Oooooh Hallelujah Hallelujah Hallelujah and Ameeen very powerful teaching about altars limitations and very powerful testimony kwa jina la YESU KRISTO aliye hai kupitia neno hili madhabahu na mikwamo iniwachilie kwa imani barikiwa sana mtumishi umeinua moyo wangu😭😭😭😭🙇♂️🙇♂️🙇♂️🙇♂️🙇♂️🙏🙏🙏🙏🙏🔥🔥🔥🔥🔥🔥💪💪💪💪
Mara nyingi maisha ya watu huwa hayawezi kuvuka zaidi ya Yale maneno ya watu hasa wafuatao:- 1.Wazazi wao 2. Viongizi wa kieneo 3. Wale watu ambao watu hujichagulia na kuwaweka wawasaidie kuamua mambo ya maisha yao. Maana ukishampa MTU akuamulie, tambua kuwa hutakujavuka mipaka ya huyo uliyempa nafasi akuchagulie jambo.
Neno la Mungu libarikiwe Kila Leo🙏🙏🙏🙏
Oooooh Hallelujah Hallelujah Hallelujah and Ameeen very powerful teaching about altars limitations and very powerful testimony kwa jina la YESU KRISTO aliye hai kupitia neno hili madhabahu na mikwamo iniwachilie kwa imani barikiwa sana mtumishi umeinua moyo wangu😭😭😭😭🙇♂️🙇♂️🙇♂️🙇♂️🙇♂️🙏🙏🙏🙏🙏🔥🔥🔥🔥🔥🔥💪💪💪💪
Mwalimu ubarikiwe,mimi ndiyo hali ninayo ipitia,mtu akiniona Azania kuwa ni maisha mema, lakini mimi mwenyewe najijua,pepo za kifamilia Inanisumbua
Ubalikiwe sana mtumish
Amen mtumishi hili somo limeniigusa barikiwa sana❤
Jamen wewe pastor Mungu akulinde sana
Amen mtumishi wa Mungu
Watu wananisifiya sana lakini maisha yangu yanatowa machozi
Ameeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeen
Nimefurahia saana ushuhuda wa mama wa kichaga :: akakaribishwa chumbani na kufanya ibada Mungu utukuzwe Kwa kumtetea mama huyu
Amen, Amen,Amen
Nimimi,but na amini nitabadilishwa na damu ya Yesu
Alama ya mpaka imeondolewa na damu ya Yesu🙏🙏
Amen 🙏
Ameni barikiwa Sana mtumishi nilikua atakama kusikiliza nikamaliza lkn Leo nimemaliza kbc naami ni langu nalichukua Mimi kwangu na maisha yangu
Ameeeen
Spirit of stagnation... getting you from nairobi kenya
👏👏👏👏👏
Eheeee
Mipaka ya kifamilia imeondolewe nikaekewa alama za damu ya Yesu
Mipaka ya kifamilia haitanizuia
Mara nyingi maisha ya watu huwa hayawezi kuvuka zaidi ya Yale maneno ya watu hasa wafuatao:- 1.Wazazi wao
2. Viongizi wa kieneo
3. Wale watu ambao watu hujichagulia na kuwaweka wawasaidie kuamua mambo ya maisha yao. Maana ukishampa MTU akuamulie, tambua kuwa hutakujavuka mipaka ya huyo uliyempa nafasi akuchagulie jambo.
Hiyo ndio shida nilikua nayo mm nilikua naishi jikono hata miezi nne ama nikiwa nyumba kubwa kila mtu room yake😭😭😭