Kukua kwa Tasnia ya uchekeshaji Tanzania

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 чер 2024
  • Tasnia ya uchekeshaji nchini Tanzania bado changa, lakini inaendelea kukua. Pamoja na sababu nyingine kama kuongezeka kwa wadau na hadhira inayofurahia burudani hiyo, uwepo wa jukwaa kama Punchline umesaidia kuibua na kukuza vipaji vya makumi ya wachekeshaji chipukizi na waliokomaa.
    Mwandishi wa BBC Sammy Awami alitembelea jukwaa hilo kujionea namna hilo linavyofanyika
    #bbcswahili #burudani #ucheshi
    Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili / @bbcnewsswahili

КОМЕНТАРІ •