Adam kubali tu kuoa mke wa tatu Baba, na huyo mke wa tatu atakuwa mkombozi na atawanyoosha vizuri hao wake zako wawili, na mwisho Adam hutajutia kwa kuoa wake watatu:❤❤❤❤
Adam nimekupenda saana. Unawajali saana wanafamilia wako wa Adam Leo. Unasoma comments zao na unawajibu. Hapo tunaona km unatujali. Penda saana cc wewe.
Pole sana Adam wake tatizo mushenga tatizo ndugu wa mke mkubwa tatizo sijuwi utakimbiliya wapi kibaruwa kimeisha Boss kapewa pilipili sijuwi kama utampona😂😂
Ahhaha huo ushauti wa sheikh hapan cjaukubali anatak nyumba ilikupe kama imepgwa bomu la nyuklia au aongezwe wa tatu adm c utakufa bila ugonjwa ,,, jamn wanaume mtakufa mapema kabla ya wakt wenu ungekuw na mmoja aaaaah good job adam leo
Adamu akili ya kuambiwa changanganya na zako,hivi kweli una wake wawili wanakuchanganya alafu wanakwambia ongeza mke wa tatu si utakufa kwa presha ,ila pole sana nayo mapito
Shemeji yake jumanne ana moyo wa upendo mume wake ana strxx za mchepuko alafu mchepuko wenyewe uko kwenye ndoa 😂 Adam watupa funzo bro mke mdogo hafai kbsaa pole kwa unachopitia😢
Naunga mkono adam aoe bibi wa tatu,hii makelele itausha kwa hawa wawili🎉🎉🎉🎉
Jaahhahah jamani
Adam ushahuri wawake watatu utapikiwa makande na kupigwa bro waburundi tujuwane kwajiri ya Adam 😂😂😂😂❤❤❤
Shukrani
Ivo ndivo wanavyo danganyanaga eti wawili hawaelewek leta wa 3😂😂😂 mwisho wasiku unakuwa unatembea na suruali ya tobo kwenye makalio😂😂😂
Adam kubali tu kuoa mke wa tatu Baba, na huyo mke wa tatu atakuwa mkombozi na atawanyoosha vizuri hao wake zako wawili, na mwisho Adam hutajutia kwa kuoa wake watatu:❤❤❤❤
@@LuluChloé-h3i 😂😂😂
Hi
Wa 2 tu hali iyo akija wa3 jee c nyumba itaripukaaa😂😂 sheikh cjapenda ushauriiiiiiiiii😂😂😂😂😂
Hahaha mimi pia sijaupendaa🤣🤣🤣
😂😂😂😂
Duuuh Adam mkehoo anamambo subira mbaya sana EP 4
Yaani ngoja tuone episode ya 4 itavyokuwa
@@AdamLeoStudios waah tuna hamu nayo tuone utavyo amua na ushauri wa sheikh eti uongeze mke wa 3 etie 😢😂😂❤❤🎉🎉🎉
Daaah noma san wallah😂😂😂😂kimaro n kiherehere ushakomeshwa😊
Yaani acha tu
Duu kaka adam pol san ila ukitaj mke wa 3 kuj kwang hhhhhh misipendi rabsha na ao wak wot watakua sw 😂😂😂😂😂😂 miss you kaka adam
Naona hilo
Bosi na wewe acha umbea kuchunguza ya watu tu ya kwako aaaaah 😂😂😂😂😂
Ndo maana wamemkomesha🤣🤣🤣
@@AdamLeoStudios😂😂😂😂
Mmh huyo Boss mtihani… pole saana Adam.
Asantee
Wee mambo fire 🔥
Bi mkubwa naye ameharibu kabsaaa nahuo uchawi wake 😂😂
Yaani bi mkubwa hafai
Adam mambo mkaka mzur
Poa mdada mzuri
Adam nimekupenda saana. Unawajali saana wanafamilia wako wa Adam Leo. Unasoma comments zao na unawajibu. Hapo tunaona km unatujali. Penda saana cc wewe.
Shukrani sana! Bila nyie hakuna mimi!!
Tupo pamoja dear. Tunakupenda sana zaidi ya saana.
Duuh pole sana bos mwenyew kapata sababu duuh move tam sana godbless you
Shukrani
Napenda sana kazi zako mkuu...keep it up, Movies zako huwa na maerimisho makubwa kwenye jamii
Shukrani sana
❤
Napenda movie zako Adam
Asante sana
Duuuh huyo boss jmn mmmh ni kichefuchefu
Sanaa
Pole sana Adam wake tatizo mushenga tatizo ndugu wa mke mkubwa tatizo sijuwi utakimbiliya wapi kibaruwa kimeisha Boss kapewa pilipili sijuwi kama utampona😂😂
Yaani cjui itakuaje
Ahhaha huo ushauti wa sheikh hapan cjaukubali anatak nyumba ilikupe kama imepgwa bomu la nyuklia au aongezwe wa tatu adm c utakufa bila ugonjwa ,,, jamn wanaume mtakufa mapema kabla ya wakt wenu ungekuw na mmoja aaaaah good job adam leo
Nomaa
Kimaroo kaniuaaaa na chekoo haki ya mungu 😅😅😅😅😅😅😅😅
🤣🤣
k vant na mkate🎉🎉🎉🎉🎉😂😂😂😂😂😅😅
Nomaa
Nakubali ssaana kazi yakko kutoka 🇰🇪 kenya kakaangu
Shukranii
Boss naye umbea tuu ndio umemleta kwa Adam😅😅😅
Yaani sijui kafuata nini ndo mana kimemramba🤣🤣🤣
Zungu anapiga wine na mkate hatari😂😂😂😂kweli unyama upo hapo 😂😂😂😂❤
Yaani cyo mtu huyu
Hyu wa kvant na mkate walau angenunua na ka energy😅😅😅
🤣🤣🤣noma
Nimeipenda sanaa wake zangu❤❤...wausika wote wameutendea hali uhusika..
asante
atimae waomba like wamepungua kwa kas alhamdulillah 🎉🎉🎉
@@VeronicaKalinga-r9d 😂😂😂😂😂
Shukrani
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂pole snaa broo
Asante sanaa🤣🤣🤣🙏🙏🙏🙏😡
Karibu uje ujionee 😂😂😂😂😂nimeipenda hio😂😂
Haahaha kama boss kimaro wamemfanyia vile huyu shekhe itakuajee🤣🤣🤣
Movie zako kwakwel zinafundisha haswaa mashallah
Shukrani sana🙏🙏
Adam mm watatu hapa nipo tayariii😂😂😂,,, ilah mm ni kiboko ya hao wawilii , kazi nzuri kaka mauwa yako🎉🎉🎉🎉🎉
Shukrani sana sana
Subira mzuri MashaAllah
🙏🙏🙏❤️❤️❤️asanteeeee
Big up brother insha Allah utafika malengo
Amen
Kkkkk😂😂. Boss wa adam
Asante
Adam we ng'ang'ana, kwenye shamba la Eden, ule matunda yote mawili, na ongeza la tatu, pia ikiwezekana, thanks from Kenya
Wataniuaa
kazi nzur Adam leo unajua adi unakera🎉🎉🎉❤
Asante
Kwakweli nimtiani 😂 Aya ongeza watatu 😂😂😂❤❤❤ Adam
Nitakufa
Hahaha 🤣🤣 pole
Hey, wawil tu shida, watatu tena, wanaume jioneeni huruma,
Yaani tutakufa siku si zetu🤣🤣
Kenya Watching
Keep enjoying
Nawapongeza wote mnao cheza mvi hii,❤❤❤❤❤❤
Asante sana
Halafu hongeza wa 3 coz utosheki
Jamanii
Uuuuuui yesu Maria na joseph 😂😂😂😂😂 wake wawili.makes me to laugh maswali mazuri hayo na uchumi .
Yaani acha kabisa
😂😂😂 boss Kima anafurahisha kweli anapendaka kujitapa kila movie
Yaani acha tu
@@AdamLeoStudios 🤣🤣
Kunywa k.vant buaana Adamu wacha kujitetea et ukinywa husikii😂😂😂😂
Sisikii
good movie
Thanks
Mko vzr
Asante
Duuh pole sana❤❤❤❤❤❤❤
Asante sana sana
Leo ep ya 3 nimekua wa kwanza
Endelea kuenjoy
Très bon film 🇨🇩
🙏🙏🙏
Mpenda makande,,nakupenda sana❤❤
Asante nakupenda pia!
Kazi nzuri sana ❤❤❤
Shukrani sana
Boss kimaro leo kapatikana❤❤
Kapatikana kidogo sasa🤣🤣🤣
Duuuuuu boss Kimaro unajua mpaka basi, nakukubali....
Shukrani sana
Kazi ipoooo😂😂😂😂😂😂
Ipo kidogo sasa🤣🤣
Waooo🎉🎉🎉
Enjoy
Sijapenda majibu ya shekhe,je part 4 vp tuna hamu nayo
Kesho utaipata
Kazi nzuri kaka adam napenda sana movie zako
Shukrani sana
Boss kimaroooo chukka maua yako🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤😂😂😂😂😂😂
Asante sana sana
😢😢😢😢 duuuh huyu mhuni anakunywa konyagi na mkate hana ata shida
Halafu eti ananipa ushauriii niusikulize kwelii🤣🤣🤣
@@AdamLeoStudios hahahahahha
Ila huyu boss kiboko bora mume mkomesha aseee 😂😂😂😂😂 Ila wake zako wote vichomi😂tusubir wa tatu tena
Yaani acha tu
😂😂waahh
🙏🙏
Kazi poa sana 🎉🎉❤❤🇧🇮🇧🇮
Shukrani!
Adamu akili ya kuambiwa changanganya na zako,hivi kweli una wake wawili wanakuchanganya alafu wanakwambia ongeza mke wa tatu si utakufa kwa presha ,ila pole sana nayo mapito
Yaani
Kazi nzuri from omani
Shukrani Oman
Utamu utamu 🎉🎉🎉🎉🎉 from mozambiq
Endelea ku enjoy♥️♥️
Iyo ndo raa ya kula mahala kwa wenyewe😂😂😂 boss kimaru
Hahaha noma
adam we nakupenda cha ukweli hahahaha
Asante nakupenda pia
Nakubali kaka wake 2 noma sana
Noma sanaa
Adam boss balaa anakera kinoma
Nomaah
Good job
Thanks
😂😂😂😂 Bos kimaro kakomeshwa mipilipili koooo
Noma
Hey, nimewahi leo
Endelea ku enjoy!!!
wake wawil wamekufnya uone kila mmoja n mshaur kwako😆🤣🙌
thezea weeeeeeeee😅
Yaani nimepagawaa🤣🤣🤣
@@AdamLeoStudios 😆🤣
Boss kimaru sikapenda
Hahaha wamemkomesha🤣🤣🤣
Aki shekh ataka uongeze wa3 ili Sasa nyumba ilepuke kabisa😂😂😂😂😂😂 kazi nzuri sanaaa
Asante sana
🔥 🔥 🔥 ❤
🙏🙏🙏
Ssa we adamu usichokielewa hpo nni milango mengne sio yakuoa uyo mke mdogo ni mlango wanane muache 😂😂😂😂😂
Yaani
Uyo boss kimaro ana mambo😂😂😂
Haahaha wamemkomesha🤣🤣🤣
...safi
Shukrani
Nasubiria part 4
Soon
@@AdamLeoStudios insha'Allah
😅😅😅Bi.mkubwa.ana.hila😅😅😅khaaaa utambulisho tu.umemlalua moyo
Yaani ovyo kabisa
Eti wake wawili yesu na Maria 😊😊😅😅
Hahaha yeye mwenyewe kashangaa🤣🤣
Mshenga mwenyewe yuwazidi kukukandamiza adamu 😂😂😂😂
Yaani nimeshindwa mie
Yan huyu boss kimaro asikose episod znazo fuata please kaka adamu nimeipenda hii
Shukrani sana sana
Keep it up the good work
Thanks, will do!
Asante kwa support
Shemeji yake jumanne ana moyo wa upendo mume wake ana strxx za mchepuko alafu mchepuko wenyewe uko kwenye ndoa 😂 Adam watupa funzo bro mke mdogo hafai kbsaa pole kwa unachopitia😢
Asantee saana
Movie imebamba sana
Asante sana
😂😂😂 ila boss kimaro
Nomaa
Umekoma Boss kimara mizarau imekuwa imezidi😁😁
🤣🤣🤣kakoma
🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
🙏🙏🙏
😂😂😂boss kimaro pole san
Amezidi mdomoo🤣🤣🤣
Bosi kimaro😂😂😂😂 mwambie huyoooo asioe hovyo
Hahaha ndo mama kalishwa pilipilii🤣🤣🤣
Dada yake Subira noma😂
Hafai hata kidogoo🤣🤣🤣
😂😂😂😂 wote wakanyage kumbwa ,kumbwa , mapema ndio best,😂😂😂
Yaani
Boss kimaro cjapenda kwa kwel😂 yaani sio kwa masimango hayo 😅
😅
Ndomana kalishwa pilipili🤣🤣
🎉🎉🎉❤❤❤😂😂
🙏🙏🙏
kimaro kama kimarooooo😂😂😂❤
Nomaa
Boss kimaro umenikwaza😂
Jamani
Brth Adam umenichekesha eti machinjioni uko na mhuni hapo rejesta ya mtaani hiyo haha
Hahaha noma kabisaa🤣🤣
Kali sana😅boss kimaro😅
Asante
Ufudu 😂😂kawa boss kimaro au maco yangu mabaya😂😂
Ni yeye UFUDUU
Ahahahaaaa 😄😄
Jamani pombe imekua chai tena na mkate
Yaani