Pole Yako Vicky ndipo uliamua kutuonyesha umalaya ndipo kwa kila series hutosheki na mmoja wewe dada.ata km ni series lkn vicky ulijishusha huo uhusikia uliouvaa ni wa tina lkn km uliungangania itabidi tukueke group moja wewe na tina ndipo
😂😂😂😂😂Yani mtu amekazana anaandika kuwa ume amuwa kufanya umalaya waziwazi hiv hawajuwi kuwa hayo nimaigizo wanatufundish kweny maisha yetu ya uharisia Kam yapo tuyaache au tujifunze huu ni michezo tu ya kuigiza hakuna uharisia wowote na mtu akipewa kitengo Cha uwaji bas atakuwa kuwa kweli akipewa kitengo aigize Cha umalaya atakuwa maraya kweli wew umeona hapo wamelala shuka moja dk mbili tu wakish chukuliwa kipande wanaamk na wapo watu tele mbele yao nakushangaa sana wew dada ulie comment hivyo kuwa Viki kawekwa kwenye kundi la Tina asa tuna malaya au kaigiza kimalaya?@@VictoriaMwigani
Kazi nzuri sana wana donta tv hongera kwa loveness kwa kumpenda mtoto wa mkemwenza,kuwa mama ni lazima uwe na adabu hata mbele ya mtoto wako la sivyo hakuna vile mtoto atakuheshimu,unaeza kuwa unamfundisha uongo ila kuna siku ataerefuka na kujua ukweli
Hongeraa sanaaa lovenes,, ni bonge la movie na inafundishaa sanaaa🥰🥰🥰mtafika mbali wapendwa nawapendaa,,, still naona kila mmoja ana kipaji cha kuigiza na kutunga story nzur sanaaa,, 🎉🎉🎉nawapenda zinatufunza sanaaaaaaaaaaaa🥰🥰🥰
Khairat alivyoshika kiswaswadu sas🤣🤣🤣🤣il da vick change your behavior mtoot anakwambia maneno ya maan et katumw n shangaz zake🤣🤣🤣🤣🤣but congratulations James umeigiz vyema pia bil kusahau Loveness 🌹🥰khairat kuwa n heshim ila wew pia congratulations kwa kugunduw kuw mamdog Loveness kuw han hatia
Mnafanya kazi nzuri sana.... I'm from Kenya 🎉🎉🎉🎉nawaombeni likes from Kenya
Huna ayibu yakuomba like😅
Ni kweli ni ngumu kulea watoto wa mama mwengine sanasana akiwa hai heri ambaye amekufa
Pole Yako Vicky ndipo uliamua kutuonyesha umalaya ndipo kwa kila series hutosheki na mmoja wewe dada.ata km ni series lkn vicky ulijishusha huo uhusikia uliouvaa ni wa tina lkn km uliungangania itabidi tukueke group moja wewe na tina ndipo
Mimi nimsanii nikilaka ivyo popote inabid nicheze Kam story itaniitaji
😂 Kweli @@VictoriaMwigani
😂😂😂😂😂😂😂😂😂@@VictoriaMwigani
😂😂😂😂😂Yani mtu amekazana anaandika kuwa ume amuwa kufanya umalaya waziwazi hiv hawajuwi kuwa hayo nimaigizo wanatufundish kweny maisha yetu ya uharisia Kam yapo tuyaache au tujifunze huu ni michezo tu ya kuigiza hakuna uharisia wowote na mtu akipewa kitengo Cha uwaji bas atakuwa kuwa kweli akipewa kitengo aigize Cha umalaya atakuwa maraya kweli wew umeona hapo wamelala shuka moja dk mbili tu wakish chukuliwa kipande wanaamk na wapo watu tele mbele yao nakushangaa sana wew dada ulie comment hivyo kuwa Viki kawekwa kwenye kundi la Tina asa tuna malaya au kaigiza kimalaya?@@VictoriaMwigani
Aliwekwa kwenye mwanasheria aliweza mnooo
Jamani tujitaidi iyo mov ifikishe 3M iyi muvi inafundisha sana from merekani
Ndiko wapi uko merekani 😂😂
Na mimi nimewah naomben like zang
Nelly kila move unafumaniwa tu 😂😂😂 love you so much donta family ❤️❤️❤️
Kazi nzuri sana wana donta tv hongera kwa loveness kwa kumpenda mtoto wa mkemwenza,kuwa mama ni lazima uwe na adabu hata mbele ya mtoto wako la sivyo hakuna vile mtoto atakuheshimu,unaeza kuwa unamfundisha uongo ila kuna siku ataerefuka na kujua ukweli
uyo mtoto khailat ana umri gan maana anatoa maneno abayo mm mkubwa siwez kuyatoa😂😂😂 kazi nzur sana wana donta tv
😂😂khailat noma
Mm mwenyewe nimempenda❤❤..kipaji anacho mtoto MashaAllah
Khailat is typing.......
🤣🤣eti alikuja kutengeneza Chaga usingizi ukampitia kweliiii
Hahahaha 🤣😂😂😂😂😂 kutengenz chaga tu kufumaniwa aaaaaah
@@nafsajuma6269😂😂😂😂😂😂
Kenya Watching, mko vizuri
Mimi Kutoka Mozambique Nimewahi Nipeni Like Zangu
Kazi nzuri wana donta tv m/ Mungu awabariki❤❤❤❤
Uyu mtt anaweza sana🔥🔥💯
Kiboko nakwambia
Hongeraa sanaaa lovenes,, ni bonge la movie na inafundishaa sanaaa🥰🥰🥰mtafika mbali wapendwa nawapendaa,,, still naona kila mmoja ana kipaji cha kuigiza na kutunga story nzur sanaaa,, 🎉🎉🎉nawapenda zinatufunza sanaaaaaaaaaaaa🥰🥰🥰
Jamani vik ata upendezu na tabiya mbaya 🎉🎉🎉
Daaah dada Viki jmn uhusika wa Sasa haukufai lakin mnafanya tujifunze kitu 🎉🎉🎉
Uyo mtoto ni hatari.ni moto wa kuotea mbali.bonge la kipaji.❤ Good job 👍
Yan vicky hauna bahati kabisa 😂😂😂😂but much love from saudi
❤❤❤🎉🎉 ila vicky na nelly 😂😂
Huyo mtoto ni noma.... ila ukifanya siri na mtt fanya siri za mana ili ht zikifunguka usidhalilike...we Vick weweee
Haaa jmn huy mtt balaaa kma mamake 😂😂😂😂😂😂😂😂
Vicky unaweza kweli ❤❤❤❤❤ ati strory nilikua napiga itakiwi uskiea ww mdogo😂😂😂
Kazi nzuri❤❤❤ much love from Kenya
Ila dada unakipaji kweli kweli 😂😂😂kila move ni wewe tu na kupendwa hadi ufumaniwe ila hio ya siku moja kabla ya ndoa 😂😂😂😂ulivunja record😂dada
Asant kipenz lov ness umejitoa kuleaa mtoto abay siyo ata mwanao 🎉🎉🎉🎉 hongera dada angu
Hapo mamakambo umenena😂nakupenda love🎉❤ila Vick simpendi yaan amenikera mtot analala nje kisa mume😢
Kazi nzuri sana....nimependa mtoto mzuli🎉🎉🎉
Kiukwel dogo ameweza mpka kaweza tena
Uyo mtoto anaonekana kama mtu mukubwa wa miaka ishirini n'a tisa😂😂😅
Victoria eti unajitetea wakati unamakosa mwanamuke hufayi kbs 😅😅😅
😅😅haylat umenifurahisha sana 😂😂😂😂😂
❤❤❤😊😊😊🎉🎉🎉 ikonama fuzo mengi
Wow watching frm kenya ❤❤❤
Loveness anajua mapenzi walai
nimekukubali ailati una maamuzi magumu na ni mazuri sana ongela kazi nzuri donta tv
Nimependa sana wow❤❤❤❤❤❤❤
Short and clear kazi nzuri sana🎉🎉❤
Watano leo napenda mufi zenu❤❤🎉🎉
Kazi nzuri
Nampenda kendy
Kazi poa sana
Kazi zuri, congratulations 👏 much love from 🇰🇪
Vizuri sana mutoto umenifulahisha sana❤
Khailat wangu sijuh nimpe mbinu😂😂😂 naee
Wazazi mjifunze kulea watoto vizuri ona sasa mwana kamkataa mama kampenda mama wa kambo 😂😂😂😂😂😂😂😂
Vicky😂😂😂ety ukilala uwe waniota mwanangu
Wakwanza❤❤❤❤❤❤❤
Jaman watoto wingine jaman mmmmm😢😢😢😢
I am from kumamoto Japan mmetisha kisenge 😊😊😊
😂😂😂😂 ume zidi lina
Victory ukupendezwa na move iz walai ata ujafanana ukimalza ii bass
Huyu Vicky inaonekana anakuwanga Malaya kwa sababu kwa kila series zote huwa na wanaume wengi kusema ukweli ni Malaya
Kazi poa kwenu❤❤❤
Vick hajiongez😂😂😂
Hakuna mwanaume kama huyu, et anakufuma Alf anakusamehe, duuuh labda
Sasauyo sialikua fundi akapitiwa na usingizi😂😂😂😂
Victoria na Nelly mmekuwa watu wa kucheza umalaya🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉anyway mko poa🎉🎉🎉pokeeni maua 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Upuuzi kama huu siwezi kuufanya mwisho wa ubaya ni aibu yaani humjali hata mtoto wako unajal tu wanaume shenzi ww
Mbona mtoto hajaenda shule na mnasema mwishoo 😂😂
Vicky na nelly mmezidi😂😂😂
Kaka unajuwa nawapenda Sana team donta
Jaman mnafueahisha mnoo❤
Ila baba hairati umefanana namarehemu mzee fungafunga au nibabako😅😅
Jamani mnajuwa 🎉🎉🎉
Hii nayo amezidi weeee movie TAMU n iko n mafunzo kw generation z sai❤
Wow nmependa saana❤ good job 👏
Ak nmeipenda Sana hii movie yafundisha ak
Jaman mmetsha sana🎉🎉🎉
Na mm nimewahi jmn
Kazi nzuri
Mungu azidi kuwaweka wana Donta tv Nyote na ❤❤❤❤❤❤🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
This is a beautiful movie... ninaipenda sana lakini sielewi Kila kitu wanaongea cause I'm from Zambia... Keep it up!!
Khairat alivyoshika kiswaswadu sas🤣🤣🤣🤣il da vick change your behavior mtoot anakwambia maneno ya maan et katumw n shangaz zake🤣🤣🤣🤣🤣but congratulations James umeigiz vyema pia bil kusahau Loveness 🌹🥰khairat kuwa n heshim ila wew pia congratulations kwa kugunduw kuw mamdog Loveness kuw han hatia
Nzuri
Hongera mtoto Hailati ❤❤ Kazi nzuri
Aky hii movie nimependa sana hongera ❤❤❤❤🎉🎉 from kenya 🇰🇪
Vk part zeye wacheza sasa ivi ha,ikupendezi kamwe nawapenda bure
Mko vizuli hamna baya
Awa watu wanajua sana
Viki amefanana na hailat kwani mwanao kweli
Hapan
@@VictoriaMwiganidaah mwone una jib Kam ww ndio vick
Hongereni xna
Laveness nakupenda ga hatar❤naomba namb yak kipenz
Nimependa movei fupi, inaeleweka, inafundisha na inaisha kwa kuelimishaa
Like zangu jamani nimewahi
Laiki uzipeleke wapi wewe kuliko ku towa mahoni ya movie ulie hona
@@BeatriceBwisemene-fq6ik mahoni ndo nini
Mmeweza sana watu wangu pokeni mauwa yenu ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Jmn uyu mtoto ana kipaji tena ako surious
Yani vicy kazi ya kundanga🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Siku yangu kabla ya Ndoa imeisha
ndyo imeisha tayar
Wanaompenda loveness kwa upendo wake wagonge like
Iyo hali ipo 95% Mtoto au watoto kukuzwa Na mama bila Baba, Lazma watoe majibu mazito tena yasio Na Heshima kabisa
Zingatia hilo 👈👈👈
Very nice 😮😮😮🎉🎉❤❤❤❤❤😮😮😮😮😮
Mtoto akiniambia ivo aah anakula Kofi 😂😂😂
Fukuza huyo
Kazi nzuri sanaa❤
Shikamooo weee mtoto khaaaa🙆🙆
Kali sana
Kazi poa kaka
😅😅ila Victoria jmn hpn big up sana mmetisha pia uyo mtt yupo vzr sana
Huyo mtoto nikama anasoma mhl😂😂❤❤ mumeweza lkn ❤
Makubwa vraiment tujifunze kithu kuolewa haiko kwepesi
Nimejifunza sio mamakambo wote ni wabaya,mungu msaidie mtoto hailati asome
Good job guyz 💃💃💃💃🤣🤣🤣🤣🤣🇰🇪
Wow movie nzuri muendele ivo ivo ❤❤❤