Tamaa tu za kutaka kuonekana kimataifa, aliitaman simba kwa vile ilikuwa inafanya vzr mda huo akaona apitie azam kama njia, saivi tena kaona yanga tuko poa anaanza kushoboka. Nenda simba tu sio nda watakuwa vzr nao pia acha kutangatanga ulishasema huna mapenzi na yanga una mapenzi na simba
Feisali ni msenge anafitina sana afu anagundu Toka aondoke yanga tunafanikiwa so aende Simba injinia please usimruhusu iyo mbwa muda tuko nae na tunatamba nae
Kucheza mechi za kimataifa kwa mchezaji ndo mpango mzima kama anaitamani yanga ile aliyodai hana mapenzi nayo ni kwavile kaona huko aliko hatakuwa kwenye viwanja vya kimataifa. Abakie hukohuko anakopata mshahara mkubwa. Yanga wako fiti kikosi kimetimia kinatosha.
That boy i mean feisal toto to me he wants to come back to he is the Biggest team in Africans the names of he is Dar Youngs Africans my people's you understand my meaning. Okay let's taking him back eeee yanga oyeee oyeee yanga oyeee let's saying oyeee hayaa
Huyu dog Fei anaonekana ni Kiburi, ona alivyoulizwa kwamba ulisema kuwa utarudi Yanga endapo tu Raisi Eng. Hersi ataondoka huyu dogo hili swali akabaki kulichengachenga na kuliyeyusha hivyo anaonekana kweli alikuwa serous na hajutii kauli yake hiyo - hakika huyu hafai kabisa kurudi Yanga ana zaidi ya Kiburi na abaki hukohuko alikofuata fedha nyingi.
Pumba tafuta point ya msingi hata mke na mume wanagombana na wanapatana maisha yanaendelea sembuse fei na yanga,Acha chuki za kipumbavu huu ni mpira Tu usicomplicate Sana utajiumiza Tu sasa mfano fei akirudi yanga utajisikiaje? Kama sio kupata aibu🤣.😂
Jamani me fei namkubali sana Tena sana arudi yanga ingawaje ni mtaalam wa kukata mauno Napenda sana fei arudi jamani💚💚💚💚💯💯
Yanga Africans the biggest team in Tanzania and Africans. Haya wananchi eeempoo mie naaAmini tupo.yanga african oyeee oyeee hayaa Tena
Mtoto wetu
Fei well come,,,home
I love young Africans
Hapo hapo wananchi eeeYanga oyeee haya Twendeee kazi Youngs Africans
The Biggest club in Tanzania 🇹🇿 Youngs Africans oyeee oyeee hayaa wananchi
Tamaa tu za kutaka kuonekana kimataifa, aliitaman simba kwa vile ilikuwa inafanya vzr mda huo akaona apitie azam kama njia, saivi tena kaona yanga tuko poa anaanza kushoboka. Nenda simba tu sio nda watakuwa vzr nao pia acha kutangatanga ulishasema huna mapenzi na yanga una mapenzi na simba
Ila waandish 😂😂😂😂 ni noma💚💚💚💚💚💚
Usijali yaliyosemwa nyuma Yako, ukipewa ofa nzuri na Yanga we njoo tu hapo ni home kwako Kwa mpira
Fei atarudi yanga kweli
Unakaribishwa nyumbani feisal
Maestro😊
Karibu nyumbani Fei wetu
Aisee congratulations feisal
Yang hutuna shida na mjinga FEI, muda Wetu tunae na tunatamba nae
Anarud nyumbani huyo😂😂😂😂😂
ile mishe ilipangwa tu. haikua na uhalisia lengo kuivuruga yanga tu.
Hamnaga awali mbovu ww nakaujuwe nyumban ninyumbani 🎉
Pale Simba Mohamed Hussein kumtoa ufanye Kazi haswa 😂
Safi sana kwakuondoa bifu tim yako ni yanga
Fei toto,toto ya injinia come yanga rudi yanga belated yanga weweee karibu.
Huyu Ni sawa na Mwana mpotevu chinjeni ndama tufurahie leteni Pete tumvike amejua utoto nii hasara kubwa
Huyu Bado tunamupenda mana Bado yupo kwenye mfumo
Wachezaji ni km wanawake tu huwa wanadanganywa
Wasikupeleleze sana dogo,hao nimachawa.
Feisali ni msenge anafitina sana afu anagundu Toka aondoke yanga tunafanikiwa so aende Simba injinia please usimruhusu iyo mbwa muda tuko nae na tunatamba nae
Uyo dogoooo asamehewe tu arudi nyumbani
🔥💯
Kucheza mechi za kimataifa kwa mchezaji ndo mpango mzima kama anaitamani yanga ile aliyodai hana mapenzi nayo ni kwavile kaona huko aliko hatakuwa kwenye viwanja vya kimataifa. Abakie hukohuko anakopata mshahara mkubwa. Yanga wako fiti kikosi kimetimia kinatosha.
Aende simba kama huko azam kimenuka,,Yanga tumetimia
Feisuful kujua anajua makombee AAAAAAAAAH😅😅😅😂😂😂😂🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿💪
Vile sio viuno, ni zagala😂😂😂😂
uliondoka kwamasimango sana sioni sababu yaww kurudy uliona kama wew ndo star wayanga yang aitegemei mtu mmoja
Wewe hujui mikataba hata kidogo
Ww fara harakaharaka zimekuponza kwasupidi ulikuwanayo kwa time yayanga mpaka sasa ungekuwa kama maybe nipulofeshina wkutumaniwa tzd tuliyauwone mzize
Mwaisha
Mwaisha mtumbadi
Rudi nyumbani kumenoga
Me naona tumchukuwe tu kijana.bwamdogo bado.wananhiiieee tumchukuwe
Abaki tu huko au atafute changamoto kwingine yanga kubwa kuliko yeye
Kakakaka😂😂😂😂
Tunakukaribisha yumbani
Swali moja unauliza mara mbili mbili
Kijana arudi bado tunakazinae
Nataman angecheza simba kwanza
Kumbe sku iz kamekuwa akili bwana kidg kanajibu kikubwa
Nyie mapaparazi nendeni shule kwanza hamjui hata maswali ya kumuuliza mtu mkasome kwanza
Tanzania hakuna mpira tft pesa mihemko wacha
Fei nani bwana alale mbele huko
Tatizo sio msamaha, huyu dogo ana gundu akiingia tu kwenye timu yako mnaishia kuruka ruka tu japo yeye anaonekana, hana tofauti na Pogba
Angekuwa mvumilivu hapa Yanga angekuwa nj'e ya nchi anakula mshahara mkubwa sana
Dogo kaona apige na culture ya yanga kabisa😂😂
Yeye aende anapopajua Yanga asikanyage aende kwa mama yake, Sisi hatuangalii nyuma hatumtaki tena
Wewe kama nani Huna hata senti yako yanga ni.mshabiki tu maandazi kalale huko
Nini ww kama Morrison tulimpokea tutashindwaje kumpokea Fei
Pumba iyo humtaki wewe sio wote,Mimi nataka arudi hata Leo🤣
Asante. Sana. Kama. Huyo. Kijana. Kaomba. Radhi. Arudishwe. Bado. Ni. Kijana. Wetu. Tunakuomba. President. Fanya. Mambo. Yawe. Mambo. Kijana. Bado. Anaipenda. YANGA. Ule. Ulikuwa. Utoto. Tu. Ameshakuwa. Sasa. Ametambua. Makosa. Yake. Haina. Budi. Kusamehewa Ili. Arudi. Kundini. Mwana. Mpotevu
Abaki huko labda akacheze Simba huko
That boy i mean feisal toto to me he wants to come back to he is the Biggest team in Africans the names of he is Dar Youngs Africans my people's you understand my meaning. Okay let's taking him back eeee yanga oyeee oyeee yanga oyeee let's saying oyeee hayaa
Huyu dogo arudi nyumbani
Kwa kitendo alicho kifanya fei Kwa yanga mwache tu asilud yanga jaman mi nilimpenda sana ila namchukua sana kasato
Asirudi Hatumtaki Aende Simba Au Akacheze Kwao Zanzibar Yanga Tunawachezaji Wazuri Kumzidi Yy Kwanza Anagundu Hatumtaki
Huyu dogo kipaji cha ulaya
mwanetu tunakusubili huku
Huyu dog Fei anaonekana ni Kiburi, ona alivyoulizwa kwamba ulisema kuwa utarudi Yanga endapo tu Raisi Eng. Hersi ataondoka huyu dogo hili swali akabaki kulichengachenga na kuliyeyusha hivyo anaonekana kweli alikuwa serous na hajutii kauli yake hiyo - hakika huyu hafai kabisa kurudi Yanga ana zaidi ya Kiburi na abaki hukohuko alikofuata fedha nyingi.
Wewe kama Nani?
Fikiria ndugu RUDI YANGA.TULIKUKUBALI KWA KIWANGO KIKUBWA SANA
Yaani maswali ya hawa waandishi uchwala...eti ulijikiaje kufunga!!..yaani ni sawa kuuliza eti baby unajisikiaje
Huyo mpumbavu tu akauze ukwaju huko
Yanga nyumbani tunakupenda ila ww wachambuzi wabongo warikuharibu sasa kama umejiludi sawa hapo Azam timu ndogo huwezi kuonekana ludi nyumbani
Dogo yuko sawa Kwa anachokiongea Rudi yanga huna gundu lolote
Abaki hukohuko tu dogo anadhalau
Msiwe mnakrupuka kuongea tnaomba usije mpaka bos aondoke mfyuuuu
Hersi huyu asirudi hatumtaki tena mama Samia atusamehe. Akatafute timu nyingine Yanga asirudi
Wew kama naniii mbwa weweee
Humtaki wewe sio wote
We msenge tu Baki kwa wajinga wenzio.
Watangazaji wengine bwana interview honyo haina hata mvuto
Dogo ulikimbilia kichakani furaha ipo yanga we hupendi kucheza na wachezaji wakubwa jangwani??? Huko huwezi toka ki soka umri ukienda itabaki story.
Achaneni.na.fei.toto..hana.akiri.kumbuken.anatetewa.na.wakina.fatima.karume.leo.arudi.yanga.mmpokrre.a.wakati.alisema.anakula.ugari.na.sekari.leo.pamenoga.arudi.achaneni.nae
Pumba tafuta point ya msingi hata mke na mume wanagombana na wanapatana maisha yanaendelea sembuse fei na yanga,Acha chuki za kipumbavu huu ni mpira Tu usicomplicate Sana utajiumiza Tu sasa mfano fei akirudi yanga utajisikiaje? Kama sio kupata aibu🤣.😂
Urudi nyumban dogo ss tunakupenda bado
Tunakukaribisha yumbani