Yani unajua hakuna aibu kama utawale miaka yote lakini bado unagombea tuu jamani kweli Mbowe hapo ana jishushia heshima awaachie wengine abaki baba mshauri waache watoto wako nao waonyeshe uwezo wakishindwa rudi
Wala chadema haiwezi kufa Hapa tunawafundisha ccm demokrasia. Mimi pia bado naamini mbowe ni nguzo lakini lisu pia ni nguzo na heche pia . Niwasihi chadema tusiingie kwenye mtego wa ccm. Tufurahie hichi tunachokiona ili kura zikaamue Hui mwaka basi ukawe kifo cha ccm
MNATAKA HUYO TAKATAKA WENU DHAIFU APITE BILA KUPINGWA AU??? KAMA MNAAMINI LISSU ANAKUBALIKA SI APIMANE NA MBOWE KWENYE KURA??? KWANINI MBOWE AJITOE?????
Heche Mungu akubariki ushinde ukamsaidie KAZI mama samia🎉🎉
Mh Heche wewe ni mwanasiasa hodari na machachari kabisa.Proud of you!
Time will tell us , CHADEMA WITHOUT TUNDU LISSU IS LIKE PISI KALI WITHOUT HIPS😂😂❤❤❤❤❤❤❤
Nakukubali sana John Heche ninyi ni wapinzani wa kweli hata Sisi tuliokikatia tamaa chama tutarudi asubuhi tu chamani.
Safi sana heche mboe apumuzike inatosha
✌️✌️✌️✌️✌️ People's power
❤❤❤
Lissu na heche wanatosha sana,,hawa ni manabii na mitume walio tumwa na mungu kuikomboa tanzania
Wewe Heche na wenzako watiifu mmewalea machawa muda mrefu sana
Uko vizuri
Hapo sawa , Lissu, Heche Lema ndio msingi wa Chadema
Hakiwez kufa chama kinahtaj mtu kama lissu saiv, tunaenda na lissu na John heche
Kwishneiiiiiiiii mariyuguuu
NAMUUNGA MKONO LISSU
LISU na heche Tosha
Uwiiii lisu awe mwenyekiti then makamu heche kina makala watatoa shuzi walah...
Kabisa 😂😂
Mwanaumeee
Yani unajua hakuna aibu kama utawale miaka yote lakini bado unagombea tuu jamani kweli Mbowe hapo ana jishushia heshima awaachie wengine abaki baba mshauri waache watoto wako nao waonyeshe uwezo wakishindwa rudi
Nakuunga mkono ..chama hiki kinahitaji vijana
Wala chadema haiwezi kufa
Hapa tunawafundisha ccm demokrasia.
Mimi pia bado naamini mbowe ni nguzo lakini lisu pia ni nguzo na heche pia .
Niwasihi chadema tusiingie kwenye mtego wa ccm.
Tufurahie hichi tunachokiona ili kura zikaamue
Hui mwaka basi ukawe kifo cha ccm
Twende kaz heche
Ukosahihi HECHE
Sasa kaka heche mm ni mukurya mwezako na napenda chama changu ila huyu lisu na msingwa boma kitu kimoja
Huyu ndio nilikua nasubiria tamko lake,bado lema sasa
Ww ndiye msomi kweli haya tupo gombea udiwan kulutambi mura utukombowee
Uchaguzi mtamu huu .
wapo mwanza sehemu gani jamani nisaidieni niende kusikiliza
Chama cha siasa ni cha wanachama na Waasisi Huyu sasa ni mjinga kama Lissu
Ww ni fala tu
Umepanic jenda hoja😅😅😅😅
Hicho ndicho kifo cha chadema kama nccr mageuzi
Jibwa koko HUJIEREWI
Kichwa maji wewe
Kilichoiua NCCR unakijua? Ni ugomvi wa watu wawili tu,na ni baada ya uchaguzi.Madhara ya kutegemea mtu mmoja tu(Mrema)
Nani kakwambia!!
Namuunga mkono Lissu
Sasa kumekucha. Hiyo miamba miwili ccm na serikali yake mjipange. Sasa tunapata viongozi
Hehe ni jicho pembuzi
Lisu nijembe
Mbowe pumzika acha vijana waongoze chadema tumechokaa kaa upumzike
MNATAKA HUYO TAKATAKA WENU DHAIFU APITE BILA KUPINGWA AU??? KAMA MNAAMINI LISSU ANAKUBALIKA SI APIMANE NA MBOWE KWENYE KURA??? KWANINI MBOWE AJITOE?????
YAANI HECHE NA AKILI YAKE YOTE AMEKUWA TEAM LISSU BIN MSIGWA???? SO SAD!
😅😅😅😅 amekushika papaya eeh
Chalesi mnuo mknd wako chadema Ina nguvu sana