Asante Sana wachezaji wetu tuna Mshukuru Mungu Sana kwakuwa tabora wametoka wakiongea maneno mengi ya kejeli ,niseme tu wasemaji watimu wawe nakiasi Cha maneno wanapo zisemea timu zao lasivyo aibu itakuwa inawakumba muda wote bila sababu za msingi
Simbaaa oyeee tbr hamna hamu Hela mlizoahidiwa mkazitoe sadaka Kwa wajane na yatima mungu atawabalik sana na hosptalin wagonjwa wanaha gaika jmn sawa hakuna
Rage Amewapa Tabora Milioni 5 Amenunua Mechi Msemaji Wa Tabora Anafuraha Kufungwa Na Simba Kisa Milioni 5 Za Rage Mnawafanya Watu Hawana Akili Au Hatujui Dunia Haina Siri
Kama wanataka kutulipia watulipie zile tano 😅😅kila mtu ashinde mechi zake huwezi kuongea bila yanga wewe mahi zetu kamdomo katauponza subiri tarehe 8 shirikosho fc tatizo kamdomo
Kwann mech za tabora na simba lazima kuwe na walakini kwa wachezaji wa tabora, mech ya kwanza wamecheza wachezaji wa tabora wote wagen, tim imejipata wanakutana na yanga yenye masindano👀 Mech ya simba inafika , yakuba na makambo hawapo ..kudadeki mikakati ...kwani mi ni uto au 👀😳
Asante Sana wachezaji wetu tuna Mshukuru Mungu Sana kwakuwa tabora wametoka wakiongea maneno mengi ya kejeli ,niseme tu wasemaji watimu wawe nakiasi Cha maneno wanapo zisemea timu zao lasivyo aibu itakuwa inawakumba muda wote bila sababu za msingi
Simba ni nomaaaa
Tulio tamani magoli manne tujuane hapa ubaya ubwelaa❤
Kamdomoooo 😀😁🤣❤❤ semajiii 🌹🌹
Sema baba angu ❤❤❤❤❤❤
Asante Mungu hakika hushindwi na chochote 🙏
Simba ya ahour na mpanzu naipenda
Asante mungu kwa kutupa furaha Simba nguvu moja
Naipenda simba
Ubaya ubwela ❤❤❤❤
Nakubali sana semaji la ubaya ubwela
Mungu ibariki Simba milele
Ni mwendo wa kuwakanda tuu kila timu itakyokutana na Simba ubaya ubwela ❤❤❤❤
😂😂😂😂aziz mapenzi😂😂
Nimecheka sana jamani 😂😂😂😂, ety AZIZ MAPENZI!!!, 😂😂😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌,ila semaji
Utamuuuuuuu wa nyukiii
AZIZI MAPENZI
Ximlixema kila mtu ashinde haya xaxa nyuki hao wanalia km watoto wadogo
Kamdomoooo sana😂😂😂😂😂
Semaji nakupenda bureeee
👏👏👏👏👏👏👏🦁🏆♥️♥️💪💪💪💪🙏🙏
Simbaaa oyeee tbr hamna hamu Hela mlizoahidiwa mkazitoe sadaka Kwa wajane na yatima mungu atawabalik sana na hosptalin wagonjwa wanaha gaika jmn sawa hakuna
❤❤
Duu kweli ateba mafanikio azizi ki mapenz
uwez ukapata utulivu kolo maan tarehe 8 sio bariiiiiiiiiiiiiii❤
Tulia dawa ikuingie taaaaratibu chura wewe
Iyo koroo itakuingia tulia 😂😂😂😂
Kajifunze kwanza kuandika au ndo maumivu yamezidi?
@@IlhamKhalid-mt3jp Iyo nguvu unaitolea wapi madunduka nyie
Duh kwamba mwingine ameendekeza mapenzi aiseee
Simba SC Nguvu moja
Aziz mapenzi
😂😂😂😂😂😂 good
Nyuma mwiko unawaona humu utoko wao
Well done
Nashkuru sana simba yangu kwa ushindi napia leo ni happy birthday yangu 🎉nimefurahi sana?
Jamani jamaniiiiii sijawahi kuona nyuki wenye asali harafu ak
Kamdomo kimya
Simba nguvu moja
Wameyakanyagaa😂
Nyuki Leo kawa nzi 😂😂😂
UBAYA UBWELA😂😂😂🎉🎉🎉
kwann aziz mapenz lkni😂😂
Kwa hakika simba hii ni hatari sana
Azizi mapenz hahaha
This is Simba Sports
Yanga wa wanaumia
Kuna wengine wamechanganyikiwa
kwel wee kolo jinga
Jaman hii simba ya mpanzu niatar sana
Rage Amewapa Tabora Milioni 5 Amenunua Mechi Msemaji Wa Tabora Anafuraha Kufungwa Na Simba Kisa Milioni 5 Za Rage Mnawafanya Watu Hawana Akili Au Hatujui Dunia Haina Siri
Ibrahim mapenzi tuu😢😂😂
Etty maiki Iko wapi😂😂😂😂😂😂
Itami tenaaa tobaaaa🤣🤣🤣
Nyuki kapigwa busu 😂😂😂
Simba-nguvu moja🫵
Hivi niulize wanaojenga timu ni simba au yanga maan sielewi kwa mziki huu wa simba
Ubaya ubwela noma
Azizi what😂
Aziz mapenz
Aziziiii mapenziiiiii🤣🤣🤣🤣🤣😂
Was aziz mapenzi necessary ??😂 😂
March is coming....siyo mbali .
Lazima tumkande yanga
😂😂😂😂😂😢😢😢😢😢ubaya ubwelaaa
Makontawa wa DSM😅😅😅😅😅
Kamdomo jmn mama wa tbr kamemponza mumezoea kuwa nyanyasa yanga Simba hamtuwezi sisi
Mbon unafanana na Ateba
Acha izo ww mtani iyo tarehe nakupga nyingi
March 8 nadhani yote haya yataishaa
Kikubwa zaidi ni shindi tuh
😅😅
Kama wanataka kutulipia watulipie zile tano 😅😅kila mtu ashinde mechi zake huwezi kuongea bila yanga wewe mahi zetu kamdomo katauponza subiri tarehe 8 shirikosho fc tatizo kamdomo
Kamdomo kamewaponza tabora 😂😂😂
Simba unyama nimwing hatuna baya
Unaongea sana mpk unashindwa kuchambua mpira na timu yako unapoteza confidence
Amu telling'i yu😂
Unyenyembe FC tulizeni Ka mudomo
Mnapambana Ili Muwe Mabingwa Ubingwa Hamna HP Mnajisumbua Mtabebwa Mpaka Mbeleko Itachanika
Sema tupone😂😂😂
ndy ubay 2
Mpanzu ameramba sana asali bhn😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂
Wambie tajili
Ondoka na christina usimwache kamwambie kamdomo ahache
Huyu ni mropokaji kweli
utamu wa ASALI NUNDU
Tunajenga timu
Simb ya sasa ni ya moto
😂
Ubaya ubwela
Wewe boya basha wako nani
Wewe Huna haya wala hujuwi vibaya lipa kiasi chako kwanza halafu ndo ulipiye watu .puuzi wewe
Kamdomo
Mbona ww tumekukula utmu miaka3 unusu husemi?
Ubaya ubwela
Mlikuwa mnawanunua wachezaji
Mlikuwa mnawanunua wachezaji
Tumewalipia maana nyie si mmefungwa tatu
Kwann mech za tabora na simba lazima kuwe na walakini kwa wachezaji wa tabora, mech ya kwanza wamecheza wachezaji wa tabora wote wagen, tim imejipata wanakutana na yanga yenye masindano👀
Mech ya simba inafika , yakuba na makambo hawapo ..kudadeki mikakati ...kwani mi ni uto au 👀😳
Amina libisa ubaya ubwelaaa tuuuuuu
Walizopigwa ndio tumewapiga
❤❤
😅😅
Ubaya ubwela
Ubaya ubwela