APR FC 2-0 Azam FC | Highlights | CAF CL

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 лют 2025

КОМЕНТАРІ • 349

  • @HusseinHussein-f7n
    @HusseinHussein-f7n 5 місяців тому +9

    hongeren APR jambo letu limeenda vzr si mulikuwa munashangiria kushika nafasi ya pili haya hiyo nafasi ya pili

  • @godfreyhiza1075
    @godfreyhiza1075 5 місяців тому +1

    Big up Azam, you get points of evaluation...hope next season ...Africa shall know you!!

  • @jeanclaudegasana5491
    @jeanclaudegasana5491 5 місяців тому +21

    Congratulations APR FC ❤

  • @ikulunimahalipatakatifu7642
    @ikulunimahalipatakatifu7642 5 місяців тому +6

    AZAM team mnazengua , mnaziba nafasi za watu , mnaenda tolewa kirahisi .. ongera APR mlicheza mpira mzuri sanaaa..

  • @GhayaAbdallah
    @GhayaAbdallah 5 місяців тому +17

    Congratulations APR 🎉❤💋

  • @IsayaKesseni
    @IsayaKesseni 5 місяців тому +18

    Azam ni timu ya kipuuzi sana kazi kukamia yanga na Simba amna kingine

  • @youngb8672
    @youngb8672 5 місяців тому +8

    Apr oyeeee mlitaka sasa mmefika wap washenz sana SiMba forever. Mlitubania sana sana kikowap

  • @Magic_vybz
    @Magic_vybz 5 місяців тому +4

    Kigali stadium ni nzuri sana

  • @BabuGga-td3mg
    @BabuGga-td3mg 5 місяців тому +5

    Azam uongozi mbovu, wanawalea sana wachezaji , familia iachie watu serious wanao ujua mpira kuwa sio kitu cha masihara.

  • @HumvayezuLaurance
    @HumvayezuLaurance 5 місяців тому

    Rubonekandamwemeraburiyanajiriberi❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @AmirMbuyu
    @AmirMbuyu 5 місяців тому +1

    Hongera APEREEE mmewafanya Azam walichostahili 😢

  • @UMUNEZEROTV
    @UMUNEZEROTV 5 місяців тому +28

    Congratulations to APR FC SONGA MBERE

  • @thoussetailor
    @thoussetailor 5 місяців тому +2

    Apr fc Oyeeeeeeeeee congratulations 🎊 🎊

  • @emmanuelthomas1078
    @emmanuelthomas1078 5 місяців тому +20

    Prince Dube ndo alikataa huu ushenzi🙄🙄🙄

  • @omarybakunda2554
    @omarybakunda2554 5 місяців тому +9

    Pumbavu sana Azam muwe mnatafuta nafasi ya 5 mna aibisha nchi.

    • @MaigeNgasa
      @MaigeNgasa 5 місяців тому

      Kabisa si waling'ag'ania nafass ya bili 🦁🦁🦁

  • @nkusiemmanuel9860
    @nkusiemmanuel9860 5 місяців тому +1

    APR FC Juuuuuuuuuuu❤

  • @EmmanuelCharzy
    @EmmanuelCharzy 5 місяців тому +19

    Tikiwaambia APR ni tim nzuri wanasema ni kibonde kucheza na simba kiko wapi wenye usajili wa maaana

    • @calvintheone299
      @calvintheone299 5 місяців тому +3

      Hakuna timu apo azam hawapo sirius

    • @SalvatoryMbigili-m2f
      @SalvatoryMbigili-m2f 5 місяців тому +1

      Apr hamna team sema azam ndo hovyo kabsa yaan bora angeenda hata namungo

  • @amosmahona433
    @amosmahona433 4 місяці тому

    Very good

  • @IradukundaNeema-p1j
    @IradukundaNeema-p1j 5 місяців тому

    Nice 👍 apr❤❤

  • @albertvalentino130
    @albertvalentino130 5 місяців тому

    azam --- " wainalillah wainallilah rajuun "

  • @lana-zk5or
    @lana-zk5or 5 місяців тому +15

    Azam was everywhere 😂😂😂
    Azam tv
    Azam fc
    Azam on APR jersey as a sponsor 😂😂😂
    And after all thaaaat APR FC won😂😂😂
    Congrats to all LIONS n LIONESS

  • @nyirinkindieugene1944
    @nyirinkindieugene1944 5 місяців тому +8

    Congs APR

  • @saidisalumu2418
    @saidisalumu2418 5 місяців тому +12

    Wanapoteza pesa na kututia aibu wachezaji awana upambanaji kabisa😢😢

  • @kelvinjosephat2742
    @kelvinjosephat2742 5 місяців тому +3

    Azam were never ready for this,, disappointing 😞

  • @Ericz.70
    @Ericz.70 5 місяців тому +5

    🇷🇼♥️🇹🇿kunda sanaaa

  • @Muhammedually
    @Muhammedually 5 місяців тому +6

    Dube kaona mbali,bakharesa jenga kiwanda kwenye kiwanja pale hakuna timu hapo

  • @Nasbu-tb6cs
    @Nasbu-tb6cs 5 місяців тому

    APR congrats Azam ni mandazi tuu

  • @emmanuelrurangwa7388
    @emmanuelrurangwa7388 5 місяців тому

    Azam ni team ya denser , APR 🇬🇦🇬🇦 Nguvu za Lion

  • @OmarRwamakuba
    @OmarRwamakuba 5 місяців тому +15

    Watanzaniya. Azamu siyotimu yakufunga APR.

    • @alexandrymichael2637
      @alexandrymichael2637 5 місяців тому +3

      Sisi sio milima tuta kutana endelea kuonea watoto tu mwenzenu kala 10😂😂

    • @United4ever1
      @United4ever1 5 місяців тому +3

      Maybe Yanga or Simba, Not Azam.

    • @FaaidaTVtz
      @FaaidaTVtz 5 місяців тому +2

      ​@United4ever1 Eti may be.

    • @JonathanNelson-l8h
      @JonathanNelson-l8h 5 місяців тому +1

      Kuna miamba ipo Tanzania achana na azamu😂😂😂tutakutana tu

    • @selemanAbdallah-tg1ib
      @selemanAbdallah-tg1ib 5 місяців тому

      ​@@FaaidaTVtzhata mm kanshangaza na mayb yake,...et maybe like seriously!!!....

  • @PineTree-n9y
    @PineTree-n9y 5 місяців тому +1

    Hapo uongozi wote ubomolewe na na benchi la ufundi kocha anapanga kikosi kwa kuangalia wachezaj anaowapenda

  • @ghhkjjjj
    @ghhkjjjj 5 місяців тому +4

    Make Rwanda proud🇷🇼🇷🇼🇷🇼

  • @sammychansa1797
    @sammychansa1797 5 місяців тому +5

    Hashim imbwe kuongea tu kushinda,aaaaaaaaah😂

  • @tindaboyking6847
    @tindaboyking6847 5 місяців тому +9

    Mtangazajiiiiiiiiiiiiiiiii babaaaa eee babaaa😂😂😂

  • @MutuyimanaPamela-r8j
    @MutuyimanaPamela-r8j 5 місяців тому +5

    The lion 🦁 wake up

  • @Brunoh90Tv
    @Brunoh90Tv 5 місяців тому +1

    Azam bado ni timu ndogo sana hapa Tz haina tofauti na mashujaa

  • @kachuismart8924
    @kachuismart8924 5 місяців тому +3

    Azam wamecheza mpira Mbovu kinoma😢😢😢

  • @festohaule9716
    @festohaule9716 5 місяців тому +2

    Azam sio timu ya ushindani ..timu shiriki tu hii...

  • @ev.diogenetuyishimiretd2965
    @ev.diogenetuyishimiretd2965 5 місяців тому

    Apr fc nzuri

  • @iptisamismaill-f6h
    @iptisamismaill-f6h 5 місяців тому +4

    Azam ni sawa mwanaume mwenye kisukar alafu ana mke mzuri😂😂😂

  • @JohnWamylon
    @JohnWamylon 5 місяців тому

    Senge Sana Azm laan 😢

  • @AdamVaughan-g3d
    @AdamVaughan-g3d 5 місяців тому

    466 Gleichner Stravenue

  • @mugaboadrien9452
    @mugaboadrien9452 5 місяців тому +19

    Songa mbere team ya geshi

    • @NM-yl2uw
      @NM-yl2uw 5 місяців тому +1

      ni Songa mbele timu ya Jeshi

    • @storytime1204
      @storytime1204 5 місяців тому +1

      ​@@NM-yl2uwsio watanzania ni wa rwanda so kila mtu na anavyotumia kiswahili kwake yeye ni sawa

    • @Patriotism-x3v
      @Patriotism-x3v 5 місяців тому

      Ndo anaelekezwa atumie vizuri, hakuna shida😅​@@storytime1204

    • @selemanAbdallah-tg1ib
      @selemanAbdallah-tg1ib 5 місяців тому +1

      ​@@storytime1204Bado haitakuwa sawa hata Kama n warwanda kosa n kosa tu,...

    • @NM-yl2uw
      @NM-yl2uw 5 місяців тому

      @@storytime1204 nimemkosoa ili awe vizuri

  • @MohammedMohammedhamza-h5j
    @MohammedMohammedhamza-h5j 5 місяців тому +2

    Kwamza unatakiwa utafautishe friend game. Na mechi za kimataifa

  • @shadrackjuliuskaboya5239
    @shadrackjuliuskaboya5239 5 місяців тому +3

    *nilisha waambia azamu niwakishua sana*

  • @shanmlawa
    @shanmlawa 5 місяців тому

    Azam awajawaheshm apr wamefunguma hali wapo ugenini

  • @TuyishimireViateur-z7z
    @TuyishimireViateur-z7z 5 місяців тому +1

    Pore sana azam

  • @fabiencapella250
    @fabiencapella250 5 місяців тому +2

    I was told you 🤍🖤🤍 m🖤my friends💪

    • @imanikazinja7100
      @imanikazinja7100 5 місяців тому

      Mmmmmh hapo kwenye I was told yo😂😂😂😂😅

    • @imanikazinja7100
      @imanikazinja7100 5 місяців тому

      😂😂😂😂hapo kwenye I was told you pemekaa powwa kabisa

  • @muhamyainnocent-jj4zi
    @muhamyainnocent-jj4zi 5 місяців тому +2

    Mkumbuke APR fc imerudi tena
    Mkumbuke yile ya 2004 ikiwa ndani Jimmy Gatete,imerudi tena
    Mtaishi wapi
    Well comeback

  • @thehustlerafrica
    @thehustlerafrica 5 місяців тому +5

    Azam wanadhaliliaha Tanzania

    • @nintabou3275
      @nintabou3275 5 місяців тому +2

      YANGA Itatowa hiyo aibu subirinu

    • @hakimundabila7940
      @hakimundabila7940 5 місяців тому +1

      Wanafuata nyendo za mabingwa wa kihistoria

  • @niyomuragejeanclaude5720
    @niyomuragejeanclaude5720 5 місяців тому +5

    APR ❤

  • @MustaphaHasani-u1v
    @MustaphaHasani-u1v 5 місяців тому

    Azam watamkumbuka sana prince dube

  • @JohnGoryo
    @JohnGoryo 5 місяців тому +1

    Marehem alikuwa na mdomo sana

  • @OlesyekuKadege-cq4eo
    @OlesyekuKadege-cq4eo 5 місяців тому

    Inaumiza kwel azam watoke mapema afu ina wachezaj quality

  • @hawaelymaricca7602
    @hawaelymaricca7602 5 місяців тому +1

    Azam mlijiona mnaweza kumbe mlienda kuiaibisha TANZANIA, MSIONE SIMBA WANAPAMBANA MKAONA UTANI.SIMBA KUBWA

  • @rukundojeanbosco7930
    @rukundojeanbosco7930 5 місяців тому

    APR FC tupa ndani

  • @alexandrymichael2637
    @alexandrymichael2637 5 місяців тому +4

    Hawajui kama kuna black magic et wame logwa 😢😢

  • @SiriyamunguSamson-qj3xm
    @SiriyamunguSamson-qj3xm 8 днів тому

    Club giant kitoka rwandaaa

  • @jaffjeff6912
    @jaffjeff6912 5 місяців тому

    Pesa mnazo ila hamko serious kwenye mpira
    Dube kumbe alisema kweli

  • @YusuphAlly-y9o
    @YusuphAlly-y9o 5 місяців тому +1

    Azam jamani haaa hatuwa yamawazo hukuzinatoka timu ndogo sana kama vitaloo yaburundi

  • @richardnganya2311
    @richardnganya2311 5 місяців тому

    APR wamejinywea juice ya Azam kwa mrija wakiwa nyumbani!

  • @Mbonyumwami
    @Mbonyumwami 5 місяців тому +8

    APR yetuuuuu🏁🏁🏁🏁🏁🏁🏁🏁🏁🏁🏁🏁🏁🏁🏁🏁🏁🏁🏁🏁🏁

    • @FAZILMOHAMEDI
      @FAZILMOHAMEDI 5 місяців тому +1

      Pyramid anawasubil kwaiyo kaa kwa kutulia

  • @Kama-211-5y
    @Kama-211-5y 5 місяців тому +1

    Apr cngz our team

  • @jamilplatnumz
    @jamilplatnumz 5 місяців тому

    Tunaipenda Azam bhanaaa😂😂

  • @JoseHaule-tx7lu
    @JoseHaule-tx7lu 5 місяців тому

    Azamu ni wapuunzi sanaa,hela wanazo,miundombinu ipo vinzuri, wanalipwa vinzuri, sa cjui wana nongwa gani azamu mumetuferisha

  • @GeorgiaVedasto
    @GeorgiaVedasto 5 місяців тому +1

    na badoo 😂😂😂

  • @Thereallucasmachius
    @Thereallucasmachius 5 місяців тому

    Feisalii anawaponzaaa😢😢😢 kiko wap

  • @Dizzoboy-36
    @Dizzoboy-36 5 місяців тому +1

    Big energy

  • @AbAbdullay
    @AbAbdullay 5 місяців тому

    Yan sisi washabiki mwaka huu tulijua ata makundi tutafika ila kwa kweli metuangusha sina cha kusema kwa washiriki wezitu wa timu jelani ila naipenda sana azam fc ila mna kuangusha nimeumiasana

  • @damianmcba9525
    @damianmcba9525 5 місяців тому +9

    Huyo feisal isipokuwa Bongo hata ahonekani,,,Tangu yupo Yanga mashindano ya kimataifa afanyi chochote hata Taifa Star,,,, yy ikiwa ndani ya bongo ndio machachari mengi nje ya Bongo ni Mzoga tu

    • @mtumeananiasjohachim8760
      @mtumeananiasjohachim8760 5 місяців тому +2

      Ni kweli aisee

    • @mohamedmbalazi748
      @mohamedmbalazi748 5 місяців тому +1

      Umesema kweli hajawahi fanya maajab kwenye international games. Sifa za kijinga wanampa ila hamna kitu

  • @SimonMseyeki
    @SimonMseyeki 5 місяців тому +44

    Azam wasenge tu namungo Wana status nzur zaid Yao caf itoshe tu kusemea hawawez iz ligi Wana uwezo mdogo kama izo kamera na watangazaj wa huu mchezo kutokea uko rwanda

    • @TheQuickTimesNews
      @TheQuickTimesNews 5 місяців тому +3

      Camera 📷 za feke sana za Azam

    • @azizsaid3776
      @azizsaid3776 5 місяців тому +1

      usitukane

    • @muddymuzungu4357
      @muddymuzungu4357 5 місяців тому

      Usitukane haifai kaka
      Punguza jazba Mzee Bakhresa

    • @NyitaneNyitane
      @NyitaneNyitane 5 місяців тому +1

      Munazinguwa mutukanwe tu. Nyie Kama simba na yanga abila kutukanwa amuind. Kazi ya kukamia simb na yang. Badala mukaze kwenye gem Kam izo zenye faida.

  • @rithadonatus8110
    @rithadonatus8110 5 місяців тому

    Aibuuu hiiiii jamani lokhoooo azam mnanini

  • @ChejoBuchejo-mm8bb
    @ChejoBuchejo-mm8bb 5 місяців тому

    AZAM WASENGE TU,,,walizani mapinduzi cup hiyo

  • @patricklaiton8939
    @patricklaiton8939 5 місяців тому

    Mkianza kulinganisha Feitoto na Aziz KI ANZANI HAPA KWENYE MECHI YA MAANA

  • @VincentJamesNampunda
    @VincentJamesNampunda 5 місяців тому +1

    Hatutaki kuwaona Tena huku mwaka Jana na mlituboa hata APR sasa upangiwe na nani Bora hata KMC wapuuzi

  • @mbukumagiubukumagu406
    @mbukumagiubukumagu406 5 місяців тому +3

    Tatizo kubwa la Azam ni kipa hili hamlioni
    Kocha hajuwi kuipanga timu

  • @MeshackMalemba-zm6cl
    @MeshackMalemba-zm6cl 5 місяців тому

    Yana uwanja mzr san

  • @OmarRwamakuba
    @OmarRwamakuba 5 місяців тому

    Niliyatamka mwanzokusema azamu mbeleya APR. Hawataweza. Wanacyoweza nikutengeneza UNGA wakupikiya cyapati. Iyitimu ya APR. Nitimu yamajeshi ikumbukwe Ivo uko Tanzania. Siyo vitalo. Yaburundi

  • @KubwimanaSpeciose-kq2bt
    @KubwimanaSpeciose-kq2bt 5 місяців тому +3

    Thank you azam for show us match

  • @OlestMbonyimana
    @OlestMbonyimana 5 місяців тому +1

    😂😂😂😂😂 🤣😂🤣😂 blanko and feitoto 🤣🤣🤣🤣😂😂🤣🤣😂😂😂😂😂 ashimu ibweee🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂

  • @MashyakaEmmanuel
    @MashyakaEmmanuel 4 місяці тому

    Tou naipig san 6:40 azam

  • @habakubanadonatien
    @habakubanadonatien 5 місяців тому +5

    Christopher karenzi nakusaramiya sana mungu akubrikye sana

  • @victorcephas3618
    @victorcephas3618 5 місяців тому

    Azam ni timu isiyo na malengo yoyote kuchukua medali ligi ya ndani ama kimataifa ni timu ya burudani na biashara pamoja na kuikamia Simba.

  • @SogoroAdam
    @SogoroAdam 5 місяців тому

    Yangu Leo Azam kam inagombania nafasi ya pili au ya kwanza marefu waminyen mtakavyo Kwan hawan wakifanyacho wanatuaibishs

  • @zeldaizabayo8421
    @zeldaizabayo8421 5 місяців тому +1

    Visit Rwankuba ❤❤❤❤❤❤❤

  • @WillyB.Mnyaga-rh4hx
    @WillyB.Mnyaga-rh4hx 5 місяців тому

    Azam wamecheza vizuri, ila waamuzi wamewaumiza azam

    • @ManuDibango-n4c
      @ManuDibango-n4c 5 місяців тому

      No no no wewe ulihangaliya match gani? Azam hawakuceza wanajuwa kurara uwanjani tu

  • @rahmalutengwe2901
    @rahmalutengwe2901 5 місяців тому

    Kocha kiukweli Hana maarifa, alishindwa kuwasoma APR, kwanza APR hawana uzoefu wa mashindano haya.APR sio timu ya kunitoa AZAM

  • @tmcchannel4767
    @tmcchannel4767 5 місяців тому

    Kwa hali hii ya azam, simuoni feisal akiwa azam msimu ujao. Kama simba watakuwa serious kumhitaji feisal itakuwa ni nafasi sahihi sana kwao na hata kama hawatamhitaji timu itakayokuja na offer nzuri feisal ataondoka azam sababu hapati kile ambacho anatamani apate yeye kama mchezaji star ndani ya ardhi ya Tanzania

  • @florianrweyongeza7458
    @florianrweyongeza7458 5 місяців тому

    MINUTE 6:28 clear penalt

  • @habincutijeannepomuscene4986
    @habincutijeannepomuscene4986 5 місяців тому

    😢😢😢😢

  • @Champion_3
    @Champion_3 5 місяців тому

    How did This Azam manage to become second in the Tanzanian League??? They really play Haram ball

  • @BantallyOg
    @BantallyOg 5 місяців тому

    Watangazaji sasa 😂😂

  • @Casshboy_tz
    @Casshboy_tz 5 місяців тому

    Wanajua kukamuia ubaya ubwela 2😂😂😂

  • @IssaMataro-hp4bd
    @IssaMataro-hp4bd 5 місяців тому

    madhara ya kukumbatiwa na marefa kwenye ligi yetu goli la pili walilofungwa azam ni kama magoli waliyonyimwa yanga kwenye dabi kwamba no offside

  • @DidierHabimaba
    @DidierHabimaba 5 місяців тому +5

    Sorry kiswahili nani kinya Rwanda Apr hejoru piramide ltwitege gifuti 🎉❤ Azam 😂 ntakundi mutegure sezo yubutaha

  • @JumaNyanda-ng1cz
    @JumaNyanda-ng1cz 5 місяців тому

    Azma hawawezi kit Bora namngo

  • @YohanaHaonga-y7q
    @YohanaHaonga-y7q 5 місяців тому

    Azam wanatuaibisha aisee sana niheri TU wangebaki kuuza askrimu

  • @United4ever1
    @United4ever1 5 місяців тому

    Azam itafute kipa, maana huyu hana faida

  • @livinuskamugisha5296
    @livinuskamugisha5296 5 місяців тому +4

    Kazi kuwakazia simba na yanga tu kimataifa Aaaa

  • @mwaiboymediatv8659
    @mwaiboymediatv8659 5 місяців тому

    Mbona kama AZAM wamenyimwa penalty😢😢😢

    • @azizsaid3776
      @azizsaid3776 5 місяців тому

      hawakunyimwa, Refa ametafsiri vizuri tu, pale mikono ilipokaa ipombele goli lipo nyuma mathalani ukiitoa ile mikono mpira ungegonga kifua cha mchezaji wa APR na ungerudi ulipotoka, kwahivyo Refa ametafsiri vizuri tu hapo hakuna Penalti

    • @Joe-tr2vk
      @Joe-tr2vk 5 місяців тому

      Mpira ukigonga mikono ambayo haipo katika eneo lake la asili ni foul maana yake kwa pale ni penalty,hii football si handball au netball.

  • @ndatimanaeric4537
    @ndatimanaeric4537 5 місяців тому +2

    APR OYEEEEEEE