Mbinu hii ukiwa USA 🇺🇸 Itakusaidia kupata kazi kwa urahisi ukiwa unaanza maisha

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 29 сер 2024
  • Kazi Marekani zipo nyingi sana. Lazima uwe na vibali na pia ujue jinsi ya kuomba kazi hizo

КОМЕНТАРІ • 21

  • @mickymicky969
    @mickymicky969 4 місяці тому

    Barikiwa mkuu

  • @keitawallet953
    @keitawallet953 10 місяців тому

    Ubarikiwe sana mkuu

  • @hamudseif
    @hamudseif Рік тому

    Language ni kipengele, km ujui effective eng commication utazunguka sana kutafuta kaz..nime experience ilo adi unakata tamaa, kwa ivo watu wajifunze lugha ni vzr

  • @ngoynzoagermain
    @ngoynzoagermain 10 місяців тому

    Pamoja sana 5/5🇨🇩🇨🇩

  • @mturukii
    @mturukii Рік тому

    Nakubali 💯 mzee baba

  • @user-we4rt4ud1b
    @user-we4rt4ud1b Рік тому

    Shukran

  • @Abduli23
    @Abduli23 Рік тому +1

    Me labda niulize
    Hicho kibali una patia wap..

  • @vuionm
    @vuionm Рік тому

    Big up

  • @wakuitwangosha
    @wakuitwangosha Рік тому +3

    Sisi tunataka mbinu za wale ambao hawana vibari,halafu ww unakomaa na green card

    • @mkingageorge2641
      @mkingageorge2641 Рік тому

      Ila mm napendekeza kuomba apointment naye ili umwambie shida yako kma unatka bila green card kwa upande wangu nilisha book na nika meet nae mambo ni fire sana

    • @saleheinnocent7636
      @saleheinnocent7636 Рік тому

      😂

    • @muttaperfect
      @muttaperfect Рік тому

      😂😂😂😂 anakutengenezea njia ya kwenda kuishi kabisaa sasa sema sisi wengi tunapenda kwenda kutafuta alafu turudi zetu home tu

    • @user-hi2ii3ks2c
      @user-hi2ii3ks2c Рік тому

      ​@@mkingageorge2641 sasa kama wengine tupo mwanza tunampataje sasa tusaidie kuomba hiyo appointment maana nina shida nae sana

    • @danstanmgaya1251
      @danstanmgaya1251 Рік тому

      Mwamba kama nakuona vile
      Mm napenda kwenda in legal way lakin sasa shida ni maokoto

  • @goodluckipupa720
    @goodluckipupa720 Рік тому

    Ata mwenyewe uwezi kuhingia ndani😂

    • @thomasbinah7597
      @thomasbinah7597 Рік тому +1

      Si bora tu hata usinge comment!!unaona hasi tu kwenye fikra zako bila shaka utakuwa bunju A hapo

    • @BillyNahum
      @BillyNahum 11 місяців тому

      ​@@thomasbinah7597😂

    • @BillyNahum
      @BillyNahum 11 місяців тому +1

      Acha zarau kuna taratibu zake za kuingia anaruhusiwa mwandishi wa habari mwenye kibali 😅