ALIKIBA ATINGA MOMBASA KENYA AWATEMBELEA WANAWE | AKUTANA NA AMINA |

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 20

  • @SAUDARAMATHAN
    @SAUDARAMATHAN 18 годин тому +1

    Much love Ali kiba from Uganda ❤❤❤❤

  • @mussandikumana3561
    @mussandikumana3561 9 годин тому +1

    Safi saana

  • @MillsOpiyo
    @MillsOpiyo 17 годин тому +1

    King Ali, u r welcome home brother kenya is your second home too, whether a musician or not a musician

    • @habari254
      @habari254  15 годин тому

      Hapo sawa, huyu ni kipenzi cha watu aisee

  • @fatmaalnabhani3609
    @fatmaalnabhani3609 8 годин тому +1

    Yarabbi warudiane 🤲🤲

  • @talkthetalk254
    @talkthetalk254 5 годин тому +1

    Omera hii imesonga 🎉

  • @Christine-b3n
    @Christine-b3n 11 годин тому +2

    Basi nadhani watu wengi hawajafahamu Ali Kina kawachana na Amina. Mi najua leo.

    • @habari254
      @habari254  11 годин тому

      Walichana Kitambo Sana, Amina Akarudi MOMBASA Kwao

  • @saidjjfour2844
    @saidjjfour2844 19 годин тому +1

    What a love.

  • @AbdallahMwisomba-p5o
    @AbdallahMwisomba-p5o 17 годин тому +2

    Yaani King kiba kaenda kutembelea wanae ila hata sio story ngoja mond aende kutembelea wanae sasa kila kona story hiyo hiyo

    • @habari254
      @habari254  15 годин тому +1

      Alikiba hapendi shobo ndio kwa maana

    • @timothmwakakusyu4563
      @timothmwakakusyu4563 14 годин тому

      @@AbdallahMwisomba-p5o nyie ndo mnaletaga mambo ya ajabu na bifu kwa wasanii wenu, kila binadamu ana life style yake aoneshe kwny media asioneshe yote sawa tu ili mradi anajali watoto wake. Binadamu lazima tutofautiane, na kutofautiana ndo kunaleta balance katika ulimwengu tunaoishi. Kama mond anapenda sifa sio ishu tena ndo maisha yake yalivyo tumzoee kama inakuuma usimfuatilie sio kumsema.... Watu kama diamond mbona wapo wengi, kama kiba mbona wapo wengi, kama harmonize wapo. Pendeni wasanii wenu acheni kuendekeza chuki

  • @AliNgao-r3j
    @AliNgao-r3j 15 годин тому

    Ali kiba hapendi show off ngoja huyo mpenda sifa atembelee wanawe wewewewe Kila cona itajua tangu Yuko chooni mpaka avae nguo nyumbani uwamja wa ndege show off za kinafiki Ali kiba anajitambua sana hapendi socal media na familia kazi Iko Kwa Huko...??????

    • @habari254
      @habari254  15 годин тому

      Alikiba hapendi shobo ndio kwa maana