Nabarikiwa sana nisikilizapo wimbo huu. Shukrani sana mtunzi na kwanya yote. Mungu aendelee kuwatunza , kuwapa nguvu na imani kuu ili muendelee kuinjilisha kupitia nyimbo. Kuimba ni kusali mara mbili, Mt Augustino.
TYK kuna ile kanda ya muda kidogo ya xmass wapi nitapata audio zake yenye nyimbo kama pangoni bethleum kazaliwaaaa mwana wa Mungu.. tuimbe woote haleluyaaa .. haleeeuya
Hongera sana Ernestus Ogeda kwa utunzi mzuri sana sana. Hongereni wanakwaya mmeimba vizuri sana. Ukuu wa Mungu ni album nzuri mno mno. Najivunia kununua copy yenu. Utume wenu unatugusa wengi. Nabarikiwa sana. 💕
Mzuri sana, kazi ya ajabu yanao nena Utukufu na Sifa ya Mungu wetu. Asanti sana. Baba Mungu awabariki wote pia vipaji ipewe nguvu zaidi na zaidi. Alphonse Marie !
Hii ndio sababu ya kuitwa Kwaya Kuu ya Kanisa Kuu. Hongera Waimbaji wote. Hongera Mwl. Mathew Luhanga kwa ukufunzi wenye weledi wa juu hivi. Hongera Organist Pascal Gunganamtwa Mhangamkali. Hongera Mwl. Santino, organist unayekuja juu kwa nyakati hizi. Endeleeni kutuonesha njia ya kupita. IMBENI KWA SHANGWE, MSIFUNI BWANA MUNGU ALIYE MUUMBA WA VITU VYOTE!
Hongereni sana kwaya Kuu, kanisa Kuu Mt Yoseph kwa uinjilishaji uliotukuka, wimbo mzuri sanaa na mmeutendea haki, ,sema mcheza kinanda ni vyema tukamjua. .hongera sana OGEDA kwa utunzi safi wa mziki mtakatifu wa kanisa, toka dodoma nabarikiwa sanaaaa
Ahsante Sana kaka Francis, Katika albamu hii, Kinanda kimepigwa na ndugu Pascal Gunganamtwa,isipokuwa wimbo mmoja (Sauti yao) ambao ulipigwa na Santino Kuhanga.
@@saintjosephcathedralchoird3769 amina sana mtumishi pascal Gunganamtwa anafahamu, Mungu amtangulie alicheza pia albamu ya "NI KWA KUTOA NDIO TUNAPOKEA" kwaya ya Mt fransisco wa asizi Kinyerezi, kiukweli Mungu awabariki sanaa
Dah hongereni kwa kazi nzuri, japo inaniuma sana maaana wimbo huu nimeuziwa na mtunzi kwa ajira ya kurekodi na kwaya yangu ya Buswelu mwanza tangu mwaka 2017 na tayaree tumeshaurekodi uko jikoni nashanga kuona tayareee kuna kwaya watapewa tena na wameshaufanyia kazi kweli inaniuma japo kosa liko kwa mtunzi kutokukumbuka kama tayaree ashautoa kweingine na kuuza wimbo zaidi ya mara moja......
HII NI AIBU,WIMBO AMETUUZIA KWAY YA MT ELIZABET BURKA ARUSHA NAALITUPATIA APR 2017 NA TUKAUREKOD OCT 7 2018,NA VIDEO TUKAFANYA 2019 JUNE ,0766195311,WATUNZI WENGINE BANA MUNGU ATAWALIPA SAWA SAW NA MATENDO YENU
@@justinmbai1414 Aisee tumeutendea vuzuri mno mtumishi kuliko hata hii,kwanza hapa wamebadilisha maneno mwishoni .... Natamani nikutumie uone/usikie tofauti na ubora wa mvumo wa sauti, nicheki KWA namba hizo hapo juu WhatsApp
@@danielmatemu9698 ndyo shida ipo mtumishi watunzi baadhi kukoswa usitarabu ,kama hii mambo wimbo huu umerekodiwa zaidi ya kwaya 3 nini maana yake na kila kwaya inajua kuwa yenyewe ndo imeurekodi pekee kumbe kwaya kibao zimeurekodi.....hii ni mchanganyo
ujumbe mzuri
Nabarikiwa Sana KATIKA wimbo huu, Mungu awabariki kwakiinjilisha kwa nyimbo,
Ni mimi Aristides kessy,
Kazi yenu ndg zangu kiukweli nasema toka moyoni ,,,kuwa Imenibariki mno,,,Mko juu sana,,,Mzidi Kupata mibaraka tele...Amina
Amina Amina Amina tumsifu na kushangiliya na tumshukuru kwani viote tuna pewa kwake bure tu
HONGERENI SANA KWA WIMBO MZURI WENYE UJUMBE MZURI WA KUMSHUKURU MUNGU DAIMA MILELE YOTE.
Hamjui kufeli utume mwema wana Joseph
Imekaa vzr saana wapendwa
Nabarikiwa sana nisikilizapo wimbo huu. Shukrani sana mtunzi na kwanya yote. Mungu aendelee kuwatunza , kuwapa nguvu na imani kuu ili muendelee kuinjilisha kupitia nyimbo.
Kuimba ni kusali mara mbili, Mt Augustino.
Hongereni Sana makamanda watu wangu was nguvu Bado nawaona du!
Daaaaaa....RC kweliiii 100% ,nimekubali sanaa ,hongereni
Tu na wa tanzania kazi ndjema mungu awape nguvu ya Ku mtumikiya n'a ape akili n'a ekima wa endelee
Huu ndio uimbaji wa kikatoliki. Hongereni. Endeleeni hivi bila kupindukia visebenenga
Ahsante Sana, tayari tumewaletea album mpya na Bora ya Audio yenye nyimbo 10 za Kwaresima, Traditional
Amina Amina Amina kwa wimbo mzuuuuri, naomba mtunzi wa huo wimbo. Maana simu yangu hainyeshi vizuri jina LA mtunzi
Anaitwa Ernestus Ogeda
Jamn katika huu wimbo Nani mpiga kinandaa
Hongereni kwa uimbaji mzuri namuona vizuri kabisa Dada Vick mwangulube
Asanteee sana mdogo wangu Nestory Kipanta! Tubarikiwe sote! Nataizya kalesaa mwene 🙏
Good for soang
Qui canta bene ora bis kumba mzuri nikusali mara ya pili
Tumshukuru
Mpangilio wa sauti uko vzri mpangilio wa kinanda vzri snaaa hakika mmeutendea haki huu wimbo mbalikiwe nawapenda snaa mko juu
Ahsante Sana mkuu
TYK kuna ile kanda ya muda kidogo ya xmass wapi nitapata audio zake yenye nyimbo kama pangoni bethleum kazaliwaaaa mwana wa Mungu.. tuimbe woote haleluyaaa .. haleeeuya
Mbarikiwe saana kazi mzuri muendelee kushirikikana tutawasaport
Thanks brother
✞︎✞︎✞︎AMINA✞︎✞︎✞︎ Hongerei kwa nyimbo☞︎︎︎♫︎♫︎♫︎ nzuri♫︎♫︎♫︎
hongereni kwa wimbo mzuri wenye kuinjilisha vema
Hongera sana Ernestus Ogeda kwa utunzi mzuri sana sana.
Hongereni wanakwaya mmeimba vizuri sana. Ukuu wa Mungu ni album nzuri mno mno. Najivunia kununua copy yenu. Utume wenu unatugusa wengi.
Nabarikiwa sana. 💕
Naomba copy moja tafadhali no. 0683083326 Uyole Mbeya
WALIMU NISHAWAELEWA SANA
Nice song congratulations.
Pongezi sana wanakwaya kwa uimbaji wa ustadi
Ahsante kabisa
Mzuri sana, kazi ya ajabu yanao nena Utukufu na Sifa ya Mungu wetu. Asanti sana. Baba Mungu awabariki wote pia vipaji ipewe nguvu zaidi na zaidi. Alphonse Marie !
Asante Sana brother
Hongereni sana👍
Daaaaaaaaaa ,huyo organist anayepigia hiiii kwaya ni naniiii....anacharaza kinanda vzr sanaaaa
Organist anaitwa Pascal Gunganamtwa
Hii ndio sababu ya kuitwa Kwaya Kuu ya Kanisa Kuu.
Hongera Waimbaji wote.
Hongera Mwl. Mathew Luhanga kwa ukufunzi wenye weledi wa juu hivi.
Hongera Organist Pascal Gunganamtwa Mhangamkali.
Hongera Mwl. Santino, organist unayekuja juu kwa nyakati hizi.
Endeleeni kutuonesha njia ya kupita.
IMBENI KWA SHANGWE, MSIFUNI BWANA MUNGU ALIYE MUUMBA WA VITU VYOTE!
0p
😳😳 huu wimbo ni mnzuri sana, ila na sisi tulirekodi wimbo huu miaka miwili iliyopita, so nashangaa mtunzi amefanya nini tena
huyu mwl ogeda ni muhuni huu wimbo tumerekod mt elizabet arusha mwka 2018
0766195311
Musuri sana
Ahsante Sana na Mungu akubariki Sana
Mungu awabariki kwa kazi nzuri ya utume
Asante na tumshukuru Mungu Muumba wetu
Hongereni sana kwaya Kuu, kanisa Kuu Mt Yoseph kwa uinjilishaji uliotukuka, wimbo mzuri sanaa na mmeutendea haki, ,sema mcheza kinanda ni vyema tukamjua. .hongera sana OGEDA kwa utunzi safi wa mziki mtakatifu wa kanisa, toka dodoma nabarikiwa sanaaaa
Ahsante Sana kaka Francis,
Katika albamu hii,
Kinanda kimepigwa na ndugu Pascal Gunganamtwa,isipokuwa wimbo mmoja (Sauti yao) ambao ulipigwa na Santino Kuhanga.
@@saintjosephcathedralchoird3769 amina sana mtumishi pascal Gunganamtwa anafahamu, Mungu amtangulie alicheza pia albamu ya "NI KWA KUTOA NDIO TUNAPOKEA" kwaya ya Mt fransisco wa asizi Kinyerezi, kiukweli Mungu awabariki sanaa
Amina Sana
Wimbo mtamu ajabu, hongera waimbaji
Nyimbo imetulia Kama Niko mbinguni 🙏👋👋👋👋👋
Tumshukuru Mungu
Amina
Dah hongereni kwa kazi nzuri, japo inaniuma sana maaana wimbo huu nimeuziwa na mtunzi kwa ajira ya kurekodi na kwaya yangu ya Buswelu mwanza tangu mwaka 2017 na tayaree tumeshaurekodi uko jikoni nashanga kuona tayareee kuna kwaya watapewa tena na wameshaufanyia kazi kweli inaniuma japo kosa liko kwa mtunzi kutokukumbuka kama tayaree ashautoa kweingine na kuuza wimbo zaidi ya mara moja......
Pole Sana mkuu nasi tungejua tungeuacha,
Maana hata sisi hakutupatia yeye
@@saintjosephcathedralchoird3769 haina namna madam uumbaji umekamilika Mungu naatukuzwe
@@saintjosephcathedralchoird3769 uliipata wapi pdf yake
Huu wimbo wenyewe tushaurekodi miaka miwili iliyopita. Mtunzi anafanya mambo gani haya
tyk mtumishi,huyu mwl mtunzi atakuwa na laaan huu wimbo nmerekodi na kwaya ya mt elizabet burka arusha,dah hiii ni shida kubwa sANA, 0766195311
So sweety
hongereni kwa kazi nzuri
Thanks
Whaoo Wimbo mzuri sana hongereni kwa utume
Ahsante Sana kaka,
Tunakuahidi kukuletea nyimbo nzuri tulivu zenye kuinjilisha kiibada
Kuna kitu kinafuata soon
Ameen pia mmenifanya nimiss zaid kuimba maana mimi pia ni mwana ukwakata sauti ya tatu nawapenda sana
Hongereni kwa wimbo, fire,fire,fire...naitaji nota tafadhali, my number +254 70 15 69 773
Hongereniiii sana
Ahsante Sana
Organist ni mzuri. Selection ya nyimbo imekuwa perfect! Nadhani ntahitaji album hii ...+46735720057. Naomba nilipie tupange namna ya kupata nakala.
Okay
Nadhani kwa Sasa haupo Dar.
Njoo WhatsApp
0621884078
Mathew Luhanga
Na ina nyimbo ngapi
hii ina nyimbo kumi
Hii album naipataje nipo shinyanga
Faustine tafadhali tuwasiliane 0738261872
HII NI AIBU,WIMBO AMETUUZIA KWAY YA MT ELIZABET BURKA ARUSHA NAALITUPATIA APR 2017 NA TUKAUREKOD OCT 7 2018,NA VIDEO TUKAFANYA 2019 JUNE ,0766195311,WATUNZI WENGINE BANA MUNGU ATAWALIPA SAWA SAW NA MATENDO YENU
Fausine vipi ndugu yangu? Kuna shida unalalamika.
Yawezekana Hamkuutendea kazi vzr hebu tutumie tuuone
@@justinmbai1414 Aisee tumeutendea vuzuri mno mtumishi kuliko hata hii,kwanza hapa wamebadilisha maneno mwishoni .... Natamani nikutumie uone/usikie tofauti na ubora wa mvumo wa sauti, nicheki KWA namba hizo hapo juu WhatsApp
@@danielmatemu9698 ndyo shida ipo mtumishi watunzi baadhi kukoswa usitarabu ,kama hii mambo wimbo huu umerekodiwa zaidi ya kwaya 3 nini maana yake na kila kwaya inajua kuwa yenyewe ndo imeurekodi pekee kumbe kwaya kibao zimeurekodi.....hii ni mchanganyo
Sasa hutaki wengine wafanye utume???...Shabaha kubwa ni kumsifu Mungu
Hongereni saana