Evvy Digital
Evvy Digital
  • 528
  • 1 839 458
MKALABOKO AMCHAGUA MKUDE MBELE YA DEBORAH NA AHOUA, AMFANANISHA NA SUMAKU YA UCHAFU, "WATAMUIMBA"
MKALABOKO AMCHAGUA MKUDE MBELE YA DEBORAH NA AHOUA, AMFANANISHA NA SUMAKU YA UCHAFU, "WATAMUIMBA SANA, YANGA INAMTEGEMEA"
#yanga #yangasc #yangatv #yangaleo #yangalive #caf #cafcl #azamfc #jkupdates #simbasc #simba #simbaleo #simbalive #simbaliveleo #simbatanzania #simbatanzania #nguvumoja #daimambelenyumamwiko #tff
Переглядів: 943

Відео

🔴#live MAZITO, WACHAMBUZI WAITETEA YANGA, WAMPIGA SPANA MAGOMA, WAWATAJA VIONGOZI HAWA, "ANAKWAMA"
Переглядів 4,8 тис.4 місяці тому
MAZITO, WACHAMBUZI WAITETEA YANGA, WAMPIGA SPANA MAGOMA, WAWATAJA VIONGOZI HAWA, "MAGOMA ANAKWAMA HAPA" #yanga #yangasc #yangatv #yangaleo #yangalive #caf #cafcl #azamfc #jkupdates #simbasc #simba #simbaleo #simbalive #simbaliveleo #simbatanzania #simbatanzania #nguvumoja #daimambelenyumamwiko #tff
WILSON ORUMA AIPA SIMBA USHINDI SHIRIKISHO, AMUITA FADLU DAVIDS NABII, ATAJA SHERIA ZAKE
Переглядів 4,6 тис.4 місяці тому
WILSON ORUMA AIPA SIMBA USHINDI SHIRIKISHO, AIPA ANGALIZO AL AHLY, AMUITA FADLU DAVIDS NABII, ATAJA SHERIA ZAKE #yanga #yangasc #yangatv #yangaleo #yangalive #caf #cafcl #azamfc #jkupdates #simbasc #simba #simbaleo #simbalive #simbaliveleo #simbatanzania #simbatanzania #nguvumoja #daimambelenyumamwiko #tff
WILSON ORUMA AMNADI BOKA WA YANGA, AMPIGIA SALUTI, RAIS TP MAZEMBE AINGILIA KATI, AMSIFIA HERSI
Переглядів 1,7 тис.4 місяці тому
WILSON ORUMA AMNADI BOKA WA YANGA, AMPIGIA SALUTI, RAIS TP MAZEMBE AINGILIA KATI, AMSIFIA INJIA HERSI #yanga #yangasc #yangatv #yangaleo #yangalive #caf #cafcl #azamfc #jkupdates #simbasc #simba #simbaleo #simbalive #simbaliveleo #simbatanzania #simbatanzania #nguvumoja #daimambelenyumamwiko #tff
"SIMBA BILA AHOUA NI KIPOFU, ATEBA NI RONALDO MTUPU, YANGA BILA AUCHO HAKUNA SHIDA" MKALABOKO
Переглядів 6 тис.4 місяці тому
"SIMBA BILA AHOUA NI KIPOFU, ATEBA NI RONALDO MTUPU, NI JANGILI, YANGA BILA AUCHO HAKUNA SHIDA" MKALABOKO #yanga #yangasc #yangatv #yangaleo #yangalive #caf #cafcl #azamfc #jkupdates #simbasc #simba #simbaleo #simbalive #simbaliveleo #simbatanzania #simbatanzania #nguvumoja #daimambelenyumamwiko #tff
MKALABOKO AIPA ONYO ZITO SIMBA SC, "WAJIANGALIE, HAWATOBOI NOVEMBA, UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA"
Переглядів 3514 місяці тому
MKALABOKO AIPA ONYO ZITO SIMBA SC, "WAJIANGALIE, HAWATOBOI NOVEMBA, WATASHIRIKI UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA" #yanga #yangasc #yangatv #yangaleo #yangalive #caf #cafcl #azamfc #jkupdates #simbasc #simba #simbaleo #simbalive #simbaliveleo #simbatanzania #simbatanzania #nguvumoja #daimambelenyumamwiko #tff
MWANZO MWISHO SAKATA LA YUSUPH KAGOMA WA SIMBA, KWANINI YANGA WAOMBWE MSAMAHA ?, ALIMUOGOPA AUCHO ?
Переглядів 7 тис.4 місяці тому
MWANZO MWISHO SAKATA LA YUSUPH KAGOMA WA SIMBA, KWANINI YANGA WAOMBWE MSAMAHA ?, ALIMUOGOPA AUCHO ? #yanga #yangasc #yangatv #yangaleo #yangalive #caf #cafcl #azamfc #jkupdates #simbasc #simba #simbaleo #simbalive #simbaliveleo #simbatanzania #simbatanzania #nguvumoja #daimambelenyumamwiko #tff
WACHAMBUZI WAKIMBIA KUIAMINI TAIFA STARS, MKALABOKO ADAI TANZANIA HAIPO SALAMA, "DROO INATOSHA"
Переглядів 3014 місяці тому
WACHAMBUZI WAKIMBIA KUIAMINI TAIFA STARS, MKALABOKO ADAI TANZANIA HAIPO SALAMA, "DROO INATOSHA" #yanga #yangasc #yangatv #yangaleo #yangalive #caf #cafcl #azamfc #jkupdates #simbasc #simba #simbaleo #simbalive #simbaliveleo #simbatanzania #simbatanzania #nguvumoja #daimambelenyumamwiko
MKALABOKO AICHAMBA YANGA KISA KAGOMA "WASIONE SIMBA INATAKA MCHEZAJI, YANGA HAWAJIELEWI"
Переглядів 11 тис.4 місяці тому
MKALABOKO AICHAMBA YANGA KISA KAGOMA WA SIMBA, "WASIONE SIMBA INATAKA MCHEZAJI, YANGA HAWAJIELEWI, CHANZO MUHESHIMIWA" #yanga #yangasc #yangatv #yangaleo #yangalive #caf #cafcl #azamfc #jkupdates #simbasc #simba #simbaleo #simbalive #simbaliveleo #simbatanzania #simbatanzania #nguvumoja #daimambelenyumamwiko #tff
MKALABOKO AMKAANGA KOCHA MPYA AZAM, WATAJWA MAKOCHA WASIO NA VIGEZO, KOCHA SIMBA & SINGIDA ATAJWA
Переглядів 1,2 тис.4 місяці тому
MKALABOKO AMKAANGA KOCHA MPYA AZAM, WATAJWA MAKOCHA WASIO NA VIGEZO, KOCHA SIMBA & SINGIDA ATAJWA #yanga #yangasc #yangatv #yangaleo #yangalive #caf #cafcl #azamfc #jkupdates #simbasc #simba #simbaleo #simbalive #simbaliveleo #simbatanzania #simbatanzania #nguvumoja #daimambelenyumamwiko #tff
ORUMA NA MKALABOKO WAMKAANGA FABRICE NGOMA, WASEMA AMEZEEKA, "AJIFUNZE KWA AUCHO, KOCHA HAMTAKI"
Переглядів 1 тис.4 місяці тому
ORUMA NA MKALABOKO WAMKAANGA FABRICE NGOMA, WASEMA AMEZEEKA, "AJIFUNZE KWA AUCHO, HAMUWEZO KAGOMA, KOCHA HAMTAKI" #yanga #yangasc #yangatv #yangaleo #yangalive #caf #cafcl #azamfc #jkupdates #simbasc #simba #simbaleo #simbalive #simbaliveleo #simbatanzania #simbatanzania #nguvumoja #daimambelenyumamwiko #tff
ORUMA NA MKALABOKO HAWAIONI TAIFA STARS IKISHINDA HATA MECHI MOJA, KOCHA AONDOKE, AZIZ KI NA DIARRA
Переглядів 4354 місяці тому
ORUMA NA MKALABOKO HAWAIONI TAIFA STARS IKISHINDA HATA MECHI MOJA, WALILIA KOCHA AONDOKE, WAMTAJA AZIZ KI NA DIARRA #yanga #yangasc #yangatv #yangaleo #yangalive #caf #cafcl #azamfc #jkupdates #simbasc #simba #simbaleo #simbalive #simbaliveleo #simbatanzania #simbatanzania #nguvumoja #daimambelenyumamwiko
WILSON ORUMA APIGA MARUFUKU KUMFANANISHA SAMATTA NA MZIZE, APINGA UMRI WA MZIZE, "SAMATTA KIBOKO"
Переглядів 5924 місяці тому
WILSON ORUMA APIGA MARUFUKU KUMFANANISHA SAMATTA NA MZIZE, APINGA UMRI WA MZIZE, "SAMATTA ANA THAMANI KULIKO MZIZE" #yanga #yangasc #yangatv #yangaleo #yangalive #caf #cafcl #azamfc #jkupdates #simbasc #simba #simbaleo #simbalive #simbaliveleo #simbatanzania #simbatanzania #nguvumoja #daimambelenyumamwiko
WILSON ORUMA AMTETEA LAWI NA ISRAEL MWENDA, "SIMBA NA YANGA ZINASHIDA, MWENDA AISHUKURU SIMBA"
Переглядів 3764 місяці тому
WILSON ORUMA AMTETEA LAWI NA ISRAEL MWENDA, "SIMBA NA YANGA ZINASHIDA, MWENDA AISHUKURU SIMBA" #yanga #yangasc #yangatv #yangaleo #yangalive #caf #cafcl #azamfc #jkupdates #simbasc #simba #simbaleo #simbalive #simbaliveleo #simbatanzania #simbatanzania #nguvumoja #daimambelenyumamwiko
MKALABOKO NA ORUMA WAMZODOA GAMONDI, "AACHE KULIALIA, AJIKAZE, ANALIPIGIA GHARAMA YA KUKAA YANGA"
Переглядів 5 тис.4 місяці тому
MKALABOKO NA ORUMA WAMZODOA GAMONDI, "AACHE KULIALIA, AJIKAZE, ANALIPIGIA GHARAMA YA KUKAA YANGA" #yanga #yangasc #yangatv #yangaleo #yangalive #caf #cafcl #azamfc #jkupdates #simbasc #simba #simbaleo #simbalive #simbaliveleo #simbatanzania #simbatanzania #nguvumoja #daimambelenyumamwiko
MKALABOKO AMPASUA KOCHA TAIFA STARS, ASEMA HAJAMMISS SAMATTA NA MSUVA, WACHEZWAJI WAWEKWA KIPORO
Переглядів 2,4 тис.4 місяці тому
MKALABOKO AMPASUA KOCHA TAIFA STARS, ASEMA HAJAMMISS SAMATTA NA MSUVA, WACHEZWAJI WAWEKWA KIPORO
WILSON ORUMA ACHEKELEA KOCHA AZAM KUFUKUZWA, "POPATTI ATOKE, WAMEFELI, WATABADILISHA SANA MAKOCHA"
Переглядів 1,6 тис.4 місяці тому
WILSON ORUMA ACHEKELEA KOCHA AZAM KUFUKUZWA, "POPATTI ATOKE, WAMEFELI, WATABADILISHA SANA MAKOCHA"
WILSON ORUMA ASHANGAA MZIZE KUGOMA KWENDA WAYDAD, ASEMA ATAJUTA, WAIOMBA YANGA IMUACHIE AONDOKE
Переглядів 2,9 тис.4 місяці тому
WILSON ORUMA ASHANGAA MZIZE KUGOMA KWENDA WAYDAD, ASEMA ATAJUTA, WAIOMBA YANGA IMUACHIE AONDOKE
"TAIFA STARS INASHINDA LEO | FEI, MZIZE, WAZIRI, BALUA WAANZE | HAMNA PENGO LA SAMATTA & MSUVA"ORUMA
Переглядів 1,6 тис.4 місяці тому
"TAIFA STARS INASHINDA LEO | FEI, MZIZE, WAZIRI, BALUA WAANZE | HAMNA PENGO LA SAMATTA & MSUVA"ORUMA
MKALABOKO NA ORUMA WAFURAHISHWA NA MGOMO WA ISRAEL MWENDA, WASEMA SINGIDA INANUKA MADENI.
Переглядів 1,3 тис.4 місяці тому
MKALABOKO NA ORUMA WAFURAHISHWA NA MGOMO WA ISRAEL MWENDA, WASEMA SINGIDA INANUKA MADENI.
WILSON ORUMA AIPINGA TUZO YA KOCHA SIMBA, MKALABOKO ASIMAMA NA FADLU, WOTE WAIPONDA TFF
Переглядів 6 тис.4 місяці тому
WILSON ORUMA AIPINGA TUZO YA KOCHA SIMBA, MKALABOKO ASIMAMA NA FADLU, WOTE WAIPONDA TFF
TBC KUTOONYESHA MECHI YA TAIFA STARS, WACHAMBUZI WALIA "TIMU HAIVUTII, SIMBA NA YANGA INAIHARIBU"
Переглядів 6684 місяці тому
TBC KUTOONYESHA MECHI YA TAIFA STARS, WACHAMBUZI WALIA "TIMU HAIVUTII, SIMBA NA YANGA INAIHARIBU"
"SIMBA NA YANGA WAPO SAWA, WANAFANANA MPAKA MATATIZO, GAMONDI ASILIE, AJIPANGE" WILSON ORUMA
Переглядів 1,2 тис.4 місяці тому
"SIMBA NA YANGA WAPO SAWA, WANAFANANA MPAKA MATATIZO, GAMONDI ASILIE, AJIPANGE" WILSON ORUMA
WILSON ATAJA SABABU ZA MZIZE KUBAKI YANGA, AMTAJA WAKALA WA FEI, AWAITA YANGA MAFIA, AISHANGAA YANGA
Переглядів 18 тис.4 місяці тому
WILSON ATAJA SABABU ZA MZIZE KUBAKI YANGA, AMTAJA WAKALA WA FEI, AWAITA YANGA MAFIA, AISHANGAA YANGA
WILSON ORUMA AKUNWA NA ATEBA, AMCHEKA KIBU DENIS "KAFELI, HAMUWEZI BALUA", AMKINGIA KIFUA MANULA.
Переглядів 1,6 тис.4 місяці тому
WILSON ORUMA AKUNWA NA ATEBA, AMCHEKA KIBU DENIS "KAFELI, HAMUWEZI BALUA", AMKINGIA KIFUA MANULA.
WILSON ORUMA AMSAFISHA MANULA, "WA JANA, WA LEO", AGOMA KUIPA UBINGWA SIMBA, AMCHEKELEA ATEBA
Переглядів 1,3 тис.4 місяці тому
WILSON ORUMA AMSAFISHA MANULA, "WA JANA, WA LEO", AGOMA KUIPA UBINGWA SIMBA, AMCHEKELEA ATEBA
MKALABOKO AIKAANGA TENA SIMBA, ALIA NA OKAJEPHA, AMCHANA KIJILI, UWANJA UTAISHA "CHUPU CHUPU WALIE"
Переглядів 8 тис.4 місяці тому
MKALABOKO AIKAANGA TENA SIMBA, ALIA NA OKAJEPHA, AMCHANA KIJILI, UWANJA UTAISHA "CHUPU CHUPU WALIE"
WILSON ORUMA ACHEKELEA YANGA KUGOMA OFA YA MZIZE, "BILIONI 2 NDOGO SANA, SIMBA WANACHAKUJIFUNZA"
Переглядів 14 тис.4 місяці тому
WILSON ORUMA ACHEKELEA YANGA KUGOMA OFA YA MZIZE, "BILIONI 2 NDOGO SANA, SIMBA WANACHAKUJIFUNZA"
WILSON ORUMA AMPA MAUA DEBORAH WA SIMBA, "HAMFIKII AZIZ KI, KAGOMA, AHOUA WAMPA JEURI"
Переглядів 43 тис.4 місяці тому
WILSON ORUMA AMPA MAUA DEBORAH WA SIMBA, "HAMFIKII AZIZ KI, KAGOMA, AHOUA WAMPA JEURI"
WILSON ORUMA ASEMA MAX NZENGELI NDIYE MCHEZAJI MUHIMU YANGA, AMTOA PACOME NA DUBE"
Переглядів 1,9 тис.4 місяці тому
WILSON ORUMA ASEMA MAX NZENGELI NDIYE MCHEZAJI MUHIMU YANGA, AMTOA PACOME NA DUBE"

КОМЕНТАРІ

  • @gdallasmwaa2942
    @gdallasmwaa2942 16 днів тому

    Mweeeee jamni

  • @NurdiniSaidi-i8g
    @NurdiniSaidi-i8g Місяць тому

    Tiger king 🎉❤

  • @mirajiramadhani2128
    @mirajiramadhani2128 Місяць тому

    Mchomvu ni mchiz kichiz af ni mwana wawana nando maana hata host za mtaa hua anaziweza kutokana nayeye ni mwana af ni mchiz kichiz naukileta uchiz unakula mitama ya kutosha yani pale pale.......nakukubali brother Adam kuanzia flours/kurap/kubonga /comedian kimtindo hata hapo kwenye hio interview umeonekana we ndo prizenta

  • @GoodluckMwanzasule
    @GoodluckMwanzasule Місяць тому

    Adam❤

  • @yohanaalex5977
    @yohanaalex5977 Місяць тому

    Mwambaa uyuu

  • @DaudiAbdallah-p8l
    @DaudiAbdallah-p8l 2 місяці тому

    Hamna wachambuzi hapa aaaaaaah idd nado hamkumuonaaa wanamtegemea vip

  • @RaylaElmi
    @RaylaElmi 3 місяці тому

    😂😂😂

  • @IbrahimMohamed-eq4ek
    @IbrahimMohamed-eq4ek 4 місяці тому

    💯💯💯💯💯

  • @erickprotace9463
    @erickprotace9463 4 місяці тому

    Nilishasikia hii hoja ktk chanel nyingi, niwaombe muache kujadili mtaiweka YANGA matatizoni. Yanga wakati inasajir kagoma ilikuwa imezuiliwa kusajiri. Kagoma ameishaambiwa akija kuongea nao atasema mawil niliona nisaini SIMBA kwakuwa 1. Yanga ilikuwa imezuiliwa kusajiri nilisain kabla ya kulijua na baadae nilijua nikaamua niache, 2.hawakunilipa chochote wananidai mkataba wakaukiuka. Yanga watasemaje kagoma akisema hayo?...

  • @Jojimshikoagmldotcom
    @Jojimshikoagmldotcom 4 місяці тому

    kaka huna baya🎉

  • @SelemaniAmiri-n8j
    @SelemaniAmiri-n8j 4 місяці тому

    Jamaa anaupeo wa juu kama put in rais wa urusi

  • @AbisinaRashidi-c8d
    @AbisinaRashidi-c8d 4 місяці тому

    Eti ahua hajui mpira mlete mamaako acheze bwabwa wew

  • @AbedKhonga
    @AbedKhonga 4 місяці тому

    Huyo mchambuzi Kavuta kikali kachanganyikiwa akae kimya

  • @SharhabilMuhamed
    @SharhabilMuhamed 4 місяці тому

    Fei toto hongera

  • @SaidOmar-d3m
    @SaidOmar-d3m 4 місяці тому

    mkoloboko unaunacho Kijua unatumia mbwembwe ilihiliionekane unaongea point

  • @SaidOmar-d3m
    @SaidOmar-d3m 4 місяці тому

    nyie niwaajinga mnatumia akili zenu kuwaaminisha watu ujinga

  • @matiankomola2391
    @matiankomola2391 4 місяці тому

    Wachambuzi acheni ushabiki

  • @MapandaBagiligwa
    @MapandaBagiligwa 4 місяці тому

    Kumbe Tanzania akunaga wachambuz wampila kunausenge usenge

  • @mashokmapinda1707
    @mashokmapinda1707 4 місяці тому

    Utopplo wakat wanatolewa round za awali walikuwa wakilalamikia viporo vya simba ss nawao kazi wanayo

  • @jumamustapha8254
    @jumamustapha8254 4 місяці тому

    Wachambuzi wengi tz inaonyesha hawajasomea kazi wanazozifanya. Kwanini tusiache kamati ya maadili ya wachezaji itutolee maamuzi matako yenu wote.

  • @DouglasChuwa-b2s
    @DouglasChuwa-b2s 4 місяці тому

    We nimwongo kuma we we sasa angalia nisikugani pesa zimeingia

  • @DouglasChuwa-b2s
    @DouglasChuwa-b2s 4 місяці тому

    Mkaliboko ukuli umeujua

  • @NasibuAlban
    @NasibuAlban 4 місяці тому

    Aucho alipotezwa na kapama husemi

  • @sangaelly8548
    @sangaelly8548 4 місяці тому

    Kumbe ugomvi upo yanga na Simba

  • @peterchande957
    @peterchande957 4 місяці тому

    Absai tiketi za ndege toka kigoma Dar Kigoma za kwako au kagoma? Uliona mkataba wa Yanga na kagoma? Kitu usichokijua sawa na usiku wa giza

  • @JayCinemaHD
    @JayCinemaHD 4 місяці тому

    AMBAYE AMEONA HII VIDEO LEO TUJUANE😂😂😂

  • @hajishomari6221
    @hajishomari6221 4 місяці тому

    Kumbe wote hapo ni wanafiki Tena na kama mmekuwa wanawake hivi

  • @hajishomari6221
    @hajishomari6221 4 місяці тому

    Mkalaboko unafiki wako utashindwa pakuuficha

  • @emanuelkamaghe2647
    @emanuelkamaghe2647 4 місяці тому

    Yanga wanapenda sana kesi vitu vingine wawe wanaacha

    • @robertzamani5612
      @robertzamani5612 4 місяці тому

      Isikilize clip ya Kagoma halafu ndio useme Yanga wanapenda kesi

  • @TheresiaFransic
    @TheresiaFransic 4 місяці тому

    Wachambuz viaz mlixem ni mbovu nyie leo hii mwampamb

  • @AllyMasangaluka-bm5ib
    @AllyMasangaluka-bm5ib 4 місяці тому

    We mkalaboko nakueshim kumbe akili una yanga ndio walikua wakwanza kumsajili Simba kaingilia amuoni kwa vile mnapewa Hela namoo

  • @AbuuSumaiyah
    @AbuuSumaiyah 4 місяці тому

    Huyu Mkalabo anaichukia sana Yanga, hata sijui imemkosea nini!! Muone vile Ndio maana unavaa mashati ya watoto wadogo!

  • @jonamnyone8014
    @jonamnyone8014 4 місяці тому

    Mimi nadhani Yanga wafahamishwe vizuri kuwa Kagoma sio mtoto wa Mzee Magoma. Mnamkomoa bure. Yanga achaneni na Yusuph Kagoma huyu hana undugu na Mzee Magoma.

  • @jonamnyone8014
    @jonamnyone8014 4 місяці тому

    Mimi nadhani Yanga wafahamishwe vizuri kuwa Kagoma sio mtoto wa Mzee Magoma. Yanga achaneni na Yusuph Kagoma huyu hana undugu na Mzee Magoma.

  • @TwahirBurhan
    @TwahirBurhan 4 місяці тому

    Hawa crown huwa wanatumia vigezo gani kuwapata wachambuzi wao!!!? hivi kweli huyu KARABOKO eti nae mchambuzi wa mpira!!!?

  • @HajiAlly-fl1dm
    @HajiAlly-fl1dm 4 місяці тому

    Mnazinguwa kila mtu anongea hakuna utulivu wala hatuelewi kwasababu mnaongea wote kwa wakati mmoja

  • @alphoncenyanda4699
    @alphoncenyanda4699 4 місяці тому

    Huyu mbn ni kocha wa Guinea

  • @michaelmwaijande2561
    @michaelmwaijande2561 4 місяці тому

    Yanga hawana nia nzuri na kagoma. Lengo Lao ni kumtoa kwenye reli mchezaji ili kumshusha kiwango. Kagoma ni mchezaji mdogo sana kwa Yanga kama taasisi !

  • @saidseleman2973
    @saidseleman2973 4 місяці тому

    Magma anajua sana kuliko nyie kasuku

  • @mashokmapinda1707
    @mashokmapinda1707 4 місяці тому

    Km pesa ya mwanzo ni ya Kahoma maana yke Kibabage usajili wake una utata

  • @mazengojohn2090
    @mazengojohn2090 4 місяці тому

    Mnataka habar tyu alipe million 700

  • @temesjames8867
    @temesjames8867 4 місяці тому

    Kama ndio ilivyo hivyo yanga wanazingua bila kupepesa macho

  • @juliussenzia
    @juliussenzia 4 місяці тому

    Hukumu kisutu ilishatoa hukumu

  • @juliussenzia
    @juliussenzia 4 місяці тому

    Wote hamjui kitu

  • @saidseleman2973
    @saidseleman2973 4 місяці тому

    Kama mtu ajalipwa akuna mkataba

  • @thabitmgeni8775
    @thabitmgeni8775 4 місяці тому

    ORUMA WEWE SIKUELEWI

  • @LumumbaSaid
    @LumumbaSaid 4 місяці тому

    Nyie waandishi kumbe mnajadili jambo msilo lijua,,,ni kweli kuwa magoma alishinda mwanzo lakini kumbukeni kesi ilisikilizwa upande mmoja. Yanga baada kugundua kuwa kulikuwa na kesi ya namna hiyo ndipo yanga wakaomba kesi ianze.

  • @user-swahilirecaps97
    @user-swahilirecaps97 4 місяці тому

    🎉🎉🎉🎉🎉👏👏👏👏👏👏brain

  • @nadilhassan6414
    @nadilhassan6414 4 місяці тому

    Yani uruma ww mnafiki reo hii ww ndie wakuisifia mh

  • @mohamedbakari7690
    @mohamedbakari7690 4 місяці тому

    Kama kuna mtu hajui mpira ni huyu hata mm nina afadhali, hakuna kitu anajua sijui wanapataje kazi hawa watu