Ukewenza sio uadui tatizo linakuja pale unapowaweka sehem moja hiyo ndo mbaya wangap wako ukeweza na wanaishi vizuri tu hapo kukaa nyumba moja ndo mtihani siogopi ukewenza ila siwez kukaa nyumba moja na mke mwenzang mambo km haya lazima yatokee tu
@@MrishoAlly-j7p “Huu mlio wa wrong house huu” “Umenikumbusha wrong house” Hizi ndizo sentensi zako mbili kaka🤣🤣🤣tuko pamoja hata hivyo asante kwa kuwa hapa!
Mwasa ni raisi wa wanaume kuanzia leo,
Hahaha umeona eh
Kombora la new clear kweli adam hapo utakua wazimu 😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤❤❤hii kali
Umeona eh
Nakpenda ❤sana unajua kaka namie niweke hata kipande kimoja maana najua kucheza
Karibu
Kaz nzuri kaka duuh kaz ipoo wake wawili mungu atusaidie2
Umeona eh
Yàni wanawake🙌🙌usiwaamini hata kidg
Jamani
Mke mkubwa acha roho mbaya ona ss unamkondesha Adam wetu jmn😢😢😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤
Yaani🤣🤣🤣
Roho mbaya.
Tabia mbaya sio kitu kizuriii
Umeona eh
Like kwa Adam wetu❤❤❤
Asante
Adam unamwonea bimdogo 😢 pole koko hayo ni mambo ya ndoa...
Kabisa
Yani brother Adam sio kwa stress izo hadi ndevu huchani😁😁
Acha kabisa
Nakubali
Asante
Yaani mke mkubwa ana jiroho khaaa,ila mwisho wa ubaya aibu.,pole koku wanguu .ila kaka adam jmn pilipili hajaweka koku jmn😢😢😢😢
Jamanii
Asnte bro muendelezi kwa wakati❤❤🎉🎉🎉
Shukrani endelea ku enjoy
Mwenye anafaa vizuri ndio mchawi iyo ndio hamjawai jua ona xx anajipendekisha na yy ndio amefanya mume wao amekoza kasi saitani ww 😢😮❤❤
🎉🎉
Umeonaa ehh
Nomaaaa mziki umewakaa
Shukrani sana
Adam ongeza wa 3🎉🎉🎉🎉
Aah ataniua
Adam good job,lm following up from Kenya keep it up
Thanks
Mh uke wenza kazi kumbe😂😂🎉😢😅❤
Kwakwelii
Adam sionhuyo kaeka pilipili jmni waniudhi sasa aaaaah😢😢😢❤❤❤❤
Mi sijui jamanii
❤😂😂😂❤
On fire 🔥🔥🔥🔥
Thanks
Kazi nzuri sana
Asante mno
nimewAhi staki domo zenu za like
Jamani hahah
Kazi nzur bro
Shukrani
Brth Adam move inafundisha nakutazama nikiwa oman❤❤🎉🎉
Shukrani sana
Me wa 7 nakupenda mno Adam💕
Asantee🙏🙏
Kazi nzuri kaka
Asante
Very nice kaz nzur san Bro
Shukrani
Movie imeshika mpaka basi ❤❤❤❤
Asante sana
Kazi nzuri kaka mauwa yako🎉🎉🎉 ila mwanamke apigwi kwa ngumi Adam umesahau et😂😂😂
😅😅
Asante sana
Nahitaji movies wake zangu sehem ya 5
Leo sehemu ya 5
Fupi sana mbona
Nyingine kesho
Big up🎉
Thanks
kazi nzuri🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Shukrani
dzuzi sana 🎉🇰🇪
Enjoy
Enjoy
Natumai sijachelewa❤❤
Kabisa endelea kuenjoy
🎉
Kenya Watching
Thankw
Ili li mwasa nalo kumbe lichawi loooooh
Yaani
Kumbe na wanaume wanaroga 😅😅😅 dah aisee kaz nzur
Noma kabisa
Mh wanaroga vizur tu
Eeh mwambie kweli kwa nni ajiingize ndoa y mtu n mkew tiar
Yaani acha tu
Ninzuri.sana
Asnate sana
Kukaa sebuleni kutafuta kz aaaah😂
Hahaha yaani
Kaká Adam Léo yani duuh kuhowa sake wawiri msala ndio mana manara alyshindwah EP 5
Hahaha endelea ku enjoy na wake zangu 5
Jamn adam asa mbona kazi inazidi kunoga unapunguza muda jomoniiiiii tatzo nin daah
Tuendelee kuenjoy kila siku tutaitoa
Hakuna ttzo kak mkubwa
duu ukeweza jamani
Mgumu
@@AdamLeoStudios nakwabia yani
😂😂😂Bichwa tu kubwa akili aaaaah😂😂😂😂 nimecheka sana
Hahaha endelea ku enjoy
Nia angefaa sana hapa
Shukrani
Amandaaa bhnaa ndo angewezan hi kashkash ya ukee wenzaa😂😂😂😂
Yule kazeeka waache children people wafanye kz 😂😂😂
Adamu kayataka mwenywe 😢
Jamani
Jamani bichwa tu kubwa akili aaah😂😂
Hahaha acha tu
Filamu imebamba sana adamu
Asante
🎉🎉
Wakwaza
Asante edndelea kuenjoy
@@AdamLeoStudios okay thanks 🙏
Jomn muwee mnaniptia na mimj wakt mnakuja kila sikuu na hewew duuuu😢😢😢
Endelea kuenjoy
@@AdamLeoStudios pamoja adam
Subira na dada yake 😂
Yaani kiboko
Bichwa tu kubwa Akili aaaahaaa😂😂😂
Hahaha noma
Nakubali sana kaka mkuu ongera sana
Asante kaka
🎉🎉
Ila shemej wa adam mkali
Jamaniiii!!!
Waganga,wanavunja nazi barabarani,,wengine tuavunja mayai🤣🤣taaam sana
Yaani kazi kazi
Kupigana2 kuelewana aaah😂😂😂😂
Wala hawawezi
Kwaiyo huyu mwanaume na yy anataka nn😂😂😂me nataka yai ninywee chai yy anavunja njia panda 😂😂😂
Ovyo kabisaa🤣🤣🤣
Actors wa teso la wifi waliweza sana,consider sonia kwa kile kilio chake
Shukrani sana
Nice
Thanks
Jamn hajaweka yeye hapo naumia jmn 😢
Yaani
Jamani Adam wangu 15 minutes ni kidogo 😂❤
Endelea kuenjoy
@@AdamLeoStudios 🙏
Ila ep hii dakika chache sana jaman😢
Kesho mpya
Mimi afadhali niendelee kuwa single lkn uke wenza siuwezi
Pole jamanii
hii ndo faida ya matara me binafs ziwez kuwa matara ee mungu no saidie niepuke hiki kikombe uke wenza apanaaaaaa
Jamanii pole
Ukewenza sio uadui tatizo linakuja pale unapowaweka sehem moja hiyo ndo mbaya wangap wako ukeweza na wanaishi vizuri tu hapo kukaa nyumba moja ndo mtihani siogopi ukewenza ila siwez kukaa nyumba moja na mke mwenzang mambo km haya lazima yatokee tu
❤❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
🙏🙏🙏
❤❤
♥️♥️♥️
Bichwa tu kubwa akili Aaah😂
Hahaha acha kabisa
Adam jamani mke mdogo hajaweka pili pili aliyeweka pili pili huyu mke mkubwa kibonge 😅
Yaani mi sielewiii🤣🤣
Kuna sisi wenye twataka kuingia kwenye uke wenza 😂😂😂kazi ni hiyo tutaweza kweli?? Si kwa kurogana hukooo 😅😅
Noma kabisaa
Uyu mwasa nae hajawah kukupa ata mia sasa wann
Yaani bure kabisa
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
🙏🙏🙏
adam kumbe unaeza kuwa mkali hivyo
Yaani kaniudhi huyu
Adamu Huluma Sinena mushikila 😂😂😂😂🎉🎉🎉
Shukrani
🎉🎉
Kaka Adamuuuu. Dakika 15 fupi mnoooo. Tatizo niniii? Au tuchange kapesa kdgo kabust 😂😂😂😂
Hahaha karibu kwenye group sasa🤣🤣
chat.whatsapp.com/IAECJ2Y9KbBERKAPSRDlnq
Group hilo
Bichwa tu kubwa akiki nini wadau😂
Noma
Adam kumbe unakua mkali…??😂😂
Acha si umeona nimekosa kazi
Adamu umeyatimba😅
Sana jamani
Adam kaka unacoka pole ila ongeza dakika plz
Sawaa
Unataka ushauri gani
Hata sielewi
Fupi mno
Kesho nyingine
🎉🎉🎉😂❤❤❤❤
🙏🙏🙏
Mimi niwa tatu leo naomba ata like tatu
Endelea kuenjoy
🎉🎉
Ningekupa zote tatu ila aiwezekani chukuwa hii moja na nakupenda mara 2 + like moja 3 ztskuw zishatimia
@@AdamLeoStudios asant sana
Shida kipande kimoja mnaacha inakuwa ndefu bila sababu, mfano huyo bi mkubwa alivyoenda kwa shoga yake hakukuwa na ulazima wa kuwa ndefu vile , inaboa
Sawa
adam ndo dakika kumi na tano kweliii
Kesho inakuja nyingine
Akili haa😂😂😂😂
Akili aah
Mke mkubwa yako yako jikoni
Umeona eh
Huu mlio wa wrong house huu
Hahah jamani huu mlio si wamtu mmoja🤣🤣
Hata wenyewe sio wao
@@AdamLeoStudios sijamaanisha hvyo kuwa umenkumbusha wrong house
@@MrishoAlly-j7p “Huu mlio wa wrong house huu”
“Umenikumbusha wrong house”
Hizi ndizo sentensi zako mbili kaka🤣🤣🤣tuko pamoja hata hivyo asante kwa kuwa hapa!
Sasa mke mkubwa unasababisha mumeo akose kazi kwa ajili ya ujinga wa kuweka pilipili kwenye chakula cha boss kimaro cjui unataka mle nn
Sielewi anawaza nini aisee
🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤😂😂
🙏🙏🙏
Kazi nzuri sana
Asante sana
❤❤❤❤❤
🙏🙏
❤❤
❤️❤️❤️