8hp 5 років тому +34

    Waallahy ustadh yahya hakuna siku nimecheka kma leo kuona hawa jamaa wanapingana wao kwa wao waallahy uislam utabaki kuwa dini ya Allah dini pekee tena ya haki mbele ya Mungu ni uislam nasema Alhamdulillah

    • @kenyadawahtv90
      @kenyadawahtv90  5 років тому +2

      Naam jama wanawekana sawa tuwafanyie dua mola awape Hidaya.

    • @mohamedAli-vf8hp
      @mohamedAli-vf8hp 5 років тому +1

      @@steventitus2174 mungu akuongoze uijue haki uweze ifata

    • @user-fy4op1sw2f
      @user-fy4op1sw2f 4 місяці тому

      Swadakta

  • @ishaq9925
    @ishaq9925 5 років тому +12

    da she he wangu we kiboko yani umekaanga mbuyu umewaachia wenye menu wanatafuna daa ashukuriwe mungu allah awape afya njema

  • @ukhtysakinaa7664
    @ukhtysakinaa7664 5 років тому +12

    Allah awajaalie klia la kheri ma sheikh wetu fi dunya wal akhera

  • @rehemaahamadiahmadi566
    @rehemaahamadiahmadi566 5 років тому +11

    Wahadhiri wetu uadilifu uwaongoze jamani poleni sana kwa kazi kubwa mfanyayo

  • @vennypaul7362
    @vennypaul7362 5 років тому +5

    maashaAllah viongoz wet Allah awape kheri fil dunya wal Akhera

  • @badiriamohamed515
    @badiriamohamed515 3 роки тому +1

    Allah amjalie awe Muslim... Inn Sha Allah

  • @zayyatiyussuf9566
    @zayyatiyussuf9566 5 років тому +5

    Allah awalipen kheri fidunia wali akhera maustadh na masheikh wote kwa juhudi zenu Allah awazidishie subra kwa kila mambo ya kheri

  • @salimalmahrizi395
    @salimalmahrizi395 5 років тому +1

    ustadh Yahya yaani wewe unaweza kuweka wazi wenyewe kwa wenyewe Makafiri Safi sana Allah akubariki

  • @hamadamabali2895
    @hamadamabali2895 4 роки тому

    Bishop Gerishon yupo Karibu sana na UISLAMU Mungu amuongoze katika UISLAMU In sha Allah Amin

  • @KudraRashid
    @KudraRashid 5 місяців тому

    Mashallah askoff Allah amuongoze huyu ni muislam

  • @wamalaibrahim1844
    @wamalaibrahim1844 5 років тому +5

    Ndini yaukweli mbele ya Mwenyezi Mungu ni Uisla hakuna mjadala kwahilo neno hio ndio dini ya Allah

  • @johnnydepp3218
    @johnnydepp3218 5 років тому +1

    Allah awazudishiye afya njema mzidi kutangaza dini ya Allah, namzidi kuwafundisha hao jama wamepoteya ili wamjuwe Mungu wa ukweli

  • @ashamasudi9441
    @ashamasudi9441 5 років тому +2

    subhannallah maustadhi wetu mko na kazi waongozeni hao maana hawajui

  • @OverdozClassic
    @OverdozClassic 5 років тому +1

    Ma sha Allah.. I like this man. may Allah guide him His way

  • @siamabakwe4274
    @siamabakwe4274 4 роки тому

    Hapo vp uma Allahuakbari asante kila lakheri ma sheikhs

  • @siwajibufarida3428
    @siwajibufarida3428 5 років тому +4

    Wallai raha sana ma shaa Allah

  • @rkenea4262
    @rkenea4262 5 років тому +2

    Inshallah mwenyezi mungu akupe subra kwa kazi nzito unao fanya shekhe yahya mashaa Allah kazi ipo

  • @halimahalima1984
    @halimahalima1984 2 роки тому

    Yani chekh umenicekesha allah awape nguvu🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @daudimmary3965
    @daudimmary3965 4 роки тому

    Mashallah wallah mumeliweza hilo masheikh Allah azidi kuwatilia nguvu zaidi

  • @dasaleh.c3089
    @dasaleh.c3089 3 роки тому

    In Sha Allah, Ustadh Yahya, hawa wawili wataslimu 🙌🙌

  • @absameosman9113
    @absameosman9113 4 роки тому

    Sheikh yahya kwa maoni wngu mm naona hyu Gerison anaukwli y bibilia ht ka hajakubali diini y haki so mwekee yy karibu saxa vle unafanya ndio akubali i.a kwa ajili y mungu

  • @esharamadhani3438
    @esharamadhani3438 5 років тому +1

    😂😂😂😂😂😂😂😂Innalillah wainnaileyh Rajuun hawajamaa dah wamenichekesha sana

  • @SalumKisimba
    @SalumKisimba Місяць тому

    Allah atawlipa kwa juhudi mnazozifanya

  • @alimwatajiri4083
    @alimwatajiri4083 5 років тому +5

    Jameni kwaiyo kitabu cha hawa wenzetu hakina ukweli kama kitabu kitakatifu Qur'an!!!! Karibuni kaka zetu dada zetu kwenye dini ya haki.dini inayotambua muumba na kila kilicho duniani na akhera.

    • @kenyadawahtv90
      @kenyadawahtv90  5 років тому

      Naam

    • @frankjohn8570
      @frankjohn8570 5 років тому

      Ali Mwatajiri kweli skio la kufa halisikii dawa watu wamo gizani na bado wanang'ang'ania Giza wakijifariji kwa kalenda ya biblia na majina ya siku na kukataa Neema ya bure, kusudi la Mungu kumtuma mwana ni ili tupate msamaha wa dhambi sio kuhesabu kalenda inaskitisha saña lkn Neema ingalipo mpokeeni YESU muijue kweli nanyi mtawekwa huru mbali na dhambi, namtaacha kulinganisha uweza wa Mungu na mtu kwamba Mungu kusema mwanangu basi alioa Mungu wa kweli anasema na inakua

  • @mirajiselehe1764
    @mirajiselehe1764 5 років тому +1

    Yesu ni neno la mungu lililofanyika Mwili kwa sisi wanaadamu tunasema ni Mungu mkuu. Kwa msingi huo mbingu na nchi na Vyote vizijazavyo ni kazi ya mikono ya Yesu.Mungu Baba alitamka .Mungu Mwana akaumba Kwa uthibitisho huo ,yohana 1.1-18. Yaonesha kuwa Yesu alikuwa ndani ya Baba{ Mungu} kwa upande mwingine twaweza kusema mungu Baba ,Mungu Mwana , na Mungu Roho mtakatifu ,ndiye mungu mmoja. kwa uthibitisho huo, Yohana 17.5 yesu anasema, na sasa Baba unitukuze Mimi pamoja nawe, Kwa utukufu ule niliokuwa nao pamoja nawe kabla ya ulimwengu kuwako.yaonesha alikuwa na utukufu kabla ya ulimwengu kuwako hata wakati ulipowadia akafanyika mwili. Hiyo ya kusema kuwa akawa si sahihi.kwani yeye ni yeye Yule Jana Leo na hata milele .na miaka yake haichunguziki. Amina

    • @hp3202
      @hp3202 5 років тому

      Kweli wakristo akili zenu za kufikiri n ndogo sana hayo maandiko uliyoyatoa na maelezo yake yote yanapingana. Hebu yafikirie kwa kina

    • @FatimaFatima-wk1jk
      @FatimaFatima-wk1jk 2 роки тому

      Ndio nini sasa? MUNGU hageukagi wewe MUNGU NI MUNGU anabaki kuwa MUNGU Tu. hiyo cjui alifanyika mwili sijui ushuzi cjui nini ni upumbavu tu warumi wamejua kuwapoteza nyie

  • @ukhtysakinaa7664
    @ukhtysakinaa7664 5 років тому +4

    Insha Allah huyo askof Gerison muende nae taratibu hadi aingie kwa diniya ki Islam

    • @kenyadawahtv90
      @kenyadawahtv90  5 років тому

      inshaAllah

    • @steventitus2174
      @steventitus2174 5 років тому

      Awez kukngia kwenye mashetan mizimu tambiko uganga Majin kulala misikitin

  • @babubombo1219
    @babubombo1219 5 років тому +1

    Upo vizur kaka.... MASHALLAH

  • @tanzaniat7151
    @tanzaniat7151 3 роки тому

    Wallah nimtihani sana

  • @OverdozClassic
    @OverdozClassic 5 років тому +1

    uyu Askofu ma sha Allah

  • @prettyaysha7892
    @prettyaysha7892 5 років тому +2

    Nimefurahi sana nlipo waona wahitilafiana wenyewe

  • @martinmsacky2069
    @martinmsacky2069 4 роки тому

    Elimu elimu elimu... Alisikika mtu mmoja akisema kwa sauti ... Only jesus

  • @wahidashabaz5982
    @wahidashabaz5982 5 років тому +1

    nakupenda yahya huna hasira na unajua kuonges na hao kwa uzuri

  • @user-hd4gf3ct4k
    @user-hd4gf3ct4k 5 років тому +1

    Mashaa Allah

  • @rashidkalimbo2451
    @rashidkalimbo2451 5 років тому

    Yaani wakirsto wanajuwa wazi mistakes za Bibilia lakini wanang'ng'ana tu kufanya mambo yasiomo kwenye vitabu vya Mwenyezi Mungu... SubhaAllah... Mwenyezi Mungu Tuongoze katika dini Yako sote vumbe Vyako na Utupe ya kheri kesho Yaumul Qiyamah.....

  • @abubakarmpole4000
    @abubakarmpole4000 5 років тому

    Kiislamu ndio dini ya haki pekee ambayo mwenyezi mungu anajua, hao makafiri hawajielewi kbxa.

  • @kijanahodari2080
    @kijanahodari2080 5 років тому +4

    Nimecheka sana kuona wasiokuwa waislamu wakishambuliana

  • @henryosoro7696
    @henryosoro7696 4 роки тому

    Waislam kujeni kwa yesu mpate roho mtakatifu kutoka kwa mungu ..Yesu sio religion kuongea mambo ya Good friday na easter monday..hayo ni mambo ya warumi ..mkristo mwenye anaye mjua yesu hawezi amini mambo kama hayo.

    • @jei_Ibrahim
      @jei_Ibrahim 3 роки тому

      Kwanza rekebisha hio kwa wakristo alafu uje kwa waisilamu

    • @FatimaFatima-wk1jk
      @FatimaFatima-wk1jk 2 роки тому

      Labda ije bibilia nyengine inaweza nishawishi lkn hii ya sasa hapana Kwa kweli Bora kuwa mbwa naweza kuwa na akili kuliko kuwa mkristo

  • @hassansumera7818
    @hassansumera7818 3 роки тому

    Masha Allah brother Yaya huyo Bishop ashasilimu?

  • @mwanahamisially5234
    @mwanahamisially5234 5 років тому +1

    Mpe Mike hyoooo

  • @KudraRashid
    @KudraRashid 5 місяців тому

    Takbir

  • @ev.charles
    @ev.charles 5 років тому

    Hanna haja ya kupingana kuhusu neno LA Mungu,watu wanataka mafundisho siyo kuonyesha watu vile umesoma,na kutamka lugha ya Waarabu na Wayahudi.Kiswahili ndiyo lugha ya kufundisha.

  • @fatmazullu4933
    @fatmazullu4933 4 роки тому

    Nilimiss sana daawah mitaani hao maaskofu jamanii mmh

  • @georgemwakigali3341
    @georgemwakigali3341 5 років тому

    Takbariiiiii iiiiiiiiiiiiiiii

  • @abdallahmseven600
    @abdallahmseven600 5 років тому +4

    Wafunze makafiri awajui kitu

  • @eliamugini8494
    @eliamugini8494 5 років тому +3

    YESU atabaki kuwa njia kweli na uzima

    • @zainabuhmbabazi4928
      @zainabuhmbabazi4928 5 років тому +2

      Yes ila si Mungu

    • @hanifajuma342
      @hanifajuma342 5 років тому +2

      Basi wacha kumpinga umfuate. tatizo wafuasi wa Paulo hamjitambui.

    • @hassankiparamoto8855
      @hassankiparamoto8855 5 років тому

      Elia Mugini kwamaneno au vitendo

    • @jei_Ibrahim
      @jei_Ibrahim 3 роки тому

      Kweli kabisa nakubaliana na ww atabaki kuwa njia ya wakati wake

  • @utafitiimanitv6641
    @utafitiimanitv6641 3 роки тому

    Hugo gurishoni hamna kitu wakawaida sana

  • @kenambitho1239
    @kenambitho1239 5 років тому +3

    Huyu asilimishwe

  • @fatoomfatoom5590
    @fatoomfatoom5590 5 років тому +3

    Mbavu zangu jaman kwakweli raha wenyewe kwa wenyewe wanachenjiana

  • @ezralesiamon8455
    @ezralesiamon8455 2 роки тому

    Ni kutokuewa tuu huyo ndung'u na Ana kiburi wakati Hana elimu😂😂 Huyu ndung'u aende shule tuu akujifunze philosophy kwanza sasa waislamu mnafundisha upuzi na elimu ndogo na mnafurahia wakati jamaa Hana elimu daah🤣

  • @hilalhilal8400
    @hilalhilal8400 4 роки тому

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Yaani du ! Ukiristo kweli ujinga tu.

  • @kenya-id9gt
    @kenya-id9gt 3 роки тому

    hii channel yenyu ni ya kudhalilisha dini zingine

  • @samanthaali873
    @samanthaali873 5 років тому

    Subhna Allah

  • @ashamasudi9441
    @ashamasudi9441 5 років тому +3

    huyo msilimisheni

  • @eliamugini8494
    @eliamugini8494 5 років тому +1

    Wewe sheee wasomee qran 34_50_ mbona mnadanganya

  • @abdulkadir9814
    @abdulkadir9814 5 років тому +2

    Huyu anajielewa anajua kabisa hakuna xmass

  • @rehemaahamadiahmadi566
    @rehemaahamadiahmadi566 5 років тому

    Bishop masikio yangu yamepata uziwi kwa sauti yako

  • @hashimmhashim2663
    @hashimmhashim2663 5 років тому +2

    Huyu garihsen aullizwa je yesu ni mwana wamungu? Akajibu kuwa kiibrania aitwa ben ilohim! Hio ben ilohim ni sawa tu na kusema ni mwana wa mungu, yeye ajaribu kukwepa kiswahili.
    Ukisama ben ilohim, tafsiri ni ibnu Allah au bin Allah
    Au
    ابن الله

  • @fatumamroki2716
    @fatumamroki2716 3 роки тому

    Hapa wameweza kuwagonganisha hhhhh😂

  • @yussufdaudi9408
    @yussufdaudi9408 5 років тому

    Pasta sema kwely

  • @boontujimmaa9462
    @boontujimmaa9462 3 роки тому

    Wameji karaga wenyewe

  • @hamisimuhammad6225
    @hamisimuhammad6225 2 роки тому

    Uislam ni ukwer mtupu

  • @shabamuhidin634
    @shabamuhidin634 3 роки тому

    mambo mengine ni ya kuhuzunika ila nacheka tu

  • @minaminaa1669
    @minaminaa1669 5 років тому

    SubhanAllah. ..

  • @eliamugini8494
    @eliamugini8494 5 років тому +1

    Hahahahah waislam tatizo hamna roho mtakatifu

    • @hanifajuma342
      @hanifajuma342 5 років тому

      Elia Mugini Roho mtakatifu hashuki duniani bila idhini ya mungu, sasa huyu mudai mko nae kila mara sijui ametoka wapi, pengine baharini.

    • @ismailyusuph740
      @ismailyusuph740 5 років тому

      #EliaMugini ......hahaaa na walimu wenu Ndio wamewapiga pini hapohapo......hamuhoji....hamielewi ...hamsikii ukweli...!kwa kigezo cha hamna roho mtakatifu....hahahaaaa...!
      ...Ngojeni mkawe Chips...!

    • @sakinamubaraka1246
      @sakinamubaraka1246 5 років тому

      Mmh nyie msijifanye mnaroho mtakatifu huyo atakuwa roho mkata visu

    • @jei_Ibrahim
      @jei_Ibrahim 3 роки тому

      Hahahaha mkriso akiambiwa atoe verse hana anasingizia roho mtakatifu

  • @boontujimmaa9462
    @boontujimmaa9462 3 роки тому

    Kkkkkkkk salala Askofu balaaa

  • @zainabuhmbabazi4928
    @zainabuhmbabazi4928 5 років тому

    Takbiraaaaaa

  • @popod177
    @popod177 5 років тому +1

    Huyo ndacha whatever his name, naona video zake akiponda kuran lkn akiwekwa kwa muhadhara kelele nyingi tu, wakristo wanansifu kwa kelele wala sio kwa maandiko.. Wataelewa tu!! 😂nampenda mchungaji garishon anawapa wenzake vidonge, hadi wanamchukia coz nimkweli, wakristo wamezoea kudanganywa na mbwa wao.. Sweet being a MUSLIM😘

  • @janetkahada5206
    @janetkahada5206 5 років тому

    By the Asikofu ako Sawa juu sisi tumewacha biblia tume fwata maneno ya Warumi ni kweli. Namuhunga mkono kama mukiristo.

  • @rkenea4262
    @rkenea4262 5 років тому

    Allah huakbar

  • @faizasaid8262
    @faizasaid8262 5 років тому +1

    Uwo ndo ukirsto jmni

  • @samanthaali873
    @samanthaali873 5 років тому +1

    Sheikh Yahya kafunga mdomo aliposkia kuhusu bangi

  • @yunisboshe7227
    @yunisboshe7227 5 років тому

    Allahu Akbar

  • @user-rf5tz5ft2y
    @user-rf5tz5ft2y 5 років тому +1

    Yesu ni Mungu, Akuna Chrismas in christian hiyo ni catholic idea

    • @oopsm3574
      @oopsm3574 5 років тому

      Wapi kasema yeye ni mungu? Letr maandiko!?

    • @hanifajuma342
      @hanifajuma342 5 років тому

      Kama yesu ni mungu kwanini alikua ana omba akiwa duniani? pili mungu hakuli chakula na halali mbona yesu alilala. na mechizedec utamuita nani, juu Hana mama Hana baba Hana ukoo Hana mwanzo wa siku na mwisho wa siku huyu utamuita nani?

    • @user-rf5tz5ft2y
      @user-rf5tz5ft2y 5 років тому

      @@hanifajuma342 he did that to save his people that y he come us a human beigh

    • @hanifajuma342
      @hanifajuma342 5 років тому

      To them from the sins, na mbona Bado munahangaika kuomba msamehewe dhambi.

    • @evalineakuku590
      @evalineakuku590 5 років тому

      @@user-rf5tz5ft2y melczadec ni yesu

  • @boontujimmaa9462
    @boontujimmaa9462 3 роки тому

    Bibilia iko 9000 ni mistake

  • @novismgeni4798
    @novismgeni4798 5 років тому

    Yani waislamu una wakosha mioyo yao wanapo kutana na kafiri mwenzao anaye ongea upuuzi ,askofu wa mpinga kristo huyo hajiekewi kama.nyinyi makafiri wa kiislamu

    • @aminamusa3711
      @aminamusa3711 5 років тому

      Dini ya kiislam imekutuka bruh wacha kuponda yesu ni wawaizarail wew wako Muhammad wacha kubisha

  • @peternjuguna5462
    @peternjuguna5462 5 років тому +1

    Easter iko kwa bibilia ..Mimi Niko na verse...

  • @user-rf5tz5ft2y
    @user-rf5tz5ft2y 5 років тому

    Yesu ni Mungu askofu yeye akwende uko

    • @hamastien5439
      @hamastien5439 5 років тому

      Mung anazaliwa ww acha ujing hujielew ww kam nimung bon kazaliw yy ninabii.kam manabii.wengine kasom vizur.ww achakuongea upuuz

    • @sammarley1413
      @sammarley1413 5 років тому

      Jannet Kenya toa verse inayo ongea hivo

    • @user-rf5tz5ft2y
      @user-rf5tz5ft2y 5 років тому

      @@sammarley1413 wafilipi 2 :5-11

    • @user-rf5tz5ft2y
      @user-rf5tz5ft2y 5 років тому

      @@hamastien5439 mariam aliza mwili wafilipi 2 :5-11

    • @allyally1077
      @allyally1077 5 років тому

      Mungu ana njaa mungu aomba ni mungugani huyo wapi andiko yesu amesema mm mungu ... Mnamsingizia tu yesu ni mtu kama ww (lakini sasa mnatafutakuniua mm mtu niliyekujakusema kweli) tafuta hilo andiko au hulio, wapi yesu kasema yy mungu ?!?!?! Ukipata andiko nitafute nakuahidi nitakua mlokole mkiristo mpakwa mafuta kama weye!

  • @Hussein-Abu-Fathiyyah
    @Hussein-Abu-Fathiyyah 4 роки тому

    Wanafwata miezi walevi na wavuta bangi kule rome

  • @hbomy7926
    @hbomy7926 5 років тому +1

    Duuh bibilia ina mistake elfu 9 looh mtihani halafu wt wanakifuata

  • @legrandmsangi9789
    @legrandmsangi9789 5 років тому

    Hahahah.. Sijui nisema ni vihoja. Hakika uislamu ndo dini sahihi ktk ulimwengu huu

  • @sirilimichaelpamojasana2033
    @sirilimichaelpamojasana2033 5 років тому +2

    hata ufanyaje kilanafsi itaonja mauti hivo kamaviongozi mnapingana je! waumini tujifunzenini kama nyinyi mnazarauliana

    • @hilalhilal8400
      @hilalhilal8400 4 роки тому

      Hapa ni kua muislamu tu upone

    • @gangmore9091
      @gangmore9091 4 роки тому

      Ujuwe iyo sio dini ni dini y watu fatilia kwanza Mungu hatairiwi

  • @ramadhanimgombewa7032
    @ramadhanimgombewa7032 5 років тому

    Hongereni wahadhiri,pia najitambulisha kua Mimi nii tabibu asiliya napia nasoma duwa kwaanae hitajia cheo kazii upendo wahalali yandoa matatizo yamapepo nk iin shaAllah unapona kwa idhini ya Allah kwa wasiila Wa kisomo nadawa za uhakika pia sukari presha sihiri nipo Tanzania mkoa kigoma mjini nambari simu 0768811066

  • @munamuhammad211
    @munamuhammad211 5 років тому

    Ma Shaa Allah,

  • @raheemamkambha6013
    @raheemamkambha6013 5 років тому

    Pasaka ilikuwepo kabla ya Cristo acha kutuzingua

  • @nchemuwilfredwilfred9572
    @nchemuwilfredwilfred9572 5 років тому

    Waislamu tafadhali jadiliana na wakristo wa sda maana ndio wakristo wanaofuata biblia peke yake juu ya uso wa dunia. Mbona mnawaogopa nyinyi?

    • @nazonahdi9993
      @nazonahdi9993 4 роки тому

      nchemu wilfred wilfred hamna muslam anamuogopa pasta hata cku mmoja ila ndungu yangu soma bibilia vizuri usiskilize mapadri tena agano la kale ndio aliyeshuka nayo nabii issa ukweli wote utaupata

    • @nazonahdi9993
      @nazonahdi9993 4 роки тому

      Mm mwislam ila nafatilizia agano la kale paka Yesu anasema km yy ataondoka atakuja mtume wa mwisho aitwae Ahmad ndio mtume mhd s.a.w

  • @aliyyuhibu3561
    @aliyyuhibu3561 5 років тому

    Ukiristo sio dini ni upagani tu

  • @BarwaaqoChannel
    @BarwaaqoChannel 5 років тому

    And comment

  • @janetchildofgod1254
    @janetchildofgod1254 5 років тому

    Waisilamu acheni kuwasumbua wakiristo hayo mapepo yenu yanawasumbua Sana kujeni Kwa YESU wacheni kupoteza mdaa YESU anawapenda sana

  • @rehemaahamadiahmadi566
    @rehemaahamadiahmadi566 5 років тому

    Nimejikuta nacheka jamani ati warumi wavuta bangi

  • @saumusanjiama6991
    @saumusanjiama6991 2 роки тому

    🤣🤣

  • @hotnews2637
    @hotnews2637 5 років тому

    jarbu ku upload video ndefu

  • @ሩሃማይባላል
    @ሩሃማይባላል 5 років тому

    Nini wota amuna elimu ya ku fundisha bura kabisa

  • @zenassylvester125
    @zenassylvester125 5 років тому

    Hivi katika quran kuna siku ya mauridi ya kuzaliwa muhammad?

    • @minaminaa1669
      @minaminaa1669 5 років тому

      😂😂😅😅ole wenu na bible yenu 😊

    • @zenassylvester125
      @zenassylvester125 5 років тому

      @@minaminaa1669 hujajibu swali mama

    • @mohamedimohamedi7881
      @mohamedimohamedi7881 5 років тому

      tumia akili bro mungu awezi kufa msalabani

    • @alhamdulillah5796
      @alhamdulillah5796 5 років тому

      Kwanza inabidi ufaham nn maana ya maulidi na ilikuaje hata yakapatikana maulidi, na nn kinasomwa au kinasemwa ndani ya maulidi, na jee waisilam wote wanayakubali maulidi? Halafu ndio uulize hlo suala lako?

  • @jamilaomari2444
    @jamilaomari2444 5 років тому +1

    Gerishon asilimu yaishe

  • @janetchildofgod1254
    @janetchildofgod1254 5 років тому

    YESU ni Mungu

    • @marcmakata254
      @marcmakata254 5 років тому

      YESU SI MUNGU

    • @janetchildofgod1254
      @janetchildofgod1254 5 років тому

      @@marcmakata254 YESU ni Mungu na atabaki kua Mungu milele kuja Kwa YESU ukombolewe majine ya kisilamu amekufunga pole but YESU anakupenda sana

    • @marcmakata254
      @marcmakata254 5 років тому

      @@janetchildofgod1254 YESU Si MUNGU NA HAWEZI KUA MUNGU, MUNGU YUPI ALIPANDISHWA KWENYE MBAO AKASULUBIWA NA WATU ALIOWAUMBA ULIONA WAPI MUNGU ANA MAADHIMISHO SIKU YA KUFA NA KUZALIWA, MNACHEKESHA SANA

    • @marcmakata254
      @marcmakata254 5 років тому

      See

    • @janetchildofgod1254
      @janetchildofgod1254 5 років тому

      @@marcmakata254 wewe ndo una chekesha na huyo Allah wenu Yuko jehanamu na nyinyi waisilamu mkifa mnamufata huko motoni nyinyi tena mmejaa majine mengi Sana kujeni Kwa YESU mkombolewe la sivyo nyote mtaenda Motoni YESU ni Mungu

  • @hamadibabu6384
    @hamadibabu6384 5 років тому

    Mashee munatakika mukutanishe na ndasha

  • @janetchildofgod1254
    @janetchildofgod1254 5 років тому

    Jesus is Lord

  • @hamadibabu6384
    @hamadibabu6384 5 років тому

    Yahaya kenya video camera kama ngapi

  • @abdallahmseven600
    @abdallahmseven600 5 років тому

    Wewe ni kiboko wafunze wajungaji wafunzue

  • @eliamugini8494
    @eliamugini8494 5 років тому +1

    HahahahahH ila waislam bhana nyie mkapunge mapepo tu ndo kazi yenu hivi hata nikiwauliza swari muhamadi anawasaidia non mtajibuje

    • @hanifajuma342
      @hanifajuma342 5 років тому

      Elia Mugini ukiwasha kumfuata Paulo, na ukubali kumfuata yesu usilimu utajua nini nabii Mohamad anatisaidia. hilo swali unguliza wakati umeacha kumpinga yesu.

    • @eliamugini8494
      @eliamugini8494 5 років тому

      @@hanifajuma342 yani nyie wakslam nmnadanganya ambao hawajui historia na wavivu nisome siyo mtu mwenye akili timamu; et quran iliandikwa na BWANA hahahahahahaha

    • @hanifajuma342
      @hanifajuma342 5 років тому

      Elia Mugini hahahaha, je bibilia imebadilishwa mara ngapi, na juzi Pope wenu alisema bibilia ibadilishwe iandikwe kisasa juu watu wanatoka ukristo kwa kusoma maandishi yaliopitwa na wakati. nyinyi wafuasi wa Paulo dunia itaisha bila kujua mungu.

    • @nyerere0056
      @nyerere0056 5 років тому

      Kanisani laha tunapata madem

    • @FatimaFatima-wk1jk
      @FatimaFatima-wk1jk 2 роки тому

      Hivi kanisani na msikitini wapi kunakemewa mashetani ??🙆😂😂