HATARI; MAPACHA WANAO FANANA KUOLEWA NA MWANAUME MMOJA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 67

  • @ameenaameena1224
    @ameenaameena1224 2 роки тому +14

    Mungu nijalie namie nizae mapacha jomon wawooo wacheshi wenyewe

    • @enockabumba7513
      @enockabumba7513 2 роки тому +2

      Usijali Amina, mwani Mungu tyu atakutimizia ombirako

    • @credo7837
      @credo7837 2 роки тому

      🤣🤣😂😂

    • @allysuleiman6022
      @allysuleiman6022 2 роки тому

      Ciuwe nacho hicho kizazi kwanza maanake umeanza kutoa mimba toka1952 😁😁🤣🤣🤣 unajua pacha ni cikendo

    • @janethkihombo3073
      @janethkihombo3073 2 роки тому +1

      Utapata mungu mwema

    • @enockabumba7513
      @enockabumba7513 2 роки тому

      @@janethkihombo3073 kabisa

  • @sallygrace1495
    @sallygrace1495 2 роки тому +4

    Mapacha waliozaliwa mfuko mmoja wanakuwa wana problem ki sociological, na kuchangia mume mmoja ni curse na sio vizuri, Mungu awaepushe kwa hiyo idea!!

  • @agathaandrew1374
    @agathaandrew1374 2 роки тому +4

    Iyo sio sawa et kuolewa na mwanaume mmoja

  • @trendvibeke
    @trendvibeke 2 роки тому +1

    Kenya 🇰🇪 mob love

  • @azizaaziza7996
    @azizaaziza7996 2 роки тому +5

    Wee mtangazaji vp ukosawa sualigani hilo kama ni watt wako kuolewa mtu mmoja unakubali

  • @saopaulbeadworktv
    @saopaulbeadworktv 2 роки тому

    Wao,nyc one

  • @paschalrichard275
    @paschalrichard275 2 роки тому +2

    We io dini gan na umesoma wap...kina rebecca waliolewa na mtumwa wao dada na mdogo ake wanawezakuolewa na mume mmoja ila KWA wakat tofaut tofaut

  • @jacksonmalota2995
    @jacksonmalota2995 2 роки тому

    Mimi ilikua inanisumbua sana nilipo achana na pacha wangu muda mwingi nilikua mpweke sikujua kama naweza kupata kampan nyingine kama my pacha bt nampenda sana my twin

  • @janemsamati6700
    @janemsamati6700 2 роки тому +4

    Ni kweli kutengana na pacha wako ni kama hofu au ugonjwa,
    Mie na pacha wangu tulikuwa ni mwendo wa kupendana na hakuna kutengana lkn Mungu kampendeza sana RIP Joyce wangu

  • @arifofficial2476
    @arifofficial2476 2 роки тому +2

    nice

  • @somoeomari562
    @somoeomari562 2 роки тому +1

    Asha jina lingine, na Aisha jina lingina.

  • @MBATINOFILMS
    @MBATINOFILMS 2 роки тому +1

    Daaah wanafanana hadi raha

  • @upendokashaija5970
    @upendokashaija5970 2 роки тому +3

    Haya wa mfuko mmoja huwa wanapishana muda mchache saaaaana

  • @kiri5807
    @kiri5807 2 роки тому +6

    Jamaa ana bahati kapata "BUY ONE GET ONE FREE " siku unaipata ktk cm ukisha kuijua tarehe yako tu .
    sasa huyo Asha na Aisha majina yalikwisha hata wakaitwa jina 1 ?

    • @janemsamati6700
      @janemsamati6700 2 роки тому +1

      Wenzetu kwa jina wamefanana
      Mie ni Jane &Joyce nafurahi kuzaliwa twins

    • @azizahamisi7349
      @azizahamisi7349 2 роки тому +1

      Kuna asha na .aisha mm najua ni mwanaisha ayako sawa

    • @kiri5807
      @kiri5807 2 роки тому

      @@azizahamisi7349 Aisha ni Asha km hamad Ahmad ni watu kubeza midomo na kupotoa majina . Asili yake ni jina la kiarab Aisha ndio linavyotamkwa . Sasa utasema fatma na Fatima ni tofauti? Ni spelling mistake .

  • @kiri5807
    @kiri5807 2 роки тому +2

    Wacha huyo mtangazaji hao nduguze Asha na Aisha awape mume 1 .

  • @allysuleiman6022
    @allysuleiman6022 2 роки тому +2

    Sasa hawo wamefanana 😏😏😏😏

  • @stecy5749
    @stecy5749 2 роки тому +1

    Kenya tuna wivu, hakuna vile vijana wawili wanaeza oa demu mmoja 🤔🤔hicho kitendo Cha Congo

  • @angelageofrey9756
    @angelageofrey9756 2 роки тому +1

    Ni sawa

  • @agneskighenda3795
    @agneskighenda3795 2 роки тому

    Mirahaba

  • @fr.deolyakunga4984
    @fr.deolyakunga4984 2 роки тому

    Nawapongeza saana hao mapacha hao kwa jambo la: kila mmoja wao na mwanamume wake. No sharing on a single man.

  • @badwisemsimbali8581
    @badwisemsimbali8581 2 роки тому +1

    Wajilinde wasitoe tigo.

  • @janemsamati6700
    @janemsamati6700 2 роки тому

    Wewe mtangazaji vipi, unarukosea sana mapacha, fanya hayo kwa wadogo zako Aisha na Asha uone kama itapendeza

    • @credo7837
      @credo7837 2 роки тому +1

      Wew kwan pacha pia

    • @janemsamati6700
      @janemsamati6700 2 роки тому

      @@credo7837 ndio ni pacha mimi Doto,
      (Jane) & kulwa (Joyce )

    • @credo7837
      @credo7837 2 роки тому +1

      @@janemsamati6700 oooh kumbe

    • @azizahamisi7349
      @azizahamisi7349 2 роки тому

      Ameuliza swali na watu ujifunza kupitia itaview ajamanisha ifanyike niman ata wadogo zake wakiona watajua si poa

  • @priscillahsirya6544
    @priscillahsirya6544 2 роки тому

    Achakutuchafulia jinaww mtangazaji ati juzi sijui kenya kua nauhakika ndouropokwe ww

  • @jamesmunis1268
    @jamesmunis1268 2 роки тому

    Babu vp

  • @credo7837
    @credo7837 2 роки тому

    Wanagubu mmh huyo mume anakazii

  • @oxyrio1224
    @oxyrio1224 2 роки тому

    Not kenya Congo

  • @rasmiamohamed6210
    @rasmiamohamed6210 2 роки тому

    Mbona hawa mapatcha wame vaya bote kama Dar kuna baridi hhhhhh putin a Tanzanie il a des stars lol

  • @emmanuelshayo4703
    @emmanuelshayo4703 2 роки тому +2

    Hiyo midomo ilivyomikubwa ni kielelezo tosha kuwa mnafanana kweli

  • @tanjaniyoman3160
    @tanjaniyoman3160 2 роки тому

    Eti asha na aisha🤣🤣

  • @itsjkamolabeatz
    @itsjkamolabeatz 2 роки тому +1

    🤣😂😭😭Diamond platnumz ka lia sanaa leoo! usha waii ku muona aki lia? Ebu jionee kilicho mlizaa simba
    👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻😭🙄🧐
    ua-cam.com/video/XTUsVzD7xKY/v-deo.html

  • @gracewambo1731
    @gracewambo1731 2 роки тому

    &