Yanga SC 4-0 Kagera Sugar | Highlights | NBC Premier League - 01/02/2025
Вставка
- Опубліковано 7 лют 2025
- Tazama matukio yote muhimu yaliyojiri kwenye mechi ya NBC Premier League kati ya Yanga dhidi ya Kagera Sugar.
Yanga imeshinda kwa jumla ya magoli 4-0
Wafungaji ni Clement Mzize, Mudathir Yahya, Pacome Zouzoua na Kennedy Musonda
Wa kwanza nipewe like za penat ya pacome!!💚💚💛💛
Young Africans💚💚💚💚💚💚💛💛💛💛💛💛
kabla ya kumlaumu azizi ki hakikisha umelipa ADA
Sawa mrembo q
Kweli
Tafuta hela ada leo 😢😢😢😢 kweli maisha yanaende upesi
Wanayanga tuache unafki wakikosa wageni Poa ila wananchi kelele kibao kwa wachezaji wa kizawa Mpira ni team work.......😂tuache unafki wanayanga Ada nayo inauma Sana...wangemuacha ata mzize ili record ziongezeke uzalendo Kwanza.
Kwanini triceyanga
Ahahaha❤hii kari sana
Aziz k mwamba sana anaelaum hajui boli
Weee Hamisa Mobeto utamu unaompa Aziz mpaka kwenye penati...mungu anakuona😂😂😂
Yaaaan weww😂😂😂😂
Yangaaaaaa ni mwamba❤
Nakubali san yanga yangu
Safii saanaa wananchii
Yanga daaa🎉🎉🎉🎉🎉
Asante
Allaah Akbar
Yan dube haend na movement yampira sasa hapo alikuwa anaenda wap
Wanakosa wachezaji wa kubwa penalty sembuse Azizi ki
Ahahaha hii nchi Ina vituko sanaa😂
Dube anatukaba jamani, kwa nini Kocha asimwache nje kidogo wacheze wengine?!
Alhamdu lillah
Stephan Aziz key 🔑
Tuko pamoja na wewe
❤❤❤
Sio shiva zetu
Penalti siomambo yetu
Gusa twende kwao
Hata kama tumeshinda yani tumekosa magori mengi mno alafu utulivu hamna wachezaji muangalie tukikutana natimu nzuri ndio tunapoteza mechi
Kweli kaka 2:56
Aziz ki anajua kuwapig wat mapas
I' here in Rwanda l'm fun of Apr FC
4:45 4:47
Kiwafunga tu kagera waaarabu aaaaaah!!!!
Leo yanga kashinda kaenda robo😅😅😅
Mwinchui kama Mwinchui na penalty zake za ajabu ajabu
Huyu referee achezeshe Simba SC vs Young Africans ijayo hakika penalty za kibu zitamiminika nyingi pmj na kadinying za njano kwa kumkaba kibu Denis au kumkaba Mpanzu.
Ilaa mawazo yako finyuu amekabwa mara ngap na amesababisha penat ngap
Muddy mzungu acha bwana 😂😂😂😂
ikangalombo mbona hacheze
huyu dube wameroga tena au.😳👀
Tusilaumi kipa nae kafanya kazi yake
Pale Azizi K Alikua Anaulazima Gan WavKupiga Shut Badala Ya Kupenyeza Pasi Watu Wakafunge..Yanga Wakikutana..Na Timu Iliyokua Sirius.. hawatoboi..!🤪
PENALTY ZA UTOPOLO MNAZIHESABU LAKIN SIO KILA SKU MNABWATUKA, BWATUKA, TU WATU WANAKOSA PENATI HAMSEMI ,SIMBA AKIPEWA AKAPATA AMEPENDELEWAA
Mwendo wa vichpo gusa achia twende leo
Wamuz wabongo shikamoni
Watano apa naombeni naniiiiii!😂 iv nn ile? Au bc!
Pamoja na jeuri zenu siyo shida zetu kangera pamoja na kutufanya lafu IRA yanga jamani wapore sana wanasukumwa tuu akhaaa mnataka mtuumizier wachezaji wetu wakati. Tunahamu na Makolo nyie lafu hatutaki
Subria trhe nane uache kulalamka
Aziz ki asipewe tena penalty
Hata Messi hukosa penalt,Aziz yeye nani acheni maneno
Yaani kagera wanawapasia wachezaji wa yanga na kuwakaba kishkaji😁🤧🤮🥴
❤❤❤❤😂❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Wazee wa nyuma mwikoo
Gusa achia tusifunge 6 kama simba
Kuwa na akili timamu hii ni ligi kuu,hizo goli sita alifunga mashindano gani na ni timu gani?
Ki Yuko vzr xn penalty kkox ni kawaida tu
Mobeto penzi linanogo tam
Nne kwa kagera sawa, kwa waarabu kuwafunga kutinga robo fainal aa hamna, nyie si wajinga
Arafu amnasema ligi Haina ushindani wakati marefa wanawapa gemu yanii yanga TFF kwa ujumla ni hivyo saaana kwa sabab wao ndio wanasimamia nakutoa marefa makuma kama hawa
Kama inauma chomoa😅😅
😂😂😂😂 endeleeni kuteseka
Pole mshikaji wangu 😎
Kwan bado unapumua tukuvunje shingo😂😂😂
Ukitoa penalty inayokuuma mbwa ww ni 3 :0 tuliza mshono
ua-cam.com/video/ox0-8meZx8Y/v-deo.htmlsi=4-igRUGRe1oftyE
ua-cam.com/video/82cpNHADLh8/v-deo.htmlsi=x_02s1yFylOBRrXx
Wazee wa nyuma mwiko
Mpuuzi wewe
Tupo unateseka ukiwa wapi😊😊😊