daaah hii interview yangu namba 1 mwaka huu lilomy huyu jamaa ni hatareee aise ndio majani kamwambia njoo fid una midundo yako kama 100 ivii hongerra bro lilomy kwa maswali ya kibabe
dah kwel we jamaa uko tofaut huna makuu unahang kivyako haumcopy m2 speach zako ni kuntu #fidq interview tam xna #lilommy una talent ya utangazaj mzeiya we co mnafk unajua kufanya interview lets gooo meen✊ voice iko mororo #theplaylist🙌
ommy I don't know how I can meet you broo but seriously i have something to share with you broo and I hope it will trend a lot cause I know i live those feelings and i have creative feelings so naomba ufanye kitu nikutafute broo
lazaro maria Email him. He already said if you want his help send him an email, he doesn’t keep up with this kind comments, is senseless. Waste of time bro👏👏
Fid Q na Joh makin... ni kama jay z na nas....Jay Z/joh makin ni entertainer na wako kibiashara zaidi...Nas/Fid q...they have passion for it...ii kitu ipo kwenye damu kwa Fid na Nas.
Farid ww nani farid ukumbuke na ww wakati ume kuja uli kuta watu wali kusaidia sasa vip ww leo ww ujione ume fika hapo saaa ww wakati una chnga ng'ombe uli mjua salama acha hizo hiz ni dalili za kupotea
He said READING EDUCATE But we said LISTENING HIM EDUCATE......The best Fareed
uyo ngosha ana meng sana I wish angekuw ata professor wa mtaa...lil ommy unampatia sana fid keep it up ma bway
Nakupa 100% kwenye interview hii Tambwe umeweza ...research well done
Am a musician thanx 4 good interview coz I get something from dix.
Big up LilOmmy but also 4 Fid Q
Fid Q is the beast in hip hop no doubt n keep rocking Lil Ommy yo the best
bro Unatakiwa kuadvertise your show much cause every video from this show desearve more than 100000 views. Big up sana
kwanza kabisa .....hongera sana mtoto wa mzee Tambwe unamchambua msanii in details sana...upo tofauti sana blaza....pili hii interview ni 💯/💯✅
This is 2023 still bado naangalia hii quotes ya fid qubanda💣💣💣
Best Interviewer with the Best And realest HipHop G in E.A.....+254,Kenya.
LilOmmy you are on top of your powers!....Kaligraph on top of Octopizzom
huyu jamaa anaakili unaona anavyojibu kisomi wanamwita profesa wa geto😂😂😂😃
fid q we ni atari
My Favourite Hip Hop Artists aliye Komaa na Gemu Mpk Sasa
1.Fid Q
2.Chindo Man
me sio ndumu unaweza vuta tuuuu
Fid q my favourite Teacher.
tambwe we nomaa jamaa... unajua unachofanya.. yaani kwa kifupi "kazi nzuri bro, we ni bonge la presenter"...keep the nice work rolling.
Napenda lly Omiy unavaa vizur wife yuko juuu fd uko pw thnx
daaah hii interview yangu namba 1 mwaka huu lilomy huyu jamaa ni hatareee aise ndio majani kamwambia njoo fid una midundo yako kama 100 ivii hongerra bro lilomy kwa maswali ya kibabe
Nuhu Salim 100 mzazi 👊👊👊
Nuhu Salim 👊
LilOmmyTV nimeenjoy nasa
Show ya kibabe nice interview
You have inbon knowledge my brother very intellectual
Noma Sana
Lil omy ni conscious sana pia kakutana na rap chemist so show ilikua ni lit 🔥🔥🔥
great interview. great research dogo
Lilommy you're the baddest meeeeeeen ✋✋✋✋
Fid Q mwamba kutoka kwenye mji wenye miamba ✊✊
dah kwel we jamaa uko tofaut huna makuu unahang kivyako haumcopy m2 speach zako ni kuntu #fidq interview tam xna #lilommy una talent ya utangazaj mzeiya we co mnafk unajua kufanya interview lets gooo meen✊ voice iko mororo #theplaylist🙌
umetisha lil ommy .. nmemalza ya kwnza tu within 1min part 2 imedondoka
shikamoo kubanda
natata ufanye collaboration na jomakin,ita hiti sana,itakua HP HP ya ukweli.
nakuelewa sana bro big up
Nakubali fid q
best interview lil omy BG up yoself
Ray Mullah 👊
u got knowledge
Sasa bro ndevu hzo zichonge vzr,uko poa vzr hamna wakukushusha baba
lil ommy una jua kumchimba msanii na huna maswali ya kipuuzi
Kabisa.
Matured artist
Nzur sana
Best MC Ever
Kwa kiasi kikubwa anavyojibu inaonesha ni mtu aliyekomaa kwa Hip Hop
p.funk,yko real
ngosha ni king
ommy I don't know how I can meet you broo but seriously i have something to share with you broo and I hope it will trend a lot cause I know i live those feelings and i have creative feelings so naomba ufanye kitu nikutafute broo
lazaro maria
Email him. He already said if you want his help send him an email, he doesn’t keep up with this kind comments, is senseless. Waste of time bro👏👏
daah jamaa nomaa kweli
Nakukubali cz hata ukiongea nahisi km unarap
kataka vit ambavyo cjawai kuboreka ni kuangalia interview za fid q......fareed kubandaa
nimejifunza kit. Fid q ww ni kioo cha jamii for real.
Duu ngosha huwa namkubali sana kwenye mashahir yake
Really m.v.p cjamsikia hapa mwanzoni yule girl.
mmmhu feed Q nakuelewa lkin. sikuelw😂😂 iyo kwel hip hop
Fid q the best rapper ever
🙌🏽🙌🏽🙌🏽🔥🔥🔥
big up bro
🔥🔥🔥
genius
2019
Ebwana ningependa sana kuja huko... kukinukisha... #Mex
Braza anajikubali kwelii
Ila brother fid Q ntazid kukubali sana
hizi tunaandika hatukopi kwenye vitabu
Mwanza mwanza ndio unajua hip hop ya kweli
Leo tena 16/6/2023🏌️♂️🏌️♂️🏌️♂️
#faridkubanda.. Best 254 fan
Kali fid q
siku zote huyu jamaa hujawahi kutuangusha FIDQ
fid nakukubali sana mashairi yako huwa yananichukuaga muda mrefu kuweza kuelewa
Lazma mapmb yawachkue mda kuelew
ur best nicca
f.a na fid q hawa ndo wanahip hop wenye mistar mikali zaidi bongo###
jaman anae jua jina la uo wimbo unao play background na jina la msanii naomben ktk io interview ya fid Q
Ezra Asili niskilize wa mr blue
Ezra Asili na nyingine n jay moe famous
Jay mo
Huyumtu noma sana
ngoshaaa
Kaka fid ww noma 🔥🔥🔥🔥
Nimekuelewa kwenye suala la Joh makini kweli wabongo hatuna jema kabisa yaani
Samaki 😂😂😂😂🙌🙌🙌
Huyu mwamba ni geneous
Fareed kubanda sio mchezo ana vitu vya kutosha sana
Fid Q na Joh makin... ni kama jay z na nas....Jay Z/joh makin ni entertainer na wako kibiashara zaidi...Nas/Fid q...they have passion for it...ii kitu ipo kwenye damu kwa Fid na Nas.
Fid q uko good sana
fid Q heshima kwako
daaah yu Q fid akuna kama yeye
Lilommy we ni hatari sana hakuna anakufikia
Duuuh kuna watu ni vichwaaa arf
NAKUBALIIII BROO🔧🔪🔫
Mnavyo sema uchi wamnyama mnamaanisha Ni wa TID
🤣🤣🤣🤣
Natamani kuiyona kolabo f q na jho
huyu mhenga kweli aiseee??
Jon makin mtoto sana na FD Q KING Hip Hop in Africa
Jamaa anadarasa LA wanafunzu 52 wewe nywenyewe unamupinzani apo bongo
Mafanikio
dah lillommy hii interview hatari
fid q anamkubali 2 pac kuliko big
Xjakuelew ww unamaansh nn
Amfundishe na kiba kujieleza
Umetisha broo nakukubali
Uwakka
9:20
kijanja zaidi
afro hakeem
much respect fid q 👍👍👍👍👍
Nikiwa kama mjamaa wa ujamaa hip hop darasa nimejifunza
Umejfunzia wap iy hip hop darassa
Tuna kijana maarufu kama mood bong anakusapot
Jamaa ilibid apewe nyota wa mchezo
Hajajibu swali kwamba arusha imetokea hip-hop au vp sio anaefanya hip-hop vizuri ni nani bishoo huyu
Acha useng bhac mbna huelew som
hakuna msanii wa hip hop bongo kumzidi fid q
Arusha nibangi2
Yasin Masolwa 😂😂😂😂😂
Unawawashiag au xio
nimekubal interv
Mwanza arusha WAP hpp ya maana
Acha kurudia maswal
Farid ww nani farid ukumbuke na ww wakati ume kuja uli kuta watu wali kusaidia sasa vip ww leo ww ujione ume fika hapo saaa ww wakati una chnga ng'ombe uli mjua salama acha hizo hiz ni dalili za kupotea
ivi nyinyi wakongwe kwenye mziki munagombana nn
umembania Edo boy ww fid q ila sahv anangaa just be fear fid q.