Warembo MAPACHA wauza BIRIANI watakufurahisha, Tofauti ya Umri wao ni DAKIKA 20, Wapeana MAKAVU LIVE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 вер 2024
  • #twins

КОМЕНТАРІ • 145

  • @missmoona4497
    @missmoona4497 3 роки тому +10

    Maaashallah jmn nina mapacha wangu wakiume na wakike, wakike anaitwa shariffa na wakiume ni shariffu, namkubwa ni wakiume shariffu mdogo shariffa nawapenda sana mapacha wangu wallah😘😘😘😘😘😘😘😘😘

  • @rukiaali2768
    @rukiaali2768 3 роки тому +7

    Mashallah .mungu anijaalie na mm .mapach wa mfuko .mmoja. amiin

  • @asiakinia9344
    @asiakinia9344 3 роки тому +20

    Mashallah nimewapenda Sana Allah anijaalie nmm mapacha nawapenda Sanaa, 😍😍😂😂😂😂

  • @abdul-rahmanahmed2791
    @abdul-rahmanahmed2791 3 роки тому +14

    Jaman eh Leo liwalo na liwe nimewahi mwanzo bas naomb japo hzo like zenu😲

  • @everlineeverline105
    @everlineeverline105 3 роки тому +6

    Nimewapenda hao mapacha.intelligence na honesty.

  • @eliasjuma4353
    @eliasjuma4353 3 роки тому +4

    Sijawai kula biriani ntakapokuja dar ntafika apo mikocheni insha allah I’m fro 🇺🇸

  • @zaituniomar3361
    @zaituniomar3361 3 роки тому +6

    Ila kulwa ni muongeaji sana mashaallah

  • @Mariah_1293
    @Mariah_1293 3 роки тому +6

    Safia kapole sharifa kidogo muongeaji sema ni warembo sana

  • @RynlizzyTheBoss
    @RynlizzyTheBoss 3 роки тому +11

    Wow tumesoma nao Filbert...ni wanajua kudance Sanaa. Sijui kwanini wamekiacha icho kipaji Chao. Coz walikuwa wanajulikana kwa kudance kwao. Wangefika Sana mbali endapo wangeendelea. Love you

  • @hamoudcreator6343
    @hamoudcreator6343 3 роки тому +6

    Mash'a'ALLAH.. Safia 😍
    Ahhhhh
    Shareefah 😍
    Daah
    Kwakweli Nimechanganyikiwa 😣
    Ila utofouti niliouona
    Shareefah yuko na sura flani ya hasira hivi kwa mbaalii..
    Safia yuko na tabasam wakati wote..
    I noticed that thing..

    • @fedricklubigisa139
      @fedricklubigisa139 3 роки тому

      🤔🤔 mm hata sioni tofauti naona kama wanasmile the same

  • @scolardavidabubakar6069
    @scolardavidabubakar6069 3 роки тому +3

    Warembo sanaaaaaaa 💕👌

  • @davidkasala5727
    @davidkasala5727 3 роки тому +8

    They are so pretty

  • @aishaibrahim5138
    @aishaibrahim5138 3 роки тому +6

    So lovely,...nimewapenda❣️

  • @zuriathkajwangya1724
    @zuriathkajwangya1724 3 роки тому +5

    They are beautiful MashaAllah

  • @fatumasaidi7220
    @fatumasaidi7220 3 роки тому

    MashAllah ❤️ Na mm tumezaliwa pacha mm ni doto Ila kulwa amefariki😭nafurah Sana nikiona mapacha Allah anijaalie nipate pacha na mm InshaaAllah

  • @fatmakhalid584
    @fatmakhalid584 3 роки тому +6

    Mashallah wangu wamepishana na dakika kumi

  • @dbsoley9733
    @dbsoley9733 3 роки тому +6

    Wanapendeza wakiwa pamoja Mashallah

  • @emmiesulee4620
    @emmiesulee4620 3 роки тому +6

    Kulwa anajiongeza rangi
    Nmempenda doto often smiling

  • @fatumahamad6543
    @fatumahamad6543 3 роки тому +2

    Masha Allah safia anaonekana mpoleee

  • @shrefa123moosa7
    @shrefa123moosa7 2 роки тому +2

    Mashaallah wajina😍

  • @yusrasalum
    @yusrasalum Рік тому

    Mungu awajalie kwenye biashara yenu

  • @salhamrishoaish9292
    @salhamrishoaish9292 3 роки тому +6

    Wangoni kama wangoni😘😘😘

    • @zainabchatta6046
      @zainabchatta6046 3 роки тому +4

      Kama wewe Tim songea gonga like hapa🤞🤞🤞

    • @estherhaule8660
      @estherhaule8660 3 роки тому

      Yes!!yaaa!!!!yeesyyy...yessyy hahaaaa...hongereni....

  • @rgouz2056
    @rgouz2056 3 роки тому +3

    Nimempenda she seems to be very intelligent.

  • @damasabinalis7471
    @damasabinalis7471 3 роки тому +3

    Wazur sana,,,nimewapenda

  • @fedricklubigisa139
    @fedricklubigisa139 3 роки тому +4

    Utamu wa Biriani ni Chuzi lake,, nimeinote hiyo💪💪

  • @davidngonyani4923
    @davidngonyani4923 3 роки тому +1

    Ok nimewapata vizuri wandugu zangu nikupambana tu Mungu nimwema

  • @geeva99
    @geeva99 3 роки тому +6

    Kumbe kulwa hapendi kutoka toka out, safi sana

  • @khimfarawaytz6910
    @khimfarawaytz6910 3 роки тому +1

    Mashaallah niwacheshii mpaka raha

  • @zuleajuma7297
    @zuleajuma7297 3 роки тому +10

    wanatofauti bana dotto ni muweusi kulwa mweup

  • @Felix-sc8ku
    @Felix-sc8ku 3 роки тому +3

    Safia bana , 😍.

  • @habibasallah8139
    @habibasallah8139 3 роки тому +2

    Mashaallah

  • @Papi.Al.Pacino
    @Papi.Al.Pacino 3 роки тому +6

    Hiyo BIRIANI ndo imenileta hapa ,,,,,😂😂😂😂

  • @rosenalucas1906
    @rosenalucas1906 3 роки тому +5

    sijui kwanini kurwa huwa hawavutiwi na kusoma kabisa lakni ni wabunifu kwny kutafuta hela hata mm ni pacha wa kike tena kwetu tumezaliwa mara mbili wa kiume na wakike alafu kurwa wenzetu shule hawavutiwi kabisaa ila ni wabunifu kwenye kutafuta so sishangai hilo ni kawaidaa tu

    • @shadyashaaban6757
      @shadyashaaban6757 3 роки тому +1

      Co wote mm pia ni pacha lakini kulwa wangu kasoma mpaka chuka kamalza mm doi niliona madaftar mazto hahahahahahaa

  • @shedy_marie
    @shedy_marie 3 роки тому +1

    Mungu nipatie namimi mapacha

  • @ayoubsuleiman3675
    @ayoubsuleiman3675 3 роки тому +6

    Hahahaaaa kweli yanafanana bwn mungu wng nijaalie name siku moja nikiwa na mke nipate mapacha wa kufanana inshallah

  • @d.m453
    @d.m453 3 роки тому +1

    Doto si muongeaji sana,kulwa mmh! cherehani

  • @FatimaFatima-wk1jk
    @FatimaFatima-wk1jk 3 роки тому +2

    Tofauti nirangi mmoja anang'aa Sana mmoja kidogo amefifia

  • @maryamhaji6804
    @maryamhaji6804 3 роки тому +2

    Hongereni

  • @damariszuckschwert9489
    @damariszuckschwert9489 3 роки тому +3

    V. Money njoo uwaone wadogo zako huku.😍😍😍

  • @marymfugwa847
    @marymfugwa847 3 роки тому +2

    Siyo kila kitu wanafanana bhana kuna vingine ni siri huwezi kuvijua.

  • @chainbre275
    @chainbre275 3 роки тому +4

    Hawafanani snaaaaaaaaa kivile Hawa Ni rahisi kuwatofautisha

    • @shadyashaaban6757
      @shadyashaaban6757 3 роки тому

      Ndio mmoja huwa anasura pana mwngne nyembamba halaf ndefuuu

  • @KidotiTwiga
    @KidotiTwiga 3 роки тому +1

    Wazuri mashallaah

  • @mrambadiana9678
    @mrambadiana9678 3 роки тому +1

    They are cutes adi rahaaa

  • @fatmamaulidi5862
    @fatmamaulidi5862 3 роки тому +5

    Doto mwezangu punga

  • @flackomasterbaddest4155
    @flackomasterbaddest4155 3 роки тому +4

    Nmemtaman mmoja wacha nitafute hela bebez jiandaeni ntawatafuna mmoja baada ya mwingine

  • @hopechidera
    @hopechidera 3 роки тому +4

    Wanafanana Vanessa Mdee saana👁👁

  • @loner_wolf
    @loner_wolf 3 роки тому +1

    Dotto huwaga kihelehele na anaongea sana kuliko kulwa..... Sasa hawa sjui walikosea kujua yupi wakwanza na wapili.....

    • @lukundolucas8403
      @lukundolucas8403 3 роки тому

      Kabisa m nanona hawa waliwachanganya safia atakuwa ndo kulwa halafu sharifa ni doto

  • @nasraabdallah850
    @nasraabdallah850 3 роки тому +4

    Saut km Vanessa mdey kiasi km zinafanana 💕💕😂👌

  • @afyananurath9645
    @afyananurath9645 3 роки тому

    TIBA BORA KWA MWANAMKE
    MKOMBOZI KWA MWANAMKE:
    HII ni Tiba bora iliyo tengenezwa kwa teknolojia bora ulimwenguni kwa ajiri ya afya ya mwanamke.
    Afya ya wanawake daima inaingiliana na maisha ya kisasa wanawake wanakutana na aina nyingi za matatizo kwa kipindi kizima cha maisha yao, kwa mfano mzunguko wa hedhi usio was kawaida,maumivu wakati wa hedhi, kutokwa na uchafu mweupe,harufu mbaya,miwasho, maumivu wakati wa kukojoa, kutoka damu wakati wa tendo la ndoa. Ikiwa hizi dalili hazikutibiwa vyema na kwa muda maalumu, itasababisha matatizo makubwa sana ya kiafia.
    Kila mwaka takribani visa 490,000 vya saratani ya shingo ya kizazi vinaripotiwa.. watu 240,000 hufa kutokana na saratani ya kizazi.
    Hii ndio chaguo sahihi kwa magonjwa ya uke bidhaa yenye kuleta ulinzi kwa afya ya mwanamke na kumweka salama kabisa.Tiba inamchanganyiko wa aina nyingi ya madini na Vitamin kama (amino acid, trace element, multiple vitamin) Inasaidia kuweka afya bora ya uke na kuondoa matatizo yatakayo pelekea kuzorota kwa afya yao kwa ujumla.Nibidhaa ambayo hukinga na kutibu afya ya mfumo wa uzazi wa mwanamke na pia kukupa faraja ahueni. 0657960657
    KAZI NA FAIDA ZA KUTUMIA TIBA HII:
    √ huweka maeneo ya siri safi na salama.
    √ hutibu na kukinga maradhi ya maeneo ya sili.
    √ inaondoa maji maji machafu harufu na miwasho.
    √ Husaidia kutibu na kukinga dhidi ya maradhi ya njia ya mkojo UTI sugu.
    √ Hutengeneza sisima / lubricant asilia.
    √ huzuia kusinyaa kwa misuli ya uke.
    √ hurudisha uke katika ujana na kumfanya mume afurahie tendon la ndoa.
    √ Ni nzuri kwa matibabu ya PID
    √ inakinga vijidudu vinavyo sababisha upele kwenye nywele hasa sehemu za siri.
    √ husaidia kusafisha na kuzibua mirija ya uzazi.
    √ kuua bacteria wanao sababisha STDs.
    √ huondoa kuwaka moto ukeni na inasaidia kutuliza joto kali pamoja na kuzuia bacteria,fungus na matatizo mengineyo.
    Tumia Siku 7 hadi 10 kwa matibabu.
    Viambata;
    Rejuvenating Minerals
    Natural essential oil from plant
    Multiple Vitamins
    Amino Acid
    Vegetable anti-oxidant
    Kwa mahitaji ya bidhaa hii naomba tuwasiliane kwa namba hizi; WhatsApp, Email karibu sana kwa wateja wa Daresalaam tuta kusogezea ulipo, mikoa mingine utasafirishiwa kwa busi utachangia usafiri Piga au WhatsApp 0657960657

  • @aminaabdallah3644
    @aminaabdallah3644 3 роки тому

    Wamefanana mashallah ♥ ila sisi wala hatujafana

  • @frankngoloka2589
    @frankngoloka2589 3 роки тому +4

    Kulwa anaongea sana kuliko mwenzio

  • @seifking7581
    @seifking7581 3 роки тому +1

    Wanakipajikikubwasanaa hao utangazaji na muziki

  • @salamayusuph1238
    @salamayusuph1238 3 роки тому +3

    Jaman walinisumbua Hawa warembo walivyokuwa wanavaa kulikuwa na kiugomvi kidogo nikawambia nyie midoli tulieni

  • @sniper93999
    @sniper93999 2 роки тому +1

    Madaftari mazito hahahahahahahahhaha

  • @eziadaniel8269
    @eziadaniel8269 3 роки тому +1

    Naomba no yenu ya simu

  • @Richesfam
    @Richesfam 3 роки тому +1

    What are their Instagram names

  • @latiphasadick49
    @latiphasadick49 3 роки тому

    mungu awabark

  • @mehdibaby1621
    @mehdibaby1621 3 роки тому +2

    mashaallah wanafanana Sana🥰🇧🇮

  • @massoudmassoud
    @massoudmassoud 3 роки тому +7

    SnS = Sharifa na Safia 😂😂😂

  • @happysurvivor5980
    @happysurvivor5980 3 роки тому

    Wangoni andeeee

  • @dodofabian3756
    @dodofabian3756 3 роки тому +3

    Tulikuwa pamoja nahao mapacha ila la nibasitu,,please ningeomba unitumie namba zao ao dada zangu ili nikija uko tz nipate chakula nao,,naongeya ukweli naomba namba, naitwa juma Omar nipo apa USA

  • @pachapachizo9985
    @pachapachizo9985 3 роки тому

    Big up

  • @RAUNATION
    @RAUNATION 3 роки тому +3

    Moja mweupe sana afu mbona kulwa jamani anaongea kama chelehani yani wakina kulwa bwana ukubwa kachukia yeye kuongea aneongea yeye hampo nafasi dogo aonge😂😂

    • @angelazizi4831
      @angelazizi4831 3 роки тому +1

      🤣🤣🤣🤣🤣ndo tulivyo makurwa

    • @RAUNATION
      @RAUNATION 3 роки тому

      @@angelazizi4831 anaongea sana jmm 😂😂😂

  • @hellenrichard6528
    @hellenrichard6528 3 роки тому

    Mapacha warembo

  • @zakyahya4645
    @zakyahya4645 3 роки тому +1

    Tofauti ni sharifa mcheshi sana safia mtu wa ngum sana 😂😂😂

  • @noreengasper813
    @noreengasper813 3 роки тому +2

    Warembooooo

  • @gonggongo2140
    @gonggongo2140 3 роки тому +1

    Ai wangoni hapana

  • @gracekaniki789
    @gracekaniki789 3 роки тому +2

    Kulwa anaongea sana

  • @meshackkiyabo704
    @meshackkiyabo704 3 роки тому

    SNS maana yake sharifa na safia

  • @timboxlee919
    @timboxlee919 3 роки тому +1

    Hongereni kwa kupika biriani, nitakuja kula

  • @meshackkiyabo704
    @meshackkiyabo704 3 роки тому

    Kulwa ni mcharuko kinoma

  • @nunuuali5316
    @nunuuali5316 3 роки тому +3

    Safia uso wake mpana kidogo alafu hajachangamka kama Sharifa. Yaani ukitulia unaona hio tofuati

  • @aminanamoyo83
    @aminanamoyo83 3 роки тому +2

    😘🥰🇨🇭

  • @neemazephania2991
    @neemazephania2991 3 роки тому

    Oooh 😍 kurwaaa mipia saba lunch time

  • @rosearivitsa6187
    @rosearivitsa6187 3 роки тому

    Wanafuraisha sana

  • @khairathussein7562
    @khairathussein7562 3 роки тому

    Jmn nimewapenda c pia mapacha tunafanana km nyie

  • @josephinepatrick6026
    @josephinepatrick6026 3 роки тому

    Wakunyumba wenzang....

  • @janatahmad7048
    @janatahmad7048 3 роки тому

    😁😁raha san

  • @officialsophy6622
    @officialsophy6622 3 роки тому

    Kweli kulwa anaongea

  • @linahsemindu9575
    @linahsemindu9575 3 роки тому

    Kina kulwa hawanaga mwili🙄😄😝

  • @neemazephania2991
    @neemazephania2991 3 роки тому +2

    Jamaniii mimi pia ni kurwa .Nawapenda sanaa. Nipo dar Bunju nitawatafuta .ninaudada sanaa pia ilo ni tatizooo.ila pia hata mie sipendi esabu we unaigaa

    • @ilumohamed246
      @ilumohamed246 3 роки тому

      I like sofia soo intelligent na mpole a na hekma

  • @rehemamasoud3687
    @rehemamasoud3687 3 роки тому +3

    Ila sharifa ni mpole huyu doto mjuaji

  • @assoum_N
    @assoum_N 3 роки тому +2

    Eti lile chuzi zito😂😂😂

  • @loner_wolf
    @loner_wolf 3 роки тому

    Hawa huku wengne ua-cam.com/video/zPODzVb-Myg/v-deo.html

  • @zuleikhakhamis3303
    @zuleikhakhamis3303 3 роки тому +1

    kwa zanzibar anaejua kupika biriani ni mdogo wng asmourmakullat yaani huyu biriani akikupikia utakula dishi lote yaani anajua mn upishi ni mkono wako na asmourmakullat mkono kaajaliwa mn wa2 wengine wengi wana mikono wanapika lkn vyakula havina ladha

    • @ayshakayeko2043
      @ayshakayeko2043 3 роки тому +2

      Matangazo ya biashara

    • @zaytunhijja6771
      @zaytunhijja6771 3 роки тому

      Itakuwa hawajuw kupika ila chakula ukikiunga kinaungika na ladha tamu

    • @shamsahaji6202
      @shamsahaji6202 3 роки тому

      @@ayshakayeko2043 hahahaha

    • @mariamkasembe8559
      @mariamkasembe8559 3 роки тому

      Karibini mtwara kuna mapacha wamefanana sana hadi mama yao hawezi kiwatofautisha wanaitwa asia na arafa

    • @nassirsuleiman7156
      @nassirsuleiman7156 3 роки тому +1

      @@mariamkasembe8559 mmm mbn wap wngi t sema t kil mt anamsifia MTU wak jarb kutmbea utaon

  • @clevermngao7565
    @clevermngao7565 3 роки тому

    Tofauti Doto ni muongeaji Sana kuliko kulwa!