SINGLE MOTHER 💞 Love story | DONTA TV

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 14 жов 2024
  • #dontatv #kelvinkhan #keshoyangu

КОМЕНТАРІ • 346

  • @FainesMrwale
    @FainesMrwale 5 місяців тому +19

    Loveness unajua sana mdg wang cjawahi kucoment but leo nimevunja ukimya

  • @VeronicahOtwori
    @VeronicahOtwori Місяць тому +3

    Vai mguu moja n mwingine wapi dah umeweza vicky kweli Sema kucheka jameni 😂😂😂😂😂😂😂😂nipe like kwa loveness ❤❤❤❤ana roho nzuri mungu akupe hekima dada yangu

  • @FaudhaHamisi
    @FaudhaHamisi 5 місяців тому +13

    Loveless leo umenifurahisha san mungu atakulipa kwakuishi na huyo mtto nakupa maua 🎉🎉🎉yko

  • @faizamohamed6993
    @faizamohamed6993 5 місяців тому +6

    Nice stori na iwe funzo kwa wanawake wengine wanaotelekeza watoto wao sababu ya mwanamume

  • @AnithaIrankunda
    @AnithaIrankunda 5 місяців тому +18

    Jamani nitowe Ushahuri Kidogo Donta Plus chunga sana msimpoteze Victoria jamani Victoria mwamba saaana ❤❤Yani anafurahisha Kbx Congrats for u Vistoria 😢❤

  • @EpimackChami-g2f
    @EpimackChami-g2f 5 місяців тому +13

    Kama unampenda love gonga like

  • @shabaniathumani2284
    @shabaniathumani2284 5 місяців тому +53

    hii story imegusa maisha yangu kabisa hii imesha nitokea ndo maaana naipenda donta tv gonga like❤❤❤❤❤

  • @ruthgloriaobonyo
    @ruthgloriaobonyo 5 місяців тому +25

    Nyuki ni Nyuki kweli 😂 unanipamba jinsi unavyokuwa serious ❤
    Hongera Loveless Kwa kuonyesha kuwa sio mama wote wa kambo ni wabaya❤❤❤

  • @EverineKaniki
    @EverineKaniki 5 місяців тому +22

    Mtoto atakuja kuwa muigizaj mzur sana coz yuko seriously like kwake

    • @AdasaAlfred
      @AdasaAlfred 5 місяців тому +2

      Na huyu dada love nimempenda sana kwakuigiza vizuri kumpenda mtoto akajua kwamba mtoto ni malaika

    • @JeannetteManirambona-o6m
      @JeannetteManirambona-o6m 4 місяці тому

      Kabisa

    • @REHEMAMGAYA-s1q
      @REHEMAMGAYA-s1q 2 місяці тому

      Iovunes mlee mtoto uyo nimalaika

  • @Nereahneree
    @Nereahneree 5 місяців тому +9

    Dahhh vikii leo mmempa parti mbaya kwa vipindi vyote nimeona hii ndio nimeona akiigiza sehemu mbaya kama mamakambo dah❤❤❤❤😂

  • @Kinyua-ye8kk
    @Kinyua-ye8kk 5 місяців тому +11

    Loveness mtoto was mwenzio muone kma wako

  • @AbelMokaya-q7f
    @AbelMokaya-q7f 5 місяців тому +10

    Hapo ndio nakupendea loveness Kwasababu uko na roho ya ubinadamu nakupenda sana

  • @HusnaMasenga
    @HusnaMasenga 5 місяців тому +6

    Nyuki 🐝 kweli nyuki 🐝 nakubali sana kazi zako bro Mungu akubaliki sana zaidi ya sana ❤️👌🏾 sana ♥️♥️

  • @mirajinabaswa2492
    @mirajinabaswa2492 2 місяці тому +1

    Pea lovness lykes kwa kuomba Mungu ampee upendo na busara

  • @rodriguemuhindo5235
    @rodriguemuhindo5235 16 днів тому +1

    Loveness 🎉🎉❤

  • @Njunwa-DK
    @Njunwa-DK 5 місяців тому +44

    Kam una mkubari nyuki gonga like❤❤😅

  • @enockmwanyingili8225
    @enockmwanyingili8225 5 місяців тому +4

    Loveness nimekupenda bure usifanye kwa kuigiza pekee uwe hivo milele

  • @JosephineMomanyi-jp8tv
    @JosephineMomanyi-jp8tv 27 днів тому +1

    Nyuki endelea maishana loveness na mtoto Vic ajui uzuri wa nwana

  • @joycemuenimutua4506
    @joycemuenimutua4506 5 місяців тому +3

    Pole sana Victoria umeyataka kwenyewev🎉🇰🇪

  • @StephenOuma-py7uh
    @StephenOuma-py7uh 5 місяців тому +60

    Like kwa wanao mpenda nyuki

    • @tashajerop9419
      @tashajerop9419 5 місяців тому +4

      Lg

    • @MaryyChemtai
      @MaryyChemtai 5 місяців тому +3

      Unampa like gani

    • @AdasaAlfred
      @AdasaAlfred 5 місяців тому +2

      Nimempenda sana huyu mkaka ameigoza vizuri sana yani ameigoza vizuri sana Kwa hekima sana endelea kujitahidi Mimi nikipata mwanaume wa hivyo ata kama anamtoto naishi nae vizuri 🎉

    • @LeonardMtundu
      @LeonardMtundu 4 місяці тому +1

      Kwa nyukiiiiiiiiiiiiii​@@MaryyChemtai

    • @DionisiMaiko
      @DionisiMaiko Місяць тому

      Muvu nzuri sana​@@AdasaAlfred

  • @marialumbanga
    @marialumbanga 5 місяців тому +12

    Sasa kwa mfano uyo kunambi nae anezaa njee akiletwa mtoto utakubali au utakataa siwez kumtelekeza mwanangu eti kwa sababu ya hawara

  • @MaryyChemtai
    @MaryyChemtai 5 місяців тому +13

    Like kwa wanao mpenda nyuki ❤❤❤❤❤❤😂😂😂😂😂

  • @CephlenRobert
    @CephlenRobert 5 місяців тому +11

    Funzo nzuri sana hongereni ❤❤❤

  • @RizikiZiki
    @RizikiZiki 5 місяців тому +2

    Sawa sawa bron nimekupenda bure kwamaneno kuntu umemwambiya Vicky yani mjinga kweli kweli

  • @bitishoriziki5585
    @bitishoriziki5585 4 місяці тому +2

    Hiyo ni finzo nzuri sana KBS 😌🥰

  • @MARYNAGUJustin
    @MARYNAGUJustin 5 місяців тому +2

    Move nzuri inafundisha ila huyu Viki hamnazo hakuna zawadi nzuri kama mtt hapa chini ya jua

  • @AdasaAlfred
    @AdasaAlfred 5 місяців тому +2

    Nimempenda huyu kaka ameigoza vizuri na ana hekima sana ajitaidi sana sana

  • @Nailaty564
    @Nailaty564 5 місяців тому +14

    Siwezi mtelekeza mwanangu kwa sababu ya mwanaume furaha ya mwanangu ndo furaha yangu

    • @نيجي-ن1د
      @نيجي-ن1د 5 місяців тому

      Kabisa mm nko na watatu na nalea mwenyewe mm ndio mama ndio baba na Mungu amenipa maarifa watoto wako sawa

    • @tumainvenance7279
      @tumainvenance7279 5 місяців тому

      Umeona eee watoto ndokila kila kitu kwangu nawapenda mnoooo

    • @salomemakene4446
      @salomemakene4446 5 місяців тому

      Siwezi pia kutupa mwanangu wala kupeleka wapi ntapambana nae hata kama nalala na njaa

    • @DesteriaMakumbuli
      @DesteriaMakumbuli 5 місяців тому

      Cwezi kuwa na amani ya moyo na huyo mwanaume Kwa kutelekeza damu yangu hakika wenye moyo huo Mungu awagusr

  • @MlongoChai
    @MlongoChai 5 місяців тому +1

    Nimefurai kwa uwamuzi wa love kumkubali mtoto na maamuzi ya bba pia ❤❤❤❤❤❤

  • @AbdulJuma-s3i
    @AbdulJuma-s3i 3 місяці тому +1

    ❤hongera sana nyuki na mtoto asante kwa ujumbe

  • @MariamRiziki-o8x
    @MariamRiziki-o8x 5 місяців тому +12

    Da vicky weww ndo ulipasuka au ni baba wa mtoto ndo alipasuka😂😂😂 vicky weww hujasikia uchungu

  • @tumaxaad
    @tumaxaad 5 місяців тому +5

    Lisa unaongea vibya unaekti mno huwo mdomo wako ukiongea unakaa vby jirekebixhe

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 5 місяців тому +1

    Viki ulificha kucha mwanzoni ila skuizi unakarambuka gari limewaka skuizi umekuwa msemaji unavimbanga vya maneno sawa pamoja na uigizaji ila tabiya njema muhim hongera love nes 🎉🎉🎉🎉

  • @MiriamOmaiko
    @MiriamOmaiko 5 місяців тому

    Hii story imetufinza wanadada tufanye uamuzi baada ya kufikiria hongera🎉

  • @bitishoriziki5585
    @bitishoriziki5585 4 місяці тому +1

    ❤💪👏🎉🥰mpe shuwa mama

  • @ruthgloriaobonyo
    @ruthgloriaobonyo 5 місяців тому +6

    Mwendelezo WA hii movie tafadhali 🎉🎉

  • @ahmadichumbueni6261
    @ahmadichumbueni6261 5 місяців тому +2

    Hvi NDOA YA KAHABA umemalza lini nyuki mbona mambo mengi jamn😢😢

  • @ShamimJ-xj5en
    @ShamimJ-xj5en 4 місяці тому

    Love ness tuliya bass mtoto wameo niwako too

  • @RespichMrema
    @RespichMrema 5 місяців тому +1

    Love u loveness ❤jiandae kua mama bora😘

  • @Mercyline-rv9nd
    @Mercyline-rv9nd 5 місяців тому +3

    Love huyo mtoto ni wa kwako hata anakufanana😅❤

  • @LucyPeter-sp6ez
    @LucyPeter-sp6ez 5 місяців тому +4

    Wapo sana wamama wa aina iyo

  • @STANLEYKINYILI
    @STANLEYKINYILI 5 місяців тому +2

    Kenya Watching, twapenda kazi zenu nzuri.

  • @JanetKimindu
    @JanetKimindu 3 місяці тому

    Vck siku zote usione kipya ukasau cha zamani.ukipanda maragwe utavuna maragwe.na mkataa pema pabaya pamgoja.kama 2ko pamoja naomba like

  • @onesmustop4band11
    @onesmustop4band11 5 місяців тому +8

    Ki ukweli uyo mtoto anakaa loveness naye loveness anakaa vicky.......conlusion ...mtoto niwa loveness .......af vicky na loveness ni sisters wa mama mmoja .....nani ameona ilo ????

  • @ShamimJ-xj5en
    @ShamimJ-xj5en 4 місяці тому

    Pole sana vk omtupà mtoto kwajili ya mapenzi yona sasa

  • @FotySanga
    @FotySanga 2 місяці тому

    Loveness honger yako mm makupa kwakutambua kuwa mungu yupo mbele yako naumekubali kulea hyo mtt basi mungu huyu na wwe ata kupa wakwako utazaa siku moja

  • @MathiasNicolaus-ff1hy
    @MathiasNicolaus-ff1hy 19 днів тому

    Lovness naomba nkuoe nmekuelewa sana

  • @habibalukinga1575
    @habibalukinga1575 5 місяців тому +7

    Mama jinga kabisa yaani nibebe mimba nizae mtoto akue alafu nikamtelekeze😂😂

    • @VictorBugobola
      @VictorBugobola 5 місяців тому +1

      😂😂😂😂 sio tu kwa mama ujumbe umefika wa walegwa 😂 wapo Wanaume wanao kataa mimba na Watoto KABSA...wapo wamama wanao tupa Watoto na kuwatelekeza😂so ujinga nd maisha tuliyonayo na yalikuwepo

  • @FotySanga
    @FotySanga 2 місяці тому

    Umegusa sana moyo wangu mtt ni maraika wanawake wengi hawajuagi hiro kuwa kulea mtt wamwenzie niwake

  • @BeatriceNanjira-u8x
    @BeatriceNanjira-u8x 5 місяців тому +4

    Jamani huyo mtoto nmuzu sana Vik siunipe,😂😂😂

  • @glorymlawa7078
    @glorymlawa7078 5 місяців тому +3

    U serious was nyuki ni meupenda buree❤❤😂😂

  • @PriscaAmbroise
    @PriscaAmbroise 5 місяців тому +1

    Njamani namupenda Victory buretu

  • @MubayaSelemani
    @MubayaSelemani 5 місяців тому

    A very good lesson for wicked people

  • @AnithaIrankunda
    @AnithaIrankunda 5 місяців тому +1

    Jamani Nyuki and Loveness Mmetisha saaana Kbx

  • @AhmedA-zw3jv
    @AhmedA-zw3jv 5 місяців тому +3

    Tunaomba mwendelezo wake WA hii move bas please

  • @EmmanuelKyando-qu1hl
    @EmmanuelKyando-qu1hl 5 місяців тому +1

    jaman donta munajua kunifuraisha wakwaza lover ness mpore Vick mumulinde Sana kwamaan hananifuraisha hatar hanajua kupenda hatar 😁😁😁

  • @OliverPaul-y3e
    @OliverPaul-y3e 20 днів тому

    Lovenes hongera kwakua mama bora mungu akupe maua yake❤❤🎉

  • @FatmaAli-wr7mm
    @FatmaAli-wr7mm 5 місяців тому +1

    Hongren hii mov nmeipend aki🎉🎉❤

  • @AlphonsinaSilayo-ff3pe
    @AlphonsinaSilayo-ff3pe 5 місяців тому +2

    Jamani loveness na nyuki mmependeza love nimeenda nyimbo yako

  • @abubakamuhoja1580
    @abubakamuhoja1580 5 місяців тому +3

    Ila jman ka love kanajua kuigiza San utafik mbali dada komaa

  • @habiyamberenola3957
    @habiyamberenola3957 3 місяці тому

    Mimi Niko zangu Burundi Bujumbura,niseme ivi unavyo mpenda mtu penda na chake.Maana yangu ni kwamba ukisha juwa ya kwamba unae mpenda ana mtoto jiandae kumlea kama mtoto wako .Ukijua hii mtoto wa mwenzio ni mtoto wako

  • @ShamimJ-xj5en
    @ShamimJ-xj5en 4 місяці тому

    Love ness apo nisawa mama wake atmukumbka

  • @SalomeKawogo
    @SalomeKawogo 4 місяці тому

    jamn sjawahi kujua kam love na nyuki wanapendezana ivoo ad nmependa

  • @alicelusinde618
    @alicelusinde618 5 місяців тому +4

    Katoto kazuri🤗🤗

    • @AmenaMm-r5t
      @AmenaMm-r5t 5 місяців тому +1

      Mashaallah kazur kwel aallah amkunze

  • @mohdmassoud3052
    @mohdmassoud3052 5 місяців тому +6

    Lovenness unazingua mme wako anaitwa nyuki lakin usimwite hivy jina lake halisi nyuki mwite mume usimwite nyuki ataka ni movie eke kitu kikae katika uhalisia wakeeee

    • @jamillahassan3405
      @jamillahassan3405 5 місяців тому

      Kunywa soda kwa bill yangu💋❤️umeongea jambo la busara sana hadi nimejifunza kupitia kwako

  • @FaithChivatsi
    @FaithChivatsi 5 місяців тому +3

    Kazi nzuri xn ❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉

  • @SalomeKawogo
    @SalomeKawogo 4 місяці тому

    sjapenda imeish mapem ingekuwa tuu series penzi la love na nyuki nmelielewa atari ❤️❤️

  • @MagdalenaSwai-z6u
    @MagdalenaSwai-z6u 5 місяців тому +1

    Vicky hapo umechemsha wewe umekosra Sana kumpeleka mwanao kwa mama mwingine ingekuaniwakwako nakunambi ugemtupa? Unadai ni mapemzi hunaakili

  • @MussasamliMawazo
    @MussasamliMawazo 5 місяців тому

    Hapo ndipo ninavyo kukubali lav huruma iendelee kutawa Mungu akutangulie najua ipo itakua muigizaji bora Afrika

  • @نيجي-ن1د
    @نيجي-ن1د 5 місяців тому +2

    Leo hii umetambua ni damu wakati ulipokuja mtelekeza angeuliwa ungemuuliza nani

  • @esterkimalio8846
    @esterkimalio8846 5 місяців тому +4

    Siwezi mtupa mwanangu kisa mwanaume hapana nasema hapana,,,,,furaha ya mtoto ni kubwa kuliko furaha ya mwanaume

  • @SalumVullu
    @SalumVullu 5 місяців тому +1

    Mtoto analidwa na mungu ila inabid umuache kwaupendotuu sio kwa mazingira ayo

  • @irenemueni8837
    @irenemueni8837 5 місяців тому +1

    Loveness na nyuki wah mnaendana💖

  • @rachaelnyale9617
    @rachaelnyale9617 5 місяців тому +1

    Wee Mimi huogopa kudate mwanamme mwenye mtoto waaah noma

  • @HappyDickson-d2g
    @HappyDickson-d2g 5 місяців тому +3

    Yan Vicki mwanaume wako atakuona ww mjinga anakupima hakir2 hapo

  • @bas2823
    @bas2823 4 місяці тому

    SHE STILL SMALL CHILD, SHE NEED HER MOM! TO BE WITH HER"

  • @DaudyMathayo
    @DaudyMathayo 5 місяців тому

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ ukiachika usilie mapenzi ndo yalivyo

  • @bitishoriziki5585
    @bitishoriziki5585 4 місяці тому

    Hiyo ni ukweli KBS 👏🙏🎉 barikiwa dada ili cheza viziri

  • @Nailaty564
    @Nailaty564 5 місяців тому +1

    Donta lete mwendelezo tujifunze zaidi

  • @marialumbanga
    @marialumbanga 5 місяців тому +4

    Mwanao ndo ndugu yako mwanao ndo msaada wako poleee😂😂😂

  • @RaheemaOmani
    @RaheemaOmani 2 місяці тому

    Nimekupenda Bure Loveness❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @bitishoriziki5585
    @bitishoriziki5585 4 місяці тому

    Ndiyo KBS wewe unatisha KBS Kwa mashuri 🎉🎉❤🥰🙏👏

  • @clariszawadi2010
    @clariszawadi2010 5 місяців тому

    Victoria mungu akupe tamanio la moyo wako mamaa

  • @AdasaAlfred
    @AdasaAlfred 5 місяців тому +1

    Tunaomba na sehemu ya pili

  • @bitishoriziki5585
    @bitishoriziki5585 4 місяці тому

    Hiyo ni ukweli KBS ushauri mzuri sana KBS 👏👌🎉

  • @suzanaaloyc4903
    @suzanaaloyc4903 5 місяців тому +1

    Nyuki na loveness 🎉🎉yenu ayo nawapa

  • @LoiceKatana-ci1tx
    @LoiceKatana-ci1tx Місяць тому

    Hongera loveness pokea maua yako🎉🎉🎉🎉❤

  • @ANITHASITIVIN
    @ANITHASITIVIN 5 місяців тому +1

    Da Vick kwer unaacha mtoto kixa mwanaume kwer daaaa umetixha sanaaa

  • @aminahhuawei1133
    @aminahhuawei1133 5 місяців тому

    Loveness ndiyo maana nakuoendagaa sanaaa habbty zeen mubarikiwe nyoteee🙏🙏🙏🙏🥰🥰🥰❤️❤️❤️

  • @Pat139enZaeadic
    @Pat139enZaeadic 5 місяців тому +1

    Dada vicky kitakuramba kweli pia huyo atataka kubebewa mtoto wafikiria kula bata tu umejishusha

  • @tinnahagustinolyelu4247
    @tinnahagustinolyelu4247 5 місяців тому

    Yaani we vick ni kuumizwa tu kila move

  • @DaudyMathayo
    @DaudyMathayo 5 місяців тому

    Saw bhana❤❤ asanteni kwa ujumbe mzur❤❤

  • @ChausikuJoseph-bd9fx
    @ChausikuJoseph-bd9fx 5 місяців тому +13

    Leo nimekuwa wa 3 jaman like zangu

  • @saudinearalhasa2674
    @saudinearalhasa2674 2 місяці тому

    😅😅😅 nmependa Sana aky uyu Mtoto yupo serious ❤❤

  • @roswitaexavery3378
    @roswitaexavery3378 5 місяців тому +1

    Wewe mwanamke usiumie tafuta mwanaume mwingine ambae hajui mtoto umepelekaje kwamzazi mwenzio

  • @AwzaMstafa
    @AwzaMstafa 5 місяців тому +1

    Hongera lov kwa upendo wako

  • @JanetKimindu
    @JanetKimindu 3 місяці тому

    Lovenes ongera huyu mtoto atakufaa maishani mwako.kwani ww n mwanamke nanusu😮😮😮😮

  • @aishaaisha1485
    @aishaaisha1485 5 місяців тому +1

    Shidayao awa wanadota tivi awaendelez move 😢wanaboesha

  • @gitangamedial1160
    @gitangamedial1160 4 місяці тому

    Mtot analindwa na mungu pia wapo mama Bora sio kila mama Ni katili

  • @zuenajohn8325
    @zuenajohn8325 5 місяців тому +1

    Mmenifupa funzo m barikiwe.