UCHAWI WA KURITHI FULL MOVIE FILAMU ZA AFRICA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 28 сер 2024
  • Uchawi wa kurithi ni filamu ya kitanzania inayozungumzia maisha ya mama aliemrithisha mwanae uchawi baada ya mtoto kuwa mkubwa akaanza kutumia uchawi kuwadhuru watu wasiokuwa na hatia ikafikia Hatua akataka kuwa na mahusiano na kijana aliekuwa tayali na mchumba wake kijana alivyokataa msichana mchawi akamfanyia uchawi kijana yule akapofuka macho kijana akaambiwa ili alone lazima akubari kuwa na mahusiano na msichana mchawi baada ya kuwa wapenzi kijana akapata Siri ya kujua ulipo uchawi wa huyo msichana ikabidi auchome Moto na huo ndio ukawa mwisho wa nguvu alizokuwanazo msichana huyo hii ni filamu inayoonyesha maisha ya Africa na tamaduni zake

КОМЕНТАРІ • 649

  • @mohamedhamza3066
    @mohamedhamza3066 3 роки тому +16

    Wow great film ,kazi nzuri keep it up guys sio sikuzote tuwe tunaangalia vya wenzetu tu nollywood kumbe wanyumbani pia wanaweza

  • @saveryibrah4948
    @saveryibrah4948 3 роки тому +6

    Sanau Swahili movie na sanau two bongo movie nawakubar xana

  • @johnbernad3990
    @johnbernad3990 2 роки тому +3

    Hallelujah nimefurah na majibu ya ommy wakuogopewa ni Mungu na wala si mwanadamu, nyamiz kwani yeye ni nani? Yeye anajivunia uchawi mimi najivunia Yesu

    • @sanauswahilimovies
      @sanauswahilimovies  2 роки тому

      Habari Asante Sana kwa kutazama sanau Swahili movies Kama bado hauja subscribe channel yetu nakuomba tafadhari Sana subscribe na hakikisha umebonyeza alama ya kengele ili uwe unapata ujumbe kila siku tunapoweka filamu mpya Asante Sana 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏 kwa maoni na ushauri wasiliana nasi kwa namba hii WhatsApp +255658570788

  • @biashasuleimanabdalla481
    @biashasuleimanabdalla481 3 роки тому +7

    Assalamu aleikum warmatulla taala wabarakatu. Ndugu zangu tutoke kwenye ujinga. Yaani unachakumritisha niupotovyu bora unge mridhirisha tabia nzuri sio uchawi.

  • @fredericnduwimana9239
    @fredericnduwimana9239 2 роки тому +3

    Nawapongezeni sana kwa filam hiyi,ila mngetiyaemo maombi hata kidogo mkaomba Mungu alafu pakajionesha miujiza ya Mwenyezimungu

    • @sanauswahilimovies
      @sanauswahilimovies  2 роки тому

      Habari Asante Sana kwa kutazama sanau Swahili movies Kama bado hauja subscribe channel yetu nakuomba tafadhari Sana subscribe na hakikisha umebonyeza alama ya kengele ili uwe unapata ujumbe kila siku tunapoweka filamu mpya Asante Sana 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏 kwa maoni na ushauri wasiliana nasi kwa namba hii WhatsApp +255658570788

    • @mwanaidimwangi8477
      @mwanaidimwangi8477 2 роки тому

      Kweli

    • @GadaonDaniel
      @GadaonDaniel Рік тому

      Haaaaaaaa sawa kaz nyingine tutaweka maombi by G

  • @user-xh7wy2mi2j
    @user-xh7wy2mi2j Рік тому +1

    Lakini ningekua omy ningemuowa mdogo wake nyamizi. Kwa kweli asante kwa movie nzuri za mafunzo

  • @saveryibrah4948
    @saveryibrah4948 3 роки тому +14

    Tunashukuru na tunaendelea kushukuru kwa wote ambao mmeangalia filam yetu na wadau

    • @malaikajaden6802
      @malaikajaden6802 3 роки тому +1

      Msijali tuko pamoja

    • @musamnkondya3629
      @musamnkondya3629 3 роки тому

      Wako vizuri jitahidini kila wiki muwe mnatoa vipya

    • @edsonelieza7048
      @edsonelieza7048 3 роки тому +1

      Jamaa kwa kujinadi wakati ana chochote unashindana na mchawi wakati una iman na mungu daaaa pole kwa upofu adi ububu

  • @mariamumariamu1003
    @mariamumariamu1003 3 роки тому +16

    Ataree na nusu kama.una wakubar sanau Achia like

    • @sanauswahilimovies
      @sanauswahilimovies  3 роки тому

      Asante Sana Bibi tupo pamoja kuhakikisha tunaleta filamu mpya na Bora kila wakati

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 3 роки тому +4

    Hahaha nyamizii chezea maji mana utafulia utapikia lkn usichezee moto uta ungua noma omi gubu😄😄😄😄😄😄😄

  • @anita2965
    @anita2965 3 роки тому +5

    Hongeren sana wahusika kwa movie nzur sana.

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 3 роки тому +11

    Mihogoo haipandi haishukii kwa dada nyamixi anafikiria handsomeboy🤣🤣🤣🤣yani mapenzi pita kushoto mm kulia

  • @bonnymatheka352
    @bonnymatheka352 2 роки тому +2

    Nimeipenda Sana filamu yenu, waigizaji wako fiti👏👏👏👏

    • @sanauswahilimovies
      @sanauswahilimovies  2 роки тому

      Ubarikiwe sana mkuu

    • @sanauswahilimovies
      @sanauswahilimovies  2 роки тому

      Asante Sana kwa kutazama sanau Swahili movies tunajivunia kuwa mwanafamilia wa sanau Swahili movies hakika wewe niwathamani kubwa kwetu nakuomba uendelee kutazama sanau Swahili movies kwani tumejipanga kuweka filamu mpya kila wakati Kama bado hauja subscribe channel yetu nakuomba tafadhari Sana subscribe na hakikisha umebonyeza alama ya kengele ili uwe unapata ujumbe kila siku tunapoweka filamu mpya kwa maoni na ushauri wasiliana nasi kwa namba hii +255658570788 kawaida na WhatsApp asante 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

    • @GadaonDaniel
      @GadaonDaniel Рік тому

      Asante shabik zetu by G

  • @neemamzande7252
    @neemamzande7252 3 роки тому +2

    😂😂😂😂😂😂 tajiri WA mahaba na maskini WA mahaba akutaki pole my broo muvi nzuri xna

    • @sanauswahilimovies
      @sanauswahilimovies  3 роки тому

      Asante Sana kwa kutazama sanau Swahili movie Kama bado hauja subscribe channel yetu nakuomba tafadhari sana subscribe na hakikisha umebonyeza alama ya kengele ili uwe unapata ujumbe kila siku tunapoweka filamu mpya Asante 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @veryaloyce3874
    @veryaloyce3874 2 роки тому +2

    Mko vizuri kazeni mtakuja kua wakubwa kama kanumba

    • @sanauswahilimovies
      @sanauswahilimovies  2 роки тому

      Asante Sana kwa kutazama sanau Swahili movie Kama bado hauja subscribe channel yetu nakuomba tafadhari sana subscribe na hakikisha umebonyeza alama ya kengele ili uwe unapata ujumbe kila siku tunapoweka filamu mpya Asante 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @baimarrajahbuayan6237
    @baimarrajahbuayan6237 3 роки тому +3

    Mchawi kakauka kama mie 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 hata kusuka kumemshinda

  • @jenniferbarakha3642
    @jenniferbarakha3642 2 роки тому +2

    Hongeren snaa kwakwel mmejitahd movie nzur👏👏👏

    • @sanauswahilimovies
      @sanauswahilimovies  2 роки тому

      Asante Sana kwa kutazama sanau Swahili movie Kama bado hauja subscribe channel yetu nakuomba tafadhari sana subscribe na hakikisha umebonyeza alama ya kengele ili uwe unapata ujumbe kila siku tunapoweka filamu mpya Asante 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @mamakomangonakumbukambalis954
    @mamakomangonakumbukambalis954 3 роки тому +3

    Hii picha nzuli sana hongela sana

  • @saveryibrah4948
    @saveryibrah4948 3 роки тому +4

    Mimi ni mdau wa karibu sana San sana wa sanau Swahili movie

  • @ismailthabeet1797
    @ismailthabeet1797 3 роки тому +10

    wakwanz ku like jmn fany kam unagusa. 👍

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 3 роки тому +5

    Haha mpe ukwanjuu dada Haha wampendaa mtu hajakutongozaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣siku hixi kweli hainagaa usheji👨🏼‍💻👨🏼‍💻👨🏼‍💻👨🏼‍💻👨🏼‍💻

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 3 роки тому +9

    Hawa huwa ni pacha ama edit mana sikwakufanana hukuu🙆🏽‍♀️🙆🏽‍♀️🙆🏽‍♀️🙆🏽‍♀️🙆🏽‍♀️🙆🏽‍♀️🙆🏽‍♀️🙆🏽‍♀️subirini awatokee mbio mwajifanya wanaume mbona mwatetemekaa😂😂😂😂😂😂

  • @saveryibrah4948
    @saveryibrah4948 3 роки тому +6

    Mapenz na uchawi hehehehe mapenz yana nguvu kuliko mapenz

  • @m6ixofficial964
    @m6ixofficial964 3 роки тому +13

    Nimeipenda hii saaaana Kama naww umeipenda gonga Like kwao👏🏻👏🏻👏🏻💥💥💥💥💥

    • @MP-sd4in
      @MP-sd4in 2 роки тому

      Ndio, hii ni nzuri kabisa

  • @saveryibrah4948
    @saveryibrah4948 3 роки тому +3

    Pia mmefany vzr xan kuchoma uchaw

  • @saveryibrah4948
    @saveryibrah4948 3 роки тому +6

    Cast nzuri mamb mazur colar nzuri na washiriki pia

  • @saveryibrah4948
    @saveryibrah4948 3 роки тому +4

    Hii filamu inaujumbe sana na ni nzuri

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 3 роки тому +4

    Mnayeendana sijui atakubali kipofu😄😄😄😄😄mana sio kwambwembwe hixo wewe na hayran

  • @adbashtv6701
    @adbashtv6701 2 роки тому +1

    Huto dem msenge sana yani uchawi unampelekesha hadi naogopa kwenda kijijini kwetu

    • @sanauswahilimovies
      @sanauswahilimovies  2 роки тому

      Asante Sana kwa kutazama sanau Swahili movie Kama bado hauja subscribe channel yetu nakuomba tafadhari sana subscribe na hakikisha umebonyeza alama ya kengele ili uwe unapata ujumbe kila siku tunapoweka filamu mpya Asante 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 3 роки тому +8

    🙆🏽‍♀️🙆🏽‍♀️🙆🏽‍♀️😂😂😂😂tobaa mtu akiwa mdogo anaonewaa eti fimbo xitakuhusu mtoto wakiume haha

  • @user-gz2zm9ro1h
    @user-gz2zm9ro1h 3 роки тому +3

    Yani mov zenu zote zinakuwa nimzuri nawakubali san😍🤝

  • @erickkaburu641
    @erickkaburu641 2 роки тому +2

    Thanks Sanaa movie nzuriiii yakufunzaaaa nakuss muaaa

    • @sanauswahilimovies
      @sanauswahilimovies  2 роки тому

      Asante Sana kwa kutazama sanau Swahili movie Kama bado hauja subscribe channel yetu nakuomba tafadhari sana subscribe na hakikisha umebonyeza alama ya kengele ili uwe unapata ujumbe kila siku tunapoweka filamu mpya Asante 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @shariffrojassr3326
    @shariffrojassr3326 2 роки тому +1

    Iko vizuri mmejitahid sana

    • @sanauswahilimovies
      @sanauswahilimovies  2 роки тому

      ASANTE SANA KWA KUTAZAMA SANAU SWAHILI MOVIES sanau Swahili movies tunakushukuru kwa kuwa nasi mwaka 2021 tunakuomba uendelee kuwa nasi mwaka 2022 wafanyakazi na viongozi wa Sanau Swahili movies tumejipanga kukuletea filamu zenye ubora na utofauti mkubwa Kama bado hauja subscribe channel yetu nakuomba tafadhari sana subscribe na hakikisha umebonyeza alama ya kengele ili uwe unapata ujumbe kila siku tunapoweka filamu mpya Asante 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @faustaudamwa6336
    @faustaudamwa6336 2 роки тому +1

    Nice move nimeipenda sana

    • @sanauswahilimovies
      @sanauswahilimovies  2 роки тому

      Asante Sana kwa kutazama sanau Swahili movie Kama bado hauja subscribe channel yetu nakuomba tafadhari sana subscribe na hakikisha umebonyeza alama ya kengele ili uwe unapata ujumbe kila siku tunapoweka filamu mpya Asante 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @aminahhuawei1133
    @aminahhuawei1133 3 роки тому +3

    Mashaallah mzr sana mungu awabariki sana 👍😘

  • @saniajuma6123
    @saniajuma6123 3 роки тому +1

    Tabora moja hiyo home nc move kumbe tunaweza 💗💗💗❤💞💝🙏🙏🙏

  • @saveryibrah4948
    @saveryibrah4948 3 роки тому +4

    Shakira a.k.a da shaki nakubari xana hongera

    • @zawadimbasha6042
      @zawadimbasha6042 3 роки тому

      Jmn hii roho ya mtt kufata kwa mama ni atar mtt kawa mchaw mpk kumzd mama, kifup nawapnd sn masata kikubw kuomba mungu ili kuweza kufik mbl zaid

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 3 роки тому +4

    Nyamixi kafunga kibwebwe🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣ommy mbona utakomaa sahii umekuwa bubu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣haya Bora bubu utaona

  • @esteralnani6838
    @esteralnani6838 3 роки тому +4

    Ommy nimekupenda

  • @saveryibrah4948
    @saveryibrah4948 3 роки тому +4

    Zawad mbasha kazi nzuri

  • @dorisorangi
    @dorisorangi Рік тому

    Wow hairuni wapendwa lakini hupendeki jani...kayaachia mapenzi pepo🙆🙆🙆🙆🙆

  • @saveryibrah4948
    @saveryibrah4948 3 роки тому +3

    Tupo pamoja sana dooooh

  • @saveryibrah4948
    @saveryibrah4948 3 роки тому +4

    Kazi nzuri sana xana blessss

  • @shazilimohamedi4762
    @shazilimohamedi4762 3 роки тому +4

    Sf sn sanau muko vzr sn 🙏🙏🙏🙏

  • @zainabufaidhi4799
    @zainabufaidhi4799 3 роки тому +7

    Mashaallah nzur Sana na wapenda Sana washirika wote

  • @saveryibrah4948
    @saveryibrah4948 3 роки тому +3

    Hehehehehehe mara bubu Mara kipofu dooooh pole ommy

  • @asia9930
    @asia9930 3 роки тому +2

    Nzuri mashaaallha🙏🏻🙏🏻🙏🏻🥰❤❤❤mmejitahidi ila namm nimempenda omy🤣🤣🤣🤣

    • @sanauswahilimovies
      @sanauswahilimovies  2 роки тому

      Asante Sana kwa kutazama sanau Swahili movie Kama bado hauja subscribe channel yetu nakuomba tafadhari sana subscribe na hakikisha umebonyeza alama ya kengele ili uwe unapata ujumbe kila siku tunapoweka filamu mpya Asante 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

    • @slowkilosakilosakilosakilo3608
      @slowkilosakilosakilosakilo3608 2 роки тому

      Aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaah utakuwa nyamizi wewe👈😂❤️💯🇹🇿

  • @saveryibrah4948
    @saveryibrah4948 3 роки тому +3

    Shukrani sana masata

  • @jumaabdala8379
    @jumaabdala8379 2 роки тому +2

    nimeipenda sana mmejitahidi endeleeni kukaza buti

    • @sanauswahilimovies
      @sanauswahilimovies  2 роки тому

      Asante Sana kwa kutazama sanau Swahili movie Kama bado hauja subscribe channel yetu nakuomba tafadhari sana subscribe na hakikisha umebonyeza alama ya kengele ili uwe unapata ujumbe kila siku tunapoweka filamu mpya Asante 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @eastafricaswahilimovie2702
    @eastafricaswahilimovie2702 3 роки тому +5

    Sanau mpo juu

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 3 роки тому +3

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣dada kashutukaa mana katoka kwa nyamizi hapo hapo pap nyamizi ako kwenu mashaka

  • @saveryibrah4948
    @saveryibrah4948 3 роки тому +5

    Nakubari sana

  • @saveryibrah4948
    @saveryibrah4948 3 роки тому +2

    Baba ngoi nakubar mzaz

  • @dericsingirankabo9616
    @dericsingirankabo9616 2 роки тому +1

    Safi san

  • @saveryibrah4948
    @saveryibrah4948 3 роки тому +4

    Nimeipenda

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 3 роки тому +4

    Mumetaja ugali namlendaa mate yamenidondokaa 😋😋😋😋😋😋

  • @saveryibrah4948
    @saveryibrah4948 3 роки тому +4

    Kitu kitamu kitu imara kitu bomba

  • @saveryibrah4948
    @saveryibrah4948 3 роки тому +1

    Nakubari viajan pigen kazi

  • @zamdasaid9982
    @zamdasaid9982 3 роки тому +6

    Nice move Congratulations for all participants❤

  • @KavumbaZigamba255
    @KavumbaZigamba255 3 роки тому +2

    Sanau mpo vizuri sana

  • @mwananyamalaz4427
    @mwananyamalaz4427 2 роки тому +1

    Very nice movie thanks watching from Australia Asante Sana'a 2021 🙌

    • @sanauswahilimovies
      @sanauswahilimovies  2 роки тому +1

      ASANTE SANA KWA KUTAZAMA SANAU SWAHILI MOVIES sanau Swahili movies tunakushukuru kwa kuwa nasi mwaka 2021 tunakuomba uendelee kuwa nasi mwaka 2022 wafanyakazi na viongozi wa Sanau Swahili movies tumejipanga kukuletea filamu zenye ubora na utofauti mkubwa Kama bado hauja subscribe channel yetu nakuomba tafadhari sana subscribe na hakikisha umebonyeza alama ya kengele ili uwe unapata ujumbe kila siku tunapoweka filamu mpya Asante 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @saveryibrah4948
    @saveryibrah4948 3 роки тому +6

    Hana hata haibu anamkunjia hadi mdogo wake yaan wachawi bhn

  • @shakilamasoud2983
    @shakilamasoud2983 3 роки тому +2

    Mwisho wa ubaya ni aibu' safi sana.

  • @saveryibrah4948
    @saveryibrah4948 3 роки тому +3

    Mapenz y kwer huwa hayafi aixe

  • @nurusaid4698
    @nurusaid4698 Рік тому +1

    Naangaliya Nikiwa Qatar 🇶🇦Jameni Ongereni Sana Mloshiriki❤❤❤

  • @sallychemtai4900
    @sallychemtai4900 3 роки тому +3

    Safi Sana keep it up watching 4rom Kenya 🇰🇪

  • @saveryibrah4948
    @saveryibrah4948 3 роки тому +6

    Yaan kiukwer story inaelewek na inaxiximua pia inamafunzo

  • @saveryibrah4948
    @saveryibrah4948 3 роки тому +8

    Uchawi wa kurithi hehehe mtoto amefata loho ya mama yak kabixa

  • @KavumbaZigamba255
    @KavumbaZigamba255 3 роки тому +6

    Mtoto atakuwa Moto zaidi ya mama yake

  • @saveryibrah4948
    @saveryibrah4948 3 роки тому +7

    Story nzuri zipo mkoani na tukiend hivi nadhan mamb yatakaa xaw

  • @mivanampunje9657
    @mivanampunje9657 2 роки тому +1

    Munaweza kw kwer ongereni sana

    • @sanauswahilimovies
      @sanauswahilimovies  2 роки тому

      Asante Sana kwa kutazama sanau Swahili movie tunajivunia kuwa mwanafamila.wa sanau kwa filamu mpya endelea kutazama sanau Swahili movie Kama bado hauja subscribe channel yetu nakuomba tafadhari Sana subscribe na hakikisha umebonyeza alama ya kengele ili uwe unapata ujumbe kila siku tunapoweka filamu mpya Asante 🙏 🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @marionwenani2190
    @marionwenani2190 2 роки тому

    Hii flam iko poa sana nimeipenda

    • @sanauswahilimovies
      @sanauswahilimovies  2 роки тому

      Asante Sana kwa kutazama sanau Swahili movie Kama bado hauja subscribe channel yetu nakuomba tafadhari sana subscribe na hakikisha umebonyeza alama ya kengele ili uwe unapata ujumbe kila siku tunapoweka filamu mpya Asante 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 3 роки тому +3

    Mdomo uongee mkono ushike bn 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Haha nyamizi Haha

  • @LissaIssa-lx1qu
    @LissaIssa-lx1qu 9 місяців тому +1

    sasa Samizi mapenzi haya lazimishwi jmn kpenz af huna tumia sauti ya ukary kwa mwna mume Asa atakupendaje mtu kalihvyo mbele ya mwna mume huna kua mpole Samizi 😂😂😂

  • @taysonbahat7745
    @taysonbahat7745 2 роки тому

    Asante sana mungu awabariki

  • @hasinarashid5059
    @hasinarashid5059 3 роки тому +1

    Sipendagi bongo movie ila hiii🙌🙌 nimeipenda balaaa💋💋

    • @sanauswahilimovies
      @sanauswahilimovies  3 роки тому

      Asante Sana kwa kutazama sanau Swahili movie Kama bado hauja subscribe channel yetu nakuomba tafadhari sana subscribe na hakikisha umebonyeza alama ya kengele ili uwe unapata ujumbe kila siku tunapoweka filamu mpya Asante 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

    • @milliardere9177
      @milliardere9177 2 роки тому

      hupendii vya kwenu

  • @saveryibrah4948
    @saveryibrah4948 3 роки тому +2

    Kazi kazi

  • @KavumbaZigamba255
    @KavumbaZigamba255 3 роки тому +2

    Nyamizi umetisha sanaaaa

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 3 роки тому +3

    Ommy kweli gubuu yani bdo unataka kuwa kipofu tena jamani ..wewe Bora ukae na nyamizi Bora uhai

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 3 роки тому +4

    🙄🙄🙄🙄🙄utamu wakujibizana na mtu humjui undani wake haya Ommy pokea 🏑🏑🏑🏑🏑hii itakusaidia🤣🤣🤣🤣🤣kesho ndoukome kujibizana na mtu alieshindikana

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 3 роки тому +3

    Haha kweli ss pia tukiwa wadogo chapo wali ukiitwaa unaitikaa mara moja lkn siku yasima siitiki hadi bi mkubwaa akuje kiboko kitembee

  • @mwanaidimwangi8477
    @mwanaidimwangi8477 2 роки тому +1

    Bonge la movie✌

    • @sanauswahilimovies
      @sanauswahilimovies  2 роки тому

      Asante Sana kwa kutazama sanau Swahili movies tunajivunia kuwa mwanafamilia wa sanau Swahili movies hakika wewe niwathamani kubwa kwetu nakuomba uendelee kutazama sanau Swahili movies kwani tumejipanga kuweka filamu mpya kila wakati Kama bado hauja subscribe channel yetu nakuomba tafadhari Sana subscribe na hakikisha umebonyeza alama ya kengele ili uwe unapata ujumbe kila siku tunapoweka filamu mpya kwa maoni na ushauri wasiliana nasi kwa namba hii +255658570788 kawaida na WhatsApp asante 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @hellenpatrick3041
    @hellenpatrick3041 2 роки тому +1

    huyo mchawi adi namuogopa sura mbaya bora mdg wake mzuri

    • @sanauswahilimovies
      @sanauswahilimovies  2 роки тому

      Asante Sana kwa kutazama sanau Swahili movie Kama bado hauja subscribe channel yetu nakuomba tafadhari sana subscribe na hakikisha umebonyeza alama ya kengele ili uwe unapata ujumbe kila siku tunapoweka filamu mpya Asante 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @saveryibrah4948
    @saveryibrah4948 3 роки тому +5

    Kilongozi production xaf xana

  • @KULKID
    @KULKID 3 роки тому +3

    Ommy Umetia huruma Sana Humu ndani 😂

    • @sanauswahilimovies
      @sanauswahilimovies  3 роки тому

      Asante Sana kwa kutazama sanau Swahili movie

    • @sanauswahilimovies
      @sanauswahilimovies  3 роки тому

      .masikini filamu hii ya mama wa kambo inayozungumzia maisha ya kweli ya watoto waliopitia maisha magumu kutoka.kwa mama yao wa kambo bonyeza maandishi ya blue hapa kuitazama ua-cam.com/video/rZPm_6Vrs2U/v-deo.html Kama bado hauja subscribe channel yetu nakuomba tafadhari sana subscribe na hakikisha umebonyeza alama ya kengele ili uwe unapata ujumbe kila siku tunapoweka filamu mpya Asante 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 3 роки тому +6

    Nyamixi anatetemekaa nákuhema loo mapenzi bn tena.yalazimaa haya omi koma ukomae utalala juu mti wewe🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @mulambukosammy5659
    @mulambukosammy5659 2 роки тому +1

    Nimzuri sana

    • @sanauswahilimovies
      @sanauswahilimovies  2 роки тому

      ASANTE SANA KWA KUTAZAMA SANAU SWAHILI MOVIES sanau Swahili movies tunakushukuru kwa kuwa nasi mwaka 2021 tunakuomba uendelee kuwa nasi mwaka 2022 wafanyakazi na viongozi wa Sanau Swahili movies tumejipanga kukuletea filamu zenye ubora na utofauti mkubwa Kama bado hauja subscribe channel yetu nakuomba tafadhari sana subscribe na hakikisha umebonyeza alama ya kengele ili uwe unapata ujumbe kila siku tunapoweka filamu mpya Asante 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @eastafricaswahilimovie2702
    @eastafricaswahilimovie2702 3 роки тому +4

    Bonge la filamu

  • @saveryibrah4948
    @saveryibrah4948 3 роки тому +2

    Masata atrs group pamoja san

  • @phelistermisoji4904
    @phelistermisoji4904 Рік тому

    Nmekupenda ommy

  • @saveryibrah4948
    @saveryibrah4948 3 роки тому +3

    Nyamizi umexidi san bora hat umekufa

  • @samiaarimkonekonko5096
    @samiaarimkonekonko5096 3 роки тому +2

    Nawakubari sana wanyumbani ❤️❤️🙏🙏🙏🙏

    • @sanauswahilimovies
      @sanauswahilimovies  3 роки тому

      Asante Sana kwa kutazama sanau Swahili movie

    • @sanauswahilimovies
      @sanauswahilimovies  3 роки тому

      Usikose kuitazama tamthilia mpya ya jakamoyo kila siku ya alihamisi saa tatu kamili usiku

  • @ommymkwanga9081
    @ommymkwanga9081 3 роки тому +4

    Sema director u good

  • @anethwilliam1526
    @anethwilliam1526 3 роки тому +2

    Nzuri sana asanteni

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 3 роки тому +1

    Duuu kumbe mama nyamixi ndoalikuwa mwangaa kaua bn karitisha nyamizii makubwaa maji hufata mkondo nyamizi karithi

  • @johnbernad3990
    @johnbernad3990 2 роки тому +1

    Yani hicho kibint mmekipatia kweli kweli maana sura yake tu kinafanana na karata kaliyoicheza ya kichawi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @sanauswahilimovies
      @sanauswahilimovies  2 роки тому

      Habari Asante Sana kwa kutazama sanau Swahili movies Kama bado hauja subscribe channel yetu nakuomba tafadhari Sana subscribe na hakikisha umebonyeza alama ya kengele ili uwe unapata ujumbe kila siku tunapoweka filamu mpya Asante Sana 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏 kwa maoni na ushauri wasiliana nasi kwa namba hii WhatsApp +255658570788

  • @kelvingodfrey4352
    @kelvingodfrey4352 Рік тому

    Mko vzr ♥️♥️👍💚

  • @poaswahilimovies99k
    @poaswahilimovies99k 3 роки тому +6

    Next level bless all

    • @sanauswahilimovies
      @sanauswahilimovies  3 роки тому

      Asante Sana mkuu ubarikiwe sana

    • @dancanwanyma7226
      @dancanwanyma7226 3 роки тому

      Hy

    • @maysontorin559
      @maysontorin559 3 роки тому

      Sorry to be off topic but does any of you know of a trick to log back into an instagram account??
      I somehow forgot my account password. I would love any help you can give me!

    • @axelbishop1024
      @axelbishop1024 3 роки тому

      @Mayson Torin instablaster ;)

  • @ashuraiddy539
    @ashuraiddy539 3 роки тому +1

    Jaman nyambiz hyo sula

    • @sanauswahilimovies
      @sanauswahilimovies  3 роки тому

      Asante Sana kwa kutazama sanau Swahili movie Kama bado hauja subscribe channel yetu nakuomba tafadhari sana subscribe na hakikisha umebonyeza alama ya kengele ili uwe unapata ujumbe kila siku tunapoweka filamu mpya Asante 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @divinahmarube106
    @divinahmarube106 2 роки тому +3

    Movie nzuri yenye mafunzo,wah, Mungu wangu mbele, mapezi staki🤔🤔🤔🤔🤔

    • @sanauswahilimovies
      @sanauswahilimovies  2 роки тому

      Habari Asante Sana kwa kutazama sanau Swahili movies Kama bado hauja subscribe channel yetu nakuomba tafadhari Sana subscribe na hakikisha umebonyeza alama ya kengele ili uwe unapata ujumbe kila siku tunapoweka filamu mpya Asante Sana 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏 kwa maoni na ushauri wasiliana nasi kwa namba hii WhatsApp +255658570788

  • @saveryibrah4948
    @saveryibrah4948 3 роки тому +4

    Vijana wanamzungumzia nyamizi lakini wanakimbia wanamuogop