"MAMBO YA KUKUMBUKA UNAPOKUWA KATIKA HALI NGUMU KIMAISHA" Mwl. Emilian Katubayemo 14. 03. 2022

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 вер 2024
  • "MAMBO YA KUKUMBUKA UNAPOKUWA KATIKA HALI NGUMU KIMAISHA" Mwl. Emilian Katubayemo 14. 03. 2022
    Kwa maombi na ushauri Simu namba 0752 22 87 80
    Mwl. Emilian Katubayemo
    Barua pepe katubayemoe1@gmail.com

КОМЕНТАРІ • 41

  • @babyjacob3122
    @babyjacob3122 11 місяців тому +4

    Neno la Mungu ni jipya Kila Leo.Amina 2023

  • @Everlyne-zg2qz
    @Everlyne-zg2qz 2 дні тому

    Yesu naomba uruma zako ili nikubaliwe tena katika ndoa yangu Mimi niliekataliwa nakudharauliwa, nikaja uharabun naomba unisaidie 🇸🇦

  • @deborahmgedzi632
    @deborahmgedzi632 Рік тому +1

    Ujumbe nimeupata Leo nikiwa ktkt ya shida nyingi Sana. Lakini Mungu Mwenyezi hajaniacha Akanipa Neno la faraja. Asante mtumishi wa Mungu. Amina ❤

  • @janemwakasege6460
    @janemwakasege6460 21 день тому

    Mungu akubariki sana Mwl Emilian

  • @MariaKahind
    @MariaKahind 4 місяці тому

    Eeeeh mungu nisaidie nisidhalilike kwenye maisha .....unajuwa ninacho pitia ......kupitia mtumish wako umenipa moyo wa kustahimili kila ninacho pitia ....eeeh mungu nakuhitaji kwenye magum ninayo pitia......naamin unaenda kusawazisha kila mahali palipo paruzika....in jesus name amina

  • @judithabuko6006
    @judithabuko6006 10 місяців тому

    Mungu akubariki sana kwa somo hili la kunitia moyo

  • @gladysramadhan4008
    @gladysramadhan4008 2 роки тому +1

    Barikiwa mwalimu, ubatubariki na mafundisho kwakweli.

  • @MagrethMkumbo-e1b
    @MagrethMkumbo-e1b 4 місяці тому

    Ameni mtumishi njoo BETHELI MBEYA

  • @mashamachupa612
    @mashamachupa612 2 роки тому +1

    Shalom Baba MUNGU wako atukuzwa kila Leo Hakika. Nabarikiwa Sana na maubili yatokayo kwa bwana.

  • @MasMaryam
    @MasMaryam 2 дні тому

    Amen 🙏🙏🙏🙌🙌

  • @Fridausi-g6k
    @Fridausi-g6k Рік тому +2

    Ubalikiwe unanipa faraja kwapindi nimo emo ca kukosa watoto 2 kwa siku moja naamuni Mungu atanivusha

  • @judithabuko6006
    @judithabuko6006 10 місяців тому

    Ameeeen

  • @rumb9691
    @rumb9691 2 роки тому +1

    Amen ubarikiwe na BWANA mwl.

  • @evelynmsoma764
    @evelynmsoma764 Рік тому

    Asante mwalimu

  • @AidahEunice
    @AidahEunice 3 місяці тому

    Am so blessed with your teaching of the word of God.

  • @МоскваМосква-ы2е
    @МоскваМосква-ы2е 2 роки тому +1

    Ameen.🙏🙏🙏

  • @mchleonardchako1917
    @mchleonardchako1917 2 роки тому

    Napokea amina

  • @loyalforumtv
    @loyalforumtv 2 роки тому

    Hongera

  • @julimwamwela8296
    @julimwamwela8296 6 місяців тому

    Mungu nikumbuke mishida yangu mimi

  • @Fridausi-g6k
    @Fridausi-g6k Рік тому

    Amen papa

  • @judithabuko6006
    @judithabuko6006 10 місяців тому

    Ameeeeeen

  • @judithabuko6006
    @judithabuko6006 10 місяців тому

    Ee Mungu nisaidie nilipe madeni Eliyah wangu atokee leo hii

  • @noahkivuyo1195
    @noahkivuyo1195 Рік тому

    Amen🎄🎄

  • @mchleonardchako1917
    @mchleonardchako1917 2 роки тому

    Amina

  • @judithabuko6006
    @judithabuko6006 10 місяців тому

    Kwa kweli Mwl hili somo ni langu kabisaa

  • @salomegunga5300
    @salomegunga5300 Рік тому

    Mungu akubariki mtumish napitia hali ngumu sana kama huyo mwanamke mjane.maden,,mungu aniinulie elisha wangu atakae nivusha..umenipea ujasiri tena..Mungu azidi kukutumia mtumish wa mungu,,Amina

  • @nolimittvonline6822
    @nolimittvonline6822 8 місяців тому

    Mauwa🎉yako mwalm

  • @NdayishimiyePhilippe-fk4xt
    @NdayishimiyePhilippe-fk4xt Рік тому

    Asante

  • @kadzocharosilver411
    @kadzocharosilver411 4 місяці тому

    Mutumishi wa mungu haki napitia hali ngumu

  • @magrethuronu7190
    @magrethuronu7190 2 роки тому

    Ahsante mwlm MUNGU akubariki

  • @miriamalute1540
    @miriamalute1540 2 роки тому

    Ubarikiwe mtumishi

  • @dingoomagawa6950
    @dingoomagawa6950 2 роки тому +1

    barikiwa sana mwalimu

  • @mchleonardchako1917
    @mchleonardchako1917 2 роки тому

    Nisaidie ebwana

  • @Margretwambui123
    @Margretwambui123 20 днів тому

    .rumishi huwa unambariki roho yangu

  • @mashamachupa612
    @mashamachupa612 2 роки тому

    Nahitaji nikuone. Unapatikana wapi???

  • @user-pb4jp7js7t
    @user-pb4jp7js7t 14 годин тому

    Amen🙏🙏🙏❤

  • @magrethuronu7190
    @magrethuronu7190 2 роки тому

    Ameeeen

  • @kazungubinti
    @kazungubinti 3 місяці тому

    Amen 🙏🙏🙏🙏❤️