Mapacha wa Huba: Watoto, Wachumba wetu wanatuchanganya, tunabadilishana nafasi na watu HAWAJUI - PT2

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 17 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 451

  • @cristerthomasy4978
    @cristerthomasy4978 3 роки тому +8

    Mapacha raha jaman... Mungu katujalia na ss tupo Pacha.... Kama unatamani pacha gonga like hapa twende pamoja

  • @chainbre275
    @chainbre275 4 роки тому +77

    E Mwenyezi Mungu Nami naomba siku nikiolewa uje unijalie mapacha 🙏🙏

  • @lissapoul5227
    @lissapoul5227 4 роки тому +56

    Wamebarikiwa hekima,Busara na kujielewa..ustaharabu Kama woote..daah nataman niwe Kama hawa

    • @simonhaule4076
      @simonhaule4076 4 роки тому +2

      Ma'am Lissa acha kutamani sas afu anza kuwa

  • @mackmillan2803
    @mackmillan2803 4 роки тому +52

    Eeeeeh mwenyenz mungu Naomba unipe Twice jaman,,,Amen

    • @francoisecharlotte119
      @francoisecharlotte119 3 роки тому

      Samaani nadhani kama ulimanisha twins 👯‍♀️ Apana twice right?

    • @josephkomba64
      @josephkomba64 3 роки тому

      Kumbe ww ni kama mm jaman nawapenda hatari

    • @manasadunia3458
      @manasadunia3458 3 роки тому

      Ameen nami pia nawatamani twins

  • @eilinli7846
    @eilinli7846 4 роки тому +24

    Poleni kwakufiwa na mzazi wenu😭ivi angeona raha yenu ManshaAllah

  • @aminakshamoona6900
    @aminakshamoona6900 4 роки тому +22

    Muko vzr mashaAllah ruki na rani naomba Allah anijaalie na mm mapacha hata wa3 na wafanane wana raha sanaa

  • @elizabethmwandu6937
    @elizabethmwandu6937 4 роки тому +15

    Poleni sana kwa kufiwa na mama yenu mpendwa.R.I.P Mama yetu.

  • @jumasaganka8479
    @jumasaganka8479 4 роки тому +5

    Mashaallah na mm pia namwomba Allah anijalie nije kupata mapacha wanaofanan

    • @mamaikram9612
      @mamaikram9612 4 роки тому

      Amiin insha allah

    • @simonmollel4167
      @simonmollel4167 4 роки тому

      Mungu azidi kuwabariki Sana.nimewapendeza jinsi mnavyoishi Kwa upendo,furaha na amani, nyie ni mfano kwa jamii

  • @jasminiddy8734
    @jasminiddy8734 4 роки тому +4

    Eee mwenyezi mungu nijalie nami kizazi changu nipate mapacha wakike kama hawa yaraab

  • @hapinesphilimon8127
    @hapinesphilimon8127 4 роки тому +5

    EE MWENYEZ MUNGU NAOMB UNIPATIE KIZAZI CHA MAPACHA AMEN

    • @nancyonduru6186
      @nancyonduru6186 4 роки тому

      Hata mimi Mungu anibariki na mapacha wasichana kama nyinyi.

  • @esthermarco8525
    @esthermarco8525 4 роки тому +2

    I love u guys. .natamani nami Mungu anibariki siku moja nipate twins maana napenda sana watoto mapacha

  • @zennakailo8106
    @zennakailo8106 4 роки тому +30

    Watoto mapacha wanaraha yake km Mungu nijalie na mm nipate km hawa 🤲🙏 nimewapenda buree

  • @neemaoigen3594
    @neemaoigen3594 4 роки тому +2

    Binafsi huwa na enjoy Sana nkiwaona mapacha Mungu awaweke jaman,

  • @neemamjema1067
    @neemamjema1067 4 роки тому +3

    Nawapenda sana, naomba Mungu nipate pacha kama nyie yani wanichanganye mpk nichanganyike

  • @brigithernkinga8160
    @brigithernkinga8160 4 роки тому +10

    Kumbe kila mtu Ana watoto wa wili wa wili hongereni sana my twins

  • @latriciah01augustino67
    @latriciah01augustino67 4 роки тому +5

    Aiseee ahsante sky sikuwah kujua kama kweli hawa ni mapacha siku zote nilikuwa nadhani mtu mmoja anacheza part mbili

    • @hildakazige1637
      @hildakazige1637 4 роки тому +1

      Nawapenda sana hawa wadada twins mungu anijaalie namimi nipate twins kama wao😍😘😘🙏

  • @ashuraussein7582
    @ashuraussein7582 4 роки тому +6

    Mungu awalinde jamani wazuri mno adiraha mungu ni jalie mapaca 🙏

  • @nasraabdallah850
    @nasraabdallah850 4 роки тому +4

    Napenda kweli kiswahili chetu mawapenda sn❤❤❤😍❤❤

  • @nyamunakisuda6333
    @nyamunakisuda6333 4 роки тому +3

    Nawapenda sana haswa kwa wa jina wangu

  • @kabateimelda9689
    @kabateimelda9689 4 роки тому +15

    Jameni warembo nawapenda sana 💋♥️🇹🇿

  • @devothaphidelis3010
    @devothaphidelis3010 4 роки тому +2

    Nawapenda sana jamani, mungu awape wepesi ktk kila hitaji la moyo wenu.

  • @seciliakilala7921
    @seciliakilala7921 4 роки тому +4

    So beautiful

  • @khadjamhozya
    @khadjamhozya 7 місяців тому

    adi raha na wanakipaji cha kufanana ,wote mafundi na ngozi yawo ninzuri na hawana mambo mengi❤❤❤❤

  • @annamsingi2829
    @annamsingi2829 4 роки тому +1

    Mapacha wazuri kama watoto wangu GRESY na Regina mungu awalinde wote

  • @lissapoul5227
    @lissapoul5227 4 роки тому +6

    Nawapenda sana

  • @nganahesandra2293
    @nganahesandra2293 4 роки тому +3

    Nawapenda sana ❤❤😘😘

  • @mwanaideddson866
    @mwanaideddson866 4 роки тому +17

    Nikiwaona natamani ningekuwa na pacha wangu jaman . pumzika kwa amani my dotooo

  • @ashuraaomar925
    @ashuraaomar925 4 роки тому +1

    Nimeipenda ngozi zetu zinavutia kwa kweli hongereni

  • @aysherkabby5937
    @aysherkabby5937 4 роки тому +22

    Beautiful gals!!! Black is Beautiful kwa kweli... Yani wakati naanza kuwaona kwenye Huba nilijuwa ni mtu mmoja...😅

  • @هاهاهاها-ج7ذ
    @هاهاهاها-ج7ذ 4 роки тому +9

    Nawapenda bur 💗💗maa sha allah

  • @angelmashauri6961
    @angelmashauri6961 4 роки тому +13

    Penda sana nyie twins Gina na Tina...mnatupa raha sana kwenye huba... 😘

  • @lilhomies2541
    @lilhomies2541 4 роки тому +4

    Nlikua naangali huba nikawaza kama washafanyiwa interviews Hawa madada.. Kushika simu tu nakutana na hii interview. Big up sky nikama ulikua kichwani mwangu vile ukanipa chenye nilikisubiria kwa mda

    • @annamwakibinga3190
      @annamwakibinga3190 4 роки тому

      Sky huwa hukosei napenda maswali yako sana Mungu akubariki sana

  • @silverman6930
    @silverman6930 4 роки тому +3

    Most adorable identical twins , black beauty 🇬🇧🇬🇧🇬🇧

  • @munynasser365
    @munynasser365 4 роки тому +3

    I just love them😘😘

  • @kulwasaid1750
    @kulwasaid1750 4 роки тому +3

    Nawapenda sanaa

  • @salimaomari6602
    @salimaomari6602 3 роки тому

    Hongereni sn jmn Mungu azidi kuwatunza napenda sn scene zenu kwenye filam ya huba...nawapenda💖💖💖

  • @vinnahjasson5546
    @vinnahjasson5546 4 роки тому +1

    Mungu azidi kuwatangulia jaman, nimewapenda bule mnavopendana, Regina na Tina

  • @carenalphonce5013
    @carenalphonce5013 4 роки тому +1

    Dah nawapenda sana mungu awape maisha marefu

  • @khadeejaabdullah7083
    @khadeejaabdullah7083 4 роки тому +2

    Ahsante pacha wangu

  • @mercymwanika9467
    @mercymwanika9467 4 роки тому +26

    Hata mamangu walizaliwa watatu wakiwa pamoja huwezi jua yupi ni yupi

    • @calvinruben2013
      @calvinruben2013 3 роки тому

      A trick: you can watch movies on Flixzone. Been using them for watching lots of of movies recently.

    • @zaynfrancis3507
      @zaynfrancis3507 3 роки тому

      @Calvin Ruben Definitely, I have been using flixzone} for since december myself :D

    • @elijaheli8632
      @elijaheli8632 3 роки тому

      @Calvin Ruben yup, I've been watching on Flixzone} for since november myself =)

  • @sophiapendaeli2801
    @sophiapendaeli2801 4 роки тому +3

    Nawapenda mno jamani uwiiiii nyie niwarembo mno mpo vizuri sana

  • @emk9458
    @emk9458 4 роки тому

    KWANINI ULIKUFA KWA HUBA JAMANI? HADI NIKAACHA KUWATCH HUBA. I LOVED THE BOTH OF YOU. MUCH LOVE FROM KENYA.

    • @mariumpius9014
      @mariumpius9014 4 роки тому

      Kumbe nawe uliacha jm!! Yan imewakumba weng😒.pole

  • @jamesimakindi453
    @jamesimakindi453 4 роки тому +2

    Mtangazaji bwana uko wa baridi sana

  • @philomenamakonge227
    @philomenamakonge227 4 роки тому +1

    Pole sana Kwa kumpoteza mama yenu kipenzi Mungu baba awasaidie sana.

    • @almasymsabah4858
      @almasymsabah4858 4 роки тому +1

      Poleni sana kwa kumpoteza mama duuh poleni sana

  • @salhamrishoaish9292
    @salhamrishoaish9292 4 роки тому +3

    Nawapendaaaa😙

  • @maggymm7302
    @maggymm7302 4 роки тому +2

    Ooh they are so cute 😁😁

  • @neemamwaisela6448
    @neemamwaisela6448 4 роки тому +1

    Waoo mpaka raha eee mungu nami nikuzie wakwangu

  • @Mimi-wf7mb
    @Mimi-wf7mb 4 роки тому +29

    Mtangazaji umepwaya sana. Hii angeipata Millard Ayo bwana!

    • @HASASON
      @HASASON 4 роки тому

      Amepoa kichizi utafikiri gubu

    • @jumalihilwike1586
      @jumalihilwike1586 4 роки тому +1

      umeona eeh.. et kaanza tu na kugonganisha magari.. hajaona vitu important vya kuanza navyo

    • @doi255
      @doi255 4 роки тому +1

      Huyo Millard mwenyewe yuko inspired na sky

    • @khadjamhozya
      @khadjamhozya 7 місяців тому

      Miradi 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @faidhabyabato5853
    @faidhabyabato5853 4 роки тому

    Pendeza saana mungu azidi kuwatunza

  • @khadjamhozya
    @khadjamhozya 7 місяців тому

    Wacheshi Sana muda wote wanafuraha ❤❤❤💕🌺🌺

  • @winkitkendi9730
    @winkitkendi9730 4 роки тому +1

    So beautiful ❤️💕

  • @sabinaBatholomeo-th5wt
    @sabinaBatholomeo-th5wt 5 місяців тому

    Wadada wazuuuri Sana na wanafanana Sana.Hongereni

  • @edgersenyagwa3583
    @edgersenyagwa3583 4 роки тому +2

    Daaah yaaan utofauti wao mdogo Sana but wamefanana sana wakiwa mbali mbali huwezi huwatofautisha mungu awape maisha marefu.

  • @jayratumaulid582
    @jayratumaulid582 4 роки тому +3

    Nawapenda saaanaaa

  • @hawaynatimam982
    @hawaynatimam982 4 роки тому +3

    Ila mii mapacha watu wazima kuvaa sare kila pahala hapana

    • @advocatekarama4917
      @advocatekarama4917 4 роки тому

      😅😅

    • @HASASON
      @HASASON 4 роки тому +3

      Kila mtu na maisha yake
      Shinda mechi zako

    • @khadjamhozya
      @khadjamhozya 7 місяців тому

      ushaanza kwenda huko mshmba wewe

    • @khadjamhozya
      @khadjamhozya 7 місяців тому

      si umesha sema wewe kwanza akuna mwenye mda nawe

  • @neemambuya4526
    @neemambuya4526 4 роки тому +2

    Nawapenda sana Mungu aendelee kuwalinda na kuwaongoza.

  • @Hasha-zt2oy
    @Hasha-zt2oy 4 роки тому +3

    Nataman nizae mapacha 🙏

    • @shamaglory8934
      @shamaglory8934 2 роки тому

      It's my prayer too, but mi husikia eti lazima iwe kwa familia yenu

  • @agriparose3942
    @agriparose3942 4 роки тому +1

    Mimi nia pacha wangu namwomba mungu anijalie mume Bora na baba Bora then mungu ndipo aruhusu mapacha wa kufanana kila kitu

  • @stevelawrence1944
    @stevelawrence1944 4 роки тому +3

    Poleni Sana kwa kufiwa na Mama mzazi RIP

  • @pamelanaini7807
    @pamelanaini7807 4 роки тому +1

    Wow you are looking so beautiful nina pacha pia lakini sidhani kama tuko this copy right big love for both you from Kenya💝💝

  • @ibel4lf
    @ibel4lf 4 роки тому +4

    Mungu naomba anijalie mapacha wengiii I love you twins❤️

  • @godriverjackson5
    @godriverjackson5 4 роки тому +1

    Mungu awape umri vizazi vyenu viwaone mpendane

  • @swahibamussa2347
    @swahibamussa2347 4 роки тому +4

    Sema kulwa kabonge kidogo

  • @ivonnassary1377
    @ivonnassary1377 3 роки тому

    Mungu awabariki muendelee kupendana mpaka mwisho wa maisha ye

  • @oman7710
    @oman7710 4 роки тому

    Polen sana kwa kuondokewa na mama Mungu awapeni furaha.

  • @saraharon3053
    @saraharon3053 4 роки тому +3

    Nawapenda

  • @godriverjackson5
    @godriverjackson5 4 роки тому

    Ongeleni mungu mzuri Sana.amewaimba vizuri nawapenda San as a na😘😘

  • @asinathasinath5090
    @asinathasinath5090 4 роки тому +1

    Mapacha wangu ❤❤❤❤❤🔥🔥🔥🔥🔥🔥asanteni sns family

  • @alexjacqueline6651
    @alexjacqueline6651 4 роки тому +1

    It's really exciting

  • @inathimid9979
    @inathimid9979 4 роки тому +1

    Nawapenda sana Hawa wadada

  • @eilinli7846
    @eilinli7846 4 роки тому +3

    Muko pow Sana, mwenyezimung awazidishieni upendo

  • @faridaessa7844
    @faridaessa7844 4 роки тому +9

    Nawapenda nyie mapacha

  • @didahtzonline3763
    @didahtzonline3763 4 роки тому +15

    Mtangazaji mpk anavurugwa duuh anaishiwa maswali

  • @masudjuma5917
    @masudjuma5917 4 роки тому

    Nawapenda sana hawa mapacha

  • @taupenisanshimirimana3384
    @taupenisanshimirimana3384 4 роки тому +6

    Wow

  • @MaryMary-kq3nh
    @MaryMary-kq3nh 2 роки тому

    Ongereni sana kwa kazi hiyo

  • @rahimahaji4813
    @rahimahaji4813 4 роки тому +2

    Dah, wamekumbusha mbali kweli, nilikua na classmate wng wako mapacha wa 4 wamefanana vimo saut sura yaan ilikua ni shida kweli, mungu mkubwa jaman

  • @UwepoTv
    @UwepoTv 3 роки тому

    Mungu awabariki napenda mapacha sana

  • @elcasamwel8204
    @elcasamwel8204 4 роки тому

    Eee Mwenyezi Mungu naomba nijahalie nipate mapacha

  • @angeljohn9307
    @angeljohn9307 4 роки тому +1

    Poleni kwa kufiwa na MAMA chacha Mm MAMA bocko

  • @fridakimwanya1158
    @fridakimwanya1158 2 роки тому

    Nawapenda sana Ran na Ruki nataman sana kuwa na mapacha

  • @Shalom2018
    @Shalom2018 4 роки тому

    Mungu ni mwema yaani hadi raha, ninamuomba Mungu anipe mapacha wawili wa kike.nawapenda sana Regina na Christina Mungu azidi kuwabariki na kiwalinda upendo wenu uzidi huku mkimtanguliza Mungu kwa kila jambo

  • @violethyemanuely7310
    @violethyemanuely7310 4 роки тому

    Jamani napendaa sana nyie mapachaa naamini siku moja mungu atanipa coz napendaa sana twinc

  • @gracelameck7013
    @gracelameck7013 4 роки тому

    Mungu nibariki nipate pacha kama hawa

  • @chainbre275
    @chainbre275 4 роки тому +16

    Hpo Ni coconut and coconut milk

  • @zabibunduwimana4612
    @zabibunduwimana4612 4 роки тому +3

    Wanamuchanganya Sky adi anakosa maswali yakuwahuliza😂😂😂nimewapenda

  • @trizahnjoki3663
    @trizahnjoki3663 3 роки тому

    Wako sawa kabisa

  • @OmanOman-gp7xm
    @OmanOman-gp7xm 3 роки тому

    Oho poleni kwakumpoteza mama nikayamungu mungu Amrehem

  • @chainbre275
    @chainbre275 4 роки тому +9

    Yani sky anavyo waangalia yani nikma huamni kumbe it's real

  • @annajohn3700
    @annajohn3700 4 роки тому +2

    Nawapenda sana Hawa wadada jamani

  • @marygaspar6429
    @marygaspar6429 4 роки тому +1

    Mnapendeza

  • @tinyaanosiatha1118
    @tinyaanosiatha1118 4 роки тому

    Mko vizuri mnapendeza sana

  • @angelmgeni4347
    @angelmgeni4347 4 роки тому

    Wao safi Sana mungu anipe nami

  • @robertevarist1595
    @robertevarist1595 4 роки тому

    Nawapenda na ninawakubali sana mapacha wenzangu

  • @lilianjeremia1024
    @lilianjeremia1024 4 роки тому +1

    Raha sana maisha kwakweli na upendo wao walionao

  • @saidahj2543
    @saidahj2543 4 роки тому +7

    Sky amechanganyikiwa aki.....there life is funny🤣🤣🤣🤣

  • @ngombalengombale4528
    @ngombalengombale4528 4 роки тому

    Nawapenda sana mungu awalinde

  • @alinemukakalisa2224
    @alinemukakalisa2224 4 роки тому +1

    Munafurahisha sanaa

  • @suzyjames3511
    @suzyjames3511 4 роки тому

    Mnapendeza mapacha

  • @elizabethmruma6373
    @elizabethmruma6373 4 роки тому

    Nawapenda sana mko vizuri